BAADA YA BABA AKE KUFA AKANYIMWA URITHI WAKE | SEVEN(2019) | MOVIE KWA KISWAHILI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2023
- Movie name : Seven
Year : 2019
Genre : Drama, Thriller
⚠️DISCLAIMER
Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is mad for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE.
WhatsApp: +255 62 494 4364
#zeelakutune #zeelatown #e7bits - บันเทิง
kaka wewe ni rapcha wa kutafsiri ❤
Mwana we unaweza sana🎉🎉
Haka kamovie Kanaijeria kana Kaubongomovie kwambaliiiii.... sana nimesema kwa mbaliiiiii....😁😁😁
Kaka upo vizuri kinomanoma, piga kazi kaka unao uwezo wa kuuteka ulimwengu wa filamu, bila kusahau kuweka jina la move🔥🔥🔥
🙏🙏🙏,,,movie inaitwa SEVEN(2019)
Daa uyu jamaa n konki kwa izi movie namfuatilia sana❤
Jambo jema kuheshimu wazazi❤❤
Oya weeee mzigo wa moto hongera kaka KWA content nzuri
Thanks bro🙏
Wanigeria wamesha shindikana kwenye mambo ya music na movie
Kabisaaa
South ni mwisho kwa movie bro
Hii movie hata ikiw mbaya kwakua jamaa anajua kusimulia utaiona nzuri maan ukiiona ww kam ww unaez usiilew
Daaa mwamba yupo vizuri napendaga movie za short sanaa tuu
Kuna movie ya kizungu ya zama kidgo inafanana sana na hii kulikua na kijana wenge akapewa urith na babu ake lakin nikikumbuka jina ntakuambia
Nakubari Sana move zako
Napenda sana kazi zako 🥰🥰🥰
Nakukubar
Uko njema kutoa brief 👍big up
Safi xn 👍👍👍umeupiga mwingi
Hizi hiz za Nigeria zinafanya poaaa, Endelea hv hv zee la kazi
Bongeee La Move🔥🔥🔥🔥🔥
YOU ALWAYS NAILED MY GEE❤🔥🔥🔥
Ww ni mchawi wa simulizi....big up kaka
Jamani ii move inaitwa ajy
Safiii kaka kazi nzurii sanaaa nakubal
Kazi nzuri kaka
Vp brother umeshapata monitization
Mwanangu we noma
Mwamba uyu apa
Ww jamaa ni noma 😂😂
Kazi nzuri
Safiiiiiiiii sanaaaa🎉🎉🎉
🙏🙏🙏
🎉🎉 brother code✌️✌️✌️
You already know🤜🤛
Unasautiiii aseeee🥰😘😘
🙏asante sana
Unajua sana mkuu
Oya mwamba nakubali unachofanya
Ya moto mkuu
🙏🙏🙏
Mkuu inaitwaje hii?
Ukoko vizuri
Duuh sio pow asee
Unyama sana sitor zako nipoa sana
Jaman jaman huwez amin kuna watu hawaja subscribe hii channel 😂😂😂, mbona wanakosa ving aise duuuh jaman huyu kaka jaman 😢😢😢 good job mwaya mzee piga kaz mpaka ' tuseme'
😂🙏🙏🙏
😂🙏🙏🙏
Jina la movie
you are the best 7777
🙏🙏🙏
Unatiza Mzee,
Nc
Mkuuu kuna hii chuma apaaa The nevers
Ni ya mwaka gan??
@@e7bits_tz 2021 ina season 1
Jina la movie
Humu mipinduko hamna kabisa humu
😂😂😂❤❤❤
❤❤❤❤
Apo ni guda na burudani kibao😂😂😂
❤🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉
Wanaijeria wamefany mapinduzi kila konq
Bro unawapenda san wa nigeria daah
Hapana, napenda mataifa yote
😂😂😂
Imeendaa hiii mkuu
🙌🙏
Duh huu mzgo hatar
Chukua maua yako mwamba
🙌🙌🙏🙏
Huba baya
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Duuh
N shida
Kolade mnamjua? Ni mimi nawasanua.
MUNGU ALIPO SHETANI ANASHINDWA NA JESHI LAKE
Hii movie naipataje ?
CHIIII
H😂😂😂😂
❤❤❤❤