kwanini media hazimsupport Dizasta Vina na wasanii wa aina yake? Sele ya Mbosso ni Mega Hit 2023.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @seifseif4023
    @seifseif4023 ปีที่แล้ว +9

    itanzingatiwa vp ikiwa nyie medias amchezi eti Dizasta ajapeleka Ngoma media swali mbosso amepeleka sele media in short Disasta is the right candidate to represent hip hop instead mnatuleta mawack mnawapa mpaka tunzo za hip hop

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 ปีที่แล้ว +4

      Media zetu nyingi watu wa idara ya music imetawaliwa na watu wapuuzi kwa sehemu kubwa.

    • @shenamtukufu1224
      @shenamtukufu1224 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sure wapuuzi wengi sana na hawajui real Hip hop

  • @jommat8436
    @jommat8436 11 หลายเดือนก่อน +5

    Tanzania yote ilivyo hamna msanii mkubwa zaidi ya Dizasta vina na hana presha hata kama hamuezi msapoti si uku Kenya tunamsikiliza vizuri sana media za bongo ni ovyo mnacheza miziki ya kishenzi tu Amapiano sijui ujinga ujinga tu hiphop mmeichilia ni kama sio mziki ila siku ipo hizo nyimbo mnacheza za kuhusu ngono wakati nyote mtapata magonjwa ndio mtaelewa hiphop ndio jamii yenyewe

    • @kiduaalute603
      @kiduaalute603 11 หลายเดือนก่อน

      Fact

    • @shenamtukufu1224
      @shenamtukufu1224 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli mwanangu we unajua❤❤❤

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 10 หลายเดือนก่อน

      Waambie mzee wanacheza nyimbo za kijinga sana

  • @user-hv6qw2zw2y
    @user-hv6qw2zw2y ปีที่แล้ว +5

    Mjalibu kufatilia dizasta vina ni msanii makini sana sapoti hamna watangazaji huo ndoukweli. Ngoma kama shahidi, tattoo ya asili ila mnajua kuplay mapiano 2 acheni mambo yenu .tutabaki kumsikia dizasta vina hata kwa simu zetu

    • @kiduaalute603
      @kiduaalute603 11 หลายเดือนก่อน

      Eti billnass ndo msanii Bora wa hip-hop,muulizeni kashawahi hata kwenda Kumi za maangamizi tu 😂😂😂😂😂

    • @shenamtukufu1224
      @shenamtukufu1224 10 หลายเดือนก่อน

      Wanaogopa wakigonga ngoma za Akina D watabaniwa na maboss zao kikazi.

  • @dizastavinafanaccount
    @dizastavinafanaccount 11 หลายเดือนก่อน +1

    Viva Dizasta.

  • @afyandogo
    @afyandogo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie kama media hata msipopiga ngoma za dizasta sisi tuta download kwenye cm zetu na tutasikiliza

  • @steizwetmaster2001
    @steizwetmaster2001 9 หลายเดือนก่อน

    Am coming. The best in this generation

  • @PatriciaMatempa-py4lu
    @PatriciaMatempa-py4lu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dizasta the best

  • @negzerobacteria
    @negzerobacteria 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dzst vina

  • @nakali79
    @nakali79 11 หลายเดือนก่อน +2

    Media za tz ziko radhi kusapoti ngono, mashoga, na wauza, kuma kwenye madanguro, ila sio kusapoti vichwa hivi

  • @cptnbazil6121
    @cptnbazil6121 ปีที่แล้ว +1

    Nikujibu tu mtangazaji kwanza Sele ni ngoma inayozungumzia maisha ya uswazi ya kila siku so watu wengi wanarelate nayo ni kama mtoto iddi ile ya nature kipindi kile kingine ni kua ile ni singeli iliyopigwa ki amapiano huu ni utafiti hata mbosso mwenyewe sidhani ka anajua bali ndivyo ilivyo

  • @ismailthabitpilly9869
    @ismailthabitpilly9869 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mkisema watoto wa elfu mbili ndo wanaongoza kusikiliza hizi nyimbo za aina ya Sele mnakosea sana, kwasababu hata watu before ya miaka ya elfu mbili wengi wao ndo wanaongoza kusikiliza hizo nyimbo na hii ni Kwavile awawatu ndo wanaomiliki redio, tv ,CM na nyumba ni watu ambao si kizazi cha elfu 2 lakn tunawaona huku mtaani wanavyovimba na hizo nyimbo ety wanaenjoy maisha huku wanaaribu kizazi..mwisho kwa madogo wa elfu 2 wengi wanakuwa influenced na nyie medias kwahyo kama mtabadirisha vigezo vya nyimbo ambazo mnaziitaji kuanzia urefu wa nyimbo, lugha na content bs nao madogo wa elfu 2 watabadilika pia.

  • @Paplick9
    @Paplick9 ปีที่แล้ว +1

    Saf Sana 📌

  • @hashimmaftah5508
    @hashimmaftah5508 9 หลายเดือนก่อน

    Black Maradona ☄️ 🔥 🙌

  • @AlexLihogosa-om3zh
    @AlexLihogosa-om3zh 11 หลายเดือนก่อน

    Dizasta Vina my favorite artist

  • @user-hc5sy7ey7t
    @user-hc5sy7ey7t 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 mutapiga tuu 😅😅😅😅😅😅 vinaaa

  • @jaxflavour1180
    @jaxflavour1180 10 หลายเดือนก่อน

    Nacho jua mimi wamiliki wa hiz media na watangazaji wao Wana roho mbaya na siku zote mtu wa maneno mengi hua hatendi je Kama we mtangazi umechukua hatua gan ku support dizasta vina nacho amin ni kwamba kitu ukiwa nacho unakiona hakina thaman Ila dizasta angekua Ni msanii wa Nigeria au (south Africa (Kenya )dizasta King wa hip...hop

  • @brunoh_bx
    @brunoh_bx 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona me hiyo Sele hata siifaham

  • @steizwetmaster2001
    @steizwetmaster2001 9 หลายเดือนก่อน

    Am rapper . I desire one day to be inside of that building, To do wonders I believe one day I will be

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 9 หลายเดือนก่อน

    Vinna 🔥

  • @rutechurarutechura3388
    @rutechurarutechura3388 10 หลายเดือนก่อน

    Vina ni mwamba sema wabongo asilimia kubwa wanasapoti stareee kuliko elimu mimi napenda hipap kwaajili ya vina na killer

  • @antonymlanda200
    @antonymlanda200 9 หลายเดือนก่อน

    Dizasta vina bana