CHAKULA NI DAWA: FAIDA KUU ZA ULAJI WA TANGAWIZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2020

ความคิดเห็น • 57

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Mtumishi, kwa elimu hii

  • @zainaburusiano9296
    @zainaburusiano9296 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante San nakuomba uniambie dawa ya kifua kuuma🙏🙏🙏

  • @HalimaHalima-tq5jw
    @HalimaHalima-tq5jw 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Sana Mana nasumbuliwa na kamasi mpk nimezoeya ss ila nitajitahid sna kutumia hii daw ishaallah Allah atupe shifaa akubarik mungu na ww DK asanteee

  • @monicamwalugala2165
    @monicamwalugala2165 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante umeeleweka vizuri

  • @markolukosi1793
    @markolukosi1793 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru Sana dokta kwaelimu yako.

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani , napenda sana hii ndio maan ugonjwa mafua siumwagi kqbisa wala kikohozi

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura ปีที่แล้ว

    Asante sana Mtumishi wa Mungu.

  • @raiswakigomatz5553
    @raiswakigomatz5553 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa helimu Mungu Akuzidishie

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ALLAH barik

  • @pettymisa8229
    @pettymisa8229 ปีที่แล้ว +1

    Thanks Dr 🙏

  • @athanasmsandawe9838
    @athanasmsandawe9838 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana kwa Elimu hiii

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Papa wetu

  • @fatumachasama6284
    @fatumachasama6284 2 ปีที่แล้ว

    Asante !! Tunaelimika

  • @habibumallanga7937
    @habibumallanga7937 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali sana kazi nzuri

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana u barikiwe

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 2 ปีที่แล้ว

    Asante saana 🇰🇪

  • @gresnnko8624
    @gresnnko8624 ปีที่แล้ว

    Asante mtaalam wa afya

  • @bahathyhassani3065
    @bahathyhassani3065 2 ปีที่แล้ว

    Asante sanaa

  • @machibyajeremia9650
    @machibyajeremia9650 2 ปีที่แล้ว +4

    Dr nimekuelewa sasa nitumie hivyo ulivyoelekeza kwa muda wa siku ngapi? Maana kila dozi uwa na muda wa matumizi

  • @ahadilwaboshi7665
    @ahadilwaboshi7665 2 ปีที่แล้ว

    je vais débuté la consommation le plutôt possible même aujourd'hui ...

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 ปีที่แล้ว +1

    Gras moja kwa siku moja au kila siku

  • @machibyajeremia9650
    @machibyajeremia9650 2 ปีที่แล้ว +2

    Dozi kwa muda gani maana ikiwaendelefu nayoshida chochote unachitumia kiwe na kiasi ukizidisha inaweza leta jibu tofauti na unachotegemea

  • @generozakayoza8482
    @generozakayoza8482 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @user-ge7cd6vl4p
    @user-ge7cd6vl4p 6 หลายเดือนก่อน

    Samahani mm natatizo rahasima najitibujee

  • @adamsanga062
    @adamsanga062 2 ปีที่แล้ว +1

    Mie natafuna tu nikiosha nikula tu

  • @user-ok2kt2dg6o
    @user-ok2kt2dg6o 7 หลายเดือนก่อน

    Dokta naomba nmba yako tafadhali

  • @tuliabaraka
    @tuliabaraka ปีที่แล้ว

    Vipo kuhusu Tanga wiz asali na limao katika afya

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 2 ปีที่แล้ว

    Asante Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 ปีที่แล้ว +1

    *Nikweli kabisa kabisa nikinywa hio dakika 6 tu huskia makohozi na makamasi yananitoka*

  • @shukurusalumumbwana-yz4fh
    @shukurusalumumbwana-yz4fh ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @jqos4768
    @jqos4768 3 ปีที่แล้ว +1

    Na mgonjwa mwenye ako na shida ya moyo atumie tangawizi ama ?

  • @mukaipeter2186
    @mukaipeter2186 2 ปีที่แล้ว

    Hogera sana

  • @marymusera8035
    @marymusera8035 5 หลายเดือนก่อน

    Like

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 2 ปีที่แล้ว

    Vip ukila Tangawizi ikiwa mbichi Kuna shida yoyote?

  • @jqos4768
    @jqos4768 3 ปีที่แล้ว

    Naomba number yako Dr

  • @KhamisMohammed-vx3ux
    @KhamisMohammed-vx3ux ปีที่แล้ว

    Jee inafaidagani kwamwenye vidonda vya tumbo

  • @user-ot2uf9fr8w
    @user-ot2uf9fr8w 4 หลายเดือนก่อน

    Sauti kama ya doctor kibona

  • @irankundastanley9037
    @irankundastanley9037 2 ปีที่แล้ว

    Je anaweza kutumia mtu mwenye mimba

  • @japhetlungu8636
    @japhetlungu8636 3 ปีที่แล้ว

    Asante kibona nitumie namba yako

  • @magdalenalaban8895
    @magdalenalaban8895 5 หลายเดือนก่อน

    Limao unaweka na mbegu

  • @marcntwari4012
    @marcntwari4012 2 ปีที่แล้ว

    Nidawa ya ukimwi ukicanganya na mukuyo wangamiya

  • @makaatalia121
    @makaatalia121 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe Wacha bwana hata kiswahili ni lugha ya kitaalam uzalendo uko wapi.kwahiyo Tz hakuna wataalamu kwa lugha yetu.

  • @diphinahnanjala7584
    @diphinahnanjala7584 2 ปีที่แล้ว

    Je kama una high blood pressure unawesa kutumia waching from saudia

  • @user-iv2qg2hw2b
    @user-iv2qg2hw2b 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe docter

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah ALLAH barik

  • @BarickDolington
    @BarickDolington 3 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @adamsanga062
    @adamsanga062 2 ปีที่แล้ว

    Mie natafuna tu nikiosha nikula tu

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 2 ปีที่แล้ว

    Asante