ROHO YA MAUTI NA UHARIBIFU (MAOMBEZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024
  • Baada ya kuwa na mfululizo wa wiki tatu za kujifunza neno la Mungu juu ya roho ya mauti na uharibifu,tulipata nafasi ya kuingia kwenye maombi ya kuondoa kila uharibifu na mauti kwenye maisha yetu.Lakini haikuishia hapo Mungu alionekana na ukubwa sana akifungua watu waliokuwa wamefungwa kwenye hilo gereza.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our TH-cam: www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 35

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @dannyboytaiga
    @dannyboytaiga 2 ปีที่แล้ว +1

    Naitwa samweli paulo naomba niandikwe nimempokea yesu kristo kua mwokozi wamaisha yangu amen

  • @deusdedit789
    @deusdedit789 2 ปีที่แล้ว +1

    Eee MUNGU asante kwakua nimepona mimi na FAMILIA yangu na uzao wetu na ndoa zetu na mali zetu...na miaka yetu...na kila kitu chetu.
    Mauti huna nafasi tena. Chochote kilichotegwa sasa na badae hakina mamlaka tena.
    ASANTE Yesu asante Damu ya Yesu tumepona.

  • @zawadiz482
    @zawadiz482 ปีที่แล้ว +1

    Eee mungu asante kwa kuniponya mm na familia yangu mpaka watoto wangu

  • @deusdedit789
    @deusdedit789 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki sana Mtumishi wewe na kanisa lote.
    Amen

  • @zawadiz482
    @zawadiz482 ปีที่แล้ว

    Eee mungu asante kwakuwa nimepona kichwa

  • @ndakiholela2426
    @ndakiholela2426 3 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi somo la chanzo nimebarikia sana nakuoata nikiwa somalia,Mogadishu

  • @19844479
    @19844479 3 ปีที่แล้ว

    Mungu Alie weka kibali ndani YAKO , akutunze mpaka dahari

  • @emilymasidza2537
    @emilymasidza2537 3 ปีที่แล้ว

    I have blessed Baba mchungaji, from Kenya.

  • @gilbertbada8385
    @gilbertbada8385 3 ปีที่แล้ว

    Mchongo wa mauti!! I relate

  • @makambalazaro7292
    @makambalazaro7292 2 ปีที่แล้ว

    nisaidieni nami nasumvuliwa na roho ya mauti nitawapataje

  • @salonracoonchezlucien6142
    @salonracoonchezlucien6142 3 ปีที่แล้ว

    Kweli nimebarikiwa sana nipo congo

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭🙏🙏

  • @irenesilas2614
    @irenesilas2614 3 ปีที่แล้ว

    Amen our God is good

  • @michaelnaftalikaduma2412
    @michaelnaftalikaduma2412 3 ปีที่แล้ว

    Amina pastor sunbella

  • @salonracoonchezlucien6142
    @salonracoonchezlucien6142 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mtumishi wewe ni kiungo kubwa cha yesu cristo

  • @revocatusngomele4905
    @revocatusngomele4905 3 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @henrithamatiku423
    @henrithamatiku423 3 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @hopedavid5888
    @hopedavid5888 3 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi. Natamani ungefika arusha kwa Masomo hayo. Na natamani nikutane nawewe kwani roho ya uharibifu inaonekana kwangu.nitakupaje?

  • @vomalizavomaliza746
    @vomalizavomaliza746 2 ปีที่แล้ว

    Mali ya shetani hinIsha hipo jameni kwa yesu Kuna Mali nyingi njooni

  • @salamamapendo6461
    @salamamapendo6461 3 ปีที่แล้ว

    Naitwa salama Mapendo nina ishi marekani kweli mutumishi naitaji msaada yamaombezi ayo kweli pepo ya uharibifu iko na nisumbua marakwamara naitJi musaada ya maombi

  • @husnakibwana6944
    @husnakibwana6944 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @aloycekaduga8429
    @aloycekaduga8429 3 ปีที่แล้ว +2

    Yes Yes
    Amen🙏🙏🙏

  • @catherineakinyi6372
    @catherineakinyi6372 3 ปีที่แล้ว +2

    AMEN AMEN 🙏🙏🙏

  • @irenenjovu9535
    @irenenjovu9535 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @aselina5862
    @aselina5862 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @tumainben4902
    @tumainben4902 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @joycejohn9585
    @joycejohn9585 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @halmakalage4566
    @halmakalage4566 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @danstonecool1734
    @danstonecool1734 3 ปีที่แล้ว

    amen

  • @VyetteBahati
    @VyetteBahati 24 วันที่ผ่านมา

    Amen amen

  • @angeljoseph4666
    @angeljoseph4666 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @angeljoseph4666
    @angeljoseph4666 ปีที่แล้ว

    Amen