ANGALIA JINSI HUYU MWAMBA ALIVOMUUWA MPENZI NA KUTAKA KUKIMBIA | HOTEL LABAMBA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 เม.ย. 2024
- JIAJIRI KWA TSH LAKI MOJA NA NUSU TU (150,000)
1. UONGEZE KIPATO CHAKO.
2.ANZISHA BIASHARA KWA MUDA WAKO WA ZIADA.
3.WEWE NI MUELEWA NA UNAPENDA KUJIFUNZA JUU YA KUANZA BIASHARA HASA KWENYE UPANDE WA AFYA.
4. AU KUINUA TU UCHUMI WAKO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE
●SASA KAMPUNI YETU INAPANUA WIGO WA SOKO LAKE HAPA JIJINI
●HIVO TUNATAFUTA WATU AMBAO WAPO CHANYA WANATAKA KUONGEZA KIPATO CHAO NA KUANZA BIASHARA
●NI NINI TUNAFANYA?, TUNATUMIA MFUMO WA USAMBAZAJI WA BIDHAA UNAOMPA MTU NAFASI YA KUKUZA KIPATO CHAKE, KAMA NI WEWE AU UNAMFAHAMU MTU AMBAE ANAHITAJI KUKUA KIUCHUMI BASI USISITE KUTUTAFUTA
FIKA OFISINI
-Dar es salaam, Ilala Boma
-Dodoma,majengo independence square
-Arusha,Mega comple
PIGA SIMU NAMBA - 0758665268
Au tutafute kwenye mitandao ya kijamii @biashara inalipa
⚠️CREDITS:
Watch Full movie on : PRIME VIDEO
Movie name : HOTEL LABAMBA
Genre : Drama,Thriller, Comedy
Year : 2024
Follow us :-
Instagram- e7bits?igsh...
Tiktok- tiktok.com/@e7bits
Follow KONKA on Social :-
Instagram- izkonka?igs...
Tiktok- tiktok.com/@izkonka - บันเทิง
Tuliokuja kumalizia hasira za Simba tujuane kwa like😂
Namimi mnipe jamani ka like japo kamoja tu
Nimechelew kdg❤❤❤❤❤❤❤
Kimenuka jmn kimenuka jmn twende pamoja Kwa izkonkaaaa#❤🎉
wa kwanza leo natokeya peponi nipeni like zangu gays
Huogop😂😂
Na leo nimekuwa wakwanza vp kuhusu like zangu😂😂
Mic u konkaa❤, hatuachi kuvibe 🎉🎉
Hii Leo umeniacha vby shazoea ukianza tunaanzaga wote kusema NGOMA INAANZIA HAPA af tunaendelea😂😂❤❤❤
😂😂😂😂
Kwel bhana 😂😂😂
Mwanangu hupoi nakukubali sana😊
Kaka hichi ndicho unacho sitahili🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 here from South Africa boy from Tanzania
Wakwanza mm Leo like apa❤❤
Wa Kwanzaa 🎉🎉 naomb like zang
Tamu
Ahhh asante kwa kutupa kwa mda muafaka
Uwe unatuma within 2 days yan tunamiss sana😮💨❤️❤️❤️❤️❤️
Unakipaj sana bro hongera unafaa hata kwenda kweny vipindi vya simulz
Tade big berry huyu ndo bashiru wa IG3 oya konka 😂
Ellah was chilling then booom🎉
Jammn unachelewa ckuhiz
We together kaka
Kazi nzur
❤❤❤ nzur san
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Unyama KONKA👊
Vumbi la kongo😅😅
WA kwanza leo❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aise naombeni like
Wazee wa Mipinduko yaani Walete gusa hapa
👇🏽
Jmn nim3kuwa wa kwanza e7bits comment chochote na likes hata 10😂😂
Like Huwa mnataka za nn😂😂
😂😂
@@mineflower_01 😅😅😅 na mm najishangaa jmn
@@LevinaAdamu 🤣🤣
Jamniiiiiiiii nyie nipe like bas
Ila umu ndan jmn sijawah kuwah
Sana anachelewa sana
Mwamba unatisha one love homeboy
Ivi Dem akisema muachane na hujawai kumla ila yeye kala hela zako unatakiwa kufanya nini 😟
Mpige mkwara akurejeshee pesa yako usiliwe kinyonge
Hela zako ale mkeo akila dem ni kamari acha iende
Achana nae tu utafte mwingine, act kama ulibetia tu😅
Mpe hela tena
😂😂😂😂😂nimecheka
Why now days unachelewa xn
Wakwanzaa
Asante sana kwa movie❤
Kwan Kuna sili gani ndani ya like jmn🥺
Ukijibiwa niambie namm mana sielewi watu wanavyoziomba km roho
🔥🔥🔥
Ctak like nishasema😂
For sure umenitengenezea addiction ya movie zako wallah
Wakwanza leo nipeni l8kes ara 5 tyu🎉🎉😂😂😂😂😅
Aisee na mm ebu nipen like maan nazigongag sana kwenu
Unachelewa sana kutoa broo😂
Na kukubali.
Brooo unatishaa sana yaan unapinduka unyamaa😂
Jamaniii nimechelewa jamaniii lakini sawa asante mwamba tunainjoi tuuu unajua sana ❤❤❤
Kaka unatuweka sana ndugu
Ongera ❤❤❤
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas babaaaaaas
Yamotroooo 😊
Na Mimi like jamani
Nakubali sana❤❤❤
Nmechelewa leo 😢😢
Tunaomba my crazy rich girlfriend pls🙏
Kama nime andika mahalage yn❤😂😂
Asante dady
Konka kuna moja yaitwa "My Crazy Girlfriend" hebu turushie plz ❤
1❤🎉
Mashaal asant sana kwasimurinzi ❤
Jamani nimechelewa ila nimefika maana nimeiona TikTok
Nakukubali sana bro
Nimewai kidogo like zangu nataka Eid mninyime ad like pia sitak ugomvi na wana group wa 7beat jmn like zangu😢
Mijitu mingine mishamba kweli yani
kaka ushamba wako me just a matani
No 1
Unachelewa jmn anyway love you ❤😂
Nimekubali kaka umetisha
Ze la ku tune❤
nakubali sna
First nipeni likes
Unyamaa Sana kak🔥🔥
Number one
Mwanangu xikuiz unakaa kimya sana punguza bro
Nice
Unajua
Kaliii❤❤
nimekubali
Oy e7bt ckia nifanyie my crazy girlfriend ya claton joshua plzzzz🙏🙏🙏🙏
Nzuri sanaaa
🙏🙏🙏
Tupo pale...
Tuletee movie mmoja hivi inaitwa BOOK OF CLEARANCE
WA kwanza✌️✌️
Wakwanzaaaaaaa 😅😅
❤
👍👍👍👍
Unatakiw umfiri😅😅😢
🎉🎉🎉❤
Unyama
Wa kwanz naomben likes zangu
Wenzio wanaomba hela we unaomba likes😮
@@georgejovin6873 ela nnazoo
Godd🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza
oya
nimekuwa wakwanz leo
🚶♂️
Wakwnza Leo😂😂😂😂
Wazo kwanini usiwee unatutafsiria full movie broo yaan unakuwa dj kama kina mack vileee
Siwezi kutafsiri movie
@@e7bits_tz😂😂 safi sana yaani ufupisho kama huu ni mzuri na hauchoshi hongera kwa hilo nakukubali kinoma
Iyema alipataje kazi ya upolisi?😂😂😂
Jamn likn hapa wa kwanz
Ntarudi badae 😂
Poa dj
Tupo