Ushenzi gani wakati ubalozi unajaa kila siku watu wanataka kwenda USA. Kwa taarifa yako hakuna taifa lina foreigners kama US. manake fursa zipo uwe umesoma hujasoma. Sasa unakashfu tu. Kama ninUrusi mlikondanganyika nenda uone kama hutarudi kwenye jeneza. Kwanza hatupendi waafrica na walioko wanahesabiwa.
msimamo wa magufuli wakati ule ndio ulifanya wamwite gaidi na kuwekea tanzania vikwazo kama nchi ya kigaidi.Magufuli hakukubaliano na mambo yao alitaka tanzania iwe kama ulaya na watu wa ulaya wanunue mitumba kutoka africa r.i.p magu
Nakufuatilia sana.EBM fuatilia walioenda kwenye interview tarehe 2 Dec watu walinyimwa visa wote.na walopewa kabla waliitwa na wakazi kanseli. Nini kinacho endelea?tunaomba tufahamishe.
Kama una amini EBM number one Tz twende sawa apa 🎉
Thanks EBM. God bless you
Natoka Kenya nilijaza green card naomba umwambie John mpambe nataka atanifunza Truck 🚒
Nakupata vizuri mkuu
Kwani ni lazima watu waende huko marekani upuuzi tuu ikiwa ni kwenda peponi hapo ikiwa sawa lakini nchi ya kishenzi tuu 😅😅
Ushenzi gani wakati ubalozi unajaa kila siku watu wanataka kwenda USA. Kwa taarifa yako hakuna taifa lina foreigners kama US. manake fursa zipo uwe umesoma hujasoma. Sasa unakashfu tu. Kama ninUrusi mlikondanganyika nenda uone kama hutarudi kwenye jeneza. Kwanza hatupendi waafrica na walioko wanahesabiwa.
msimamo wa magufuli wakati ule ndio ulifanya wamwite gaidi na kuwekea tanzania vikwazo kama nchi ya kigaidi.Magufuli hakukubaliano na mambo yao alitaka tanzania iwe kama ulaya na watu wa ulaya wanunue mitumba kutoka africa r.i.p magu
Ndiyo exchange na nini?
Nakufuatilia sana.EBM fuatilia walioenda kwenye interview tarehe 2 Dec watu walinyimwa visa wote.na walopewa kabla waliitwa na wakazi kanseli. Nini kinacho endelea?tunaomba tufahamishe.
Hivi nikweli
haya unayosema ni kweli 😬
Tanzania ni nchi pendwa na ya muhimu kwa mataifa mengi. Hiyo ban haiwezi tokea Tz hata siku moja...
EBM naomba unielekeze hiyo ofs Yako iliyoko karibu na mlimani city ni upande gani nataka niende hapo
HUWO NI UWONGO SIO KWELI
Afadhali😢 nilikuwa nishawaza
Hahahaha hivi Kama itatokea tukapigwa hiyo ban he na ss tutawa tupia virago wasije kwetu au ndo *chako chako Cha mwenzio chako*
AHSANTE
Mimi nipo Germany lakini kuna mtu kanitumia nika share nae video yako natumai ameelewa sana
Tanzania oppositions wanatumia ile last ban ya trump kusema kuwa ni sasa hivi ili watengeneze point kwa wananchi 😅