TAMAA ZA KUPATA PESA NA MADARAKA ZINAHARIBU MAISHA YAO | AFAMEFUNA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 เม.ย. 2024
  • JIAJIRI KWA TSH LAKI MOJA NA NUSU TU (150,000)
    1. UONGEZE KIPATO CHAKO.
    2.ANZISHA BIASHARA KWA MUDA WAKO WA ZIADA.
    3.WEWE NI MUELEWA NA UNAPENDA KUJIFUNZA JUU YA KUANZA BIASHARA HASA KWENYE UPANDE WA AFYA.
    4. AU KUINUA TU UCHUMI WAKO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE
    ●SASA KAMPUNI YETU INAPANUA WIGO WA SOKO LAKE HAPA JIJINI
    ●HIVO TUNATAFUTA WATU AMBAO WAPO CHANYA WANATAKA KUONGEZA KIPATO CHAO NA KUANZA BIASHARA
    ●NI NINI TUNAFANYA?, TUNATUMIA MFUMO WA USAMBAZAJI WA BIDHAA UNAOMPA MTU NAFASI YA KUKUZA KIPATO CHAKE, KAMA NI WEWE AU UNAMFAHAMU MTU AMBAE ANAHITAJI KUKUA KIUCHUMI BASI USISITE KUTUTAFUTA
    FIKA OFISINI
    -Dar es salaam, Ilala Boma
    -Dodoma,majengo independence square
    -Arusha,Mega comple
    PIGA SIMU NAMBA - 0758665268
    Au tutafute kwenye mitandao ya kijamii @biashara inalipa
    ⚠️DIRECTOR:- KAYODE KASUM
    Movie name : AFAMEFUNA
    Genre : Drama
    Year : 2024
    Follow us :-
    Instagram- e7bits?igsh...
    Tiktok- tiktok.com/@e7bits
    Follow KONKA on Social :-
    Instagram- izkonka?igs...
    Tiktok- tiktok.com/@izkonka
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 253

  • @e7bits_tz
    @e7bits_tz  2 หลายเดือนก่อน +107

    Asante kwa kuja hapa, Enjoy….!❤

    • @peterthomas2577
      @peterthomas2577 2 หลายเดือนก่อน +4

      Bro naomba toa recap ya movie inaitwa DRISHYAM aisee bonge la story

    • @Maryam-lc7xw1dy5t
      @Maryam-lc7xw1dy5t 2 หลายเดือนก่อน +3

      We zera nataka niwe wakwanza kuangalia muvi nifanyejee???😊

    • @SumaMtoto
      @SumaMtoto 2 หลายเดือนก่อน +1

      Uwakika 🎉

    • @mwarabuofficial5241
      @mwarabuofficial5241 2 หลายเดือนก่อน

      Maryam uwe unaenda gheto kwa zee la kutune before hajatupia mzigo huku #youtube. 😂

    • @calvinmathiace9512
      @calvinmathiace9512 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Maryam-lc7xw1dy5t turn on notifications Bell 🔔 utakuwa wa kwanza kupata taarifa punde tu pindi video mpya inapo postiwa 😊

  • @sheelamakota6956
    @sheelamakota6956 2 หลายเดือนก่อน +8

    Leo nimeotea kwakwanza naombeni like zangu wapenz❤

  • @cholozagaro1325
    @cholozagaro1325 2 หลายเดือนก่อน +6

    Maranyingi ending zinakua mbaya Ila hii Imeishia vizuri sana

  • @officialkingj_tz
    @officialkingj_tz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza apa nipeni like zangu

  • @AdrianOmary-nl7fs
    @AdrianOmary-nl7fs 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unyama we ni nomaaaaa!!!!!.... Izkonkaaaaaaa

  • @X2beatz
    @X2beatz 2 หลายเดือนก่อน +2

    We jamaa UNAJUA kuchagua movie Kali zenye mafunzo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 E7bit forever ❤❤❤

  • @user-ec1oh3xo6o
    @user-ec1oh3xo6o 2 หลายเดือนก่อน +4

    Duuuh binge la story hili Amaka nae pisi kariiii😂🎉😂🎉

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua sana kwenye recap, kwan radio na TV hazikuoni

  • @frankakuno.9511
    @frankakuno.9511 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo Afande kumbe yupo 🔥🔥🔥

  • @saidulaya7308
    @saidulaya7308 2 หลายเดือนก่อน +5

    AFAMEFUMA MNYAMA SANA MITANO TENA🖐🖐🤣🤣.

  • @jerryroy1769
    @jerryroy1769 14 วันที่ผ่านมา +1

    Dah jamani 2ache masiala uyu mwamba anajua🎉🎉

  • @user-oy8ku5yx5z
    @user-oy8ku5yx5z 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mwanangu sasa hivi ndio naelewa kwanini huwa unachelewa ku drop mzigo na hata ukishauleta unaenda mbali kulikoni na hawa wadananda wantoa kazi kila baada ya masaa 3. Umenikumbusha mbali sana . Kanayo O kanayo watoto wa 2000 hawawezi nielewa

  • @RahabuJunior
    @RahabuJunior 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua mpk unakela jamaa angu❤❤

  • @user-qg6hz7qr5o
    @user-qg6hz7qr5o 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka, unajua🎉 yaan unaaaangalia movie mpk roho inapenda, uwe unatoa Kama is kaka🎉

  • @DaniRavi
    @DaniRavi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Siku izi una chelewa sana kutowa movie sijuwi umekuwaje

  • @mwaneyameir1317
    @mwaneyameir1317 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mapemaaa leoooo🎉🎉 naomben likes❤

  • @FadhilaFadhila-wi5wh
    @FadhilaFadhila-wi5wh 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mipinduko is typing 😂😂😂

  • @zubynyaku6269
    @zubynyaku6269 2 หลายเดือนก่อน +4

    Unavineno fulaniii iviii vyakufurahisha

  • @joyllinemallya3905
    @joyllinemallya3905 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤nachanganyikiwag na hzi movie akiii

  • @user-uh6ux5ei6l
    @user-uh6ux5ei6l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jman na me mgeni nipen like

  • @chekakidogo8531
    @chekakidogo8531 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tangu nimeanza kufwatilia huu ukurasa hii ndio muvi bora kwangu❤

  • @clintonjames7154
    @clintonjames7154 2 หลายเดือนก่อน +2

    E7 inabidi unipe tuzo haiwezekani kila siku Niwe wakwanza konka❤

  • @estherlugina4231
    @estherlugina4231 2 หลายเดือนก่อน +3

    Paul, but afan ana moyo true love never Dead

  • @PriscaHossea
    @PriscaHossea 2 หลายเดือนก่อน +3

    Usiwe unatucgelewwshea sana bas nazipenda sana hz

  • @ismailaladini3014
    @ismailaladini3014 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wa kwanza mimi leo nipeni likes zangu

  • @tellodelucky6864
    @tellodelucky6864 2 หลายเดือนก่อน +1

    All the way from Zenji#Marashi ya Karafuuu....🔥🔥❤❤🙌🙌

  • @GucciJackson-sw6pg
    @GucciJackson-sw6pg 2 หลายเดือนก่อน +2

    Story inatuhusu sanaa sisi wafanya biashara I like it

  • @jovintairo4916
    @jovintairo4916 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka ww unajuaa sanaaah baba salut

  • @user-fl7yd2st5b
    @user-fl7yd2st5b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Story nzur ila usijelewe kutoa jmn😢

  • @user-ms8jj6nn2l
    @user-ms8jj6nn2l 2 หลายเดือนก่อน +1

    IKO VERY SMART SANA vraiment
    TJR PHILANTHROPE FROM RDCONGO UVIRA 🇨🇩 NOUS SOMMES ENSEMBLE VRAIMENT

  • @ahiyaasherinchako5142
    @ahiyaasherinchako5142 2 หลายเดือนก่อน +1

    Like Kwa bitzs bhn❤❤

  • @RugaziaBaisi
    @RugaziaBaisi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kama utamua nyani kwa sababu ya hela,pesa zitaisha nyani atabaki😂😂😂😂

  • @user-zv6cg3zw3v
    @user-zv6cg3zw3v 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaz nzuri ubarikiwe

  • @mwarabuofficial5241
    @mwarabuofficial5241 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna funzo hapa, kuna wale watu wanakuwaga wana connection ya mtu then anakuwa anakutishia uwe unampa hela la sivyo ataisambaza kwa watu... Basi ndugu yangu usirogwe ukajaa huo mtego maana atakugeuza wew ndio shamba lake la kuvuna hela na siku ukisema huna bado ataivujisha tu hiyo connection kwa watu na ukute ushampaga hela nyingi sana huko nyuma. 😂

  • @mondigugo4392
    @mondigugo4392 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaaa anajua sana

  • @ErickMwikola
    @ErickMwikola 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri kaka

  • @tumaxaad
    @tumaxaad 2 หลายเดือนก่อน +3

    More love more life guy KONNNNKA ❤😂❤ BY

  • @jacksonseverin5670
    @jacksonseverin5670 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka unasimulia vizur 😊😊

  • @gladnesskawanga1127
    @gladnesskawanga1127 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nilimiss hii voice 😝

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimewahi nimekuwa wa 41 asante mwamba tunainjoi tuuu unajua sana kutufurahisha mwamba ❤❤❤

  • @azizikidevu8404
    @azizikidevu8404 2 หลายเดือนก่อน +2

    bongeee mojaaa la move

  • @imranulotu8768
    @imranulotu8768 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bado kdg tu ufike 100k upate silver award

  • @user-yu3mf6em1v
    @user-yu3mf6em1v 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daah movie Kali sana aisee

  • @amsaraideramaider8144
    @amsaraideramaider8144 2 หลายเดือนก่อน +1

    nikiwa kama mwn family wa E7 na E7 max hamna baya wakuu 🙌🙌

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 2 หลายเดือนก่อน +2

    Afamefuna ndo mwenye makosa😢

  • @bupeabdul8133
    @bupeabdul8133 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sautiii tuuu❤❤❤

  • @LovenesJohn-bh1yv
    @LovenesJohn-bh1yv 2 หลายเดือนก่อน

    Sahv unenda vzr. ❤❤❤ Mungu akupe afya njema

  • @user-hl9np9zb7f
    @user-hl9np9zb7f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama xana zee la ku tun zee la town ❤🥰

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana❤❤

  • @IzraTndilonge
    @IzraTndilonge 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unajuwa sana

  • @E_mwafrica-dc2zm
    @E_mwafrica-dc2zm 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dah hii noma sana kuna namna inagusa sana hisia

  • @SobiTz
    @SobiTz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wa Nigeria 🇳🇬, wametuacha mbali sana

  • @MohammedMohammed-we4yh
    @MohammedMohammed-we4yh 2 หลายเดือนก่อน +2

    Broo thank you so much kwa movie

  • @prosperchrispin9074
    @prosperchrispin9074 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nomaaa hii

  • @Mbojeboy
    @Mbojeboy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wa kwanza jamn

  • @SuleisajrJumaa
    @SuleisajrJumaa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wahi kutoa broo wenginetunaboeka sana

  • @Aishk71
    @Aishk71 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante tamu kwel

  • @user-oo5fm7sg4j
    @user-oo5fm7sg4j 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza leo

  • @NuhuHamisi
    @NuhuHamisi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii kitu ni noma

  • @PrancyMwanzenga
    @PrancyMwanzenga 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka we wamoto mzee, hongera!

  • @user-kj6sz1oo7w
    @user-kj6sz1oo7w 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤ Asante

  • @jescacasto9772
    @jescacasto9772 27 นาทีที่ผ่านมา +1

    uko vizur broo ❤

  • @NickMsek
    @NickMsek 2 หลายเดือนก่อน

    Salute sana bro

  • @ezekielmwakalindile1922
    @ezekielmwakalindile1922 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mwamba uko vizuri

  • @mwarabuofficial5241
    @mwarabuofficial5241 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huu unyama asikwambie mtu mzee wangu..

  • @ellywillisgotora1473
    @ellywillisgotora1473 2 หลายเดือนก่อน +2

    paul kazengua

  • @user-yy7vo7um8l
    @user-yy7vo7um8l 2 หลายเดือนก่อน

    Wa kwanza leo naomba like zangu

  • @user-qf9wl7qy1e
    @user-qf9wl7qy1e 2 หลายเดือนก่อน

    Bless kak

  • @user-th6lz5ri2n
    @user-th6lz5ri2n 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aise n bonge la movie aise kaka

  • @MABANTUTZ
    @MABANTUTZ 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh hili noma sana. 🔥🔥🔥

  • @user-ps5qd9zg8f
    @user-ps5qd9zg8f 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dah kal bro🎉

  • @Ashajumanne-lw5lh
    @Ashajumanne-lw5lh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mapema sana

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unyama huo 😂😂😂

  • @officialbrendar
    @officialbrendar หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzurii 🤗🤗🤗🤗

  • @batapoint
    @batapoint 2 หลายเดือนก่อน +3

    My brother @e7bits_tz
    Always nasubir notification ya unyama

  • @ngido255
    @ngido255 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hujawahi kuniangushaa byee🖐️👍🤣

  • @KasikileKaluta
    @KasikileKaluta หลายเดือนก่อน

    Mungu abariki kazi za mikoni yako kaka yangu

  • @NduwimanaSedrick-fg2bz
    @NduwimanaSedrick-fg2bz 4 วันที่ผ่านมา

    Mufanya biashala ndo anaielewa ❤burundi 🇧🇮

  • @AyushSaid
    @AyushSaid 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman nikitazama hiz ki2 huwa nasahu shida zangu zote😂😂

  • @user-tw5wy5xw7o
    @user-tw5wy5xw7o 2 หลายเดือนก่อน +3

    We ndo mwenye makosa unachelewesha sna bhn😢😢

    • @faidhamarwa2458
      @faidhamarwa2458 2 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅😅

    • @user-tw5wy5xw7o
      @user-tw5wy5xw7o 2 หลายเดือนก่อน

      @@faidhamarwa2458😂😂🙈

  • @user-bs2mt5ox2r
    @user-bs2mt5ox2r 2 หลายเดือนก่อน

    We ndo konkaaaaaa vitu amazing xanaaaa

  • @rajabhassan6966
    @rajabhassan6966 2 หลายเดือนก่อน +1

    We jamaa ni nomaaaaa Kwa cmulizi

  • @user-wn9xk7ys7n
    @user-wn9xk7ys7n หลายเดือนก่อน +1

    Asante dj

  • @HellenJulius-ky7sx
    @HellenJulius-ky7sx 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nmesikiliza movie nying hat e7bits Ila hii imeua

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon 2 หลายเดือนก่อน +2

  • @isayakafanabo2579
    @isayakafanabo2579 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unatisha Sana mwanangu❤

  • @danielimperial2818
    @danielimperial2818 2 หลายเดือนก่อน +1

    Really 🎉

  • @ArnoldJoely
    @ArnoldJoely 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nkali afemefuna unyama mwingi

  • @markxila654
    @markxila654 2 หลายเดือนก่อน

    kipajii hchoo kk👏👏

  • @rosekwelamsafiri8572
    @rosekwelamsafiri8572 2 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥

  • @user-pz9bh3pl4t
    @user-pz9bh3pl4t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nice

  • @arafamgeja9334
    @arafamgeja9334 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow❤

  • @smartfather-wr2id
    @smartfather-wr2id 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wakwanza

  • @hamic01491
    @hamic01491 2 หลายเดือนก่อน +1

    Konkaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌

  • @AishaBawaziry
    @AishaBawaziry 2 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana kukufatilia

  • @JoaomarcelinoRumba-io8wk
    @JoaomarcelinoRumba-io8wk 2 หลายเดือนก่อน

    Ishimaaa kwako♥️♥️♥️

  • @chagudaniel8037
    @chagudaniel8037 2 หลายเดือนก่อน +2

    Afamesia unyama

  • @msodokitwahil5947
    @msodokitwahil5947 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huu unyama konka

  • @MutoniAnge-pt4eg
    @MutoniAnge-pt4eg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuletee movie inao itwa MISSING,

  • @NewtornKabelege
    @NewtornKabelege 2 หลายเดือนก่อน

    Iko pow