MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MHE. OTHMAN MASOUD NDANI YA MEDANI ZA SIASA NA CHIEF ODEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

ความคิดเห็น • 23

  • @manrectorz
    @manrectorz 2 ปีที่แล้ว +5

    Odemba nakufatilia sana mijadala ya medani za siasa!. Odemba umekosa utulivu wa kuuliza na uvumilivu wa kujibiwa!, Sio kila swali linajibu unalolipenda, majibu ya Mh.Othman ni majibu kwa wa Zanzibar na Watanzania pia ulipaswa umpe utulivu ili atufunulie katika yale tusio yajua

  • @GumzolaGhassani
    @GumzolaGhassani 2 ปีที่แล้ว +5

    Sasa mbona huyu Hedwin Hodemba (maana yeye anamuita Mgeni wake Hothman) hatowi muda wa kujibiwa maswali yake?

    • @abdallakhamis4995
      @abdallakhamis4995 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata mie hilo huliona,sio hii tu Hata kwa baadhi ya wengine huko nyuma anowahoji,ana matatizo nahisi

    • @juliusejulius6704
      @juliusejulius6704 2 ปีที่แล้ว

      Hajui hata kuuliza maswali kwa mheshimiwa

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli. Anapunguza ubora wa kipindi chake. Hatoi muda kwa mgeni wake kujibu vizuri. Ni kama vile hasikilizi majibu.
      Makosa mengine ni 1) kushindwa kutamka jina la mgeni wake, na 2) kumuita jina lake mgeni kila wakati, mara nyingi akianza swali na akimaliza swali. Unatakiwa utoe introduction mwanza, then badae unamtaja mara moja moja!
      Bw. Odemba hii ni constructive critisism. Ichukue.

    • @hudaasaalim1333
      @hudaasaalim1333 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @KhairatSuleiman-jk2th
      @KhairatSuleiman-jk2th 5 หลายเดือนก่อน

      Muandishi hana utulivu
      Yy apaswa Kua msikilizaji zaid kuliko kudakia maongezi
      Cc hatutaki kuskia yy twataka kuskia majibu
      Siku ya pili asiwe kihere here

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mtu ana akili sana❤

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 2 ปีที่แล้ว +3

    Sisi ni wa Allah na kwake tutarejea. Allah atupe bora kuliko alichochukua. Allah amjaalie kauli thabit Maalim Seif.

  • @machanomakame1673
    @machanomakame1673 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji ana kihere here huyu hasubir ajibiwe anakata anauliza jengine

  • @papaamopao3735
    @papaamopao3735 2 ปีที่แล้ว +1

    Othmani yko vzuri ila muandishi unaharaka sana

  • @MohamedAhmed-jt6gz
    @MohamedAhmed-jt6gz 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiongozi mtulivu sana.Ingekuwa kiongozi yo yote wa chadema angetowa mishipa na kupaaza sauti utafikiri kuna ugomvi

    • @calimahad9274
      @calimahad9274 2 ปีที่แล้ว

      Si kwasababu ya uchadema Muhammad, ni sehemu ya watu wanakotokea, style ya watu wa Bara ni kuzungumza kwa mikiki, kurusha mikono kama Waarabu , kuinua mabega kama wataliana na hata maranyengine kurusha kichwa kama mchezaji football anataka kufunga goli la kusawazisha. Kwa hili nawatetea Chadema Japo si wapendagi.

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri kuanzia mtangzaji na mgeni rasmi.Bigup

  • @joakimlotho6117
    @joakimlotho6117 2 ปีที่แล้ว +1

    tatizo mtangazaji humpi nafasi ya kujibu kwa ufasaha

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji kiherehere sana hampi mda wa kujibu maswala vizur

  • @jumakabunda3261
    @jumakabunda3261 2 ปีที่แล้ว

    Kiongozi Umejieleza vizuri sana labda zuzu ndio ata kuelewa

  • @aaahadventures4214
    @aaahadventures4214 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Mtangazaji.. Jina Sahihi ni Othman sio Hothman..🤔🤔

  • @kamanyolabilajasho3833
    @kamanyolabilajasho3833 2 ปีที่แล้ว

    Odemba ni mapepe hadiriki kula tamu! Anauliza swali wakati anajibiwa anamkatisha..mimi kwa ujuzi mdogo wangu namkubali Charles Hilary!✌✌

  • @abbybushiri1536
    @abbybushiri1536 2 ปีที่แล้ว

    Ww Ni mwandishi ambae unaelewa taaluma yk bg up bro,omba mwaliko ukamhoji mh rais

  • @yonathanmnazi7361
    @yonathanmnazi7361 2 ปีที่แล้ว

    Unajitaid kumbana tukopamoja ira huwezi kupata jb sahhD