Afande Sele, Mungu akulinde sana. Umekuwa mbaraka mkubwa sana katika maisha ya watu wengi sana kupitia nyimbo zako nzito zenye ujumbe mzito. Hujawahi kuandika nyimbo ya ajabu, umekuwa msaada mkubwa sana katika kufikisha ujumbe katika jamii. Kwa wale tuliokulia katika wakati wako tunatambua vizuri what you are doing, unaishi maisha yako, huigi mtu, unaishi uhalisia wa hip hop duniani. Mungu akubariki katika kazi zako, akupe riziki yako!
Mfalmee tunaombaa uendelee kuchapa na mikuki mipya ili tuongezee watazamaji zaidiii na jitahidii kuwashirikisha na hawa wasanii wanaofanya vizurii saiv itakuwa Good sana Bob

Kitambo Sana mzee w kazi
Nimetafta ngoma hii sana,,napenda ndugu zangu🇰🇪
Mm naipenda sana nyimbo hii nakuomba ww ambao mtunzi wa nyimbo za afande Sele mm napenda sana nyimbo za uyu mwamba
Tamu sana nakumbuka mbali hii song
King 👑👑👑
Live forever 💪
Mfalme wa Rhymes , drop album King 👑
Niko mbioni kaka soon nitaachia album
@@afandesele8490kazi kazi kaka, Mpelumbe apa
Ndàni kisumu Kenya🔥
Uyu kenge lipo jitu la hovyo kabisa
NAKUPENDA SANA AFANDE SELE. MUNGU NA AZIDI KUKUBARIKI.
kikwete huwezi kushindana na mungu umeua Sana mze mungu ibariki tanzania
Huu si wimbo,,huu ni wosia wa babu
much love bro,kazi safi mkuu
Hii nyimbo naipenda hongera sana Afande Sele
2024 tujuanee
Baba Tunda, una akili sana aise. Uhalisia wa maisha ya watanzania.😅😅
umelaaniwaa kizazi chako chore kikwete mungu ibariki tanzania
Bonge la nyimbo na maudhui makubwa sana...
Inanikumbusha mbali saaaana
Noma
majaliwa Ana makinda tulia akson jaji warioba halima mde jenerali mkunda venans mabeyo ana tibaijuka komboeni taifa kwa changudoa
❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu ndo msanii wangu bora wa miaka yote hajatokea mwamba kam huyu
mkafirane na kikwete wako tuachieni nchi yetu
naitaka nchi yangu
❤❤❤❤
Morogoro kwetu
Bro mkubwa Afande sele simba dume tunaomba fanya video ya ngoma hii.
huruma kwa taifa letu venansi mabeyo na j mkunda
Baba
🔥🔥🔥
❤
Alla akbar
❤❤❤
🔥🔥🔥
❤
❤