DKT TULIA AMTAMBULISHA MUME WAKE, AKICHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE “TUMEWAACHA WATOTO NYUMBANI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 119

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 4 ปีที่แล้ว +9

    Anatabasamu tu,vipi wakati wa kutoa dozi sasa,,,,,anaifurahiaaaa mpaka anasahau majukumu yke kwa muda flani si ndiyo hivo jamani.Gonga like twende na utamu ule ile.

  • @Jayvanillah
    @Jayvanillah 2 ปีที่แล้ว +4

    Jaman naomba sana spika awe mwanaume....
    Yani kwa ili wabunge msifanye makosa,ila turia awe naibu tu.....
    Najua wenye upeo wamenielewa...🙏

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 ปีที่แล้ว +4

    Ndo kwanza namuona mumewe.kumbe anawatoto hongera sana

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 4 ปีที่แล้ว +3

    MwenyenziMungu akusimamie💕💕

  • @amenyemwansile631
    @amenyemwansile631 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi shemeji yetu Kwa speech yako nzuri

  • @ashrafhosseni4051
    @ashrafhosseni4051 2 ปีที่แล้ว +1

    umependeza sana dadangu mmewako amepata mkemzuli jitaidi Dada utapata ubunge muombe mungu

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanadam mnaongea maneno mengi mungu ana waona hongera tulia na James mungu kawaona pigeni kazi

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 2 ปีที่แล้ว

    Baba Mungu akubariki Sana Kwa Utumishi Uliotukuka uliopo ndani yako.

  • @angeluslijuja3408
    @angeluslijuja3408 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanene wana wapenda wembamba ata mimi nampenda tulia kumbe umeolewa daa hongera mkuu umepa kanisa nakuomba wivu

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 2 ปีที่แล้ว

    Safi... gentleman...

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 2 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA SHEMEJI LETU SAFI MR 👍👍👍

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 หลายเดือนก่อน

    Au upo sigle dada

  • @aishamaulidi9589
    @aishamaulidi9589 4 ปีที่แล้ว

    Asanteeee

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 11 หลายเดือนก่อน

    Roho mbaya Sana na sura mbaya huyu DP world

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n หลายเดือนก่อน

    BASI TU! KIFO HAKIPIGIWI KURA ILA KAMA KINGEKUWA KINAPIGIWA KURA...

  • @Hasha-zt2oy
    @Hasha-zt2oy 4 ปีที่แล้ว +1

    Mweee! Uyo kweli tulia

  • @JESKAPILLI
    @JESKAPILLI 11 หลายเดือนก่อน

    Tulia unaweza tena

  • @godfreyapollo1864
    @godfreyapollo1864 4 ปีที่แล้ว

    WAZIRI MKUU MPYA NDO HUYO......

  • @msemwawalter837
    @msemwawalter837 2 ปีที่แล้ว

    Kayiii!!!
    Kumbe yupo......

  • @calvinkitaly9376
    @calvinkitaly9376 4 ปีที่แล้ว +4

    Tulia bungeni ulikuwa huelewekieleweki.

  • @nuruasukile1303
    @nuruasukile1303 2 ปีที่แล้ว

    Tulia oyeee

  • @selemakilawa3969
    @selemakilawa3969 4 ปีที่แล้ว

    Mzee baba kaongea vzr yuko gud

  • @solomonmpuluma282
    @solomonmpuluma282 4 ปีที่แล้ว +2

    Mmm, tumwachie Mungu tu. Mimi nawapenda wote Tulia + Sugu. Ila kumbe mume naye ana upeo. Hlf anasema ni mtaalam wake 😂😂 ! Lakini inapendeza hivyo.

    • @annamitumba3981
      @annamitumba3981 ปีที่แล้ว

      Mtaalamu wake😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JESKAPILLI
    @JESKAPILLI 11 หลายเดือนก่อน

    Pole kwa unae mwona hafai ila jua anaitano tena sugu akalale kwao

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 4 ปีที่แล้ว +4

    Tulia Dada angu unajisumbua! Huwezi shinda uchaguzi kwa sanduku LA kura Mbeya Mjini tena mbele ya Ndg. Joseph Mbilinyi a.k.a "Sugu." Wala sikudanganyi najua unajua japo unapewa moyo na wateule wa rais na dola. Siku hiyo patachimbika Mbeya na nadhani ingependeza ubaki kuwa viti malumu na naibu spika wa kuteuliwa na sio kuwa mbunge wa kuchaguliwa.

    • @marygregory7566
      @marygregory7566 3 ปีที่แล้ว

      Apia

    • @waziriwaziga4432
      @waziriwaziga4432 2 ปีที่แล้ว +1

      Huna lolote atapia na utabaki hapohapo uki shangaaa

    • @sagboison6297
      @sagboison6297 ปีที่แล้ว +1

      @@waziriwaziga4432 aliesema hatapitaga nahisi MPAka anaona huruma

  • @sniper93999
    @sniper93999 4 ปีที่แล้ว

    SUGU VS DR TULIA ACSON 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @halifajuma545
    @halifajuma545 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya mambo ya (ammmu )kama wazungu sisi wafrica wazungu wame tupa nini
    Kwanini msiseme( eeee )ammmu ndio imezidi

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 หลายเดือนก่อน

    Huyo mume mbona kama wamchongo dada

  • @doricepulling8051
    @doricepulling8051 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @ntullykessy5247
    @ntullykessy5247 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunakuombea dada

  • @nixonjohnson6346
    @nixonjohnson6346 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani kama bundi

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 4 ปีที่แล้ว +1

    Unafaa saana mama kwanza uyumbishwi na mtu

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 11 หลายเดือนก่อน

    Tulia una mume mzuriiii!

  • @JESKAPILLI
    @JESKAPILLI 11 หลายเดือนก่อน

    Anafaaaa

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 11 หลายเดือนก่อน

    Msifiee kabisaaaaa usijekosa chakulaaa

  • @ramadhanijuma4204
    @ramadhanijuma4204 4 ปีที่แล้ว +3

    Mumewe ameruhusu, "Yupo tayari kutumika"

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 2 ปีที่แล้ว

      We unajua kutumika kupi?mweuh weyeee😂😂😂

  • @chongemarwa5834
    @chongemarwa5834 4 ปีที่แล้ว

    Kalee watoto ww baba tulia

  • @braysonchalamila1199
    @braysonchalamila1199 4 ปีที่แล้ว

    Bro nimemkubali. Atafute jimbo tu naye atie nia.

  • @kaizamandike8771
    @kaizamandike8771 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtaalam wake 😆😆😆

    • @guyoarero7187
      @guyoarero7187 2 ปีที่แล้ว

      Specialist yake , Dr tulia

    • @SilvesterApolo
      @SilvesterApolo หลายเดือนก่อน

      😂😅😅😅😅😅😂

  • @tianodokgo8718
    @tianodokgo8718 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapana kiongozii hapo

  • @meryjohn7120
    @meryjohn7120 4 ปีที่แล้ว +4

    Tulikuona sana bungeni ufai kabisa

  • @edithajoseph7675
    @edithajoseph7675 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naomba spika achaguliwe mwanaume naomba sana wabunge msifanye makosa kwani mkifanya makosa itaendelea kutugarim. Mungu ilinde Tanzania

    • @credo7837
      @credo7837 2 ปีที่แล้ว

      Ndio bc tena utabaki kulia tu

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu ปีที่แล้ว

      @@credo7837 umeona sasa

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 2 ปีที่แล้ว

    Mshamba tu hawa ndyo wale wale waminyaji wa democracy.

  • @meryjohn7120
    @meryjohn7120 4 ปีที่แล้ว +3

    Mama jipange sugu ni wetu

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 4 ปีที่แล้ว

      Tulia na genge lake anajisumbua pamoja na kutegemea mkurugenzi mteule wao na dola, lakini Mbeya mjini hawezi shinda hata kidogo.

    • @priscamboya6422
      @priscamboya6422 4 ปีที่แล้ว

      Mh mama yangu eeeee Sugu utamweza kumtoa kwel

    • @Gersah
      @Gersah 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@issackchalahani1235walosema hutoboi Leo wako wap😂😂😂😂

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 4 ปีที่แล้ว

    Uko sawa shemela mmefanana mbona

  • @mariambuya9654
    @mariambuya9654 4 ปีที่แล้ว

    Umepitaàaa

  • @nyekingobwire6327
    @nyekingobwire6327 3 ปีที่แล้ว

    Haya sasa sugu kapata nimi.turiya oyeee oyeeeee

  • @rehemamayende552
    @rehemamayende552 4 ปีที่แล้ว

    Wamefanana

  • @edwardchokala2425
    @edwardchokala2425 4 ปีที่แล้ว

    Duu huyu dada ni kuni

  • @angelntandu661
    @angelntandu661 3 ปีที่แล้ว +1

    Walisema hana mume

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 2 ปีที่แล้ว

    Ilapesa zinanga'arisha watu wallah inaonyesha mgekua hamnapesa kamamie ingekua kilammoja anamshinda mwenzake

    • @husnaseph9476
      @husnaseph9476 2 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁😁😁😁

  • @bettymrema6580
    @bettymrema6580 4 ปีที่แล้ว +2

    Baba Wa nyumban santeeee!!!

    • @davinaheven4794
      @davinaheven4794 4 ปีที่แล้ว +1

      Akisaidiana na dada wa kazi nyumbani, wakati Mama akitumikia Taifa.

    • @polokotomwalusamba1132
      @polokotomwalusamba1132 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli baba wa nyumbani

    • @evelynebwire7684
      @evelynebwire7684 3 ปีที่แล้ว

      Unaumwa

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 ปีที่แล้ว

      Vipi?? Na saivi je?? Ni baba wa nyumbani Bado??😂😂

  • @johndaud1663
    @johndaud1663 4 ปีที่แล้ว +2

    Sugu haumtoi ng'ooooo 2015 alishinda kwa kura laki na elfu 10, kwa elfu 40

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว +4

    Dada yuko poa ila jamaa kama. Vile anakula ganja

  • @matundukafwila5754
    @matundukafwila5754 4 ปีที่แล้ว

    Yangu macho kuangalia vyuma vinavo suguana

  • @angelntandu661
    @angelntandu661 3 ปีที่แล้ว

    Mbona wanafanana kaa matofali

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    Kila mwanamme atakayebofoa weka mwanamke hadi mfumo dume ufe

  • @pantaleokulaya2112
    @pantaleokulaya2112 4 ปีที่แล้ว +1

    Tufahamishwe huyo mme wake tulia anafanya kazi gani ?

  • @kadamlwenje7629
    @kadamlwenje7629 4 ปีที่แล้ว

    Ili mwanamke awe mrembo awe na vigezo gani?🙄

    • @ashrafumohammedi5078
      @ashrafumohammedi5078 4 ปีที่แล้ว +4

      Uzuri wa mke kwa mumewe ni tabia njema nyumbani na ndomaana kamsindikiza kwa ukarimu wao wawili ndimi zao zimejaa maneno ya hekima na busara ( mbarikiwe Sana na bwana awe nanyi)

    • @jacklinegeorge5220
      @jacklinegeorge5220 4 ปีที่แล้ว

      Kama ulvyonavyo ww

  • @gracechalagwa9745
    @gracechalagwa9745 4 ปีที่แล้ว +1

    Unasura ngumu utafikiri mkulima

    • @leonidaskalumuna8350
      @leonidaskalumuna8350 4 ปีที่แล้ว

      We mtoto,kama sio sisi wakulima ungekula nini,alf wakulima ni wanasura nzr kamawabisha njoo huku ifakara uone huo mchele unaokula mtamu nani wnalima

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 4 ปีที่แล้ว

    Kinaongea kama kizungu falaaaaaaas

  • @hebronmalatila6186
    @hebronmalatila6186 4 ปีที่แล้ว

    Tulia ! Umenogewa na Mishikaki China! Unamwalika Mr. wako aache Ajira yake ili mwongeze kipato kwa kwenda kubweka ktk mjengo wa Watanzania ? Ubungo siyo shamba la bibi.

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 4 ปีที่แล้ว

    wachawee

  • @titosanga5447
    @titosanga5447 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mzuri mme kuliko mke?

    • @onesmokabia80
      @onesmokabia80 4 ปีที่แล้ว +2

      Kuna binadam aliyejiumba hata ww umejiumba?fikiri jambo kabla hujalisema mbele za watu,niushauri tu.

    • @jacklinegeorge5220
      @jacklinegeorge5220 4 ปีที่แล้ว +2

      Ww dem wako anafananaj

    • @gracejohn886
      @gracejohn886 4 ปีที่แล้ว +1

      inaonekana unaumba watu wazuri sn ongela inafikia hatua hata unataka kumzidi alieumba ulimwengu mzima na watu wake ushauri wangu umba na dunia yako ukakae na watu uliowaumba

    • @ratifasalumu4021
      @ratifasalumu4021 4 ปีที่แล้ว

      Tulia komaa naxheo cha kuteuliwa

    • @juliusakilimali9781
      @juliusakilimali9781 4 ปีที่แล้ว

      Cfa za kutusaidia Mbeya unazo!! Komaa!!

  • @joycemagessa350
    @joycemagessa350 4 ปีที่แล้ว

    Hafai hata kuongoza kijiji msifanye kosa .hana sida za uongozi Mkoloni asimamii haki .hafai kabisaaaaa

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 4 ปีที่แล้ว

    Ila watu wengine ubunge munakuja Kijiji I kuishi mjini VP

  • @pettermasika9120
    @pettermasika9120 4 ปีที่แล้ว

    SUNGU ACHIYA NJIA TULIA AANZA KUTAMBA, KATI YA
    WANAWAKE MAKINI WANAO
    ISAIDIA TANZANI DK TULIA NI
    MOJA WAO' MWENYEZ MUNGU
    HILI TAIFA LAKO LA TANZANIA
    TWAKUOMBA UTUPE VIÒNGOZI
    MASHUHURI^. UTUPE. KWA WEMA WAKO.BABA MUNHU

  • @irangalimbu1867
    @irangalimbu1867 4 ปีที่แล้ว

    By by sung

  • @stevemligo1863
    @stevemligo1863 4 ปีที่แล้ว

    Mzee baba umekodiwa nini..!!!???