MCHIZI ANAPOTEZA DILI LA DOLLAR MILLION 1 KIZEMBE SANA | BLOOM BOYS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ค. 2024
  • ⚠️CREDITS:
    Watch Full movie on : PRIME VIDEO
    Movie name : BLOOM BOYS
    Genre : Drama,Thriller
    Year : 2024
    Follow us :-
    Instagram- e7bits?igsh...
    Tiktok- tiktok.com/@e7bits
    Follow KONKA on Social :-
    Instagram- izkonka?igs...
    Tiktok- tiktok.com/@izkonka
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 319

  • @SalhiyyaJassam-fg1sw
    @SalhiyyaJassam-fg1sw หลายเดือนก่อน +54

    konka anataka mumuandikie maon yenu ,,,maon yenu ndo yatamfanya alete vitu kali kila siku nyie mmekazana wakwanza wakwanza nipeni like zangu mnakeraAaaa,,,,hata ck akikosea jamb mtakAzana na like

    • @hassnakhamis3489
      @hassnakhamis3489 หลายเดือนก่อน +2

      Wana kera😢

    • @RahabuJunior
      @RahabuJunior หลายเดือนก่อน +1

      Ni Ukweli kabisa wanakela

    • @MukabBaruani
      @MukabBaruani 15 วันที่ผ่านมา

      sana wana kela

  • @dullyninja4705
    @dullyninja4705 หลายเดือนก่อน +42

    WakwAnza mm naomba like

  • @stevkaliona4107
    @stevkaliona4107 หลายเดือนก่อน +29

    @konkaaaa mzeee wa mizigo ya hatari sana🎉gonga like kama unamkubali weka like

  • @tellodelucky6864
    @tellodelucky6864 หลายเดือนก่อน +8

    All the way from Zenji#Marashi ya Karafuu...🔥🔥❤❤🙌🙌

  • @MaroFredson
    @MaroFredson หลายเดือนก่อน +11

    Duuuuh ni dakika 27 tu watu kibaoooo duuuh kweliii kama unamkubalii Konka gonga like hapa ❤

  • @shukran26love1
    @shukran26love1 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi kama young bee nakupenda sana mshikaji wangu unaua soko la muvi kwa wanaotafusiri full movi kwaiyo kaa makini 🙏✅

  • @massawetv5109
    @massawetv5109 หลายเดือนก่อน +9

    Kwanzaa ngoma inaanziaa chumbanii😂😂😂

  • @user-lo7gf4ld7n
    @user-lo7gf4ld7n หลายเดือนก่อน +7

    sijawahi kuwa wa kwanza 😢. naomba like 10

  • @Shadia544
    @Shadia544 หลายเดือนก่อน +33

    Nimekuwa wa 3 LIKE 10 jamaniii tunainjoi tuuu asante mwamba ✌️✌️✌️✌️✌️

  • @nicksonchesco233
    @nicksonchesco233 หลายเดือนก่อน +5

    Huuu unyama ni noma nakukubal mwwnang unajua 🙌🏻🙌🏻

  • @SalmaAthuman-rg4nv
    @SalmaAthuman-rg4nv หลายเดือนก่อน +12

    Me naomba uwe unatoa kila Ciku jmn una Tukataaa sana

  • @FananiGrosper
    @FananiGrosper หลายเดือนก่อน +7

    Konka mzee wa unyamaa🤝🤝

  • @user-er1ot1zg2b
    @user-er1ot1zg2b หลายเดือนก่อน +5

    jamani nzuri sanaa hongera tupo pamoja bro ❤❤❤

  • @lakasid3860
    @lakasid3860 หลายเดือนก่อน +6

    Lile demu lililomgonga litakuwa limemuibia 😂😂 konkaa 🔥

  • @CesarMrmoney
    @CesarMrmoney หลายเดือนก่อน +4

    Iko sawa iyi broh unyama uko fresh 👏💪

  • @ingabireshakira9631
    @ingabireshakira9631 หลายเดือนก่อน +4

    Akamlaza chini akaanza Kumküna😅 iyo kuna sasa😅😅

  • @user-ul8rt5fr6h
    @user-ul8rt5fr6h หลายเดือนก่อน +3

    Konka Mzee wa kukinukisha big up saan unyama umekaa poa

  • @ahiyaasherinchako5142
    @ahiyaasherinchako5142 หลายเดือนก่อน +5

    Mpo fasta mno ila big up

  • @massawetv5109
    @massawetv5109 หลายเดือนก่อน +5

    Oya🔥🔥

  • @monicarichard8802
    @monicarichard8802 หลายเดือนก่อน +4

    unyama upo vizuri na umejua kutuelezea vizuriii.. kazi nzuri

  • @Ramazo_OG
    @Ramazo_OG หลายเดือนก่อน +4

    Heeeeeh umeuzaa kiwanja changuu 😂😂😂

  • @adsonadriano9347
    @adsonadriano9347 หลายเดือนก่อน +3

    Iko Sawa kabisa hiyo hongerani kwa kazi nizuri mnayo fanya

  • @warstones0666
    @warstones0666 หลายเดือนก่อน +4

    Awa wanawakee Awaaaaa

  • @annamathias4794
    @annamathias4794 หลายเดือนก่อน +6

    Nimewahi leo naombeni like zen wapendwa pls❤❤❤❤

  • @edwinmedia2678
    @edwinmedia2678 หลายเดือนก่อน +5

    Mwanangu upo vizuri sana kwenye hii kazi. Lakini ushauri wangu usituletee movies za Nigeria nyingi. Fanya kutuletea na movies from Hollywood mzee zipo kibao tu mbona watu tunataka tusikie mzee

    • @e7bits_tz
      @e7bits_tz  หลายเดือนก่อน +3

      Movie za HOLLYWOOD zinachangamoto sana

    • @abdallahally3659
      @abdallahally3659 หลายเดือนก่อน

      ​@@e7bits_tz changamoto gn kk

  • @erickAfricatz
    @erickAfricatz หลายเดือนก่อน +2

    konka kama konka... haya sasa twende sambamba ....mi nasoma comment tu..... like zangu mnipe

  • @NomaNoma-nb9sl
    @NomaNoma-nb9sl หลายเดือนก่อน +3

    Mzigo hatar sana nakubali sana kazi zako

  • @PascarSaimoni
    @PascarSaimoni หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha Sana mzgo.wa kwenda kabisa

  • @user-kn8lf6wv7d
    @user-kn8lf6wv7d หลายเดือนก่อน +2

    konka nakubali kazi zako xema movie za Nigeria ume achia nying xan kwaiy kam inawezekan achia na Indian movie😅😅😅

  • @user-dj3ov7ev2i
    @user-dj3ov7ev2i หลายเดือนก่อน

    Aaaaah uko vizuri kaka toa nyingine nying

  • @zainabuiddy
    @zainabuiddy หลายเดือนก่อน +1

    Unajua na unajua tena🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @EstherKwilabya
    @EstherKwilabya หลายเดือนก่อน +4

    Nimependa ety akaanza kumkuna ila we jamaa 😂😂

  • @bienvenunijembazi5218
    @bienvenunijembazi5218 หลายเดือนก่อน +2

    Konkaa mzee tunakupenda sana form🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @oscarjohnson9013
    @oscarjohnson9013 หลายเดือนก่อน +2

    Maraaa eeeeeeeh. yaanii konka unajua mpk unaa keraa 🙌🙌

  • @idrixalumany5902
    @idrixalumany5902 หลายเดือนก่อน +2

    Nikupe tu mauaa yako kilasiku unazidi kuwa bora hongera sana 🎉❤🎉

  • @blackgoldbuja880
    @blackgoldbuja880 หลายเดือนก่อน +2

    Niunyama sana nakukubali kwakutupa andisi kali sana

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 หลายเดือนก่อน +4

    WE MI NDO WA KWANZ APA PITIENI WOOTE APA🙏

    • @annayambayamba8614
      @annayambayamba8614 หลายเดือนก่อน

      Like ilistaihili kwangu nimeangaliha hii 16:20

  • @hamismbura2544
    @hamismbura2544 หลายเดือนก่อน +5

    kwanzaaaaaaa

  • @AlexChristopherMuhanuka-wm2jk
    @AlexChristopherMuhanuka-wm2jk หลายเดือนก่อน

    Mzeee unatisha sanaaaaaaaa❤❤

  • @CollinceGerald
    @CollinceGerald หลายเดือนก่อน +1

    Unyama ni mwing🔥🔥 cjawahi kukupinga Kaka

  • @Kunde707
    @Kunde707 หลายเดือนก่อน +4

    Wamwisho Leo like bas 🎉

    • @mwanahamishamis2711
      @mwanahamishamis2711 หลายเดือนก่อน

      M wapili kutoka mwisho n unyamaa😅😅😅

  • @priscumushi9083
    @priscumushi9083 หลายเดือนก่อน

    Noma sana mzeee 👍👍

  • @JohariJuma-uw6vf
    @JohariJuma-uw6vf 27 วันที่ผ่านมา

    Iko powah bro....😊

  • @hildabuya2438
    @hildabuya2438 หลายเดือนก่อน

    Unyamaaaaa mwingiii❤❤❤

  • @user-wm9or1nw8s
    @user-wm9or1nw8s หลายเดือนก่อน +1

    Aahhh jmn huwa utuangushiii kaka angu blessed sn

  • @jerryroy1769
    @jerryroy1769 14 วันที่ผ่านมา

    Konka sio powa unajua 🎉🎉🎉🎉😊😊😊

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 18 วันที่ผ่านมา

    Konkaaa unajua ❤❤❤

  • @TUMAINIKAPELA-rz8yn
    @TUMAINIKAPELA-rz8yn หลายเดือนก่อน +1

    Movies zako nzuri sana

  • @EPHANTUSWACHIRA-yb5di
    @EPHANTUSWACHIRA-yb5di หลายเดือนก่อน

    Powa Sana👍👍👍

  • @user-gp9je5rm7z
    @user-gp9je5rm7z หลายเดือนก่อน

    1❤ konka

  • @Young9ine9
    @Young9ine9 หลายเดือนก่อน

    Unyama KONKAAAA🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @blacqdenataly6799
    @blacqdenataly6799 หลายเดือนก่อน

    Dude lipoa kaka 🙌🏾🔥🔥

  • @tumaxaad
    @tumaxaad หลายเดือนก่อน +2

    Naomb kujua usahihi wa kumimina wine plz nifahamisheni 😂❤😂

  • @kuruthumumussa
    @kuruthumumussa หลายเดือนก่อน

    Our E7bits❤

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu หลายเดือนก่อน

    Ao soko huru jomba 😂😂😂😂 🙌

  • @adamndimbo5638
    @adamndimbo5638 หลายเดือนก่อน +1

    Fireeeee

  • @BahatiNzai
    @BahatiNzai หลายเดือนก่อน

    Kali nzuri konka

  • @JamalDikolaga
    @JamalDikolaga หลายเดือนก่อน +1

    Kaka naona umepania mzeee mawe kila siku... 🫡💪💪

  • @MussaMoe
    @MussaMoe หลายเดือนก่อน

    Makin sana kaka

  • @monicambarikiwa9532
    @monicambarikiwa9532 หลายเดือนก่อน +1

    😹😹😹….. imenibidi nicheke ety “eeh nenda kaitoe hiyo mimba”….

  • @user-mi8ww1sk8l
    @user-mi8ww1sk8l หลายเดือนก่อน

    KONNKAAA🔥🔥🔥

  • @agreygride2856
    @agreygride2856 หลายเดือนก่อน

    🎉konka iko poah

  • @FatumaMombo
    @FatumaMombo หลายเดือนก่อน +3

    Yaani mtu hata hajaangalia anawaza kuwa wakwanza

  • @FadhilaFadhila-wi5wh
    @FadhilaFadhila-wi5wh หลายเดือนก่อน +1

    Mikuno is typing 😂😂

  • @adrianoadriano4171
    @adrianoadriano4171 หลายเดือนก่อน

    Kooooooonkaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @IssaHamisi-tf1bf
    @IssaHamisi-tf1bf หลายเดือนก่อน

    ❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas babaaaaaas e7biiiiiiiiiiitiiiiiiiisßsssss

  • @ivanbiswalo5398
    @ivanbiswalo5398 หลายเดือนก่อน

    Umetisha mzee 🔥🔥🔥

  • @DoryceMbunda-dn8jy
    @DoryceMbunda-dn8jy หลายเดือนก่อน

    Kazi nzurii 🔥

  • @rashidismail6593
    @rashidismail6593 19 วันที่ผ่านมา

    Izkonka wanaman🎉

  • @forthebleack4022
    @forthebleack4022 หลายเดือนก่อน +1

    Izkonkaaaaaa

  • @MasoudAyoub
    @MasoudAyoub หลายเดือนก่อน +1

    Wa mwisho Mimi Leo naomben like zenu

  • @MissBeauty-fb1pt
    @MissBeauty-fb1pt หลายเดือนก่อน +1

    Wakati mwengine kujitoafaham kwawatu tunaowapenda😂😂😂

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie หลายเดือนก่อน +2

    Wakwanza nimewai from 🇦🇪

  • @godichangamila-vp8dk
    @godichangamila-vp8dk หลายเดือนก่อน

    Konka unawezaaa baba

  • @user-so3zb5hy4z
    @user-so3zb5hy4z 15 วันที่ผ่านมา

    umetisha sana

  • @AyshaYassin-hm5xo
    @AyshaYassin-hm5xo หลายเดือนก่อน

    Konkaaaaa🎉🎉🎉🎉❤

  • @Vailethkiango2002
    @Vailethkiango2002 หลายเดือนก่อน +1

    Wakwanza mimi jmn😂😂aya naomba mlike

  • @isayaleader4245
    @isayaleader4245 หลายเดือนก่อน

    Niya moto 🔥🔥🇨🇩

  • @dominicstephano854
    @dominicstephano854 หลายเดือนก่อน

    Nakubali kazi yako broo

  • @wadantz123
    @wadantz123 หลายเดือนก่อน

    Wa mia 🎉🎉

  • @user-gy5gb5jn9c
    @user-gy5gb5jn9c หลายเดือนก่อน

    Broo upo vzr sana

  • @user-mh9sc9ro4r
    @user-mh9sc9ro4r หลายเดือนก่อน

    Konka .....chuma n ya Moto sna

  • @JamesDeus-dk5bu
    @JamesDeus-dk5bu หลายเดือนก่อน

    Unyama uko vyema sanaaaaaaaa🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷

  • @jacobojames7086
    @jacobojames7086 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana

  • @user-qp4sm2ko1y
    @user-qp4sm2ko1y หลายเดือนก่อน

    Daah unajuwa kaka

  • @mahamooduukonga8356
    @mahamooduukonga8356 หลายเดือนก่อน

    Umetisha konka

  • @ashuraathumani8129
    @ashuraathumani8129 หลายเดือนก่อน

    Nimeipendaaaa

  • @MarthaSteveny
    @MarthaSteveny หลายเดือนก่อน

    Wapiliii🎉🎉❤

  • @MABANTUTZ
    @MABANTUTZ หลายเดือนก่อน +1

    Hili la leo Bovu sana 🔥

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 หลายเดือนก่อน

    Unyama uko mwaaa❤❤❤

  • @bongosimulizi6050
    @bongosimulizi6050 หลายเดือนก่อน +1

    Oy konka unachelewesha mizigo sawa ulisha tuambia sababu ila kama utaweza zisivuke siku mbili basi au tukupe likizo ya mwezi mzima we jichimbie andaa mizigo full then iweke sikejo babu utuwaishie utamu.au tujue kabisa ratiba yako ya kuachia mizigo Sio ivi mzee

    • @e7bits_tz
      @e7bits_tz  หลายเดือนก่อน

      Nimeweka kazi mbili mpya kwenye channel yangu ndo ya E7max

  • @rajabmohamed7802
    @rajabmohamed7802 หลายเดือนก่อน +1

    Wa kwanza Leo sitaki like

  • @mohdsuleiman8458
    @mohdsuleiman8458 หลายเดือนก่อน +1

    Jikaze kaka kuna jamaaa naupiga mwingi huku jikaze sana

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt หลายเดือนก่อน +2

    Wewe naye umetuchanganya dozii si amekufa na huyo ni dozii au tosini

  • @HekimaMwananjela
    @HekimaMwananjela หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana 7

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz หลายเดือนก่อน +2

    Unyama kama wote

  • @RajabuSultan-fv4ol
    @RajabuSultan-fv4ol หลายเดือนก่อน

    Dqah nomaa mkalii

  • @user-ki1to6tl8z
    @user-ki1to6tl8z หลายเดือนก่อน

    Iko vizuri sana hiyo

  • @user-ec7cg2kj5x
    @user-ec7cg2kj5x หลายเดือนก่อน

    Iko sawa

  • @shivokenya8761
    @shivokenya8761 หลายเดือนก่อน +1

    I love your recps broo