WASHKAJI WANAINGIA KWENYE MATATIZO MAKUBWA BAADA YA KUIBA ALMASI | MAMBA'S DIAMOND
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 เม.ย. 2024
- ⚠️CREDITS:
Watch Full movie on : PRIME VIDEO
Movie name : MAMBA'S DIAMOND
Genre : Drama,Crime, Comedy
Year : 2024
Follow us :-
Instagram- e7bits?igsh...
Tiktok- tiktok.com/@e7bits
Follow KONKA on Social :-
Instagram- izkonka?igs...
Tiktok- tiktok.com/@izkonka - บันเทิง
Blood diamond hiyo uwiiiiiii jamani kumekucha kweli kweli@blood diamond gonga like twende pamoja km unamkubali @izkonkaaaaa❤🎉
Konkaaaa ❤❤❤
zinafanana kiasi tu
Mule mule
Yaan dakika 10 tuu comment km zotee sjapentaaa taratibuu jmn tusikanyagane kwny comment😮😢dj🎉
Dooh Daimond imeleta balaaa😂😂😂
Konka kama konkaaaa🔥🔥🔥🔥
Kazi nzur San bro
Aah bonge la movie kaka nmeielewAA
Sijachelewa sanaa 🎉🎉 maua yako mwanetu
Laana ilianza kwa mchimbaji aliomba asiuwawe maana yake alikua tayar kumuachia ila tu uhai wake ubake lakini mwamba kaona kuwa ni ishu dhambi ya umauti inawatafuna
All the way from Zenji#Marashi ya karafuu...🔥🔥🔥❤🙌🙌
Jama ni fundi,,,naelewa kazi zako❤❤
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas babaaaaaas
Hatuachi kuvibe 🎉❤
😂😂😂😂mzungu njaaa uwiiiii
Hatareee
Unyama KONKAAA 💥💥🔥🔥
Good....
Leo nimekuwa wa mwisho. 0yoooo. Mauwa yangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dk kumi tu mshajaa🥰🤣
Aloo hii move ni nzuri kuliko zote nizowai kuangalia katika video zako zote❤
Oya the brain umetisha kinoma
hii ni 💥💥
Hongera Kwa 100k 7bits we love you❤
🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yako dj❤❤❤❤
Daa huyu mwamba ni noma xana kweny kipande cha u dj🎤🎤🎤
Anajua balaa
Konkaaaaa
Asante sana konkaaa❤❤
Hiyo background voice naipenda sanaa 💯🎶
Kaliiiih 🎉
Goood
Nzuri sana
Sijawai pata like na mimi japo 1 tu
Congratulation E7bits for 100k subscribers kama wa mkubali like my comment good work bro God bless you @IZKONKA 🎉🎉🎉
Asante sana FAMILY🙏
Oya weeeeh🎉❤
Anita ana macho mazur kwel pesakitu kingine jmn 🎉❤
Hii apa number moja kutoka kuwait...💚🇰🇼💚
Mwamb ww n moto❤
Kakaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤
Ila hii movie nmeipenda😂😂
Mzungu wa kariakoo😂😂😂 mzungu njaaa😂😂😂
❤❤❤
Wow 👌 ❤
We masta
Oyaa hongera kwa kutimiza subscribers 100k
Asante sana🙏
Wakwanza leo😂😂😂❤❤❤
🔥
Master
❤❤❤❤❤❤❤❤ wa kwaza
Unatuacha sana jamn
Video ni 🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤
Ngoma inaanzia kwenye shimo la almas😊😊
Kaka LUMBASI
Leo mi wa Kwanzaa ha haaas
Oyaaaaa mwamba nimtata balaa
Salute
Mzungu wa kariakoo😂😂😂😂 mzungu njaaaa
Nimekuwa wakwanza Léo na ombeni ata like 5 na ya E 7bits moya tu ndugu zangu❤❤❤❤❤❤
Unyama mwanangu unatish sana ❤
Wakwanza like
Yan umo ndan mwendo w kuuwana tu😂pesa ni kitu kingine nyieeee🙌😂
Kwani nyie wananzengo mnaoomba like kila cku huwa mnazipeleka wapi😂😂
Naona leo mipinduko ya mauwaj t.🤭🤭🤭
Atari sana
Dah broo unajua 🎉🎉🎉🎉
Ndo maana ya alimas haing'ai mpaka ioshwe😂😂sasa woooote wanakufa watumiaj ata hawajaihangaikia
Bro unafanya kazi nzuri sana sana. nashauri tu kama utaona vyema matangazo weka katikati ya story sio mwisho, wengi ni wabahiri wa bando ukiweka mwishi ni kama tuna skip coz tunakuwa tushapata tunachotaka
The love I have for E7bits ❤🎉
❤❤❤
Wakwanza like zangu leo
Tuko pamoja mazee
We ni hatari auna mpinzan mwamba
2naompend konka 2juan
Bora utangaze mwenyewe
🔥🔥🔥
Yan nilikuw nakusubir tuu😊😅😅
❤
Oya wanamgu we mimi Apa espi-dolla mnipe moja bana
Wa kwanza mm
❤❤
Kwa mala ya kwanza nimewai kwenye chaneli yako
nzuri sans
Ciku hutucheleweshei saf sana konkaaaaaaa
Yani huyu Obina ni Mimi mtupuu..😅😅😅😅
100k 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Hatr sana🙏
Wakwanza naomba like zang
Wakwanza leo🎉🎉🎉
Owaaaa unajuwaaa sànn kaka uko pouwaaa sann
Asant E 7bite kwa kz nzur mungu akupe afy njema uzid kutupa burudani kam unaenjoy hii channel like tuwe pamoja 🤗🤗🤗🤗
Bonge La Move🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unyama mwingi ❤❤❤❤
Yaani nimekaa TH-cam muda wote natoka ndiyo mzigo unaingia
Leo na mm Alchemy namewah in 7min
Diamond duuh😮
Oya kumbe 100k subscribe tayari 🥳🥳
Mapema sana🙏
ya leo kalii daaaah nimetaman isiiisheeee❤❤❤❤❤
Unajua nini nakesha onlin kwa sbb yko ila unchelewa 😢😢😢
nimeipenda aisee❤❤❤
Naomben at like 10
Nakukubali san
Nzr❤🎉
Leo wa mwisho😂😂 from🇮🇹 oman
huyu kamuua yule n yule kauliw na huyu 🙌🙌 nikiwa kama mwn family wa E7 bt na E7 max hamna baya wakuu