Kazi nzuri unatupa mwanga .wengi wetu tunaamini munaishi nchi zilozoendelea kama munafuraha sana. Nahisi kuna vitu vingeongezwa kama camera man na wewe ungekuwa kama mtangazaji mbele ya camera.
kitu ambacho kipo hapo ni kwamba huko ughaibuni kuna usalama afu watu asilimia 100 wanamaisha mazuli wanashinda ndan wanaishi maisha yao sio kama huku umasikin mwingi coz ujinga mwingi kwaiyo ni bora mtu ajivike fens kubwa tu bc
Mfano Jirani kapata Msiba” Bongo huku watu wanakusanyika na Wengine hadi Wanalala huku Sebule ikitolewa kila kitu na kuwekwa Mikeka” Vip huko Hali kama hiyo ipoje huko?
Nice 👍 video outside the house. Please show us more
Asante mkubwa wa kazi ebm
Kaka ubarikiwe sana kwa kutoa elimu nzuri ya maisha ya ughaibuni pia katika lil
Pako vizuri, Missourri!
Kazi nzuri unatupa mwanga .wengi wetu tunaamini munaishi nchi zilozoendelea kama munafuraha sana. Nahisi kuna vitu vingeongezwa kama camera man na wewe ungekuwa kama mtangazaji mbele ya camera.
Ipo siku nitatia maguu USA INSHAAALLAH
Karibu sana
Let's go
walio ishia darasa la saba wanapateje fursa ya kuishi marekani
Hakika huo ndio mji mzuri wa kuishi mie napenda kukaa nje ya mji...kasans city
Daah nmefurahia sana,vp gharama za kujenga
Ahsante kwa taarifa
Inaonekana mji wa Kansas na mizuri ipo shamba ?
Yes, majimbo ya Kansas, Missouri na mengi ya katikati ya USA, yaani Midwest ni "vijijini" kuna mashamba tuseme
Mazingira yapendeza kweli kweli haya.
Pako vizuri sana aisee
Mkuu one bedroom kwa mwezi hapo unapoishi ni dola ngapi
Ubarikiwe kaka 🙏
Hakunaneno ukiwa mbari na mji
Uko safi kwakutuumbya macho ili tujipange kuja huko
kitu ambacho kipo hapo ni kwamba huko ughaibuni kuna usalama afu watu asilimia 100 wanamaisha mazuli wanashinda ndan wanaishi maisha yao sio kama huku umasikin mwingi coz ujinga mwingi kwaiyo ni bora mtu ajivike fens kubwa tu bc
Kweli kabisa ulichosema
Naomba namba Yako kaka nahitaji kukueleza kuhusu mambo ya kazi
Kama maisha ya uko ni indoor life vipi kuhusu kama ukipata msiba inakuaje
One day yes
Mimi siwezi kuishi uko
@@isaacsinkala5236 😄😄karibu Ila ndondani tuu Tanzania free sana
Duh mwezi 11 nipo huko ila hayo mazingira nitahaha sana
Nitafutie kazi
Kwa vurugu zangu apo ni kama jela
😂😂😂 wakina Tadei hatupo hivyo hapo tumepigwa😂
Nimependa mazingira ykee
Mfano Jirani kapata Msiba” Bongo huku watu wanakusanyika na Wengine hadi Wanalala huku Sebule ikitolewa kila kitu na kuwekwa Mikeka” Vip huko Hali kama hiyo ipoje huko?
Huku hamna vitu hivyo nyumbani Tanzania watu ndo hufanya hivyo
Natamani nifike uko Kansas City
Pana View nzuriiiii
Kwa mimi nilio zoea vurugu huko naona polini
😂😂😂😂😂
Nakubari
Panapendeza sana hapo mitaa yako.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
No wonder they are obese.Kukula na kulala wananona ovyo ovyo
Bara bara mbovu kumeboa
Apo kijijini
Bora hapo kijijin barabra za mtaa zina lami wakati dar peneyewe load za mitaa haizina lami, ukienda mikoani unapigwa vumbi la kutosha
Uku ni kama Kijijini ila mjini pazuri njoo utembee
.