Naomba wasanii wasaai waskize! Mnasifu ngono na pombe...,nyimbo za raha tu wakati kijijini vijijini watu wanakufa kwa njaa! Wow! This was a poêtic song...❤
It was a time when the art work is kuelimisha ,kufundisha, kukosoa na kuburudisha , realistic songs with value. Mpaka leo hakuna mkali wa rhymes Kama afande sele. Music wako bado unaendelea kuishi afande sele. Yaah afande sele , majani mbele mtazamo ni uleule darubini Kali.
Kama umewatch ii ngoma 2024 nipeni likes Nyi ni malegend walai
Kama Unasikiliza Hii 2023 Eka Like Tujuane🍾🔥
Here we are
Nairobi mtaa
Anyone on 2024 listening this mind peace
Naomba wasanii wasaai waskize! Mnasifu ngono na pombe...,nyimbo za raha tu wakati kijijini vijijini watu wanakufa kwa njaa! Wow! This was a poêtic song...❤
..Nani mwingine mwenye umri anaikubali darubini kali 22/11/4??? 🇰🇪
Simba wa mologolo na Simba wa kigoma ❤ hatutawasahau 2024
nakubali Sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.unapolekwa tuu unakwenda kama lin,gombe
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea!
This Man is so Poetic and Creative..Modern day Bob Marley..Respect JahMan..Morogoro..King of Rhymes..Zed🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Eeeeh! Huyu ndio Mkushi mwenzangu Seleman Msindi a.k.a Afande Sele katika ubora wake🎉❤
I wish East Africans knew how iconic this song is! Hii nyimbo yafaa 1 million views! Masterpiece!
Kwa enzi zako nyinyi ni wasanii tena kioo Cha jamii kweli
Afande uko sawa KABISAAAA...Bado hatujapata kama afande
2023 Bado naiangalia hii song 🔥🔥👍
Lilikuwa jibu zuri sana kwa filipo nyandindi(o-ten)
Ahsante sana baba Tunda the King of rymes
Miaka zimeenda sana. Ethical music🎶 🎵
Wimbo mzuri sana hongera bado wako kwa nyimbo kweli
Kitamboooo Saana
Akili kubwa
Bongo hip-hop back then was avibe , ,2023/2024 still slamming hard
Hakuna tunachokudai bro
It was a time when the art work is kuelimisha ,kufundisha, kukosoa na kuburudisha , realistic songs with value. Mpaka leo hakuna mkali wa rhymes Kama afande sele. Music wako bado unaendelea kuishi afande sele. Yaah afande sele , majani mbele mtazamo ni uleule darubini Kali.
Hivi bongo fleva iyi iliendaga wapi?
Jaman wapi afande sele
Still Julai,2024 wazee sasa
miongoni mwa ngoma nilizo zikubali
2023 legends mko wapi.likes tukijuana kwa darubini kali.nairobi ndio kwetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Namuona baba Sasha anaruka ruka😀
Mzuri sana
2022 I’m here For all TBT’s📽️
Ata mi Nipo ndani zaidi.. bigup bro!
15 yrs ago,the last time I listened to this song,but still makes me love bongo oddies
Aiseee ngoma yazamani kabisa ❤️😭😭😂
Big up selle
Majanii!!
2023 ICONIC
Ngoma moja kali sana
2024 here now we go like here
Tulio soma quba tujuane ezi zetu hizo
2024 tupo
2024
Sasa hakuna kio tena kumekua wapoteza rika
big up
2023 top
Power
Leo 27/11/2023 dondosha komenti au like apo chini
So so munch
Kali sana
❤❤❤
Nani amekuja hapa after kusikia diss ya OG?
True reflection of artistic calling.
Hip hop
Pamoja afande
Unaimba uhalisia kaka
☺️☺️☺️☺️☺️
2024❤🎉
🔥🔥🔥
Sungu
Nice song..
Does anyone have the lyrics to this song?
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea!
Unaimba uhalisia kaka