Nimefurahia sana kusikiliza maswali na majibu kwa Mh. Dk Tukia Ackson. Hakika u mbobezi. Hongera sana na Mungu akubariki katika majukumu yako mapya kama Speaker wa bubge letu tukufu.
Huna haja ya kuomba ridhaa wakati ulishapitishwa na chama chako na wote watakaopiga kura ni wanachama wa chama chako,hapo hapo ulikuwa naibu spika.Ilikuwa kufuata formalities.
Safi sana mmama weweee, kitu tofauti nilichokipenda kwako ni kwamba, muda wote unatabasamu, hiyo ndiyo pete yako ya dhahabu ya kupita kwenye ufanisi wa kazi zako kwa maana utakuwa umetengeneza utulivu wa akili ktk kuliongoza bunge letu.
Kwa katiba ya Tanzania hakuna muhimili unaojitegemea raisi ndo mpango mzima. Ona mwendo hata WA mahakama kila raisi anapobasilishwa na mwendo WA mahakama unabadilika. Katiba inampa mamlaka mengi raisi. Katiba ibadilishwe. Period!
@@hajihassan5433 katiba ina husu nini na muungano? Kwani mamlaka apiyopewa raisi yana uhusiano gani muungano? Hata muungano ukivunjwa kama raisi atakuwa na mamlaka yote kama ilivyo sasa ni yale Yale! Muungano unakukera nini wewe?
Ww mama ni mtu mzuri sana kwa wadadamu lkn najua hutaweza kufanya matakwa ya MUNGU KWASABABU SERKALI NI YA KIGOGO WA MUDA ALIYESIKILIZISHWA MAOVU NA SHETANI NA KUONA MUNGU KWAKE NI MDOGO UKISIMAMIA HAKI WATAKUUA
bunge la sasa siyo muhimili unao jitegemea bali ni muhimili moja na serikali. maana kila kitu serikali ikija nalo ni ndiyo tu hamna tofauti, na sasa hivi sheria mnatunga ambazo haziwajibishi viongozi waharibifu bali zimekuwa za kuwalinda na hilo siyo sawa.
Jibu lako la swali la Bunge kuingiliwa umejibu vibaya sana. Umejibu Ukionesha kuwa kuna siri ambayo imejificha kwasababu serikali ni kweli itaingilia muhimili mwingine!!
Tulia huku mbeya tunasumbuka sana na road ya iwambi kila siku ajali inakua roadbrock alafu hatuoni jitihada zako yaani unakatisha tamaa njoo utatue hili tatizo
Kama maendeleo ya nchi haiangalii chama Kwanini Rais akitoka chama tawala na waziri mkuu asitoke kwenye chama pinzani Kwanini wingi WA Baraza la mawaziri inatoka kwenye chama kilichinda uchaguzi
mnajitetea tu lakini tunaona wazi jinsi serikali imeimeza bunge wananchi siyo wajinga. na kupeleka fedha tu himaanishi serikali inafanya vizuri. shida ipo ktk viongozi wamekuwa viongozi wa kutoa amri na siyo kuangali amri hizo zitakuwa zinaathiri wananchi kwa kiwango gani.
Hongera Sana Dr Tulia, hongereni wabunge kwa kumpata speaker mpya
Nimefurahia sana kusikiliza maswali na majibu kwa Mh. Dk Tukia Ackson. Hakika u mbobezi. Hongera sana na Mungu akubariki katika majukumu yako mapya kama Speaker wa bubge letu tukufu.
Dr.Tulia.mama mzuri.
Great details, and confidence.
Napenda unavyo pangilia lugha na ujasiri.
Mwenyezi mungu akuongoze. Uweze kutumikia Watu , nchi, kufikia ndoto za watanzania , Afrika na dunia nzima. HONGERA , HONGERA, HONGERA.
Akili nyingi hadi unaboa dah upo vzur dada keep it up
Yaani hadi mwili unasisimka,mama anajiamini sana dah... 🙏🙏🙏
Hongera sana mhe mbunge dr Tulia Akson kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama.
Hongera mheshimiwa Dk.Tulia Akson
Hongera mheshimiwa mama tulia kwa kujibu maswali vzr
Mrisho gambo nimependa swali lako
Kwa kaz uko vzr Sana,ila sasa ucje ukabadilika kama wengine wanavyofanyaga
Hongera mama mungu akupe maisha marefu
Smart woman! You understand your role well well.
Hongera sana mh doctor tulia
Safi dada nchi ya asali na maziwa msikilize mkkuu wa nchi maisha yako na familia yako inemeke kama wao
Ana uwezo WA kusikiliza Maswali na kuyajibu Vizuri sana
Mungu huwaweka walio wake.
Congrats sana dr Tulia👏👏...Mungu akusimamie😍
Mrisho gambo kijana mstaarabu sana.
Huna haja ya kuomba ridhaa wakati ulishapitishwa na chama chako na wote watakaopiga kura ni wanachama wa chama chako,hapo hapo ulikuwa naibu spika.Ilikuwa kufuata formalities.
Wajinga Sana CCM na lichama lao. Wanapitisha takataka
@@mpokimwakisimba692 Hutaamini tulichoamini na wala sisi hatutaamini ulichoamini muhimu tuhishimiane.
@@hajihassan5433 haya tupe matokeo nani kashinda ambacho hatujaamini wewe umeamini mkuu???😃😋🤣
Jembe la mbeya🙋
Unaongea vizuli sana mbunge wetu wa mbeya city
Experience is more better than anything in job
Safi sana mmama weweee, kitu tofauti nilichokipenda kwako ni kwamba, muda wote unatabasamu, hiyo ndiyo pete yako ya dhahabu ya kupita kwenye ufanisi wa kazi zako kwa maana utakuwa umetengeneza utulivu wa akili ktk kuliongoza bunge letu.
Mie Tulia namkubali sanaa yaani zaidi hata usipika anaweza kuongoza
Ila huyo mama kauliza swali zuri sana
.liangalieni hilo
Dah haikua na haja ya kukaa kulipana kwenye kikao ambacho kila mmoja anajua matokeo
Fact
Kabisa nikutumia kodi zetu vibaya yaani hawa nyumbu cjui wana tuchukuliaje
Watanzania tushafanywa mbuzi, tunabuluzwa tu
Well said
Tuhoji serikali kwa hekima na unyenyekevu Na tukemee kula kulingana na kamba yako. Tukemee rushwa n k
Hapo ndo wanaume mtazidi kutulia mpaka 2025 ila kwasasa ni zamu ya Nchi kushikiliwa na wanawake 🚶🚶🚶
Aaaawapi hamn kitu
@@credo7837 😂😂 inabidi ukubali tuu ukweli ndiyo huo tena upo dhaahiri 🇹🇿🚶🚶
@@waheedahtanzania4912 😂😂😂🤣
Nice voice tulia ur deserve 🙏🙏
Hongera 🙏🏿
😂😂😂😂muuliza swali was tatu alikuwa Agnes's na tulia alimuita Kwa sauti ..Aginess😂😂😂
Hongera Dr.Tulia kweli umestahili kuwa spika
Gwajima katulikahana neno ma mtu yyte leo😂😂😂😂😂
NADHANI SASA HIVI TUNASUBIRI KUMPATA WAZIRI MKUU MWANAMKE NA MKUU WA MAJESHI MWANAMKE !!!
Aloo ndotunakoenda kabisa😂😂
Aise unaona mbali
Sikipendi kinasura mbaya
Kwa katiba ya Tanzania hakuna muhimili unaojitegemea raisi ndo mpango mzima. Ona mwendo hata WA mahakama kila raisi anapobasilishwa na mwendo WA mahakama unabadilika.
Katiba inampa mamlaka mengi raisi. Katiba ibadilishwe. Period!
Urekebishwe au uvunjwe Muungano.
@@hajihassan5433 katiba ina husu nini na muungano? Kwani mamlaka apiyopewa raisi yana uhusiano gani muungano? Hata muungano ukivunjwa kama raisi atakuwa na mamlaka yote kama ilivyo sasa ni yale Yale! Muungano unakukera nini wewe?
Hapo nikuzunguusha mada tuu wakati spika kashajulikana ni TULIA 🚶🚶🚶
Spika ni tulia tulieni
Wababa wanapiga makofi kinyongeee masikini😂😂😂💃💃😳
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, acha hizo wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu ibaliki Tanzania
Dada nakwaminia we unaweza
Ww mama ni mtu mzuri sana kwa wadadamu lkn najua hutaweza kufanya matakwa ya MUNGU KWASABABU SERKALI NI YA KIGOGO WA MUDA ALIYESIKILIZISHWA MAOVU NA SHETANI NA KUONA MUNGU KWAKE NI MDOGO UKISIMAMIA HAKI WATAKUUA
Mama. Mungu alikuteuwa tangu mwanzo ila basii tyu
she deserves a queen of power
bunge la sasa siyo muhimili unao jitegemea bali ni muhimili moja na serikali. maana kila kitu serikali ikija nalo ni ndiyo tu hamna tofauti, na sasa hivi sheria mnatunga ambazo haziwajibishi viongozi waharibifu bali zimekuwa za kuwalinda na hilo siyo sawa.
Hajagombea nafasi ya Ubunge wa Bunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Umeteleza kidogo Mhe. Lukuvi!!
Wanaacha kuuliza amejipangaje kuwaondoa wabunge 19 wa ndugai???
Ni kumsumbua tu kwani asipopitishwa atapitishwa nani mwingine? Au ni kufuata mfumo tuu.
Tulia Safi Sana 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Nimependa her confidence ila asibadike
Jibu lako la swali la Bunge kuingiliwa umejibu vibaya sana. Umejibu Ukionesha kuwa kuna siri ambayo imejificha kwasababu serikali ni kweli itaingilia muhimili mwingine!!
Maswali mazur sana
Tulia huku mbeya tunasumbuka sana na road ya iwambi kila siku ajali inakua roadbrock alafu hatuoni jitihada zako yaani unakatisha tamaa njoo utatue hili tatizo
hapo mumewe anajiproud anaona kweli kapata mke
Mbona ndugai alipo ikosoa murimutukana sana
Alichokuuliza Mrisho Gambo umekijibu lakini utekelezaji wake ni sifuri
Kama maendeleo ya nchi haiangalii chama Kwanini Rais akitoka chama tawala na waziri mkuu asitoke kwenye chama pinzani Kwanini wingi WA Baraza la mawaziri inatoka kwenye chama kilichinda uchaguzi
Katiba haisemi hivyo serikali inaongozwa na chama kinachotawala
Ulishawahi ona simba na yanga wakiwa uwanjan wanakaa jukwaa 1???
gwajima ametulia zake hana kelele na mtu
🤣🤣🤣
😄😄😄😄
🤣🤣🤣
CCM NI TANZANIA NA TANZANIA NI CCM
Bunge la Chama kimoja upuuzi mtupu
Nimemuona gwajima??
Ngwajima hana inshu, kakosa hata unaibu waziri, ni aibu tupu
Mungu tu ajue jinsi ya kututetea me hata sielewi tunaenda wapi
Maswali na majibu kwa mgombea was prepared scientifically
Ujuzi unao, sifa unazo na uwezo unao. Apewe tena nani kiti cha Uspika kama siyo wewe Tulia?
tunaomba ili bunge liwe na hoja nzuri za serikali ni vyema mawaziri usiwepo ktk kamati za bunge.
Siasa za kipumbavu, ifike mahali muone aibu,
Nimekuelewa kwani daraja hili hili haliwezi kuzuia gari isipite hatari
Gambo kauliza Swali zuri sn mpaka dk hii bunge nimeegemea upande wa serikali
Nimependa majibu yako mh nafikili mliyatengeneza haya maswali.
TULIA NI JEMBE SANA SANA SANAA.
Hongera mama tulia
Aida wetu jamn
Sauti yake mzuri
Nisikilizeni mm watanzania wenzangu wanyonge hawa na wale pmj na familia zao hamna kitu hapo
mnajitetea tu lakini tunaona wazi jinsi serikali imeimeza bunge wananchi siyo wajinga. na kupeleka fedha tu himaanishi serikali inafanya vizuri. shida ipo ktk viongozi wamekuwa viongozi wa kutoa amri na siyo kuangali amri hizo zitakuwa zinaathiri wananchi kwa kiwango gani.
Tatizo hatosheki ndiyo maana mnasalitiana
🤝🤝🤝👏👏👏👏👏
So Tanzania wameamua kuongozwa na akina mama tu. Rais na speaker ndio waendeshaji wa nchi. Ajabu
Na mkuu wa majeshi, anakuja mwanamke mda simrefu
Kwa mbaaali utabir wa suleiman bungala bwege unatmia,
Hebu tukumbushe bwege alisemaje ila nilikuwa namkubali
Tulia ni kama walewale kama ndugai hamuna kitu chochote kwanza umegombea usipika kwa kuvunja katiba moja kwa moja haufai kabisa
A walk over
Nampenda bule huyu spika mtalajiwa ana Ujasili na uweelewa mungu Amsimamie apite
@@samwelemuniezi7524 Amin
Total walk over!!😅
Gwgima sem neno bab
Huyo Gambo mpumbavu ameinuka kujisemesha ili kuonekana lakini ni mnafiki sana na mpenda vyeo.
Jitekenyeni na mujichekeshe wenyewe
Anafaa hata kwa Urais huyu
Kati yatu nisio waelewa Tanzania nihuyu na samia pamoja na ccm
Hilo sio bunge tukufu ,lakini kitu kitukufu munakifahamu nyie au munajisemea tu semeni bunge tu musiseme tukufu mumeingia humo bila ya tohara.
Samahani mkuu,
Kwani nini maana ya neno "TUKUFU"..?
N. Y eg
❤️❤️❤️❤️
Nilichopenda ni gwajima kukaa na gambo bas
.