Asante sana mtumishi ...jopo nilichelewa kulipata somo hili lkni Mungu alikua na kushudi na mimi umeongea nami....Mungu akubariki sana baba nakufatilia nkiwa saudia
Mungu akubariki sana Baba nakufatilia sana niko Bukoba nahamin ipo siku ntafika apo kanisani kwa ajili ya maombezi,ubarikiwe kwa neno la Mungu unalotuletea unatupa ufaham sana
Father God shall use you more the day I saw this clip it was the days i was going through spirit of death but suddenly when I was such for prayers in you tube then I met this clip it was so late that I knew that I had a spirit of distraction before but I didn't know that so sad now I see death in the dream but thanks God I still can pray please papa pray for me to get out of this spirit of death my namebis Epifania Vitaliy shayo thank you God bless you
Sina lakusema ila namrudishia Yesu sifa na utukufu maana this was meant to me and am free i will send my sacrifice to clear this in Jesus name amen 🙏 🙌
Nakushukuru Mungu kwa ajili ya Mtumishi wako.Kupitia somo hili na maombi haya naomba Mungu unifungue.🙏🙏
Tunahitaji watumishi wa Mungu kama hawa kwa kizazi hiki chenye kinahitaji miujiza wala sio neno 😭😭😭😭🙌🙌🙌Mungu turehemu.
Ahsante BWANA YESU, Ubarikiwe sana MTUMISHI WA BWANA 🙏
Asante sana mtumishi ...jopo nilichelewa kulipata somo hili lkni Mungu alikua na kushudi na mimi umeongea nami....Mungu akubariki sana baba nakufatilia nkiwa saudia
Amen, Asante Yesu wangu
Amen mtumishi barikiwa sana
Nimeguswa sana
Mungu akubariki sana Baba nakufatilia sana niko Bukoba nahamin ipo siku ntafika apo kanisani kwa ajili ya maombezi,ubarikiwe kwa neno la Mungu unalotuletea unatupa ufaham sana
ubarikiwe baba Mungu azidi kukupa neema yakua pamoja nasi
Nakuelewa sana mtumishi naona kama unayagusa maisha yangu Mungu nisaidie nitoke gizani
Father God shall use you more the day I saw this clip it was the days i was going through spirit of death but suddenly when I was such for prayers in you tube then I met this clip it was so late that I knew that I had a spirit of distraction before but I didn't know that so sad now I see death in the dream but thanks God I still can pray please papa pray for me to get out of this spirit of death my namebis Epifania Vitaliy shayo thank you God bless you
Sina lakusema ila namrudishia Yesu sifa na utukufu maana this was meant to me and am free i will send my sacrifice to clear this in Jesus name amen 🙏 🙌
Mungu awabariki sana watumishi nimefunguliwa
MUNGU akubariki sana, mimi nakuelewa af kwenye simu naona ninapona, na ninatoka nilipo kwama
Mungu akubaliki mtumishi Mimi naponana kupitia simu yangu
This has been very helpful to me. Be blessed Minister
Amazing teaching.
Amen baba kwa somo hili
I was the oss of a big company with my husband but now after this spirit of distraction we have nothing anymore thanks God we are still alive 🙏
Ndio mm hapa ninapambana nikipata naye mme wangu nikutapanya nimeelewa vyiema haya mafundisho mchungaji
Neno zuri nimebarikiwa, nina imani Mungu ameleta neno lake linivushe
Nimepokea kwa jina la YESU KRISTO
Jamani Arusha mnakuja lini
Najiunganisha na madhabahu hii kira roho ya mauti na uharibifu isambaratike kuwanzia sasa kwa jina la Yesu
Amen
shaloom maombi haya yalifanyika lini? je kuna mwendelezo wa siku ya tatu naomba kufahamu
ili niendelee nalo kwa kuwa limenibareiki sana
Muendelezo ni jumapili hii ijayo
karibu leo ni muendelezo.
Naamin MUNGU atoniacha nilivyo ktk NENO hili