Tuko pamoja kaka EBM .Dr Kaje from Kigoma. Napata elimu kubwa sana hapa. Na Mungu ajalie Greencard itiki. Lakini pia kaka EBM nataka kuongea na wewe personally La
EBM naomba namba yako mimi ni Greencard holder naishi Houston Tx. Nataka kuongea na wewe nikukabidhi mtoto wa kaka yangu ambaye ni graduate umsaidie na DVD lotter.
Mimi ni Daktari lakini nina tamani hata niingie USA kwa kazi ya kufagia... Eee Mungu nipe fursa ya kuingia US jamani.. Hata Canada tu natamani mnooo...
Yani jamaa amekuja US mgeni yani mpaka wanamtukani yaani watanzania aloo wajinga sana yani wa asia na mataifa mengine hawasaidiani kwa njia izo kwa nyinyi wajinga mlokua live ukisoma ujumbe huu badilika mjinga wewe acha ushamba kwakua umetangulia kuingia US unaona uyo mzee mjinga shenzi kabisa
Dah $12/hr mm ningekubali hata kama ni $9/hr , ngoja DV itiki safari hii, bongo naishi nakula milo miwili na nafanya kazi ngumu sana, huyo jamaa anaishu za kishua sana, unajadiliana Nini na host akati meli inazama? Aisee MUNGU anijalie nifike USA nikifika nitapiga mzigo balaa
Asante sana @EBM kwa mafunzo mazuri. Mungu akubariki.
Daah ninyi ni watu wa maana sana.Mungu awabariki sana.
Kaka niseme nimewahi kuona Ticktok wakikiri kuwa wewe ni the best
Hakuna Kitu ninaimani nacho kama kushinda Green card ya mwaka huu
Tuko pamoja kaka EBM .Dr Kaje from Kigoma.
Napata elimu kubwa sana hapa. Na Mungu ajalie Greencard itiki.
Lakini pia kaka EBM nataka kuongea na wewe personally
La
Nakufwata sana ,,one day nitafika America
Naomba namba yako mr.hata mm nawish kuwa raia wa USA tutaongea mengi hadi naingia huko na kufanya kazi yangu ya ndoto zangu mkuu
EBM naomba namba yako mimi ni Greencard holder naishi Houston Tx. Nataka kuongea na wewe nikukabidhi mtoto wa kaka yangu ambaye ni graduate umsaidie na DVD lotter.
Kaka ebm ivi ukiwa na diploma ya bongo upitia high school unaweza pata scholarship
Michael kazingua sana. Hongereni sana ndugu zetu kwa msaada mnaoutoa kwa Watanzania wenzenu. Mna upendo wa kweli. Pongezi nyingi kwa kaka EBM.
Gali litapinduka😂😂
Nimecheka saana eti nilikua si mwamini ata dereva 😂EBM
Watu wengi wanapata elimu sahihi
Tuko pamoja mpaka nifike marekani kaka EBM
Uyo jamaa mwingine sauti ya kiume inaonekana ni kamati ya roho mbaya jinsi anavyoelekeza anaonekana tu ,,ila EBM unambingu yako upo kindly sana
Asnten sana kwa elim unayo tupa kwa sisi ambao tunajiandaa kuingia intvyu januali unanpa moyo wa ushind san mbalikiw
Mimi ni Daktari lakini nina tamani hata niingie USA kwa kazi ya kufagia...
Eee Mungu nipe fursa ya kuingia US jamani..
Hata Canada tu natamani mnooo...
Pambana ndugu, inawezekanaaaa
@@iddyomary5061kivip tupe michongo
ebm kweli ni mtu mzima hapo ila hao wajinga wote hawashauri ila wanakejeli shenz kabisa kwanza kama wangekua wao wangeshindwa ata kumhost
Makavu ya ukweli tupu
Yani jamaa amekuja US mgeni yani mpaka wanamtukani yaani watanzania aloo wajinga sana yani wa asia na mataifa mengine hawasaidiani kwa njia izo kwa nyinyi wajinga mlokua live ukisoma ujumbe huu badilika mjinga wewe acha ushamba kwakua umetangulia kuingia US unaona uyo mzee mjinga shenzi kabisa
Hi Boos
Dah $12/hr mm ningekubali hata kama ni $9/hr , ngoja DV itiki safari hii, bongo naishi nakula milo miwili na nafanya kazi ngumu sana, huyo jamaa anaishu za kishua sana, unajadiliana Nini na host akati meli inazama? Aisee MUNGU anijalie nifike USA nikifika nitapiga mzigo balaa
Kushinda dv ni ngumu bro,pambana bongo
@aziziduli8811 Mapambano yanaendelea, tunatega kotekote