Zitto Kabwe: Tunataka Katiba Mpya | Sasa Hivi Tumepumua | Najivunia Kuwa Mtanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe katika #Clouds360

ความคิดเห็น • 35

  • @alpheombuya5792
    @alpheombuya5792 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama kweli haya anayoongea Zitto Kabwe yanatoka moyoni na hayana hila zozote za nyuma ya Pazia hasa za kutumika na CCM ili kutuvuruga Watanzania kwny mchakato wa kupata katiba mpya basi Mungu ambariki sana kwa maono hayo!%

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 2 ปีที่แล้ว +2

    zito hufai. mnajarobu kumchafua magu. lakin hamuwezi. coz aliwabana. naufisadi weni. Tena sasahivi udin ndo jadi yenu kabisaa

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 2 ปีที่แล้ว +1

    moja yawatu ambao walinivutia kwenye kuenda siasa nizito lakin moja yawatu. waroho. nawenye usaliti kisa pesa nizito msaliti hafai kabisaa. tena kanisaa hafai mnafiki mnoo mroho sanaa

  • @ahmed59122
    @ahmed59122 2 ปีที่แล้ว +1

    Perfect

  • @uhurunyereremusa8592
    @uhurunyereremusa8592 2 ปีที่แล้ว

    uhuru huko wapi kama mikutano ya vyama imepigwa marufuku?? Zitto please umepewa andazi na Samia endelea kula andazi lako la usaliti..kikosi kazi kitafanyaje kazi nzuri wakati kipo chini ya control ya Rais !!??

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 2 ปีที่แล้ว

    Nduyangu katika imani Zito Zuberi kabwe wwe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa sana. Kwn hamna malidhiano yasio kuwa na mazungumzo na taifa lolote ili lisonge mbele ni lazima papite mazungumzo ndipo amani na usawa upatikane. Sasa hao wasusaji wa mazungumzo ya amani nadhani nia yao ni kuleta vurugu na kuwagawa watz

  • @swaleheamri2303
    @swaleheamri2303 2 ปีที่แล้ว +1

    Leadership.usipo ongoza utaongozwa.

  • @kipokendirangu2572
    @kipokendirangu2572 ปีที่แล้ว

    Zitto ni mlamba matako ya wazungu.

  • @shaabanikabwe2651
    @shaabanikabwe2651 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu wa Vijana kwenye Siasa
    very big brain@ Zitto Kabwe

  • @johnedward1351
    @johnedward1351 2 ปีที่แล้ว

    Zitto sio

  • @peterkijanga3354
    @peterkijanga3354 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu Kabwe, pamoja na kwamba ni kweli Tume Huru inaweza kufanya vitu vya utangulizi,
    lakini ukweli ni kwamba Tume Huru ni Chombo cha kwanza cha Katiba kinachotokana na Katiba na Katiba INAELEKEZA jinsi Chombo hicho kitakavyo UNDWA na KUPATIKANA.Ni CHOMBO chenye uwezo au nguvu,--Instrument of power--, kinachotokana na uamuzi wa kauli ya Watanzania na sio na chama fulani cha siasa.

  • @V24hrs
    @V24hrs 2 ปีที่แล้ว +1

    Zitto Zinedine Zuberi Zidane Zizou Kabwe Fundi/TEACHER.. a.k.a Kiboko yenu/Mtakonda saana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 ปีที่แล้ว

    This day's siielewi siasa hii

  • @landomalekano6570
    @landomalekano6570 2 ปีที่แล้ว +1

    Zitto unaeleweka Kiongozi,na Wale Wote Wasioelewa Wataelewa

  • @joezeno8
    @joezeno8 2 ปีที่แล้ว

    Chuki mbaya! Huyu kibaraka, anaongelea tu “PERSONAL INTEREST” tatizo walibaniwa maslahi yao binafsi na JPM!

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 2 ปีที่แล้ว

    Hapo zito umesema hoja, hao ccm wavae nguo ili waondoe unyavuzi

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 2 ปีที่แล้ว

    Zitto umekuwa chawa wa ccm

  • @V24hrs
    @V24hrs 2 ปีที่แล้ว

    #TheFutureIsPurple

  • @ellyjeremia9401
    @ellyjeremia9401 2 ปีที่แล้ว +1

    Zitto ni jembe kuliko viongozi matapeli wa chadema

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 2 ปีที่แล้ว

    Hao watangazaji wana harufu ya ccm wamekukatiza katiza

  • @sixtuskisarika6639
    @sixtuskisarika6639 2 ปีที่แล้ว

    KWANIMI WANASIASA NDIO WANAITAJI KATIBA MPYA.?
    NIMUDA GANI KATIBA IASTAHILI KUBADILISHWA NAKUANDIKWA UPYA?
    HII ILIYOPO INA AHIDA GANI?
    KAMA NI BAADHI YA VIPENGELE VIMEPITWA NA WAKATI.KWANINI.WASIVIBADILI TUKAENDELEA MBELE.
    WANASIASA BHANA.
    MBONA WAFANYABIASHARA SIJAWASIKIA WAKINGNGANIA KATIBA

  • @paveayoonlinetv616
    @paveayoonlinetv616 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Zitto Zuberi Kabwe Ruyagwa umeupiga mwingii sanaaa

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 2 ปีที่แล้ว

      yaleyale ya rais wa wanyonge

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 2 ปีที่แล้ว

    Zitto ana busara ktk kuendesha siasa za upinzani. Wale wengine ni mabavu mabavu tu

  • @nestor384
    @nestor384 2 ปีที่แล้ว

    Wajinga pekee waweza elewa hadaa ya Zitto Kabwe na kundi zima la WAHUNI

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 ปีที่แล้ว

    Zito ni kirusi hatari sana kwa tanzania mnafiki mkubwa kweli nimeamini huyu siyo mtanzania nani anemjuwa baba yake huyu jamaa

  • @johnmike6059
    @johnmike6059 2 ปีที่แล้ว +1

    Mpuuzi mmoja uyo umeumia kwa ujinga wako uroho wau raisi wadanganye wajinga alafu kutwa kumsema hayati magu ivi nyie mtaishi milele wa tz wenye akili tulimuelewa sana na awezi tokea rais kama uyo apa tz

    • @othmarluwawilo8308
      @othmarluwawilo8308 2 ปีที่แล้ว +1

      Jinga wewe, Magu ameuwa sana, angeweza kufanya aliyofanya bila kuumiza ndiyo maana Mungu alimwambia nimewaumba watu waishi, wewe huna mamlaka ya kuwaondoa, akamwondoa. Wewe ulimpenda, lakini kuna wengi walimchukia

    • @idrisachalahani4295
      @idrisachalahani4295 2 ปีที่แล้ว

      @@othmarluwawilo8308 aliwaua kina nan?

    • @johnmike6059
      @johnmike6059 2 ปีที่แล้ว

      @@othmarluwawilo8308 una ushaidi

  • @nestor384
    @nestor384 2 ปีที่แล้ว

    Wajinga pekee waweza elewa hadaa ya Zitto Kabwe na kundi zima la WAHUNI

    • @mwalimumstaafu8529
      @mwalimumstaafu8529 2 ปีที่แล้ว

      Mnafiki mkubwa huyo. Njoo Kigoma kugombea ubunge kama utapata. Haufai kabisa ni mlaghai na mnafiki wewe.

    • @nguyekorajabu1592
      @nguyekorajabu1592 2 ปีที่แล้ว

      @@mwalimumstaafu8529Nani wa kushinda Zitto Kigoma ?? Ngenda Kirumbe. Huyo ndie Rais Wa Kigoma , na ICON ya Kigoma .