AIC Changombe Choir Songa Official Video
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
- AIC Changombe Choir Songa Official Video
Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
Nimebarikiwa zaidi. Yakubarikiwa , nanyi wanakwaya MUNGU awabariki🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Waaaw blessings to you 👍 kazi nzuri
Wimbo huu ni mzuri mno
❤wimb mzuri sana inatia nguvu
Mama kashimba nakupenda bure na bahati mnasauti nzuri mmenibaliki sana
Mwanadamuu naniii yani mpk raha
❤masolo wazuri
Nazipenda sana nyimbo zunu jamani, Mungu wa mbinguni awatie nguvu muendelee kwa umoja na moyo wa mshikamano, na muishi maisha marefu
Mungu awabariki
hii choir ina nyimbo nzuri sana
Nabarikiwa na huduma yenu Jehovah yire aendelee kuwapa nguvu bila kuzmia moyo 🤗
SUSAN MWANGWAI FROM KENYA sifa zimurudie MUNGU KUPITIA CHANGOMBE CHOIR BE BLESSED
Amina
Ifeel blessed ❤
Be blessed all
Tunaotazama 2020 huu wimbo tukiamini Mungu atatupa uwezo wa kusonga mbele.
Mungu awabariki xana nyimbo nzuri nimeipenda xana
Nani anaendelea kuangalia huu wimbo 2019 naomb like apa
POWs sana
mmbarikiwe wana aic changombe choir
Nawapenda sana AIC chang'ombe, barikiwen kwa nyimbo zenu,,,
Jamani😢😢nyimbo zina upako
🙏🙏🙏🙏True
song a mbele unanibariki sana utukufu ni kwa BWANA YESU KRISTO
Utukufu kwa Mungu kwa uimbaji wenu AICT CHANG'OMBE. mko juu kwa ajili ya Bwana wa Majeshi.... TUENDELEE KUMKOPESHA MUNGU KWA MATENDO YETU.....TUSIWAANGALIE WANADAMU.... SONGAAAAAAA
This song is very interesting:
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu
kazi nzuri Mungu awaongoze
yaaaan me nawapenda sana,, nnapoangalia nyimbo zenu nabarikiwa sana.... mungu awabarki wa2mishi
Great job
God continue strength you in this ministry shinyanga I love if I'll get chance in country nitawatembelea
Nyi ni mfano mwema
Mungu azidi kuwabariki
Cjawahi ckiliza albam yyt mkawa hamjaitendea haki toka gusa nawapenda sana mungu abariki kazi yenu
Mungu awabariki sana nyimbo ni nzuri sana na inabariki mataifa mengi Mungu aikumbuke huduma yenu
hongera wapendwa mpo vizuri
Nawapenda sana mmenibariki mungu awasongeshe mbele
Pamoja saana watu wa Mungu awabariki sana.
Angelica's voice my Almighty God bless you ever and ever
Safar yetu ile ya mbinguni ni kweli ndefu
Nabarikiwa sana na huu wimbo asante kwa Mungu
Penda sana cvc chang'ombe
wow iko Sawa hee mnanitia moyo Sana wapendwa
Mungu anawatumia katika viwango vikubwa... Naomba mje dodoma pia...
God bless y'all
Very nicely ...........ambassadors... Be blessed
Nawapenda Sana Yesu awatunze
Nawapenda solo list wa aic Mungu awabarik mwapendezesha na mnaimba vizr
Mungu aendelee kuwatumia Amina
Mungu awabariki nawapenda sanaa
songa mbele , kwakika naguswa na nyimbo zenyu hususan, usiku wa manane, pazia la hekalu ,malango, hatulegei, wasamehe,na nyinginezo. barikiwa sana . na mungu azidi wainua kila mnapotukuza. kutoka kenya nawafuatilia sana. fanya mpango mtembe humu inchini mwetu, tunatamani kuwaona live
nawapenda cwez kuelezea mbarikiwe sn
Mungu awabariki wapendwa
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu, Mungu awabariki sana waimbaji wote.
Nawapenda saaana wote as a choir
Waiting for the patakatifu, I love that song
Ama kweli kwa ushindani wenu huo mtafika mbali sana MUNGU azidi kuwaimarisheni na kuwatumieni.
nazipenda sana nyimbo zenu sichoki kuzsikiliza mungu hawabariki
mungu awabariki kwa huduma njema nawapenda bure wapendwa sichok kusikiliza huu wimbo jomoni, nasonga mbele
Nawapenda sana
Barikiwa sana mama kashimba, unanibariki sana
tangu nianze skiliza nyimbo zen sjawah hon mby mungu awape kibali mbele zake
nimebarikiwa Sana
Mungu awatunze
Kazi zuri mungu awape kibali muwanyanyuwe waimbaji wote wakwaya
Mung awabarik,🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo unanifurahisha sana na kunibariki
mpo juu mbarikiwe sana
Nawapenda sana masolo woote hasaa wa kwanza yule kibonge mwenzang
Melicho Kisinin hahahahaa anaitwa lidy anaimba vzr alf mchangamfu hana nyodo wala nini
changombe mungu awabariki sana kwa wimbaji wenu mazuri, unakibali kubwa sana
Napenda sana...you never disappoint
Nimesoma watumishi wa mungu
lol Gret song mbarikiwe na Yesu
Shalom CVC. God bless you for the wonderful and inspired songs; am very much blessed with your songs and the way you are free to sing and dance before the Lord
Poleni kwa msiba mzito uliowakumba,ni bora mtu augue muda ndipo afe kuliko aende na afya yake inauma lakini hatuwezi kuzuia mpango wa MUNGU, lihimidiwe jina lake.
Mwimbaji Mungu aendelee kukutumia
Wonderful music
Love nyie kwa sana
Good song .keep it up.
nawapenda sana AIC chang'ombe, Mbarikiwe kwa nymbo nzur
Good song
Nawapenda sana masolo wote,
takes me back to gusa. my dads favourite album.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
mungu ni mwema namm napenda kuimba jaman
Njo tuimbe
Songa
may God keep doing great things in your life as you minister,,,,loved this choir from the 1st album vunja,,,,bwana awabariki sana...
my best ever choir!! mbarikiwe sana
Ujumbe mzuri, japo mumecheza sana, jamani punguzenu
ooh safar safari #songa songa # much waoooh
daaaaaise sichokagi kuwasikiliza mbalikiwe
Safi sana, utukufu kwa Mungu wetu
Nakupenda sana Dada angu wa nansa
god bless you cvc thats has great message and revelation
Napenda sana huyu soloist
sichoki kuangalia nyimbo zenu daaah nawapenda sanaa
Catherine Mahoza mi pia nawapenda sana
Catherine Mahoza
Mungu awape aya
Catherine Mahoza mimi pia
nyimbo zenu ni nzuri zina upako
tuzidi kusonga mbele na roho mtakatifu asante sana kwa wimbo uu unao somo nzuri sana
edition actors kiss
Mungu awatangulie nyimbo ziko poa.
Phyllis Nthoki
Mbarikiwe sana
hogerni sana mungu azidi kuwainua jmn dah had raha katka bwana lakini
Hiyo songa mmepiga IPO juu sana
Nampenda huyo solo wa kwanza htr
Lightness barikiwa Sana ,tunakupenda
Jaman,asant nakupenda pia
Mzidi kubarikiwa
good Gospel Singer's. hongereni sana
mwenyezi mungu awabariki kwa kazi hii
yani nyimbo nzuri sana songa mbele
mungu awabariki
Nice sanaaaaaaaaa
Love AC chan'gomb
mbarikiwe sana wapendwa
Blessed
hongereni sana
Amen
hakika mwaniponya
I truth in Jesus ⛪⛪⛪