#TBC1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ย. 2020
- Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android): bit.ly/3kYnnsr
App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter: / tbconlinetz
Instagram: / tbc_online
Facebook: / tbconetanzania
Asante saaana Dr. Samson Kibona. Umeeleza kwa kina faida za maboga na mbegu zake PUMPKIN, KUANZIA LEOOOOOO NAANZA KUZILA KWA FUJO KABISAAAAA NIMEPOTEZA HAKI YANGU KUTOKULA VITU HIVI VYA ASILI JAPO NYUMBANI TULIKULA TU KIPINDI CHA NJAA NJAA WAKATI UKAME ULIZIDI. PAMOJA SANA JAMANI.
Asanteee mungu akubarikiii
Dr . Samson kibona mungu akutunze,tuendelee kupata maarifa kuhusu Tiba chakula.
Nice n mzur Sana. Mbegu hizii kwa nguvu za kiumme yaan lnakupa ham Zaid
Shukranii
Ubarikiwe sana,kwa somo zuri la kuhusu mbegu za maboga
Asante. Papa
Asante sana mkuu
Shukran sana mungu akubalik
Elimu nzuri sana barikiwa
Asante Dr kibona nimepanda
Asante mwalimu
Thanks father
Elimu nzuri sana , Mungu akubariki
Asante doctor
Asante mtangazaji kwa elimu
ALLAH AKBAR
Asante Dr Kibona
Asante sana
SubhanaAllah
Asante
Asante kwa elimu
Asante kwa elimu naomba mamba ya simu kwa mawasiliano zaidi
Asante kwa kueleza vema
Mwanamke anaweza tumia
Barikiwa
Asante Doctor
Kwa maelezo haya halisi . Pia tueleze vipi kuusu matumizi tafadhali...
Ahsante Sana dr
Nakubali mkuu
Asant sana
🙏🙏
Asantee sana
Mjamzito anaruhusiwa kula
Yaan Tena we ndo ule nusu kikombe
Asant sana
Nivizuri kutoa elimu za kuzithamini afya zetu. Somo zuri
Asante kwa somo nzuri
Thanks
Safi docter
Muwezeshaji,umenena vizuri
Mwezeshaji,umenena vizuri
🙏🙏🙏🙏🙏
Asante ndazipata wapi baba
Dr naweza kusagia kwenye lishe nikawa nakologa uji yani kusagia kwa pamoja
jambo docta mimi nipo drc kwaiyo km mtu alishahnza sikia mahumivu ya tezi dume akianza kula izo mbegu zamaboga atapona ?
Nimekupata endelea kutoa somo
Dr. Nilikula hizo mbegu za boga nikaharisha sana je! Nini sababu?
Nitumiye namba zako
asante kak
Zamzam,rehema
Nimekuhelewa Doctor
zina pqtika sokoni madukani
Utanitumia ile mbengu ya ndani wala ile yote na ganda?
Sijaelewa. Somo
Egusi hiyo
Doctor Sam thanks alot
shukulani
Hey zinapatikana wapi ningum kupata
Ziko nyingi kwenye masoko uliza tu watakuonyesha
Hujaeleza unatumiaje
Nilichomuelewa ni kuzitumia kwa kuzitafuna kama karanga Yaani unazikaanga,au unazisaga na kutumia UNGA wake, kwenye Uji,ktk mboga nk
Mbengu izo zinatumikaje
Kwa mtu mwwnye sukari mbegu za maboga zinasaidia nini
Pia unazitumiaje
Unabii wako umebaki kwenye mbegu za maboga Leo walokole ndio wanasema unabii ulio fika 666 iliyofika kuhusu chanjo we unasemaje mbona kimyaaaa kibona?
Kibona hogera sana kwaeimu nzuri.
Zinapatikana wapi
Kaulizie sokoni utazipata huwa zinapatikana
Unga wa mbegu za maboga je unapatikana? Na unga wa tangawizi ninaitaji
ASANTE KWA SOMO ZURI NDUGU SAMSON KIBONA
Inauzwa mbegu za maboga 5000 kwa kilo.
Nakubali mkuu
🙏
Asante doctor
Asante
🙏🙏