HII NDIO NYUMBA YA SPIKA wa BUNGE wa TANZANIA MHE. TULIA ACKSON DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 125

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty ปีที่แล้ว +13

    Mhe Tulia for life... @wasafi for life💪💪💪

  • @lusupi
    @lusupi ปีที่แล้ว +15

    Kwa tunaoishi dodoma tunaijua hii nyumba ilivokua ina balaaa🔥🔥

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 ปีที่แล้ว +3

    Mdogo wangu nakupenda sana Spika wabunge

  • @Elimishatv
    @Elimishatv 8 วันที่ผ่านมา

    karibu bunju b , Mama

  • @demetriaswai3193
    @demetriaswai3193 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri sana hongera mheshimiwa

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 ปีที่แล้ว +6

    Mwembie dk Tulia tunampenda sana

  • @AishaIsmail-f1i
    @AishaIsmail-f1i ปีที่แล้ว +2

    Home street home Mwangosi jamani tuwe wakweli hiyo nyumba ya kaiwada tu ni mjengo wa kisauziiii😅
    Dom na Uzunguni kwetu hapo sema picha imenogesha na hiyo ni ya serikari alienza kukaa hapo Anna Makinda kama spika wa bunge kisha hao wengine wamefuata.

    • @priscajube4239
      @priscajube4239 ปีที่แล้ว

      Ni kweli. Imenogeshwa kwenye video. Ni nyumba ya kawaida. Ata watu binafsi wanazo zaidi ya hiyo. Naijua pia

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 ปีที่แล้ว +4

    Jumba jumba kweli kabisa 💯🔥💥

  • @tuliachiponda
    @tuliachiponda หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mh spika

  • @imelidamfikwa7954
    @imelidamfikwa7954 ปีที่แล้ว +4

    Hayo ni makazi ya Spika,Nyumba ya Tulia mumuulize mkapige picha kama mtaruhusiwa.Pili kiitifaki kuonyesha hivyo haikai vizuri sana.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwake

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 11 หลายเดือนก่อน

    Nyumbani pamependeza na hao wameongea vizuri Wabarikiww

  • @MubinaRoshan
    @MubinaRoshan ปีที่แล้ว +3

    Nampenda spika wa bunge yuko pice saba😂❤❤❤❤❤❤

  • @abdulkarimukusaga3617
    @abdulkarimukusaga3617 ปีที่แล้ว +2

    I love ❤️ spika

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 ปีที่แล้ว

    Hapo chawa watasifiaaa,Hadi saa kumi jioni.

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว +13

    Hapo Ni kwa spika kama mtumishi wa serikali ila nyumba ni ya serikali na sio nyumba ya spika..

    • @omarhababuu3159
      @omarhababuu3159 ปีที่แล้ว +2

      Hiyo ninyumba yaspika nyumba alopewa niserekali sio hiyo nikule alikopigwa risasi tundu lisu nieneo lenyenyumba nyingi zaserekali wanakaa spika naibu spika nakiongozi waupizani bungeni hiyo ninyumba yakifahar ilozungurushiwa ukuta eneo lote lafenci linanyumba moja tuu

  • @FabianKakule
    @FabianKakule 7 วันที่ผ่านมา

    Huyo ako sawa

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 ปีที่แล้ว +1

    Sjui nilitaka kusema Nini ila acha nilie tu😢😢😢

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 ปีที่แล้ว +2

    Kazi Spika wangeni wa leo tutacheka hadi tuongeze Siku Ubarikiwe

  • @Udindigwa
    @Udindigwa ปีที่แล้ว +5

    Inapendeza SANA

  • @Soon815
    @Soon815 9 หลายเดือนก่อน +1

    WaTz elimu duni kwa kwel😢😢 Hiyo nyumba ni ya mhimili wa bunge sio serikali!
    Hv shule mlienda kusoma nini??? Leo nimeamini Tz kielimu tupo nyuma mno.

  • @sebastianmichael4031
    @sebastianmichael4031 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo nyumba ni mali ya serikali, siyo spika mmiliki wa hiyo nyumba.

  • @jesseboy6024
    @jesseboy6024 ปีที่แล้ว +2

    Makaburi ndio majumba ya uhakika tuyaimarishe haya ya duniani ni mapito tu Akherah ndio makazi✓
    {{قل إن الخاسرين الذين خسروا أنفسهم وأهليهم يوم القيامة ألا ذلك هو الخسران المبين}} الآية الزمر.

    • @mosesmaiga7408
      @mosesmaiga7408 ปีที่แล้ว +1

      Basi wewe subiri ufe uende uko makaburini acha roho zakichawi na hayo mandishi yako yakitumwa mwanaume ni mtu wa kupambana siyo hadithi za kiarabu au za kizungu

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 ปีที่แล้ว +1

    Africa people kwa mama huyoooo vituu vidogo

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya makazi ya spika aliyechaguliwa maana yake hata ndungai aliishi hapo na sio nyumba binafsi ya tulia...ila kupitia nyumba hii ndio utajua nikwanini viongozi wa nchi hii hupigania madaraka kwa njia yeyote hata ikibidi kumngoa mtu meno.

  • @manifestationmastermindset6518
    @manifestationmastermindset6518 ปีที่แล้ว +1

    Kodi yangu

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 ปีที่แล้ว +1

    MUHESHIMIWA TUNAOMBA SISI WAKAZI WA VIKAWE MKOA WA PWANI WILAYA YA KIBAHA UTUANGALIE KWA HII BARABARA AMBAE INATAKIWA WATU WALIPWE PESA NA NDIO IANZE KUTENGENEZWA ASANTE SANA KIONGOZI WANGU

  • @DeusMagere-hd1co
    @DeusMagere-hd1co ปีที่แล้ว +28

    Sisi wenye vyumba kimoja tujuanee 👇👇

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 ปีที่แล้ว +6

      🙄🙄🙄...mimi Nina chumba kimoja isitoshe kuna sehemu inavuja, Choo changu ni passport size.

    • @mohamedsaid2882
      @mohamedsaid2882 ปีที่แล้ว +4

      Pamoja sana mwamba 😂😂😂

    • @AdamFundikira-kk5oj
      @AdamFundikira-kk5oj ปีที่แล้ว +1

      ​@@jumakisailo8496 ila anajitahidi kuwabana mawaziri mizigo

    • @EzzyK438
      @EzzyK438 ปีที่แล้ว +2

      Chumba chenyewe tumepanga 😂

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 ปีที่แล้ว +3

      Yote kwa yote sote pumzi yetu inamilikiwa na Mungu, bila kujali elimu, sura. Cheo, n.k,! Na mwisho wa siku nyumba ya kudumu ya kila mmoja baada ya haya maisha ni kaburi, hakika Mungu ni fundi mkuu.🙏🙏

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 ปีที่แล้ว +9

    Nyumba nzuri simple yn mama wawatu cio mwizi kwakweli

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว

      Simple kivipi hizo ni kodi za wananchi

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 ปีที่แล้ว +2

      ​@@ilynpayne7491kwa cheo chake hiyo ni simple

    • @simonmasunga7398
      @simonmasunga7398 ปีที่แล้ว +1

      Eti siyo mwizi, are you CAG or PCCB?

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 ปีที่แล้ว

      @@ilynpayne7491 ulitaka awe na nyumba ya aina gani???
      Je yey siyo mfanyakazi ambaye analipwa??

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 ปีที่แล้ว

      @@ilynpayne7491 wewe unadhani kwa mshahara wake hawezi kujenga hivyo? Hasa ukizingatia ana miaka zaidi ya saba bungeni, na alisha kuwaga profesa (wa chuoni, sio wa heshima, wa chuoni, kasoma) kwa miaka kumi na, yani pesa alikuwa nazo kabla hajawa mbunge, bado tu unaamini hawezi kujenga hivyo??

  • @cooler3263
    @cooler3263 ปีที่แล้ว

    Daah wanainjoi

  • @MichaelSimba-nk7mu
    @MichaelSimba-nk7mu 11 หลายเดือนก่อน

    Usipotoshe watu, hayo ni makazi yake binafisi siyo nyumba ya serikali, usiongelee vitu usivyovijua.

  • @B23-i8p
    @B23-i8p หลายเดือนก่อน

    Akili za wa tz

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu ปีที่แล้ว

    Simfanye mlioyafat a mbona sifa nyingi sana hamna hata la msingi vipi mnamwaga sifa tu

  • @mariamirumu4669
    @mariamirumu4669 ปีที่แล้ว +1

    Ni nyumba ya serikali au yake binafsi?

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 ปีที่แล้ว +3

    anaishi kama yuko ulaya nyumba nzuri natumaini inazidi ata ya waziri mkuu.Nyumba hiyo inaweza kununua vibanda umiza vyote pale arusha na kubaki chenchi

    • @richardburundi3090
      @richardburundi3090 ปีที่แล้ว +1

      Ninzuri ila bado wokowatanzania hawana umeme nabato wanakunyamaji yakutoka gisiman

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 ปีที่แล้ว +1

      @@richardburundi3090 we nae Sasa watu wasijenge kisa

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 ปีที่แล้ว

      @@richardburundi3090 harafu hayo maji ya gisimani ndo maji gani

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 ปีที่แล้ว

      @@richardburundi3090 binadamu siku zote hamkosi la kusema, hata angekuwa anaishi kwa kujidhiki mngemsema vilevile, ni kheri amejenga jumba lake anaishi, kuwa kiongozi haimaanishi ndio utakuwa Yesu wa matatizo ya watu wote, kiongozi anafanya kadiri ya uwezo wake, wokovu mwengine ni wa mwananchi mwenyewe afanye jitihada kukomboa familia yake. Nyinyi mnaomsema huyo angekuwa mama yenu au shangazi yenu yasingewatoka hayo maneno. Na mpaka mnamuona mtu kafika aliko fika mjue kapambana kwenye maisha yake, acheni ushamba, mnataka watu waishije, huyo kiongozi wa kubeba umasikini wa dunia hayupo

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

    Hii nyumba aliyechukua crip alitumia Majenta. Yaani hata kama kijani niyakwaida utadhani waliweka mbolea.

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 ปีที่แล้ว

    Ya kwake au ya serikal

  • @johanesnixon5473
    @johanesnixon5473 ปีที่แล้ว +1

    KUSOMA RAHA

  • @leonardkyara7422
    @leonardkyara7422 ปีที่แล้ว +1

    Hapo wa kusifiwa ni watz kwa kutoa kodi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

      Na wakutukanwa ni watz wanaolipa Kodi halafu zinatafunwa na wachache,,,

  • @czechzyamwaga1021
    @czechzyamwaga1021 ปีที่แล้ว +2

    Walaji wa pesa zetu hao

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ปีที่แล้ว

      Kabisa ila Walimu Madaktari na Manesi na watumishi wadogo tunakatwa makato ya kila aina ili wao waishi peponi. MUNGU umulika hawa

  • @fatmasherallysherally537
    @fatmasherallysherally537 11 หลายเดือนก่อน

    Chezea cheo weyye

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 ปีที่แล้ว

    Wanaishi peponi walipa kodi wanaishi hohehahe presha kila kukicha

  • @LameckyLauben
    @LameckyLauben ปีที่แล้ว

    Duh bonge la mgeto

  • @jamesshaw4011
    @jamesshaw4011 ปีที่แล้ว

    Mwafrika ni mtu mweusi tu anajifikiria yeye na family yake tu...Nchi masikini madawa huduma za hospital barabara ufisadi fursa hakuna kwa masikini. MIKATABA ya kifisadi ....kiongozi yeye anatanua tu...mtu mweusi ni mweusi tu.

  • @LtW2-om6yj
    @LtW2-om6yj ปีที่แล้ว

    Duu mnapesa ila hamna kelele ilaringia TikTok utakitana nawa2 tafta ela tafta ela mpaka kichwa kinauma ila kumbe kunawa2 mnaela na amna kekele

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndo mafisadi wanchii hii.

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 ปีที่แล้ว +2

    Sio faida ya habari hii ndio nin sasa

  • @khamisame8435
    @khamisame8435 ปีที่แล้ว

    Wakesha tok bungen hao utawakut wanaumwa maradhi tele

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว

    Siasa inalipa

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 ปีที่แล้ว

    Hii sio ya kushangaaa maana yeye ni SPIKA na B4 alikua Naibu Spika....Sasa hemu jiulizeni ikiwa mbunge anafikia 12M per month including mambo yote yeye jeee??....Soo nirahisi tu kujenga nyumba kama hiyo kwa kweli...Ila pia huyu dada anapiga kazi kweli kweli hilo tumpongezeni sana sana sana

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 ปีที่แล้ว +3

    Mnajuwa kutuibia

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว +2

    Yakawaida Sana njooni Arusha

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw ปีที่แล้ว

    Upumbavu iwasaidie nn Sasa mnao waonesha ilhali wao wanashida naumaskini

  • @kanghanhankang1440
    @kanghanhankang1440 ปีที่แล้ว +1

    Siku akiacha anaondoka nayo au vip😅😅

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro ปีที่แล้ว +3

    Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni CHACHE Sana na zimejaa taabu nyingi"🤔

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 ปีที่แล้ว +1

      Unajaribu kisemaje yaani😂 usitutishe bhana hilo linajulikana

    • @WilbertMmary
      @WilbertMmary ปีที่แล้ว

      Ila Kuna nyingine hazina tabu aiseee😅😅😅

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 4 วันที่ผ่านมา

    Rais wa baadae Tanzania

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 ปีที่แล้ว +2

    Kudadadeki mnawakandamiza watu wa chini nyie mnaishi kifahari kumaae zenu

  • @hydo8027
    @hydo8027 ปีที่แล้ว

    Sasa inakuwaje wameingia na viatu ndani😆😆

  • @alvinbenito5243
    @alvinbenito5243 ปีที่แล้ว +4

    Pepo za dunia sio mchezo

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 ปีที่แล้ว +5

    Nyumba yake au ya serikal?

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 ปีที่แล้ว

      Nyumba ya serikali mahsusi kwa ajili ya speaker kuishi

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 ปีที่แล้ว

      Yakwake hiko salasala

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว

      Ni nyumba ya serikali..

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว

      ​@@frankngoloka5416 wacha kudanganya watu wewe.. hiyo ni nyumba ya serikali.. na kabla ya huyu tulia ackson.. maspika wote waliotangalia waliishi hapo hapo.. khaaa eti nyumba yake ulimjengea wewe??

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 ปีที่แล้ว

      @@frankngoloka5416 bac hyo ya kwako....hongera kwa nyumba nzuri...aiseee una hasira kali ww😆😆😆😆

  • @leganmichael6148
    @leganmichael6148 ปีที่แล้ว

    Bado mbeya inakuhitaji

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp ปีที่แล้ว

    Ila zembwela aisee anapendeza kwenye comedy tu avae vipensi. Kama suti haimtoi

  • @abelicharles6874
    @abelicharles6874 ปีที่แล้ว

    Amewaheshimisha kwa lipi ujinga tu

  • @SaidKaros
    @SaidKaros ปีที่แล้ว

    Tafuta pesa

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +1

    Nyumba ni ya serikali

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 ปีที่แล้ว +2

    Mbona fupi sana wajameni nilitamani niendelee na mimi nifanye utalii wa ndani kupitia video hii

  • @johnpella8703
    @johnpella8703 ปีที่แล้ว +2

    Miongoni mwa watu watakaoendelea namshukuru JPM.

    • @emmanuelessaugurtu9421
      @emmanuelessaugurtu9421 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana Spika wetu kwa nafasi yako hata angelikuwa nani hayo angelifanya,jamani hata kuhani hula madhabahuni Ila mama pambana na maslahi ya watumishi ikiwa ni pamoja na kuondoa kikokotoo,tupeni haki zetu zote za pensheni tufurahie matunda ya kustaafu

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว

    Ehh

  • @jeffhard5773
    @jeffhard5773 ปีที่แล้ว

    Machawa pro MAX A.k a wazee wakujipendekeza hamna baya nyie kazi yenu ni kusifia tu UTOPOLO