Mwandishi wa Habari Aliyetangaza Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar 1995 Atoboa Siri Alipoyapata Matokeo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2023
  • Taasisi ya Maalim Seif Foundation leo imeandaa mkutano wa tatu Zanzibar katika kuuenzi mchango wa Maalim Seif Hamad katika uongozi Tanzania. Kauli mbiu ya mkutano huu ni Siasa, Uongozi na Utawala:Tumekosea Wapi, Tujisahihishe Vipi?
    Kiongozi wa chama cha upinzani cha South Afrika Build One South Africa, Mmusi Maimane ni mgeni mwalikwa katika tukio hili.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 16

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 7 หลายเดือนก่อน +2

    Seif Shariff Hamad was Africa's best politician.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kijana Balozi polepole mungu amzidishiye busara zaidi

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 8 หลายเดือนก่อน +4

    Dakika 2 ni kidogo kuna vichwa vinatoa madini safi,ila muda nadhani next time ongezeni japo muda.

  • @user-hk2oz2eg4j
    @user-hk2oz2eg4j 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hhhh. Hatimae ukweli umetangazwa. Je muliemdhulu hayupo. Nani sasa mutamuomba akusameheni kwa dhulma muliyomfanyia?

  • @user-ry1pe3tu5s
    @user-ry1pe3tu5s 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kama kila uchaguzi ccm WANAIBA KURA kesho kwa ALLA. mtaenda kujibu mini? KWASABABU SIO DHULMA YA MAALIM SEIFU TU NI DHULMA YA UMMA YA WANANCHI WA ZANZIBAR, ,

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 8 หลายเดือนก่อน +3

    Dhulma mama haidumu na ikidumu basi itaasiiri kuna haja ya watu kutubu na kurudi kwa ALLAH na kujireekebisha

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ali Karume amewamaliza ni kweli CCM hamujawahi kushinda hata mara moja toka kuanzishwa vyama vingi hawa wanawekwa na vyombo vya Dola lakini mukumbuke na siku ya kiama mutakwenda kujibu japokuwa kuna kiongozi aliwahi kusema tayari washajipanga kwenda kujibu wewe Mapuri muogope Allah na siku hiyo mzito

  • @IsmailClassictz
    @IsmailClassictz 8 หลายเดือนก่อน +1

    DHULMA HAIDUMU✌️

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo lenu Waandishi sasa mumegeuka Wanaharakati wenye "ectivist" za kisiasa, mumetekwa na Wanasiasa.

  • @w4058
    @w4058 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapana sio sababu hiyi Bibie ila Allaah kataka kuwavua nguo watawanya haha maana sio watawala

  • @Bennymwangaza
    @Bennymwangaza 8 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 8 หลายเดือนก่อน

    𝖍𝖊 𝖚𝖓𝖆𝖘𝖊𝖒𝖆𝖑𝖊𝖔

  • @w4058
    @w4058 8 หลายเดือนก่อน

    Wacha zako hizo waandiishi ni kazi zao kila sehemu hebu kama huna la kuandika bora usiandike

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo ni muhali, kujuana, kuchagua na kubagua lakini pia hofu na woga. Sichambui lakini nafkiri nitaeleweka

  • @Worldunite
    @Worldunite 7 หลายเดือนก่อน

    Akinamama kazi zenu za kulea watoto nyumbani.Allah ndio kapanga hivyo,sio mie

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 8 หลายเดือนก่อน

    𝖓𝖎𝖐𝖜𝖊𝖑𝖎