Mashaallah sheikh Muhammad bachu mm nimejifunza kitu kutoka kwako mwanzo jamii iliyonizunguka ilikuwa inakuponda na inakusema kuwa huna elimu na unatukana watu mwisho wakasema usisikilize mawaidha yake mm ndio nikawa na hamu ya kujua undani na ukweli kuhusu darsa zako hasa hiyo ya maulid nikagundua kumbe upo ktk haki na umetuonesha uongo uliomo kwenye barzanji Mashaallah Allah akulipe kheyri mm ni PROFESA FAHAD ABDULLA OMAR na Madhehebu yangu ni Ibaadhi na jamii ninayokaa nayo wengi ni Sunni mtaa wa bububu Zanzibar
Wallah Nassor Bachu ametuachia balaa huyu mtoto ni laana yaan kwa hii part one yake tu kanifanya nizid kuipenda MAULID kwa asilimia 90 zaidi ya hapo nyuma. Baba yangu juzi tu hapa kabla ya hapa amenambia huyu mtoto fujo zake maneno yake ni kama baba yake enzi zao Nassor Bachu aliwavuruga sana. Vilaza wawili. Al Marjeby from Oman
Mimi mwalim wangu sijui kwanini alikua mzito kuniacha nikachote elimu kwa wana wazuoni tofautitofauti…..Lakin naona ningekua mtu mwenye elimu kubwa na upeo mkubwa kuwazid hawa mashekhe ubwabwa kama huyu MUHAMMAD BACHU 😅😅😅 yaan jazba nyingi kuliko uelewa wa anayo yasoma pole BACHU pole sana BACHU 😅😅😅😅
Mungu anajua zaidi, hakuna dhambi ya Waislam kuwa pamj na kumsifu mtume wetu, huna muda huo fanya mengine. Ila Kukumbushana mambo ya mtume sio shirki, binafsi nina akili timamu, nitatekeleza yote ninayohisi sitaharibu Uislam wangu, tumepewa akili ili kubaini
Sheikh au takataka!!! Huyo kijana ana kibri sana yaani! Anajiona anajua saana wakati wale waliobobea katika elimu wako kimya. Ukimuona mtu anapenda upuuzi anaoufanya BACHU jua ni mweupe kwa wenye elimu.
Wape ukweeli sheqh Bachu Jr Maana wapenda Ubwabwa wamejipachika malemba mapete menqi vidoleeni, wenyew wanajiita Ahbabi Rasul. Mambo mambo wende kwenye hayo maulid yao af wakose Ubwabwa Haaapo utawaona wanavimba km mabunju.
Assalam Alaikum. Shukran sana Akhii kwa nia yako nzuri ya kutaka kubainisha mabaya yaliyomo katika barzanji. kwa kweli ni kitabu tunachokisoma sana lakini ningekuomba unisaidie na utusaidie kwa sote mambo yafuatayo. 1. Tueleze Jaafar albarzanji alikua ni nani na alikua anachukuliwaje katika zama zake. hili litatuonesha njia ya kujua kwamba aliandika maneno ya shirki kwa makusudi kupotosha umma au ni kwa uchache wa elimu yake. 2. Ni kwa asilimia ngapi unachokizungumza wewe kuhusu barzanji kwamba ndicho alichokusudia mtunzi wa kitabu hicho, hakuna uwezekano wa tafsiri yako ( makusudio yako) na yake katika maneno hayohayo ikawa ni tofauti?? 3. Shirki inatokana na itikadi (AQIDA) ambayo ukweli wake ni katika moyo, na mjuzi wa mambo ya kwenye moyo ni Allah pekee. Unatuthibitishiaje kwamba hayo yanayosomwa katika barzanji ndivyo yanavyopita katika moyo wa msomaji kama unavyoeleza wewe? 4. Kuna vitabu vingi vimeandikwa kusherehesha kitabu cha barzanji, ingekua vyema angalau pia ukavitumia na kueleza wanachuoni wameelezaje katika nukta hizo. 5. Kuhusu nukta ya kumuondolea mtu tabu hata mtu wa kawaida anamuonolea mwenzake tabu na shida. Hapa ndipo ninapoona makosa katika kulibeba jambo na kulitafsiri. 6. Katika nukta ya kuwa na dhana nzuri kwa Mtume pia sijakufahamu. Ninavyo fahamu mimi ( na silazima iwe ndivyo) huwezi kumuamini mtume sawa sawa bila ya kuwa na dhana nzuri kwake. Naomba ufafanuzi. Wassalamu Alaikum warahmatullahi wbarakatu.
@@Rolemodel_wa_taifa Huyu hakumbuki kua Kuna mtu kwa furaha tu alisema ewe mola wewe ni mja wangu na Mimi ni mola wako Tena huyu hajui hata kuuliza ni nini
@@khamisiiddi2470 wala hajipapisha kilichopo hapa ni uchach wa malifa na hawa za nafs za watu sheik kasema yy nikatika wale wanao tengenez yale yaliyohalibiwa na watu na hapo hakuna mtu maalu kusema anasubiliw atokee si hvy ni yeyote ambae nasema haki ni hii baada ya kuharibiwa au kufichwa na watu huyu alieandik kitabu cha mauli ikiw nia yake ilikua nzur na hakuwa anajua kuwa anakosema kumpa mtume sifa za Allah bc Allah nd mwenye kujua vilivyomo vifuan mwa waja wake lakin ukwl utabak kuwa pale pale amekosea na sheikh ametoa dalili na kauli za u'lamaa juu ya maneno au sifa alizotumia Ja'afar katk kumsifu nazo mtume ni kwl mtume ana daraj yke lakin hatutakiwi kuchupa mipaka katik kumsifu na shekh hakujiingiz pepon labda ww nd watak kumuingiz sikiliz haki na chukua dalili jua ya haki hyo na km unayo Dalili juu ya maulid kuwa ni ibada na si uzushi toa dalili hapo nd utaiwez hoja sio maneno matupu au kusema mbn masheikh fulani wanafany hii dini si yamashekh ni dini ya Allah kwahyo ibada yote ili iwe sahihi lazima tupate maelekezo kutok kw Allah na mtume wake hvy sio unatetea kitu kwasababu nafs yako inakion kizur wakati hakina dalili kukithibitish uwepo wake katik dini
kilichopo hapa ni uchach wa malifa na hawa za nafs za watu sheik kasema yy nikatika wale wanao tengenez yale yaliyohalibiwa na watu na hapo hakuna mtu maalu kusema anasubiliw atokee si hvy ni yeyote ambae nasema haki ni hii baada ya kuharibiwa au kufichwa na watu huyu alieandik kitabu cha mauli ikiw nia yake ilikua nzur na hakuwa anajua kuwa anakosema kumpa mtume sifa za Allah bc Allah nd mwenye kujua vilivyomo vifuan mwa waja wake na kam nd hvy bx ni juu ya masheikh kubainish kuwa kwny hili la mauli kuna makosa nd maan sheikh ametoa dalili na kauli za u'lamaa juu ya maneno au sifa alizotumia Ja'afar katk kumsifu nazo mtume ni kwl mtume ana daraj yke lakin hatutakiwi kuchupa mipaka katik kumsifu na shekh hakujiingiz pepon labda ww nd watak kumuingiz sikiliz haki na chukua dalili jua ya haki hyo na km unayo Dalili juu ya maulid kuwa ni ibada na si uzushi toa dalili hapo nd utaiwez hoja sio maneno matupu au kusema mbn masheikh fulani wanafany hii dini si yamashekh ni dini ya Allah kwahyo ibada yote ili iwe sahihi lazima tupate maelekezo kutok kw Allah na mtume wake hvy sio unatetea kitu kwasababu nafs yako inakion kizur wakati hakina dalili kukithibitish uwepo wake katik dini
Kadri wakikusema jnazidi kutuelimisha vizuri usichoke shekhe. Wacha tusubiri Munaqasha amesema akufundishe sasa asikimbie tu tunataka tufaidike kielimu mjadiliane kwa njia nzuri ya wema
Wengi Maulidi yametupoteza bila kujuwa. Hatukujuwa mwanzo kuwa NI utaratibu wa Mashia. Sisi tulivamia tuuu. NA HAO MASHIA WALITUNGA MAULIDI WAMEWATUKANA MASAHABA.
Hamna lolote ni mizozo na kujikweza kielimu hizo lugha mnazotumia tu zinaonesha ni c mzozo tu mnatukanana na kusengenyana na mnakoendea mtanza kulaniana
السؤال أكره التعامل مع الكثير من الناس، يضيق صدري، أشعر بأن أغلبهم منافقون، يتحدثون عني، يضحكون في وجهي! لا أعرف المجاملة، وبتعاملي معهم بطيبة أشعر بأني أمثل، ولا أطيق ذلك، أحاول أن أجعل علاقتي رسمية مع الأشخاص في مجال عملي، لا أثق في أحد، ربما كان ذلك بسبب تجربة مررت بها، بعد فسخ عقد قراني من شخص كاذب منافق. هل علي إثم في ذلك؟ بارك الله فيكم. الإجابــة الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله، وصحبه، أما بعد: فنسأل الله أن يوفقك، وأن يطهر قلبك، واعلمي أنه يجب على المسلم أن يحسن الظن بالناس، ويحمل أمورهم على السلامة؛ فقد روى أحمد وأبو داود وغيرهما عن أبي هريرة قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: حسن الظن من العبادة. والحديث ضعف إسناده الألباني، ولكن معناه صحيح، ولا شك. وقد جاء في عون المعبود شرح سنن أبي داود: ( حسن الظن) أي بالمسلمين، وبالله تعالى (من حسن العبادة) أي من جملة حسن العبادة التي يتقرب بها إلى الله تعالى. وفائدة هذا الحديث الإعلام بأن حسن الظن عبادة من العبادات الحسنة، كما أن سوء الظن معصية من معاصي الله تعالى، كما قال تعالى: إن بعض الظن إثم. أي وبعضه حسن من العبادة. كذا في السراج المنير. انتهى. وأما سوء الظن بالمسلمين، فهو محرم؛ لقوله تعالى: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ وَلَا تَجَسَّسُوا وَلَا يَغْتَبْ بَعْضُكُمْ بَعْضًا أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَنْ يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ رَحِيمٌ {الحجرات:12}. وفي الصحيحين عن أبي هريرة عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: إياكم والظن؛ فإن الظن أكذب الحديث. لكن المحرم هو تحقيق سوء الظن بمسلم معين دون ريبة، لا مجرد ما يدور في النفس دون أن يستقر فيها. فقد جاء في شرح مسلم للنووي، في الكلام على حديث أبي هريرة: المراد النهي عن ظن السوء. قال الخطابي: هو تحقيق الظن، وتصديقه دون ما يهجس في النفس؛ فإن ذلك لا يملك. ومراد الخطابي أن المحرم من الظن ما يستمر صاحبه عليه، ويستقر في قلبه دون ما يعرض في القلب ولا يستقر؛ فإن هذا لا يكلف به. كما سبق في حديث: تجاوز الله تعالى عما تحدثت به الأمة ما لم تتكلم، أو تعمد. وسبق تأويله على الخواطر التي لا تستقر، ونقل القاضي عن سفيان أنه قال: الظن الذي يأثم به هو ما ظنه، وتكلم به. فإن لم يتكلم، لم يأثم. اهـ. ولعل من المفيد أن نُذكِّر بما جاء عن أبي هريرة أن رسول الله صلى الله عليه وسلم، قال: إذا قال الرجل: هلك الناس، فهو أهلكهم. أخرجه مسلم. قال النووي: روي أهلكهم على وجهين مشهورين، رفع الكاف، وفتحها. والرفع أشهر، ويؤيده أنه جاء في رواية رويناها في حلية الأولياء، في ترجمة سفيان الثوري، فهو من أهلكهم. قال الحميدي في الجمع بين الصحيحين: الرفع أشهر، ومعناها أشدهم هلاكا. وأما رواية الفتح، فمعناها هو جعلهم هالكين، لا أنهم هلكوا في الحقيقة. واتفق العلماء على أن هذا الذم، إنما هو فيمن قاله على سبيل الإزراء على الناس، واحتقارهم، وتفضيل نفسه عليهم، وتقبيح أحوالهم؛ لأنه لا يعلم سر الله في خلقه. قالوا: فأما من قال ذلك تحزنا لما يرى في نفسه، وفي الناس من النقص في أمر الدين، فلا بأس عليه. كما قال أنس: لا أعرف من أمة النبي صلى الله عليه وسلم إلا أنهم يصلون جميعا. هكذا فسره الإمام مالك، وتابعه الناس عليه. وقال الخطابي: معناه لا يزال الرجل يعيب الناس، ويذكر مساويهم، ويقول فسد الناس، وهلكوا ونحو ذلك. فإذا فعل ذلك، فهو أهلكهم: أي أسوأ حالا منهم بما يلحقه من الإثم في عيبهم، والوقيعة فيهم، وربما أداه ذلك إلى العجب بنفسه، ورؤيته أنه خير منهم .اهـ.
Nakama hukumu itakua hivyo basi ata wewe mzungumzaji basi utaingia ktk hio shirki kwasababu naamini yakwamba tabia yakuwadhania watu dhana nzuri uko nayo
Wewe kijana unajifanya jasiri mbele ya macho ya watu, lakini kwa mwenendo huo naxulimi wako huo mbovu usio wa heshima na adabu mbele ya Wanazuoni wakubwa una mwisho mbaya sana wewe na ulimi wako huo mchafu kama shimo la choo cha kienyeji na mwisho wako utakuwa mbaya sana utahiliki
Kitabu cha barzanj hukutunga ww kwaio ulitakiwa usome fani alotumia barzanj ..kwanz soma lugha ...unajitukanusha sana عبد tu umeshindw kutafsri..je utawez mengne? Kasome kwanza
Nini maana ya Tawassul? Nini maana ya khitwaab Nini maana ya majaziyyah Unajibu sawa lakini sio kielimu saana unatumia akili kutafsiri khadith na aya badala ya kutumia qiyaas,ukitafsiri aya hivyo na khadith Dini itakua ngumu kweli hii Mfano maendeleo ya technology leo utayaharamisha mengi,hata hijjah tunakwenda kwa ndege na mtume hakuwahi kuitaja ndege kwa jina bali kaitaja kwa khitwab na majazi na makkah ni ibada tena inaanzia kwenye dhannah kwa maana ya nia Sasa iko wapi ile aya katika tawbah Allaha anamwambia mtume Qul yaa Muhammad inkuntum tuhibbunallah fattabiun yuhibibukumullah Sema Muhammad kuwambia watu wako kua ikiwa wanampenda mungu basi starti wakupende wewe ndo mungu atampenda mja huyo na ndo atapendwa na mungu na kusamehewa dhambi zake Hii ni khitwab kuwa mambo yote ya ibada yapitie kwa mtume Muhammad na khitwab hiyo kampa mungu mwenyewe,basi kama ni shirk karuhusu mungu mwenyewe Kusoma kote huko Sheikh wangu unashindwaje kuelewa haya?sisi wanafunzi wako wadogo wadogo kabisa tunaelewa?
Ma ashaa ALLAH , tutoeni taka za masikio mn tulikuwa tumejazwa fikira mbaya , Allhamdhullillaih kwa kutuilimisha ktk hayo , na ALLAH awazidishie elimu zaidi mutufikishie nasi mn tulikuwa twazolewa km takataka za Mombasa County
maalim kuwa nalugha mzuli unapofanya daawa kwa ajili yakuwaita watu katka kheeli kwani hata mtume wa allaah Musa alayhi salaam alipo tumwa kwenda kwaaduwi wa allaah fir aun laanatu llaahi alaih alimwambia ambie maneno mazuli huwende ataongoka
Soma somo la عروض والقافية ndio utaijua barazanje kasome Kwa shekhe Alhatmiyyi wwe bado sana kielimu inamaana watu wote waliokufa haliyakua wanasoma maulidi wamekufa washirikina?
WEWE KUWA KAMA BABAKO. HUU SI WAKATI WA KULETA DARSA ZA KUGAWANYA WAISLAMU. LETA HOJA ZA UMOJA. KILA MARA UPUUZI. MAADUI WANATUCHEKA. RUDI SHULE USOME SAYANSI PIA. WACHANA NA MAMBO YA. MAWLIDI
Huyu jamaa lugha iko wazi labda hajui balagha lakini sishangai maana alisema Mtume (S A W)hajui chochote kwenye lawhi L mahfudhi wakati Qur.ani ipo kwenye lawhi L mahfudhi kasuku huyu
NA HIYO NDIO INAONYESHA KUWA NI KWELI UKO MTUPU KABISAA MTU KAONGEA DAKIKA KUMI WEWE KUMJIBU UNAHITAJI MIHADHARA MITATU TENA KWA UFUPI VINGINEVYO UNGEHITAJI MIHADHARA SABA NA KUENDELEA ACHA KUMSINGIZIA MTUME S.A.W NI ELIMU TU HUNA SIO MAKOSA YA HICHO KITABU WALA MTUNGAJI
Tusomeni jamani ila hupaswi kumtia doa mwanazuoni mkubwa inapaswa umfuate alipo tena mwanandani huko umuulize alivyokusudia halafu uje kumkosoa baada ya yy kukuelekeza maana yake .
Na atakae potoshwa na Allah hakuna wa kumuongoza,sheikh kashafikisha ujumbe kazi yake ishakwisha kwaio ukiamua kufuta sawa na ukiamua kukanusha sawa.m/mungu anasema kua jema unalo lifanya ni kwa ajili ya nafsi yako na ovu unalo fanya ni kwa ajili ya nafsi yako na hakuna atakae beba mzigo wa mwenzake.
We mhuni tu huna lolote wewe ndo ujuwa haki kushinda wanachuoni kina suyuti kina taymia wasijuwe kama ni shiriki ujue we kweli nimtihani kuwa na madai kama nyinyi
Allah akuzidishie kheri akuhifadhi endelea kuwakumbusha hakika ukumbusho utawafaa waumini ingawa wengine ukiwatajia barazanje heee wanaona ndio ibadatu. Hata kama kitabu hicho kinamaneno yashirki hawataki kuambiwa. Kumbusha shk usjijali lawama watasemasana hao has ukiwagusa kwenye maulidi
Hii dini ya Allah lazma ipate wasemaji kama hawa bila hivyo wajinga wataiharibu lazma Tauhid ifundishwe sanaaa na Bidaa ikemewe ili umma usije angamia InshaAllah .
Ujinga sio tusi ndugu yangu bali maana ya ujinga ni kutolijua jambo ukiangalia hapo kasifiwa mtume sifa anazostahili Allah na hiyo ni shirki na ndio maana tukasema ni ujinga kutokujua cheo cha Allah na cheo cha mtume
@@kavumohemedi871 umezungumza kwa kiasi Cha elimu yako sifa Mara nyingi Sana Zina mafungamano baina ya ALLAH na waja wake ALLAH mkarimu na ukimwita mtu mkarimu vipi? ALLAH mpole je ukimwita mtu mpole vipi?ALLAH ndie mwenye kuombwa msaada je!ukimuomba mwanaadamu mwenzio msaada naamini tatizo lenu nyinyi mnajengwa misimamo na si kufundishwa dini ndo maana ata akili zenu zimefumbwa katika Mambo maalum
@@mwalimumuhidini1544 kumuomba mtu msaada hiyo ipo ila ukiitikadi kua bila yeye hueezi pata jambo hilo ni kosa rizki anatoa Allah mtu ni sababu hata wewe wazazi wako ni sababu ya kukulea na kukupa chakula ila vyote ivyo mtoaji Allah
@@mwalimumuhidini1544 shehe ukisema mtume anafuta madhambi ukasema ndio kimbilio na kubwa ukasema anajua ghaib hali yeye mwenyewe asema hajui ghaib hilo ni kosa ama si kosa
Baaraka Llaahu Lakum umejitahidi sana kuelezea ustadh lakini suala la dhanna apo ningekuomba upitie tena vuzuri kusema kua kua nadhana nzuri kwa Mtume Swalla Llaahu Alayhi Wasallam ama kwa Muislamu ni shirki apo sikuungi mkono kwasababu nimaneno yanayokwenda kinyume kwamujibu wa Qur'an na Sunnah
Naam radi tuliona tukajua kweli na haki kumbe barzanji hakukosea ww ndio hujafahamu Assalamu alaika yaa mahyadhunuub Al hatimi asema Al isnaadu isnaadan majaaziyan ilaakatuhu sababiya mola akubariki kijana sababu ulichokoza ukaelimishwa na SS pia tukaata faida mola akubariki Sana musikosowe kumbe hamuja fahamu mutafuteni Al hatimi mumuulize awaelekeze mm naona hili jawabu la yaamahya dhunuub nahaya unayo ongea Leo kama ulielewa lile darasa la kwanza hapa hungetatizika
muogopeni Allaah katika kile alichowaneemeshea ktk i'lmu nyie...!!! yaani hata hili nalo mungali mwakosoa??? hata hivyo tungali twawaombea saana watu nyote wa bid'a muongozo kutoka kwa Allah.... aamiyn
Malemba Yuko sawa alimnyoosha kishki mpaka leo katulia Kama moja kaachana na elimu za mijadala afadhali yake kishki anajielewa huyu kasuku bachu yeye hajielewi sijui Kama Hana cheti Cha mental
@@jumamahmoud9271 unajua sisi watu wa zama hizi tunaitwa Mukalliduna ni watu tunaofuata tayari yeshaandikwa na yeshatungwa kutokana na kiwango chetu Cha elimu sisi huchukuwa katika vitabu sasa alikua azungumze ni mwana chuoni gani amesema au kitabu gani Cha mwanachuoni kilichosema ndani ya barzanji mna shirki? Kama ni maneno yake tu basi yeye mwenyewe anajijua kuwa yeye ni mukalid Hana istinbatwi wala hawezi
Kweli mtume alisema kweli karne bora ni ile iliyotangulia kuliko ijayo watu wasiyokuwa na ndio wanazidi km huyu muhammad bachu huna elimu ya kushindana shekhe muhammad alihatamy mwenzako kishki katulia toka alipoekwa sawa kajuwa kweli hana elimu utakuwa ww baleghe inakusumbuwa huna ujuwalo hapo jibu hoja km unaweza tafsiri maneno kw fani za kiarabu balagha nahau swarfu mantwiki
Kweli nyinyi mumepotea. Huyo alhatimi kawapoteza kweli. Kwa ajili kishk siyo mtu wa kujibizana mnaona alimshinda. Sasa mumepata wakuwajibia. Kila huyo hatimi wenu akija na upuuzi wake anaekwa Sawa.
@@abduomar8438 adabu na heshima hutokana na adabu na heshima, kuitwa muongo wakati umedanganya ni ukweli, siyo utovu wa adabu. We ulitaka abu hatim aitwe aje? elmu gani hiyo alo naye ambaye anapata kudanganya uma, hiyo itakuwa siyo ilmu nafi'an.
Dàa muhamad yaani elimu yako wewe kila neno abdu maana yake ni mja daa kasome kwanza usiwapotezee watu muda na wala huna elimu ya kufasiri maneno hayo na hayo mambo haya kunyanyua bali una zidi kuji dharaulisha kaanza baba yako na hajaeleweka utakua wewe kinying'inya
Kama we ni mwarabu basi hata we lugha yako hujui rudi kwenu ukajifunze vizuri kiarabu na balagha Yaani we hujui hapo عبد ilipotumika ilikusudia nini sio hivo huyo kijana anavoitafsiri
Ina maana ukimuekea ndegu yako dhana nzuri kuwa atakusaidia kitu fulani hiyo nishirki, kivipi ? Maanake kinyume chake unatwambia tudhaniane vibaya.hiyo kwanza nikinyume cha Quran. Sasa kama kwa ndugu yako tu mnamdhania Dhana njema, vipi kwa mtume.Jamani mawahabi tumewachoka na upotoshaji wenu. Alafu ukome kumfanana nisha mtume na homeless mjinga kabisa
@@jumamahmoud9271 nimemsikiliza mara nyingi sana.Hawajama na kiarabu chao chakuombea pesa Saudi Arabia ndo wanajifanya wanaweza kumkosoa sheikh barazanji.waende wakasome tena. Na sasa hivi utamuina bingwa sheikh AlHatimi akiwaweka sawa majahili hawa wakiwahabi
Ahlu bida'a nyie sawa sawa na wakristo, hata mkakatazwa vipi katika batwil mnayoifanya hamtakubali kuiacha na kujiunga nasi kwenye ibada ilyosimama kwenye tawhid na Sunnah, Kumwambia ahlu bid'aa aache kumwabudu Mtumi SAW na Sayyidna Ali ni sawa na kumwambia mkiristo aache kumwabudu Yesu na Paulo 😭
Assalam aleikum,nime msikia alhatimy hapo memwisho akisema ati cheo sio tatizo,tatizo ni daraja.yaani kamaanisha cheo cha Allah (SW)na Mtume (SAW) iko sawa isipokua wana daraja tofauti,Allah amsamehe,,,Wallahi msikizeni hilo jamaa line kufruu....(th-cam.com/video/WQysH1cXakA/w-d-xo.html)
Imam Jaffar Sadiq Sadid anawataja miongoni mwa maswahaba waongo katika hadith ni abu ghuraira (angalia bukhari hadith no.5355) na Anas bin malik.kwahiyo hadith za anas bin malik hazina mashiko
@@yunusramadhan2546 Tatizo mawahabi hawajui lugha. Neno moja la kiarabu linaweza kuwa na maana zaidi ya moja. Neno mja silazima liwe na maana ya mungu na kiumbe chake. Neno mja pia linaweza kutumika kwamaana ya mtiifu kwa mwenye kutwiiwa. Je sisi wsislam si watwiifu kwa mtume? Kwamaana hiyo sisi ni waja wake. Mawahabi hawana wajuacho ndo maana wakawa na mungu wa kiyahudi. Mungu wa mawahabi ana viungo kama binadamu tena anapanda na kushuka kama ndege.tena mungu wao anakaa mbinguni kama mbinguni kama mawingu. Pia mungu wao huchoka alajitaji msaada wa malaika. Pia mungu wao ana godoro na ndala za dhahabu. Na zaidi ya hayo. Kweli hizi ni sifa za Allah au mungu wakiyahudi.huu ni ushirik8na na ukafiri uliowazi.ukiyata haya soma kitabu cha ibn Taymiyah majmaul fatawa vol.2, vol 3 had 7
Hivyo ndiyo vizuri wasiyojua wanasikia wanaelemika wanaacha ikifanyakimyakimya kuna wario poyea hawajui itakuaje sindiyo wataemdele kumshilikisha Allah
Kweli huyu kasuku elimu Hana lakini alikua atumie japo wanazuoni anao wategemea ambao walisema barzanji Ina shirki ili apate kujenga hoja vizuri hata Kama za makosa
Mashaallah sheikh Muhammad bachu mm nimejifunza kitu kutoka kwako mwanzo jamii iliyonizunguka ilikuwa inakuponda na inakusema kuwa huna elimu na unatukana watu mwisho wakasema usisikilize mawaidha yake mm ndio nikawa na hamu ya kujua undani na ukweli kuhusu darsa zako hasa hiyo ya maulid nikagundua kumbe upo ktk haki na umetuonesha uongo uliomo kwenye barzanji Mashaallah Allah akulipe kheyri mm ni PROFESA FAHAD ABDULLA OMAR na Madhehebu yangu ni Ibaadhi na jamii ninayokaa nayo wengi ni Sunni mtaa wa bububu Zanzibar
Maashaa Allah sheikh Muhammad Allah akubarik akuzidishie afya na akuhifadhi ww na familia yako na Ummat Muhammad SAW
Barakallahu fik twaailimika kikweli kweli sasa shekhe TWAKUOMBEA KILA LAKHERI SHEIKH
Wallah Nassor Bachu ametuachia balaa huyu mtoto ni laana yaan kwa hii part one yake tu kanifanya nizid kuipenda MAULID kwa asilimia 90 zaidi ya hapo nyuma.
Baba yangu juzi tu hapa kabla ya hapa amenambia huyu mtoto fujo zake maneno yake ni kama baba yake enzi zao Nassor Bachu aliwavuruga sana.
Vilaza wawili.
Al Marjeby from Oman
Hao ni watoto tu
Washachapwa wengitu wakakaa chini
Kilaza ni wewe fanya adabu
@@wadudi2741 dini haina utoto ni elmu ndio tunaangalia
Hana fani hata kidogo
Sheh babayako nikipenz chawengi hakuwahi kutumia luha za matusi katika kukosoa mfuate nyayozake Allah amrehemu inshaallah
Hakuna tusi hapo sheikh: Tusizungumze mambo kwa dhulma na uadui, bali kwa Elmu na Uadilifu Tafadhali sana.
@@selemanmartin umesema kweli wala hukupunguza umesema yanayostahiki.
ماشاءالله تبارك الله.. العلم كلبحر كلما شربت منه زداد عطش 👍
Mimi mwalim wangu sijui kwanini alikua mzito kuniacha nikachote elimu kwa wana wazuoni tofautitofauti…..Lakin naona ningekua mtu mwenye elimu kubwa na upeo mkubwa kuwazid hawa mashekhe ubwabwa kama huyu MUHAMMAD BACHU 😅😅😅 yaan jazba nyingi kuliko uelewa wa anayo yasoma pole BACHU pole sana BACHU 😅😅😅😅
Wapenda ubwabwa lzm wayakumbatie madubwashika viduku na vioja vya magoma ila kumbuken ya kuwa Allah anawaona
Mungu anajua zaidi, hakuna dhambi ya Waislam kuwa pamj na kumsifu mtume wetu, huna muda huo fanya mengine. Ila Kukumbushana mambo ya mtume sio shirki, binafsi nina akili timamu, nitatekeleza yote ninayohisi sitaharibu Uislam wangu, tumepewa akili ili kubaini
Kasome dini kijana usizungumze kitu bila ya elimi
Tunatakiwa kufuata mafundisho yake na kuacha alichokataza na si kumsifu, tuwe makini Waislam
Allah akuhifadh sheikh wetu kipenzi
Sheikh au takataka!!! Huyo kijana ana kibri sana yaani! Anajiona anajua saana wakati wale waliobobea katika elimu wako kimya. Ukimuona mtu anapenda upuuzi anaoufanya BACHU jua ni mweupe kwa wenye elimu.
Amiin 🤲
@@user412 tumia hoja wacha matusi, au ukweli unauma?
Wape ukweeli sheqh Bachu Jr
Maana wapenda Ubwabwa wamejipachika malemba mapete menqi vidoleeni, wenyew wanajiita Ahbabi Rasul.
Mambo mambo wende kwenye hayo maulid yao af wakose Ubwabwa
Haaapo utawaona wanavimba km mabunju.
Mwenyezimgu akisema Hakuna upinzani Ila mwanadamu ufahamu uko tofauti
Jazak Allah
Assalam Alaikum. Shukran sana Akhii kwa nia yako nzuri ya kutaka kubainisha mabaya yaliyomo katika barzanji. kwa kweli ni kitabu tunachokisoma sana lakini ningekuomba unisaidie na utusaidie kwa sote mambo yafuatayo. 1. Tueleze Jaafar albarzanji alikua ni nani na alikua anachukuliwaje katika zama zake. hili litatuonesha njia ya kujua kwamba aliandika maneno ya shirki kwa makusudi kupotosha umma au ni kwa uchache wa elimu yake. 2. Ni kwa asilimia ngapi unachokizungumza wewe kuhusu barzanji kwamba ndicho alichokusudia mtunzi wa kitabu hicho, hakuna uwezekano wa tafsiri yako ( makusudio yako) na yake katika maneno hayohayo ikawa ni tofauti?? 3. Shirki inatokana na itikadi (AQIDA) ambayo ukweli wake ni katika moyo, na mjuzi wa mambo ya kwenye moyo ni Allah pekee. Unatuthibitishiaje kwamba hayo yanayosomwa katika barzanji ndivyo yanavyopita katika moyo wa msomaji kama unavyoeleza wewe? 4. Kuna vitabu vingi vimeandikwa kusherehesha kitabu cha barzanji, ingekua vyema angalau pia ukavitumia na kueleza wanachuoni wameelezaje katika nukta hizo. 5. Kuhusu nukta ya kumuondolea mtu tabu hata mtu wa kawaida anamuonolea mwenzake tabu na shida. Hapa ndipo ninapoona makosa katika kulibeba jambo na kulitafsiri. 6. Katika nukta ya kuwa na dhana nzuri kwa Mtume pia sijakufahamu. Ninavyo fahamu mimi ( na silazima iwe ndivyo) huwezi kumuamini mtume sawa sawa bila ya kuwa na dhana nzuri kwake. Naomba ufafanuzi. Wassalamu Alaikum warahmatullahi wbarakatu.
@@saidimkwinzu9106 Akuna jibu hapo la swali lililoulizwa soma tena swali lake kama unaweza jibu kama huwezi kaa utulie ama kasomeshwe
@@Rolemodel_wa_taifa Huyu hakumbuki kua Kuna mtu kwa furaha tu alisema ewe mola wewe ni mja wangu na Mimi ni mola wako Tena huyu hajui hata kuuliza ni nini
@@khamisiiddi2470 wala hajipapisha kilichopo hapa ni uchach wa malifa na hawa za nafs za watu sheik kasema yy nikatika wale wanao tengenez yale yaliyohalibiwa na watu na hapo hakuna mtu maalu kusema anasubiliw atokee si hvy ni yeyote ambae nasema haki ni hii baada ya kuharibiwa au kufichwa na watu huyu alieandik kitabu cha mauli ikiw nia yake ilikua nzur na hakuwa anajua kuwa anakosema kumpa mtume sifa za Allah bc Allah nd mwenye kujua vilivyomo vifuan mwa waja wake lakin ukwl utabak kuwa pale pale amekosea na sheikh ametoa dalili na kauli za u'lamaa juu ya maneno au sifa alizotumia Ja'afar katk kumsifu nazo mtume ni kwl mtume ana daraj yke lakin hatutakiwi kuchupa mipaka katik kumsifu na shekh hakujiingiz pepon labda ww nd watak kumuingiz sikiliz haki na chukua dalili jua ya haki hyo na km unayo Dalili juu ya maulid kuwa ni ibada na si uzushi toa dalili hapo nd utaiwez hoja sio maneno matupu au kusema mbn masheikh fulani wanafany hii dini si yamashekh ni dini ya Allah kwahyo ibada yote ili iwe sahihi lazima tupate maelekezo kutok kw Allah na mtume wake hvy sio unatetea kitu kwasababu nafs yako inakion kizur wakati hakina dalili kukithibitish uwepo wake katik dini
kilichopo hapa ni uchach wa malifa na hawa za nafs za watu sheik kasema yy nikatika wale wanao tengenez yale yaliyohalibiwa na watu na hapo hakuna mtu maalu kusema anasubiliw atokee si hvy ni yeyote ambae nasema haki ni hii baada ya kuharibiwa au kufichwa na watu huyu alieandik kitabu cha mauli ikiw nia yake ilikua nzur na hakuwa anajua kuwa anakosema kumpa mtume sifa za Allah bc Allah nd mwenye kujua vilivyomo vifuan mwa waja wake na kam nd hvy bx ni juu ya masheikh kubainish kuwa kwny hili la mauli kuna makosa nd maan sheikh ametoa dalili na kauli za u'lamaa juu ya maneno au sifa alizotumia Ja'afar katk kumsifu nazo mtume ni kwl mtume ana daraj yke lakin hatutakiwi kuchupa mipaka katik kumsifu na shekh hakujiingiz pepon labda ww nd watak kumuingiz sikiliz haki na chukua dalili jua ya haki hyo na km unayo Dalili juu ya maulid kuwa ni ibada na si uzushi toa dalili hapo nd utaiwez hoja sio maneno matupu au kusema mbn masheikh fulani wanafany hii dini si yamashekh ni dini ya Allah kwahyo ibada yote ili iwe sahihi lazima tupate maelekezo kutok kw Allah na mtume wake hvy sio unatetea kitu kwasababu nafs yako inakion kizur wakati hakina dalili kukithibitish uwepo wake katik dini
Kadri wakikusema jnazidi kutuelimisha vizuri usichoke shekhe. Wacha tusubiri Munaqasha amesema akufundishe sasa asikimbie tu tunataka tufaidike kielimu mjadiliane kwa njia nzuri ya wema
I never used to like this sheikh but since he attended dr. Mohammed Salim's lecture sina budi😁
You don't know yourself kijana
wajua shirk kweli ???
A/aleykum Shekhe Muhammad Nassor Bachu natamani nije nisome kwako niambie upo wapi kwenye madarisi yako happy Unguja
Wewe kijana muogope m mungu wewe usifikirie wote hatuna elimu acha kupotosha wewe muogope m mungu
nenda kasome kijana
Waslaam mnatudhalilisha wenzenu haya sio mambo ya msingui ya dini yetu,yani vurugushani?
Wengi Maulidi yametupoteza bila kujuwa. Hatukujuwa mwanzo kuwa NI utaratibu wa Mashia. Sisi tulivamia tuuu. NA HAO MASHIA WALITUNGA MAULIDI WAMEWATUKANA MASAHABA.
Huna kitabu unachokijua na huna elimu
Sawa kabisa
Asalam aleykum ndg zangu hii ni dini ya Allah si yamtu
Khatari ni kwako ambae wakosoa barzanji wala hujaifahamu lugha
Inaonyesha huyo mnae mjibu ni mwanawachuoni mkubwa anatoa maneno dakika 12 nyinyi kumjibu mtumie siku 3 kweli mnateseka kwa uhaba wa elimu
Dakika mbili ju Hana elmu Wacha wenye elmu wamwage elmu
Hamna lolote ni mizozo na kujikweza kielimu hizo lugha mnazotumia tu zinaonesha ni c mzozo tu mnatukanana na kusengenyana na mnakoendea mtanza kulaniana
Nasubir muendelezo😍
Safiiiishaaa safisha babaaa allah akuafikishe
Samahni sheikh elimu inakuhus tena nende kasome kiarab vizur
Anza wewe ukasome Kisha yeye
@@fatmafatu1128 kwan me ndo ninane jibu au .mwambie aiskilze ten ile video Amuone mtu anavo fafanua
السؤال
أكره التعامل مع الكثير من الناس، يضيق صدري، أشعر بأن أغلبهم منافقون، يتحدثون عني، يضحكون في وجهي! لا أعرف المجاملة، وبتعاملي معهم بطيبة أشعر بأني أمثل، ولا أطيق ذلك، أحاول أن أجعل علاقتي رسمية مع الأشخاص في مجال عملي، لا أثق في أحد، ربما كان ذلك بسبب تجربة مررت بها، بعد فسخ عقد قراني من شخص كاذب منافق. هل علي إثم في ذلك؟ بارك الله فيكم.
الإجابــة
الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله، وصحبه، أما بعد:
فنسأل الله أن يوفقك، وأن يطهر قلبك، واعلمي أنه يجب على المسلم أن يحسن الظن بالناس، ويحمل أمورهم على السلامة؛ فقد روى أحمد وأبو داود وغيرهما عن أبي هريرة قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: حسن الظن من العبادة. والحديث ضعف إسناده الألباني، ولكن معناه صحيح، ولا شك.
وقد جاء في عون المعبود شرح سنن أبي داود: ( حسن الظن) أي بالمسلمين، وبالله تعالى (من حسن العبادة) أي من جملة حسن العبادة التي يتقرب بها إلى الله تعالى. وفائدة هذا الحديث الإعلام بأن حسن الظن عبادة من العبادات الحسنة، كما أن سوء الظن معصية من معاصي الله تعالى، كما قال تعالى: إن بعض الظن إثم. أي وبعضه حسن من العبادة. كذا في السراج المنير. انتهى.
وأما سوء الظن بالمسلمين، فهو محرم؛ لقوله تعالى: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ وَلَا تَجَسَّسُوا وَلَا يَغْتَبْ بَعْضُكُمْ بَعْضًا أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَنْ يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ رَحِيمٌ {الحجرات:12}. وفي الصحيحين عن أبي هريرة عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: إياكم والظن؛ فإن الظن أكذب الحديث. لكن المحرم هو تحقيق سوء الظن بمسلم معين دون ريبة، لا مجرد ما يدور في النفس دون أن يستقر فيها.
فقد جاء في شرح مسلم للنووي، في الكلام على حديث أبي هريرة: المراد النهي عن ظن السوء.
قال الخطابي: هو تحقيق الظن، وتصديقه دون ما يهجس في النفس؛ فإن ذلك لا يملك.
ومراد الخطابي أن المحرم من الظن ما يستمر صاحبه عليه، ويستقر في قلبه دون ما يعرض في القلب ولا يستقر؛ فإن هذا لا يكلف به. كما سبق في حديث: تجاوز الله تعالى عما تحدثت به الأمة ما لم تتكلم، أو تعمد. وسبق تأويله على الخواطر التي لا تستقر، ونقل القاضي عن سفيان أنه قال: الظن الذي يأثم به هو ما ظنه، وتكلم به. فإن لم يتكلم، لم يأثم. اهـ.
ولعل من المفيد أن نُذكِّر بما جاء عن أبي هريرة أن رسول الله صلى الله عليه وسلم، قال: إذا قال الرجل: هلك الناس، فهو أهلكهم. أخرجه مسلم.
قال النووي: روي أهلكهم على وجهين مشهورين، رفع الكاف، وفتحها. والرفع أشهر، ويؤيده أنه جاء في رواية رويناها في حلية الأولياء، في ترجمة سفيان الثوري، فهو من أهلكهم. قال الحميدي في الجمع بين الصحيحين: الرفع أشهر، ومعناها أشدهم هلاكا.
وأما رواية الفتح، فمعناها هو جعلهم هالكين، لا أنهم هلكوا في الحقيقة. واتفق العلماء على أن هذا الذم، إنما هو فيمن قاله على سبيل الإزراء على الناس، واحتقارهم، وتفضيل نفسه عليهم، وتقبيح أحوالهم؛ لأنه لا يعلم سر الله في خلقه. قالوا: فأما من قال ذلك تحزنا لما يرى في نفسه، وفي الناس من النقص في أمر الدين، فلا بأس عليه. كما قال أنس: لا أعرف من أمة النبي صلى الله عليه وسلم إلا أنهم يصلون جميعا. هكذا فسره الإمام مالك، وتابعه الناس عليه.
وقال الخطابي: معناه لا يزال الرجل يعيب الناس، ويذكر مساويهم، ويقول فسد الناس، وهلكوا ونحو ذلك. فإذا فعل ذلك، فهو أهلكهم: أي أسوأ حالا منهم بما يلحقه من الإثم في عيبهم، والوقيعة فيهم، وربما أداه ذلك إلى العجب بنفسه، ورؤيته أنه خير منهم .اهـ.
Kwamaelezo yahapo juu sidhanii kama kua nadhana nzuri kwamuislamu ndio unaingia kwenye shirki
Nakama hukumu itakua hivyo basi ata wewe mzungumzaji basi utaingia ktk hio shirki kwasababu naamini yakwamba tabia yakuwadhania watu dhana nzuri uko nayo
Wewe kijana unajifanya jasiri mbele ya macho ya watu, lakini kwa mwenendo huo naxulimi wako huo mbovu usio wa heshima na adabu mbele ya Wanazuoni wakubwa una mwisho mbaya sana wewe na ulimi wako huo mchafu kama shimo la choo cha kienyeji na mwisho wako utakuwa mbaya sana utahiliki
hhhhhhhhhhhh, umeumia enh, Allah akuongoze.
Haki inawachomeni nyoyo zenu
@@eastzooadmin6416 hakki ya CUF au
Mwisho wako hujaujua halafu unaanzaje kumtabiria au kumsema mwemzako eti ataishia vibaya 😢... mbona unajisahau
@@mwalimumuhidini1544 Ndio yenu hayo, eti mbuzi na ngamia walizungumza kiarabu fus'ha alipozaliwa mtume 😂
Kitabu cha barzanj hukutunga ww kwaio ulitakiwa usome fani alotumia barzanj ..kwanz soma lugha ...unajitukanusha sana عبد tu umeshindw kutafsri..je utawez mengne? Kasome kwanza
Ataka kusomeshwa tena hana ajualo atafsiri apendavyo yeye na kupotosha ambao hawaja soma
Ssa c umeenda mombasa weye c ungemfata al hatimiy yan utoke unguja mpk mombasa alipo mohamed alhatimiy afu unafany muhadhara msikitin Acha uoga km unajiamin Mfate hpo Acha porojo elmu yko bdo kasome nahaw vizr lugha yakusumbua bachu
Nini maana ya Tawassul?
Nini maana ya khitwaab
Nini maana ya majaziyyah
Unajibu sawa lakini sio kielimu saana unatumia akili kutafsiri khadith na aya badala ya kutumia qiyaas,ukitafsiri aya hivyo na khadith Dini itakua ngumu kweli hii
Mfano maendeleo ya technology leo utayaharamisha mengi,hata hijjah tunakwenda kwa ndege na mtume hakuwahi kuitaja ndege kwa jina bali kaitaja kwa khitwab na majazi na makkah ni ibada tena inaanzia kwenye dhannah kwa maana ya nia
Sasa iko wapi ile aya katika tawbah Allaha anamwambia mtume Qul yaa Muhammad inkuntum tuhibbunallah fattabiun yuhibibukumullah
Sema Muhammad kuwambia watu wako kua ikiwa wanampenda mungu basi starti wakupende wewe ndo mungu atampenda mja huyo na ndo atapendwa na mungu na kusamehewa dhambi zake
Hii ni khitwab kuwa mambo yote ya ibada yapitie kwa mtume Muhammad na khitwab hiyo kampa mungu mwenyewe,basi kama ni shirk karuhusu mungu mwenyewe
Kusoma kote huko Sheikh wangu unashindwaje kuelewa haya?sisi wanafunzi wako wadogo wadogo kabisa tunaelewa?
Bachu TUPE USHAHIDI WAPI MTUME KALA UROJO
Ma ashaa ALLAH , tutoeni taka za masikio mn tulikuwa tumejazwa fikira mbaya , Allhamdhullillaih kwa kutuilimisha ktk hayo , na ALLAH awazidishie elimu zaidi mutufikishie nasi mn tulikuwa twazolewa km takataka za Mombasa County
Nenda kasome tena hunaunachokijua katka tafsiri ya rugha we we
Nyinyi hamuna kuilimisha munapotosha tuu,mwenye kusoma maulidi asome,asotaka anyamaze akhera ndio tutakutanahuko.nyinyi endeleeni tafuteni umaarufu
Yan watu wakikuona upo kimya wanakutafuta makusud kisha wasem huna adabu. Wabamize vizul tu ili wakaee kwa kutulia
Kaongea pumba tupu
@@ZQTANZANIA pumba ipi au ukweli wauma?
@@ZQTANZANIA pumba ipi hapo, tuache ufusi sklza points halaf utafakar
Bacho, mungu akubarique. Na siache dawa hii.insha anlah.
Bacho, mungu akubarique. Na siache dawa hii.insha anlah.
Uchache wenu wa uelewa na ukosefu wa elimu ndio kinachowasumbua,
Ww mwenye uelewa mkubwa waeleweshe wenzako
Unatuaibisha Muhammad, tulia tu.
Hakuna kutulia vitabu vyao vinatbu wacha watu waelimike! Uchafu mtupu kumbe haki iko wazi!
Hujatoa points wenzako wanapo toa tafsir wanafafanua irabu .
Huyu mshirikina
Niliwah kuwasikia wanawazuoni wanasema marhem BACHU aliota ndoto …. Naomba kujua kwani ilikua ndoto gani hiyo
بارك الله فيكم،Naam lazima haki isemwe na hii ndio dini
maalim kuwa nalugha mzuli unapofanya daawa kwa ajili yakuwaita watu katka kheeli kwani hata mtume wa allaah Musa alayhi salaam alipo tumwa kwenda kwaaduwi wa allaah fir aun laanatu llaahi alaih alimwambia ambie maneno mazuli huwende ataongoka
Huyu mtoto wa Bachu hana mawaidha mengine zaidi ya UBISHI wa.MAULIDI !!?. Mzee wake alikuwa ni mtu mwenye busara kubwa !!
Soma somo la عروض والقافية ndio utaijua barazanje kasome Kwa shekhe Alhatmiyyi wwe bado sana kielimu inamaana watu wote waliokufa haliyakua wanasoma maulidi wamekufa washirikina?
Una baleghe ya elimu
WEWE KUWA KAMA BABAKO. HUU SI WAKATI WA KULETA DARSA ZA KUGAWANYA WAISLAMU. LETA HOJA ZA UMOJA. KILA MARA UPUUZI. MAADUI WANATUCHEKA. RUDI SHULE USOME SAYANSI PIA. WACHANA NA MAMBO YA. MAWLIDI
MUHAMMAD bachu hadith unazozitoa tafauti na maada unao zungumza,kisha HADITHI DHAIFU KWENU ZINA TUMIKA
Anazisoma sindiyo zimeandikwakwenye Balazenji yenu mnayoitumia kwenye mauridi zenu
Huyu jamaa lugha iko wazi labda hajui balagha lakini sishangai maana alisema Mtume (S A W)hajui chochote kwenye lawhi L mahfudhi wakati Qur.ani ipo kwenye lawhi L mahfudhi kasuku huyu
uckurkupuke utangukia pua
@@jumahamad696 wapi nimekurupuka au nimesema uongo huyu jamaa hafai hata kupewa watoto wadogo awafundishe
Hii hadithi wadhanieni mema waumini hii hadithi tuiweke makazi gani
Balagha gani sasa...hii ndo mbinu chafu mnazozitumia kuwapotoa watu
@@ramadhanomar8093 hujui Kama mwenye elimu ndogo na anataka kusimamia Mambo ya elimu amepotea na amewapoteza wengine
Hakuna ulijualo kaa chini usomeshwe
Nyinyi watoto kaeni kimya nyinyi hamjui kitu kaeni kimya,dini haiwi hivyo.nyinyi mnapaswa muzuwiwe kwani mnasababisha machafuko ktk dini.kwanza kasomeni msiropokwe TU, msione mnatengeneza ili Hali mnabomoa.
NA HIYO NDIO INAONYESHA KUWA NI KWELI UKO MTUPU KABISAA
MTU KAONGEA DAKIKA KUMI
WEWE KUMJIBU UNAHITAJI MIHADHARA MITATU TENA KWA UFUPI VINGINEVYO UNGEHITAJI MIHADHARA SABA NA KUENDELEA
ACHA KUMSINGIZIA MTUME S.A.W
NI ELIMU TU HUNA
SIO MAKOSA YA HICHO KITABU WALA MTUNGAJI
Baarakallah feekum.
Utawabuluza wasiojua au maanswari wenzako ndio waongopee
Nakubali sheikhe mungu akulinde
Tusomeni jamani ila hupaswi kumtia doa mwanazuoni mkubwa inapaswa umfuate alipo tena mwanandani huko umuulize alivyokusudia halafu uje kumkosoa baada ya yy kukuelekeza maana yake .
BACHU kosoa vitabu vya Imamu Albani ili tujue mapungufu yake pia.
ظنوا بالمؤمنين خيرا
Wadhanieni mazuri wamini wenzenu , HII NI HADITHI YA MTUME.
Si mahali pake
Ukweli usemwe
Tafsiri duni kasome lugha vizuri Mungu akusanehe wewe usojua wapinga nini
SASA UGENI NDIO
KUTUNGA UONGO NA KUTOA TAFSIRI ZA KUTUNGA KUDANGANYA WATU KUHUSU MAANA YA MANENO SIO??
Huyu kijana ni kichaa!! eti wanaosoma maulidi na wanaohudhuria wanamkufuru Mungu hivyo wanaenda motoni.Huyu anakaribia kutembea uchi.
Na atakae potoshwa na Allah hakuna wa kumuongoza,sheikh kashafikisha ujumbe kazi yake ishakwisha kwaio ukiamua kufuta sawa na ukiamua kukanusha sawa.m/mungu anasema kua jema unalo lifanya ni kwa ajili ya nafsi yako na ovu unalo fanya ni kwa ajili ya nafsi yako na hakuna atakae beba mzigo wa mwenzake.
@@jumamahmoud9271 huyo ni mpumbavu tu!! eti wanaosoma maulidi wataingia motoni, hana elimu na atawadanganya wajinga wenzie.
@@jumamahmoud9271 huo si ujumbe ni mipasho keshawapasha huyo ni malkia wa mipasho mwenziwe Khadija kopa
We mhuni tu huna lolote wewe ndo ujuwa haki kushinda wanachuoni kina suyuti kina taymia wasijuwe kama ni shiriki ujue we kweli nimtihani kuwa na madai kama nyinyi
Allah akuzidishie kheri akuhifadhi endelea kuwakumbusha hakika ukumbusho utawafaa waumini ingawa wengine ukiwatajia barazanje heee wanaona ndio ibadatu. Hata kama kitabu hicho kinamaneno yashirki hawataki kuambiwa. Kumbusha shk usjijali lawama watasemasana hao has ukiwagusa kwenye maulidi
Allahu Akbar Kabira
Marhabaaa
Pia fanyeni insaf ya kumraddi na Imamu Albany ambaye amehalalalisha punyeto mchana wa Ramadhan.
Hii dini ya Allah lazma ipate wasemaji kama hawa bila hivyo wajinga wataiharibu lazma Tauhid ifundishwe sanaaa na Bidaa ikemewe ili umma usije angamia InshaAllah .
Huyu keshauangamiza maana dereva wa bodaboda kapewa meli aendeshe unatarajia nini?
Ujinga sio tusi ndugu yangu bali maana ya ujinga ni kutolijua jambo ukiangalia hapo kasifiwa mtume sifa anazostahili Allah na hiyo ni shirki na ndio maana tukasema ni ujinga kutokujua cheo cha Allah na cheo cha mtume
@@kavumohemedi871 umezungumza kwa kiasi Cha elimu yako sifa Mara nyingi Sana Zina mafungamano baina ya ALLAH na waja wake ALLAH mkarimu na ukimwita mtu mkarimu vipi? ALLAH mpole je ukimwita mtu mpole vipi?ALLAH ndie mwenye kuombwa msaada je!ukimuomba mwanaadamu mwenzio msaada naamini tatizo lenu nyinyi mnajengwa misimamo na si kufundishwa dini ndo maana ata akili zenu zimefumbwa katika Mambo maalum
@@mwalimumuhidini1544 kumuomba mtu msaada hiyo ipo ila ukiitikadi kua bila yeye hueezi pata jambo hilo ni kosa rizki anatoa Allah mtu ni sababu hata wewe wazazi wako ni sababu ya kukulea na kukupa chakula ila vyote ivyo mtoaji Allah
@@mwalimumuhidini1544 shehe ukisema mtume anafuta madhambi ukasema ndio kimbilio na kubwa ukasema anajua ghaib hali yeye mwenyewe asema hajui ghaib hilo ni kosa ama si kosa
Baarrakaallah
Kudadeki zenu hamna hekma dini munaiharibu munawafanya wasiojua waone kumbe dini haieleweki
Wewe ni mbwa
Baaraka Llaahu Lakum umejitahidi sana kuelezea ustadh lakini suala la dhanna apo ningekuomba upitie tena vuzuri kusema kua kua nadhana nzuri kwa Mtume Swalla Llaahu Alayhi Wasallam ama kwa Muislamu ni shirki apo sikuungi mkono kwasababu nimaneno yanayokwenda kinyume kwamujibu wa Qur'an na Sunnah
Wacha kuita watu washirikina hujui mwisho wako Allah ndo anajua tupo sawa ama hatupo sawa mi siachi maulidi hauna hoja zozote
Swalehe, kwani wewe mshirikina? Mbona unahamaki
Vitu shikivoko
Masheqi hawa. Wanafanya da awa kalego lawo binnafsitu
TUPE USHAHIDI WAPI MTUME KALA UROJO
Twataka qawla llayina apo atutaki makasiriko na maneno machafu mtume hakuwa ivo eleweni
Hana makasiriko ndio uslubu wake wakufikisha da'awa kila mtu alijaaliwa namna ya ufikishaji hatuezi fanana
Naam radi tuliona tukajua kweli na haki kumbe barzanji hakukosea ww ndio hujafahamu Assalamu alaika yaa mahyadhunuub Al hatimi asema Al isnaadu isnaadan majaaziyan ilaakatuhu sababiya mola akubariki kijana sababu ulichokoza ukaelimishwa na SS pia tukaata faida mola akubariki Sana musikosowe kumbe hamuja fahamu mutafuteni Al hatimi mumuulize awaelekeze mm naona hili jawabu la yaamahya dhunuub nahaya unayo ongea Leo kama ulielewa lile darasa la kwanza hapa hungetatizika
صُمٌّ بُكْمٌ عُمْيٌ فَهُمْ لَا يَرْجِعُونَ
muogopeni Allaah katika kile alichowaneemeshea ktk i'lmu nyie...!!! yaani hata hili nalo mungali mwakosoa??? hata hivyo tungali twawaombea saana watu nyote wa bid'a muongozo kutoka kwa Allah.... aamiyn
Sio mizozo nikuwafunza watu waache bid'aa
Swadaka,mngekaa kimya tungeelewa kwamba ni haqi.kumbe sio haqi.sisi tusiekuwa nailimu inatusaidia kuwajuwa ni masheikh gani tuwafwate kwakuwasikiza.
Haya tunamsubiri malemba aje kujibu haya
Malemba Yuko sawa alimnyoosha kishki mpaka leo katulia Kama moja kaachana na elimu za mijadala afadhali yake kishki anajielewa huyu kasuku bachu yeye hajielewi sijui Kama Hana cheti Cha mental
Maulidi halali na dufu nazipenda sana
@@mwalimumuhidini1544 tusubiri tuone nani atamkimbia mwenzake lakini tujue kua m/mungu haipi nguvu batwil wala hampi nguvu mwenye kufanya batwil(ovu)
@@jumamahmoud9271 Kweli ndio maana huyu hana nguvu wala ushawishi
@@jumamahmoud9271 unajua sisi watu wa zama hizi tunaitwa Mukalliduna ni watu tunaofuata tayari yeshaandikwa na yeshatungwa kutokana na kiwango chetu Cha elimu sisi huchukuwa katika vitabu sasa alikua azungumze ni mwana chuoni gani amesema au kitabu gani Cha mwanachuoni kilichosema ndani ya barzanji mna shirki? Kama ni maneno yake tu basi yeye mwenyewe anajijua kuwa yeye ni mukalid Hana istinbatwi wala hawezi
Wa penda maulid wote ni njaa ndomana una ona wana pika wali mwingi
Wafanya kazi wote ni njaa
Lazima useme ukweli
Sasa hapo ghurabaa ni Masalafi au maanswari Sunna maana wote mnatoana ktk dini
Hivi tumkumbilie Nan Kama so mtume
Mkimbile Allah subhanahu wataala ndie anaestahiki kukusudiwa na viumbe vyote
Kasome dini vizuri
Kweli mtume alisema kweli karne bora ni ile iliyotangulia kuliko ijayo watu wasiyokuwa na ndio wanazidi km huyu muhammad bachu huna elimu ya kushindana shekhe muhammad alihatamy mwenzako kishki katulia toka alipoekwa sawa kajuwa kweli hana elimu utakuwa ww baleghe inakusumbuwa huna ujuwalo hapo jibu hoja km unaweza tafsiri maneno kw fani za kiarabu balagha nahau swarfu mantwiki
Kweli nyinyi mumepotea. Huyo alhatimi kawapoteza kweli. Kwa ajili kishk siyo mtu wa kujibizana mnaona alimshinda. Sasa mumepata wakuwajibia. Kila huyo hatimi wenu akija na upuuzi wake anaekwa Sawa.
@@artanahm3389 unaongea nini mtovu wa adabu km muhammad bachu kwanza kuweni na adabu na heshima
@@abduomar8438 adabu na heshima hutokana na adabu na heshima, kuitwa muongo wakati umedanganya ni ukweli, siyo utovu wa adabu. We ulitaka abu hatim aitwe aje? elmu gani hiyo alo naye ambaye anapata kudanganya uma, hiyo itakuwa siyo ilmu nafi'an.
@@artanahm3389 tupu nendeni musitushulishe watovu wa adabu elimu hamuna adabu hamuna
@@artanahm3389 tupu nendeni musitushulishe watovu wa adabu elimu hamuna adabu hamuna
DOGO HUNA ELIMU NITAKUFUNZA MUDA MFUPI UJAO
Wewe ndo Huna Elimu,Ahl-Bi'daa we.
@@selemanmartin we na huyo dogo hali moja
Umesema kweli ni haki
Dàa muhamad yaani elimu yako wewe kila neno abdu maana yake ni mja daa kasome kwanza usiwapotezee watu muda na wala huna elimu ya kufasiri maneno hayo na hayo mambo haya kunyanyua bali una zidi kuji dharaulisha kaanza baba yako na hajaeleweka utakua wewe kinying'inya
chuki izoooo, Allah akuongoe
Yaani sheikh nassor hakueleweka ?labda hujaeleweka wewe sh nassor alikua simba katika masimba wa zbar kwa utetezi wa sunna
Abdu ama Abd ina maana ya mja au mtumwa, hamna maana nyengine
@@eastzooadmin6416 huo ndio mwisho wa elimu yako ndogo
@@mwalimumuhidini1544 Enhe wewe mwenye ilm kubwa ndo la kutuambia sasa, nini maana ya Abdu 😀
Hayo mambo ulishajibiwa hapa na Muhammad Hussein link nimekuekea chini
th-cam.com/video/Qo0_ItcZsNU/w-d-xo.html
ama kweli tunahitaji kusoma mana uko ulikokwenda cko kabisa
Leo ndo nimeamini huyu jamaa kiarabu hajui na wajinga wenzie wanampa big up, yaan huu ni mtihani maafa katika dini.
Mimi ni mwarabu na huyu sheikh wajuwa kiarabu vizuri sanaa
Kama we ni mwarabu basi hata we lugha yako hujui rudi kwenu ukajifunze vizuri kiarabu na balagha
Yaani we hujui hapo عبد ilipotumika ilikusudia nini sio hivo huyo kijana anavoitafsiri
th-cam.com/video/U8LhIMByZdU/w-d-xo.html
Subhan'Allah kama wale wanao muabudi Yesu!🤦♀️
Ina maana ukimuekea ndegu yako dhana nzuri kuwa atakusaidia kitu fulani hiyo nishirki, kivipi ? Maanake kinyume chake unatwambia tudhaniane vibaya.hiyo kwanza nikinyume cha Quran. Sasa kama kwa ndugu yako tu mnamdhania Dhana njema, vipi kwa mtume.Jamani mawahabi tumewachoka na upotoshaji wenu. Alafu ukome kumfanana nisha mtume na homeless mjinga kabisa
Hii yani wewe ndugu yetu ndio hujafahamu kabisaaaa.tejea tena kusikiliza
@@jumamahmoud9271 nimemsikiliza mara nyingi sana.Hawajama na kiarabu chao chakuombea pesa Saudi Arabia ndo wanajifanya wanaweza kumkosoa sheikh barazanji.waende wakasome tena. Na sasa hivi utamuina bingwa sheikh AlHatimi akiwaweka sawa majahili hawa wakiwahabi
Wahuni tu nyie hamna lolote
Ahlu bida'a nyie sawa sawa na wakristo, hata mkakatazwa vipi katika batwil mnayoifanya hamtakubali kuiacha na kujiunga nasi kwenye ibada ilyosimama kwenye tawhid na Sunnah,
Kumwambia ahlu bid'aa aache kumwabudu Mtumi SAW na Sayyidna Ali ni sawa na kumwambia mkiristo aache kumwabudu Yesu na Paulo 😭
Wahabi mtapewa tu elimu soon mtaelewa
Wewe mtt wa Shekh baba yako alieshimika lkn wewe leo, nidhamuimeku hauna kabisa acha mambo hayo usiwe sababu ya fitna kama walivyo salaf wanafik!
Assalam aleikum,nime msikia alhatimy hapo memwisho akisema ati cheo sio tatizo,tatizo ni daraja.yaani kamaanisha cheo cha Allah (SW)na Mtume (SAW) iko sawa isipokua wana daraja tofauti,Allah amsamehe,,,Wallahi msikizeni hilo jamaa line kufruu....(th-cam.com/video/WQysH1cXakA/w-d-xo.html)
kiukwel wewe bado hujaelewa, kuwa kuna mafhumi na tafsiri
Sayidna ALLY anasema انا عبد لمن علمني حرفا
Imam Jaffar Sadiq Sadid anawataja miongoni mwa maswahaba waongo katika hadith ni abu ghuraira (angalia bukhari hadith no.5355) na Anas bin malik.kwahiyo hadith za anas bin malik hazina mashiko
Wewe bila shaka nishia nashia nimakuffaar
@@yunusramadhan2546 kwanini shia ni kafiri
@@yunusramadhan2546 Tatizo mawahabi hawajui lugha. Neno moja la kiarabu linaweza kuwa na maana zaidi ya moja. Neno mja silazima liwe na maana ya mungu na kiumbe chake. Neno mja pia linaweza kutumika kwamaana ya mtiifu kwa mwenye kutwiiwa. Je sisi wsislam si watwiifu kwa mtume? Kwamaana hiyo sisi ni waja wake. Mawahabi hawana wajuacho ndo maana wakawa na mungu wa kiyahudi. Mungu wa mawahabi ana viungo kama binadamu tena anapanda na kushuka kama ndege.tena mungu wao anakaa mbinguni kama mbinguni kama mawingu. Pia mungu wao huchoka alajitaji msaada wa malaika. Pia mungu wao ana godoro na ndala za dhahabu. Na zaidi ya hayo. Kweli hizi ni sifa za Allah au mungu wakiyahudi.huu ni ushirik8na na ukafiri uliowazi.ukiyata haya soma kitabu cha ibn Taymiyah majmaul fatawa vol.2, vol 3 had 7
Imam jafar hawezi sema maneno hayo
Mkweli ni yy Aliesema ni Hali kumuingilia mke Kwa nyuma?
Kaeni muelemishe watu muwache mizozo
Wataka kuelimisha gani zaidi ya huku? Huu sio mzozo ndugu
Hapa ndiko anaelimisha na si mzozo
Hivyo ndiyo vizuri wasiyojua wanasikia wanaelemika wanaacha ikifanyakimyakimya kuna wario poyea hawajui itakuaje sindiyo wataemdele kumshilikisha Allah
Nilicho kigundua wewe ndio Hujamuelewa Mwandishi wa Kitabu
Kweli huyu kasuku elimu Hana lakini alikua atumie japo wanazuoni anao wategemea ambao walisema barzanji Ina shirki ili apate kujenga hoja vizuri hata Kama za makosa
@@mwalimumuhidini1544 utamlipa kwahilojina unalomuita
@@hanifatanzania7258 nikulipeni shilingi ngapi na wewe pia nahitaji kukulipa