DAZ Nunda Barua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 140

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 10 หลายเดือนก่อน +46

    2024 waliyo sikiliza nyimbo hii

  • @charlesgerlefans3358
    @charlesgerlefans3358 ปีที่แล้ว +37

    01.01.2024 nakusikiliza huu wimbo hizi ndio nyimbo bhanaa

  • @MultiReida
    @MultiReida 9 หลายเดือนก่อน +10

    Zamani iikuwa nyimbo saivi kweli! Dah 😢barua !!! Nimekua sitoki nje nipo ndani tu nalala!!!

  • @stephenandrew7218
    @stephenandrew7218 9 หลายเดือนก่อน +18

    March 2024. Now we understand the lyrics more than When we were young

  • @kelvinkitula3673
    @kelvinkitula3673 ปีที่แล้ว +24

    It's 2023 uyu jamaa alikuwa anafikilia bhna 🔥

  • @SamuelMasele14
    @SamuelMasele14 ปีที่แล้ว +5

    Hongera dazi nunda kwabaruwahii haiichuji kabisa pita nyimbozako zote huni gusa muno

  • @pilabiliani9394
    @pilabiliani9394 ปีที่แล้ว +6

    Nimerudia zaidi ya mara 10 halafu sijaelewa yaani hawa wasanii wa zamani walikua wanafukilia sana ✔️

  • @yohanadeusi9084
    @yohanadeusi9084 ปีที่แล้ว +8

    Congratulation makamanda wa Daz nundaz Nipo kuisikiliza tena leo 7-3-2023

    • @Seleman_Leonard.
      @Seleman_Leonard. 5 หลายเดือนก่อน

      Umeiskiliza kweny siku yangu ya kuzaliwa

  • @spartachize122
    @spartachize122 5 หลายเดือนก่อน +4

    Dah alafu mpiga beat anaeza kufanya ukalia😢yaani hii combination ilikuwa atarii sana I swear❤

  • @josephissa-y3u
    @josephissa-y3u ปีที่แล้ว +6

    Hizi nyimbo ndio tunasema from past to future

  • @NatalyaMwanga
    @NatalyaMwanga 15 วันที่ผ่านมา

    Zaman nlkuwa naona ni wimbo tu now ndyo nineuelewaa😢😢😢🙌🙌

  • @selestinmkereha4267
    @selestinmkereha4267 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaah nyimbo hiii nakumka mbali jmanii akilii znasafirii jman sio sasaaa mashetan hawa hawjui kitu

  • @habarugirajeanmarieviann-qe4uf
    @habarugirajeanmarieviann-qe4uf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nahivi 21/10/2024 inakuja number one wanawo wavikubali gonga like❤❤❤❤❤❤

  • @LadislausJohn-u6i
    @LadislausJohn-u6i 10 หลายเดือนก่อน +7

    6/3/2024
    Like kidogo

  • @NicksonIsraeli
    @NicksonIsraeli 7 วันที่ผ่านมา +1

    Wangapi wanaupenda❤❤❤❤

  • @hashimkilama
    @hashimkilama ปีที่แล้ว +3

    Daah hujama mpen tyu maua yake Big up bro unajua sana

  • @AliMasha-fh3cu
    @AliMasha-fh3cu 11 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaah huuu wimbo unanikumbusha tukio flani yan daaaah

  • @yohanagalusi619
    @yohanagalusi619 2 ปีที่แล้ว +8

    The guys was thinkers ... Old is Gold

  • @josephmwakima6872
    @josephmwakima6872 3 ปีที่แล้ว +8

    Bado naiskia 2021. Mizani mizito.

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว +3

    Bado naisikiliza 2023 ngoma zenye ujumbe mkali

  • @Fundgpsumbord
    @Fundgpsumbord 26 วันที่ผ่านมา

    Uwa ni kusikiliza ngoma hii uwana wa kumbuka wanangu wa skonga

  • @sabrisaid3602
    @sabrisaid3602 3 ปีที่แล้ว +9

    25/7/2021. BADO KALII BRO. CONGRATULATION

  • @hadeeegahalmawali504
    @hadeeegahalmawali504 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimekumbuka zamani 2002❤️❤️❤️👌👌

  • @FrankjumaNdakama-g1c
    @FrankjumaNdakama-g1c ปีที่แล้ว +3

    Daz noma enzi zako 🌹🌷💯2023

  • @jamesdaniel5557
    @jamesdaniel5557 3 ปีที่แล้ว +5

    Daah kipindi hicho ndo kulikuwepo na mzik Kwa sasa 🙌

  • @adamchigamba2862
    @adamchigamba2862 4 หลายเดือนก่อน

    Daz Nundaz alikua mbunifu bana, 2024 bado tunapeta na hili donge mzee baba

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 2 ปีที่แล้ว +2

    Wallah huu wimbo hugusa sn moyo wangu mie

  • @raymondmunis3553
    @raymondmunis3553 11 หลายเดือนก่อน +2

    Barua inasomwa

  • @issaadinaniissa6487
    @issaadinaniissa6487 3 ปีที่แล้ว +3

    jipoze kwa machungu ya kariakoo

  • @SameerBezad-lf5jv
    @SameerBezad-lf5jv 9 หลายเดือนก่อน

    Oya sio poaaa wanaaaa

  • @FatumaIbrahim-x6r
    @FatumaIbrahim-x6r 10 หลายเดือนก่อน +1

    Basiiii usimalizie kusoma 😢😢

  • @kombomwakaribu8252
    @kombomwakaribu8252 ปีที่แล้ว +7

    Here I am 12/5/2023... This was one of the hit

  • @amojj858
    @amojj858 3 ปีที่แล้ว +6

    Naelewa 2021

  • @joelasajile3362
    @joelasajile3362 3 ปีที่แล้ว +5

    Nomaaaaa sana

  • @amarshaban1754
    @amarshaban1754 2 ปีที่แล้ว +5

    Trust me i dnt knw where this guys went but they had message......i hope one day i will meet them

  • @gadrosmathews1511
    @gadrosmathews1511 ปีที่แล้ว +2

    25/12/2023 still hits my mind

  • @simulizi-za-china
    @simulizi-za-china 2 หลายเดือนก่อน

    noma sana! Good music yani hii ngoma unaweza sikiliza non stop siku nzima haichoshi!

  • @brunoamir1355
    @brunoamir1355 2 ปีที่แล้ว +3

    Pembeni ferooz,duh hatari

  • @khairbinjumaa5545
    @khairbinjumaa5545 11 วันที่ผ่านมา

    Natamani mtu awakusanye hawa wafanye tamasha moja babkubwa la old skool

  • @jenniferrevocatus4406
    @jenniferrevocatus4406 ปีที่แล้ว +1

    Daaah nawakumbuka anko wangu tyson na bro paul lucas mganga rip

  • @zabronmfungo8503
    @zabronmfungo8503 3 ปีที่แล้ว +3

    Lazima utikise kichwa taratibu kwa raha zote wakati ujumbe muhimu unaingia kwenye jamii

  • @songabaluku4153
    @songabaluku4153 3 ปีที่แล้ว +10

    When music was music 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @JerryMbatian
    @JerryMbatian หลายเดือนก่อน

    Daah unajua man unanikumbusha mbal sanaaaa

  • @PeterJumanne-d6b
    @PeterJumanne-d6b 11 หลายเดือนก่อน +2

    2024 February bado naskiliza hili pini lenye maudhui, ujumbe na dhamira amakweli vyakale ni dhahabu Lazaro bomani muleba town

  • @IdrisaShaka-jy3ne
    @IdrisaShaka-jy3ne 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka 2002 niko form2

  • @musayahaya2610
    @musayahaya2610 3 ปีที่แล้ว +9

    2021

  • @hamadmkiwa7195
    @hamadmkiwa7195 3 ปีที่แล้ว +10

    Nilinunua tape yake kipindi hicho nimeshatemwa na mama mtoto

  • @MusaKiumbo
    @MusaKiumbo 5 หลายเดือนก่อน

    Still hot forever 8/7/2024🔥🔥🔥

  • @RyaneChris
    @RyaneChris 27 วันที่ผ่านมา

    Funga mwaka na Barua...
    2024=>2025

  • @khairbinjumaa5545
    @khairbinjumaa5545 11 วันที่ผ่านมา

    Lakini nyie daz baba ngoma zake zilikuwa zina fikra nyingi.

  • @DaudMwanganji
    @DaudMwanganji หลายเดือนก่อน

    Hawa wasani wa kizazi hicho wanasitaili pongezi kwakweli Dunia hadaa ulimwengu shujaa hakika mwamba aliimba

  • @peshadutch
    @peshadutch 7 หลายเดือนก่อน

    Now we understanding the lyrics .life teaches us a lot

  • @princemvuadi4853
    @princemvuadi4853 3 ปีที่แล้ว +4

    baba ndaz eleza

  • @makoraniabae9125
    @makoraniabae9125 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kamanda ❤

  • @OchuUmeme
    @OchuUmeme 9 หลายเดือนก่อน

    tarehe 20.03.2024 saa 01.58 usiku ramadhan 8 nasikiliza ngoma

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤bado mpyaa kabisaa❤❤ baruwaa

  • @JabllyallySalehe-h4z
    @JabllyallySalehe-h4z 20 วันที่ผ่านมา

    Zamani ndokuna mizik bwan

  • @daudnkubile
    @daudnkubile 2 ปีที่แล้ว +1

    Enzi za muziki halisi

  • @RichardCharo-zx3sy
    @RichardCharo-zx3sy 5 หลายเดือนก่อน

    Ferooz uko wapi bana daz Mwalimu mkali wao

  • @festomwasoha238
    @festomwasoha238 3 หลายเดือนก่อน

    Hatar sana wazee wa kaz

  • @esmuellert_jm7
    @esmuellert_jm7 3 ปีที่แล้ว +1

    Eeee Ili dude alizeeki WAllai❤️

  • @emanuelmremi7113
    @emanuelmremi7113 ปีที่แล้ว

    Acha kabisa braza uliona mbali 😂😂yamenikuta

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 9 หลายเดือนก่อน

    Noma non stop unstoppable

  • @hussenticha4074
    @hussenticha4074 3 ปีที่แล้ว +3

    Music isio isha utamu

  • @NasriAbdallah-d5w
    @NasriAbdallah-d5w หลายเดือนก่อน

    Akili nying zilikuwa zinatumika kipind hicho aisee🦻

  • @reymondevaristompalasu4450
    @reymondevaristompalasu4450 3 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo zilikuwa na ujumbe

  • @saidmadzunga7544
    @saidmadzunga7544 11 หลายเดือนก่อน +1

    Barua haizieki🎉

  • @jamesmussa4132
    @jamesmussa4132 ปีที่แล้ว

    Pini moja makini sana

  • @muddymtumbi9425
    @muddymtumbi9425 3 ปีที่แล้ว +3

    29/5/2021 morning way back dah hatar sana 💥💥💥💥

  • @maganyarobert7008
    @maganyarobert7008 ปีที่แล้ว +1

    Legendary

  • @salujuma4530
    @salujuma4530 3 ปีที่แล้ว +3

    zamani msanii ilikia kioo cha jamii leo je msani atakua nani

  • @OthmaniOthmani-g6v
    @OthmaniOthmani-g6v 3 วันที่ผ่านมา

    Jah bless

  • @yoronimmuswa4840
    @yoronimmuswa4840 2 ปีที่แล้ว +1

    Lakini mko wapi tena jamaa mbona kwa game mulikua wazuri, tunaukosa mziki wenu mkali uliojawa na maadili na ubunifu wa Hali ya juu, Kenya tunawapenda sana

    • @junihtz5287
      @junihtz5287  2 ปีที่แล้ว

      sawa kiongoz lakin usisahau kusubcribe kuminya alama yakengele apo chini

  • @erickhaule8680
    @erickhaule8680 11 หลายเดือนก่อน +1

    06/02/2024 simba na mashujaa

  • @lovenessmjaka9754
    @lovenessmjaka9754 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤2024

  • @joycemwanda6655
    @joycemwanda6655 3 ปีที่แล้ว +2

    Xawa

  • @saladinabdalla8006
    @saladinabdalla8006 ปีที่แล้ว

    Dazkmanimachabasawa

  • @maxwelladuke1401
    @maxwelladuke1401 9 หลายเดือนก่อน

    Hata mimi ipo siku nyota itang'ara

  • @leocardkipengele5029
    @leocardkipengele5029 ปีที่แล้ว

    Anaishi Tabata, yani ulevi ndio umemuondoa kwenye game kabisa😢

  • @abushirikhalfan5068
    @abushirikhalfan5068 ปีที่แล้ว +1

    29/07/2023

  • @dominicusyasinicus2729
    @dominicusyasinicus2729 2 ปีที่แล้ว +2

    uwielbiam!!! long live daznundaz

  • @arsenalic23
    @arsenalic23 10 หลายเดือนก่อน

    Goma la kwendaaa..prodyuza nani?

  • @daudikhatibu2083
    @daudikhatibu2083 ปีที่แล้ว +1

    Daah😥 kitambo San Now 2023

  • @emanuelkajuni5807
    @emanuelkajuni5807 4 ปีที่แล้ว +3

    Ollah

  • @AminaKipara-h7n
    @AminaKipara-h7n หลายเดือนก่อน

    2024 November 18 best melody

  • @SaimonpaulAubas2plumbing
    @SaimonpaulAubas2plumbing 10 หลายเดือนก่อน

    ❤ song

  • @geofreymohamed-e3f
    @geofreymohamed-e3f ปีที่แล้ว

    Nyimbo za moto za kufikiria

  • @ChachaThomas-z3o
    @ChachaThomas-z3o ปีที่แล้ว

    Dah,mawazo Na jumbe Za nyimbo zitaishi Daima

  • @Allymkami-yd2dm
    @Allymkami-yd2dm 10 หลายเดือนก่อน

    Yupo hai au

  • @saladinabdalla8006
    @saladinabdalla8006 ปีที่แล้ว

    Daznaskiyawatumiyauga😢

  • @yohananyambo9123
    @yohananyambo9123 2 ปีที่แล้ว +3

    Hhhhh

  • @saladinabdalla8006
    @saladinabdalla8006 ปีที่แล้ว

    Daz❤🎉

  • @KarumeRaulian
    @KarumeRaulian ปีที่แล้ว

    Kila mtu ankumbuka Alikuwa wapi ❤❤😂

  • @ibrahimismail8982
    @ibrahimismail8982 10 หลายเดือนก่อน +1

    We were too young to understand him 🥹

  • @Mrjo123-q3e
    @Mrjo123-q3e 10 หลายเดือนก่อน

    Ngoma ambayo haiwez kuchuj miaka yote

  • @francistadayo8064
    @francistadayo8064 8 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌

  • @athumanimcharo4861
    @athumanimcharo4861 11 หลายเดือนก่อน +1

    17.1.2024 saa 22.56 nakula zangu ngoma

  • @charlesngoma9968
    @charlesngoma9968 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi kwasasa wako wp hawa wasanii

  • @snapreal9814
    @snapreal9814 9 หลายเดือนก่อน

    March 2024

  • @chidimakaratasi4806
    @chidimakaratasi4806 หลายเดือนก่อน

    Good