BARIDI KALI SANA NEGATIVE 9 NA SNOW

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @kennybertrand4155
    @kennybertrand4155 18 วันที่ผ่านมา +6

    Kwa kweli naona baridi ni nyingi kwa watu tuna malengo ya kija ugaibuni tutakuja tunajua kama balidi iko unafanya kazi nzuri sana kaka EBM

  • @labannjoroge9784
    @labannjoroge9784 11 วันที่ผ่านมา

    Hali tofauti sana ukilinganisha na Afrika.Ahsante kwa kutuelimisha.

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 17 วันที่ผ่านมา

    EBM mzee wa kazi tunakupata fresh ila upo kmya sana au majukumu ni mengi sana mkuu

  • @abubakariemilian9125
    @abubakariemilian9125 18 วันที่ผ่านมา +1

    Vipi kwa Homeless kwa hali ya hewa kama iyo ?! Wale Homeless wa Skid Row, Yues & Philadelphia I'm trying to imagine Wapo kwenye hali gani na Baridi kali kama hiyo. God bless 🙏 Them.

  • @lazarojoseph7541
    @lazarojoseph7541 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mbele mbele tu mama maeeh😊

  • @Saidikasomo1231
    @Saidikasomo1231 18 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂Muha anaweza akafa!😂😂😂

  • @ChrissGameTZ
    @ChrissGameTZ 14 วันที่ผ่านมา

    naipenda hii hali aiseee

  • @murhula84neema
    @murhula84neema 14 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu wangu nasema pole kwa snow huko misuri.

  • @UNCLEMULI123.
    @UNCLEMULI123. 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nairobi Kenya jua kali kweli kweli!!!!!

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 16 วันที่ผ่านมา

    Naipenda Marekani kwasababu mtu ana choice kubwa ya kuchagua Aishi Jimbo Gani na Maisha still akaishi vizuri, Somebody can choose Kuishi California or Missouri or West Virginia Na still akafnikiw

  • @FOOTBAL_AFRICA
    @FOOTBAL_AFRICA 18 วันที่ผ่านมา +2

    Duh hadi Natetemeka huku Kibondo🥶🥶

  • @nunnamlyahilu2183
    @nunnamlyahilu2183 17 วันที่ผ่านมา +3

    Hiyo kwa Urusi ni trailer...

  • @SleepyBoardGame-gf6gm
    @SleepyBoardGame-gf6gm 17 วันที่ผ่านมา

    Mda kidogo bro ila hatimae leo nimeinasa notification yako big up bro

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 15 วันที่ผ่านมา

    Daa hee kwa kweli mimi siyawezi hayo maisha

  •  13 วันที่ผ่านมา

    hello brother ebm

  • @danielmartinKiondo-dq4jz
    @danielmartinKiondo-dq4jz 17 วันที่ผ่านมา

    Ehee ingia ndani mzee usije ukaganda bd tunakuhitajiii😅

  • @AsteriaSembago-h3w
    @AsteriaSembago-h3w 16 วันที่ผ่านมา

    Asante kaka kwa elimu!

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 17 วันที่ผ่านมา

    Mim ndo napenda sana kukaa sehemu kama hizo.

  • @paulsingano674
    @paulsingano674 14 วันที่ผ่านมา

    hivi inakuwaje nchi hiyo hiyo moja kuna sehemu moto mkali unaunguza mali halafu kuna sehemu baridi kali la snow

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 14 วันที่ผ่านมา

      MOTO UNAOWAKA HUKO ULISHATOKEA HAPA SOUTH AFRICA,..KWA MUDA ZAIDI YA WIKI2,,,YAANI ULIANZA UPEPO MWINGI NA BARIDI ILA MAPORI YALIWAKA MPAKA UKAHAMIA KTK MAJUMBA YA WATU NA MALI ZAO ZIKACHOMEKA

  • @DaghauMsule-e3u
    @DaghauMsule-e3u 14 วันที่ผ่านมา

    Hongera

  • @AniPulseStudios
    @AniPulseStudios 18 วันที่ผ่านมา

    Duh... Tanzania jua la utosi😂😂

  • @michaelkomwiswa7048
    @michaelkomwiswa7048 13 วันที่ผ่านมา

    Hello Bwana EBM

  • @DizzoclassicSoundstz
    @DizzoclassicSoundstz 18 วันที่ผ่านมา

    Nakupata kk from mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @Bongomastermind
      @Bongomastermind 17 วันที่ผ่านมา

      Wa mwanza tupo kumbe 🤝🤝🤝

    • @DizzoclassicSoundstz
      @DizzoclassicSoundstz 17 วันที่ผ่านมา

      @Bongomastermind yaah nambie wapi ww

  • @HassaniMzee
    @HassaniMzee 14 วันที่ผ่านมา

    Ebu nijuze km kuna msiba mnafanyaje huko mana maturubai ayatandikiki

  • @Maishacanada
    @Maishacanada 18 วันที่ผ่านมา +1

    Iyo cha mtoto hapa Ontario

  • @kenedygeorge255
    @kenedygeorge255 16 วันที่ผ่านมา

    Aise kama unapumua ivo kweli baridi ni jingi sana

  • @elyam.
    @elyam. 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nimeona juu ya Missouri kwenye BBC poleni.

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 14 วันที่ผ่านมา

    ''EBM,..WEWE KTK KAMATI YA ROHO MBAYA HAUMO

  • @tunauzapweza3501
    @tunauzapweza3501 13 วันที่ผ่านมา

    Hali ya hewa huko raha ni full kutombana tyu

  • @mohamedikinu9502
    @mohamedikinu9502 13 วันที่ผ่านมา

    Tubuni acheni dhana ya tabia ya nchi mtaangamia enyi wapumbavu

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 19 วันที่ผ่านมา +1

    Polen sana ila weather kama hyo nauli ya ticket lazima ishuke

    • @joycebenjamin6017
      @joycebenjamin6017 18 วันที่ผ่านมา

      Yaan safari zinahairishwa mai dear!

  • @busanyachilangwa
    @busanyachilangwa 18 วันที่ผ่านมา

    America lazima nikuje

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 17 วันที่ผ่านมา

    -9 ni baridi kali broo😅😅😅😅??

  • @joakimgatehi7158
    @joakimgatehi7158 15 วันที่ผ่านมา

    Asante sana

  • @NelsonEdwardAlfred
    @NelsonEdwardAlfred 19 วันที่ผ่านมา +2

    Tz tunasema Arusha Kuna baridi lkn kwa ninachokiona kwa hii video🤔🤔🤔

  • @festoLuanda
    @festoLuanda 18 วันที่ผ่านมา

    Kaka ongela Kwa kusema ukweli

  • @mkazilakwamchilloh3563
    @mkazilakwamchilloh3563 19 วันที่ผ่านมา

    Ebm za huko salaam from Boston Massachusetts hiyo baridi mimi siiwezi yaani ya kuendesha truck kubwa 18 wheeler .
    Rudi ndani ndugu yangu hiyo baridi sio mchezo

    • @YusuphIsmailly
      @YusuphIsmailly 19 วันที่ผ่านมา

      Mambo vip kaka

    • @mkazilakwamchilloh3563
      @mkazilakwamchilloh3563 18 วันที่ผ่านมา

      @YusuphIsmailly huku salama lakini baridi tu vipi wewe huko uliko hali vipi

    • @YusuphIsmailly
      @YusuphIsmailly 18 วันที่ผ่านมา

      @mkazilakwamchilloh3563 hali ya kawaida tu baridi joto hvyo

    • @YusuphIsmailly
      @YusuphIsmailly 18 วันที่ผ่านมา

      Upo us au

  • @malongoisack5811
    @malongoisack5811 17 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa kuna raha gani ya kuishi huko?

    • @jacksonmsendo3478
      @jacksonmsendo3478 16 วันที่ผ่านมา

      Hatari hakuna raha yoyote mimi mwenyewe nipo huku snow isikie tu unakaa ndani tu

    • @theresiamanyanda1125
      @theresiamanyanda1125 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@jacksonmsendo3478Kama hamna raha braza si ungerudi huko ulaji upo tuje wote msituache jamani raha tunazitaka nazi🎉😂

  • @reaganvlogs-93
    @reaganvlogs-93 16 วันที่ผ่านมา

    kaka jana niumeangalia tu video yako ukasemk california ndio ajali za moto nyingi na kimewaka lohh

  • @reaganvlogs-93
    @reaganvlogs-93 17 วันที่ผ่านมา

    hee ntajibana california

  • @Really-football
    @Really-football 17 วันที่ผ่านมา

    Majirani zako wamekufa kisa baridi vipi ulienda msibani?

  • @Dorah-q8w
    @Dorah-q8w 19 วันที่ผ่านมา

    Changamoto za Washington DC NI zipi

  • @ArtworkArtwork-t8p
    @ArtworkArtwork-t8p 18 วันที่ผ่านมา

    Hapo ni kama unaishi kwny jokofu

  • @stallonerney369
    @stallonerney369 16 วันที่ผ่านมา

    bola iwe uko uko ikija huku itatuuwa njaaa mana 2tashindwa kutoka kutafuta ugali

  • @IbrahimMwadini-hz7ib
    @IbrahimMwadini-hz7ib 19 วันที่ผ่านมา

    tusaidie kk edm kuhusu appoint nchini tz tumeshafanya malipo ila system haikubali ss kupata appointm

  • @joshuamunyao526
    @joshuamunyao526 14 วันที่ผ่านมา

    America lazima nikuje