Kama ni kweli wale jamaa walikataa kuzipiga nyimbo alizoproduce majani basi walaaniwe kabisa yaan maana daaah wameharibu sana maisha ya wasanii wa zaman tena walikua walikua wakali sana
Bongo fleva ya zamani ilikuwa imetulia sana. Inaburudisha na inakuelimisha na kukupa faraja. Ya sasa hivi ni kwa ajili ya wanywa pombe tu vilabuni. Hii unasikiliza mbele ya Watoto na Familia kwa ujumla hata Mchungaji
This is a master peace. Daz baba, bado ni kijana. Pambana tupe song mpya zenye ujumbe. Bado fans wako wa zamani tupo. Saizi mziki umepoteza ladha sana. Tupo ambao bado tunapenda kupata ujumbe badala ya matusi. Una kipaji, kitumie kipaji chako kuelimisha watu. Usikikalie. Utakuja kurudisha hesabu kwa kipaji ulichopewa. Sijui unakwama wapi. Maprodusa zaizi wengi, media house ni kubwa, social media ni pana. Ulisikika kipindi hicho saizi utasikika pia. Much love and respect bro. Kanzi nzuri sana.
Cku Kuna Wasanii Mziki Wanaongeleya Mademu, Luxury Thing, Magari Na Kutowekeya Zogo Matusi. Hawa Ndiyo Wasanii Walitumiya Akili Na Ujumbe Ukafika Kwa Jamii Husika.
baba yangu alpenda sana nisklzsha hii song enz hzo nipo shule mawenzi secondary mosh bange zimetawala kuliko masomo akili znanituma niende mtoni nikashindane kurap na washkaj
Hakunaga kama hii song,hawa ndio wakuenziwa,bila hawa bongo flava isingefika hapa ilipo,nafikiri ifike kipind walau kuwe na matamasha kwa kila mwaka kuwaenzi watu hawa,daz nundaz,scout jengaz,solid ground family,mazilizala,sir nature,east coast,insp harun,dnob,afande sele,explaataz nk
Daaa hii nyimbo wasanii walitulia sana aisee unasikiliza ngoma mpaka unataman uendelee kuisikiliza tena na tena,ushaur wangu hii ngoma aifanyie video na kuipa promo bado inafundisha sana hasa katika kipindi hiki Cha panya road aitolee video kali
Kazi nzuri ya wakongwe imefanywa Kwa muda mrefu Toka miaka ya 1999 kina ferooz na wenzake wamekuza hizi nyimbo Mimi ni teacher kaligo dotto njige mwalimu wa literature in English kutoka Arusha secondary school
much respect bro when i pray this i feel something in my heart maana wote tuliona kumaliza kidato cha nne ndo basi kumbe tulijiongopea im still watching 18.07.2019 in kwazulu natal durban
Wimbo hauishi ham kuusikiliza, hata sasa march 2024. Gonga like twende pamoja hapo
Unae sikuliza hii song 2024 gonga like hapa❤
leo 28 March 2024
daaah huyu jamaa anapaswa kupongezwa maana hii song alituliza akili na inafundisha gonga like kama umeuelewa wimbo huuu
Kiukweli mimi nimemwwlewa sana afande kwenye vesi yake maana katoa usiya km wote
Good
Hatariiii
Hiz ndio tngo zenye ujumbe sio hakichomoki ndio nn ovyo pongezi sana ukowp tumemiss kz zenu
"mkanye mjinga akuchukie
mipango yako akuharibie
na sauti inancjosha miee ee."
...anaefahamu jina la wimbo huu anisaidie tafadhali.
Kama unamkubari daz baba usipite bila like dah nakumbuka enzi za daz nundaz
ofisi yangu ilifunguliwa jua lilipozama kama umesikia kipande iko naomba like
bongo tv Daz baba alitisha xanaa ,gonga like hapo
P funk majani heshima yako mkuu
Asante Daz Baba, Afande Sele na Ferooz kwakazi nzuri sana
Heshima kwenu mnaoikubali ngoma hii Gonga live kushow love
Mutu anaye juwa anajuwa tu ebu tuwapeni pongezi ((i'm Simple🔥🔥🔥))
Kama umekunywa sumu sasa yanini uwombewe afande sele 👍
Kutoka Malawi nakumbuka vipindi vya RFA bonanza ❤❤❤❤❤
Wale wanasikiza bongo fleva za kitambo gonga like hapa..+254
Ramzan Qarim aki walai
hapa ndio ulikua unasikiza nyimbo kwa hisia sio sasa
@@shabbyofficial_
❤️❤️❤️❤️
🙂🙂
Sisi tulifaidi tungo nzuuuri taaamu yaani tulifaidi sana huu niuandiko wa Chuo kikuu special talents
Hii ngoma ilinifanya nikaze sana skuli. Big up daz baba , ua inspiration was real
Daz nunda scout jenta sua said tamaa zimenifanya niwe gaidiiiiii, hapo ndo pary yangu
Kama unasikiliz hii nyimbo mwaka Huu 2019 ngoja like
2020 nasikiliza
October 2021
waliowakazia hawa wasanii wazamani wamekosesha kizazi hiki madini kwa kweli.
Kama ni kweli wale jamaa walikataa kuzipiga nyimbo alizoproduce majani basi walaaniwe kabisa yaan maana daaah wameharibu sana maisha ya wasanii wa zaman tena walikua walikua wakali sana
bonge moja la song madee alidokelezea vase ya afande sele akaiba akaimba kwenye wimbo wa jera.
Hii ngoma so pouwa nikiwa south africa hapa ulitisha brother 🧠🌐👆🤟🇹🇿🇿🇦🔥
Kitambo sana hii dar niliingia class kupiga book kama sina akili nzuri daz mwalimu
Kama unasikiliza huu 2025 like hapa❤️✊🏾
Ukipanga top 10 nyimbo zote bongo
Ukiukosa wimbo huu
Iyo itakua umekosea sana
Huu ndio mziki yaani sahivi 2021 bado nausikiliza
Tunapenda kusoma comment ili kujifunza kitu kutoka kwa wengine ....upuuzi umejaa wa hembu like ...sijui kama unamkubali ...ili nini!?
Elimu duni na barua ni kama tenzii hazichujagi kwangu hizo
tajir mmoja angejitoa hii nyimbo itolewe video
Hzi nyimbo zilikua funzo tosha yani sema hawa wasanii wamesahaulika kabsa ani
brother u did it much respect bro im still watching even now 18.07.2019 in durban kwazulu natal
Hii ilikuwa ni kabla ya Muziki haujawafrustrate vijana wakaishia kwenye madawa ya kulevya huku wanafaidi wasio toka hata jasho
Hili song nilikua na mwanangu Muhidin wa Azaboys Mchikichi kwa Kina Hiden Agenda, Mudy, Ngida na Mbuga... Tulikua tunakaza sana Shule dah...
😀😀 kama kawa pindi 100
Daaah mudy marehemu
Daaa unanikumbusha machimbo hayo mwamba
Awa ndiyo really Artist Wa BONGO... NAWAESHIMU... #dochdodava confirmed KAMPALA / DRCONGO
Naitwa clever Abdalla nakuombea uishi salama🎉❤
Ngoma ni kali sanaa, hainichoshi leo mwezi Octoba 2024 naisikiliza na nairudia mara kwa mara daaah noma sana.
Elimu Dunia 2024 .....
jaribu kifikiri hii ngoma na uwasilishaji wake. noma sana mafunzo makubwa sana kawa hawa barobaro wa leo hawajui starehe zinawakati gani.
Elimu Dunia dah!!!!!
Machozi yananitoka leo
Bongo fleva ya zamani ilikuwa imetulia sana. Inaburudisha na inakuelimisha na kukupa faraja. Ya sasa hivi ni kwa ajili ya wanywa pombe tu vilabuni. Hii unasikiliza mbele ya Watoto na Familia kwa ujumla hata Mchungaji
Ngomaaaa Kali xanaa
I am in Bangladesh and I dont understand swahili ila bado nasikiliza huu wimbo mwaka 2023
And you write in Swahili....😂😂😂
Daz baba moja Kati ya watu wenye jumbe nzur
Respect Mr Daz baba Levis from 🇰🇪
hii ndio maana halis ya sanaa nyimbo za kuelimisha
January 2025 ,Ngoma ipo mbele ya mda ,big up daz baba,Sele na feruz
Ah kwangu mm saiv ni fundisho nilikuah na masera wa kitaa saiv wapo ufungwani rooo inaniuma san nufanye nn saiv da aya maisha
Daz baba produce p funk majani daaaaa zamani san maisha yanakwenda kwa kasi sana hizi nyimbo inatakiw zirudiwe upya maan mashairi mazuri P funk majani
Hip hop kioo Jamii.Big up Daz baba
Kitambo sana wasanii wa zamani walikua wanajua sana
vijana wa sasa hawaelewi hzi kitu
Ila Afande sele anajua Sana dahh
2023 huu wimbo ni hatar unamafunzo kuhusu maisha na upambanaji wa Hali ya juu
This is a master peace. Daz baba, bado ni kijana. Pambana tupe song mpya zenye ujumbe. Bado fans wako wa zamani tupo. Saizi mziki umepoteza ladha sana. Tupo ambao bado tunapenda kupata ujumbe badala ya matusi. Una kipaji, kitumie kipaji chako kuelimisha watu. Usikikalie. Utakuja kurudisha hesabu kwa kipaji ulichopewa. Sijui unakwama wapi. Maprodusa zaizi wengi, media house ni kubwa, social media ni pana. Ulisikika kipindi hicho saizi utasikika pia.
Much love and respect bro.
Kanzi nzuri sana.
weee!!! kweli....mtupu..hiyo utunzi imeenda shule. big up.
Thank you
Cku Kuna Wasanii Mziki Wanaongeleya Mademu, Luxury Thing, Magari Na Kutowekeya Zogo Matusi. Hawa Ndiyo Wasanii Walitumiya Akili Na Ujumbe Ukafika Kwa Jamii Husika.
bro uliweka heshima San big up
baba yangu alpenda sana nisklzsha hii song enz hzo nipo shule mawenzi secondary mosh bange zimetawala kuliko masomo akili znanituma niende mtoni nikashindane kurap na washkaj
thanks
Daaaaaah Mawenz primary
Daah! Mawenzi sec!
@@aidannzowa5502 mawenzi daaah
Sichoki kuusikiliza huu ujumbe maana ni zaidi ya burudani
Ujumbe umeshiba, kaka zetu wako vzr Sana nyimbo zao zinaishi 💯
Bongo flava ya kweli ilikua kipindi hicho🙌🏿🙌🏿
Naiskiliza 2019,oyooooo like km vp
Hakunaga kama hii song,hawa ndio wakuenziwa,bila hawa bongo flava isingefika hapa ilipo,nafikiri ifike kipind walau kuwe na matamasha kwa kila mwaka kuwaenzi watu hawa,daz nundaz,scout jengaz,solid ground family,mazilizala,sir nature,east coast,insp harun,dnob,afande sele,explaataz nk
Naunga mkono hoja
Yes hawajamaa walijituma sana
ivi n rahisi kumsahau Prof j
Watoto wa siku hizi hawainjoi mziki kabisa kizazi cha paka mate niteleze kama nyoka pangoni ! Sikia sasa elimu dunia
Hii song ni balaaa uyu jamaa na nature ni hatari wanaimba maisha wanaamasisha watu kufanya kazi sasaivi mapenzi tyuuuuuuu
Uko vizuri saaaaaana Daz nakukubali Toka 2005
👏👏👏👏👏🇨🇩🇨🇩 dah daz mukali
Pamoja
*2021 but still kama imetoka jana.. wasanii wenye maono ilikuwa zamani lakini masikini ila hawa wasasa wapotoshaji ila matajiri utajiri wa kishetani*
daah kama umekunywa sumu sasa yanini uombewe.....
2023..Huyu ni mwamba ni hatarii 🫡🫡🫡
Ni 2021 lakini nasema mpaka ss hakuna nyimbo kama hizi
Hivi umeona unyama wa Ferouz🙌🙌
Haipingwi salute sana kwa daz
Kupitia hii idea ndio ukazaliwa wimbo wa spark,tundaman Na madee...wapwa kweli walitengeza njia
Bongo freva ilikuwa zamani sikuu hizi ni maigizo tu.
Ngoma kali sana
Bonge La Ujumbe Huko Ndani Aiseee Jamaa waliimba Na Wala hawakupa pesa....Asante Daz Baba kwa Muziki Unaoishi
Safi sana wakongwe, Mollah awape umri
Daaa hii nyimbo wasanii walitulia sana aisee unasikiliza ngoma mpaka unataman uendelee kuisikiliza tena na tena,ushaur wangu hii ngoma aifanyie video na kuipa promo bado inafundisha sana hasa katika kipindi hiki Cha panya road aitolee video kali
Daah bro!!! We mkali sana mzee 💪 watching now 20.07.2021 👊
Daaaaaah enheee bhana enheeee,ukisikiliza masong ya kipindi hicho utaona kabisa nowdayz singer wamebaki wachache sana
Kizazi bora cha muda wote kwenye muziki wa bongo haitokei tena abadan
Ngoma pendwa hadi Sasa August 2023
Pamoja sana
Inanikumbusha mbali nikiwa shule ya msingi
I have been looking for this song.... Thanx bro. 254 ndani ya nyumba
kenya vipiii
Tarehe 1april nipo hapa 2024❤
Kazi nzuri ya wakongwe imefanywa Kwa muda mrefu Toka miaka ya 1999 kina ferooz na wenzake wamekuza hizi nyimbo Mimi ni teacher kaligo dotto njige mwalimu wa literature in English kutoka Arusha secondary school
Ma men kiyaiya sinoni daraja mbili nikisikiliza hii ngoma nakkumbuka sn we still remember those difficult days 2023 🇿🇦🇿🇦 pritoria miss ngalim 🇹🇿🇹🇿
Big up legendary nyimbo zinaishi mazee
One of the best songs from Tz... its never too late for a video
Hii ngoma imenata kiutu uzima
Bado tunasikiliza na kuelimika 2020 daaah watu walikuwa wanatuliza akili
much respect bro when i pray this i feel something in my heart maana wote tuliona kumaliza kidato cha nne ndo basi kumbe tulijiongopea im still watching 18.07.2019 in kwazulu natal durban
I like this song
Mr jiamin utarurud
2022 still watching
Rva
Appriciate ,hakika kipaji kimejificha iki
Huu wimbo huwa napenda kuusikiliza kila wakati. Haunikifu kamwe. Bonge la msg 🙏
Saute hii sixhoki kuisikiliza kila sku naielewa gomaa hii
Daz baba kaka rudi ulingoni mimekumiss kisha nakumiss tena dar upo vizur sana broo good bless you 🙏
Kazi inaendelea man...asante
Hey Brothers, hebu sikilizeni huu Mdundo kwanza kabla hata ya Mashairi, Melody na Kiitikio.
The guys, walidhamiria kuwa Musicians. Take it or not!
2023 yupo mwezi wasaba. Njooni
Niaje
Hakika hii ndo ilikuwa bongofleva lakin kwasasa uhuni na macho kwenye pesa hakuna ujumbe
Nitaendelea kusikiliza mpaka kufa kwangu ngoma hiiii Dah 🏄
Wimbo unaoishi!
Enzi hzo mziki ulpokuwa mziki 💯
Much respect Tanzaniano
On the chorus somewhere around 1:15 the harmony is crazy Daz Nundaz chemistry is just phenomenon.
Yaliyo tukuta hii nyimbo tuna hieshimu sana fuzwa na vitu vyote lakini sio dunia
Mmh mafundi nyie
Jaman mtu aifanyie cover hii ngoma
Dah baba paula kajala amenileta apa
Tujuwani kama p funk amekuleta apa 2021
Feruzi mkali aseeee khaa