namkubali sana Mariam khamis ila mungu kampenda zaidi nyimbo zake zote zina nifanya niwe mpole nakuendelea kupenda taraab Mungu amlaze mahala pema peponi Amina
haupo nasi ila kazi zako zinatusogeza karbu nawewe m/mungu akulaze mahala pema bi mariamu inapo ibwa nyimbo hii sitamani kazi yoyote naisikiliza hadi mwisho.
Wakuu natafuta ngoma moja ya taarab Limbukeni akipata maungo hulia mbwata " sikumbuki iliimbwa na nani ila ni ya muda sana kama mtu akiipata elf 5 namtumia fasta kama ni yenyewe
Mashaallah Alikuwa Mzuri na Sauti ya Kutulia _ _! Upenda Nyimbo Zake Sana _ _ _, INSHAALLAH MWENYEZI MUNGU Amsamehee Dhambi Zake na Kumlipia MEMA yake_ _ Aieke Pema Nafsi yake INSHAALLAH _ _ Amin Amin Amin
Hakika kila chenye mwanzo hakikosi kua na mwisho tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaid miaka 6 sasa tangu ututoke mpenz ila twakukumbuka sana mariam pumzika kwa aman
Kati ya sauti zinazoniliza ni hii sasa! Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako inshallah!
Umeonaeeee yaan inauma kweli yaan
Many thanks Mariam. I can't spend the whole day without this taarab music, one of my all time songs
R,I,p Mariamu khamis Allah aliweke kaburi lako liwe kati ya mabustani ya peponi 🙏
Amiin
Illahiwanaillahi! Mariam! Mungu ailaze roho yako pema peponi, Amina.
Alaaaa ..it's my favorite taarab ila, sijajua mwenye wimbo katangulia 😢😢😢. Continue resting in peace
Mungu akulaze mahari pema peponi
Mimba iyo ndo iliyokupeleka akhera. Mungu akufanyie wepesi uko uliko
huyu alikuwa ni hatari wa Taarabu nyimbo zake zimetulia Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
2020 kama umetoka jana huu wimbo mariam pumzika kwa amani 😅
Aisha fransic kabisa Yani Kama imetoka sasa IV wallah mungu. Akurehem Mariam hamiss
Yaani huyu dada nilikuwa namkubali sana ila kazi ya mola haina makosa R.I.P.my wajina
hakuna kama wew Dada ulikuwa vizur sana . ila nimekumbuk uwep wako kwenye tarab . inalilllah wailillah rajiun pumzika kwa amanii
mashallah wimbo huu niliupenda innalilah wainailahi rajiun r.i.p
Mungu akupe kaulthabit mariamu na akuondolee adhabu ya kabri
Daah dada yangu Mamuu we mis u a lot pumzika kwa aman kipenzii
Mungu ailaze roho yako mahala pema Dada,mbele yako nyuma yethu.kullu nafs dhaika tul mauth.Innah lillah wa innah illah rajoon
namkubali sana Mariam khamis ila mungu kampenda zaidi nyimbo zake zote zina nifanya niwe mpole nakuendelea kupenda taraab Mungu amlaze mahala pema peponi Amina
Allah akuondishee adhab kabri daaah saut yalumtoa nyoka pangon mashaallah tutakukumbua daima
Mariam khamis, Allah akufanyie wepesi popote ulipo peponi, na mwanao apate heri zake.
Kila nikiangalia nyimbo ya shoga yetu mariamu Khamis najikia raha tulikupenda mungu akakupenda zaidi upumzike kwa aman. Amina
Hi
Inalillah waina illah rajiuna mungu akurehemu na adhaba ya kaburi
May Allah grant her in jannah
Nakupenda wew mungu ailadhe roho yako pema peponi Ameen inshaallah 🙏🙏
Amina
Ailadhe ndio nini?? Ailadhe❌ ailaze✔
Mariam Khamis ni muimbaji mwenye kipaji Cha ajabu. Teremusheni huo uhondo ! Dr. Ogeto International
Mwenyezi Mungu Akupe Kauli Thabith My Sistar
Is it true that that Beautifull Mariam is no longer with us!! Mercifull God rest her soul in eternal peace! I will miss you......
inauma sana jamani vizuri havidumu dunia hii rip dada yetu mpendwa mariam
Allah amsamehe makosa yake, nilikuwa namkubali kweli
Lala pema penye wema dadangu Mariam Khamis.. Sauti yako itadumu milele!
Umeondoka mapema mno pumzika kwa amani Mariam na dunia haita kuona tena
haupo nasi ila kazi zako zinatusogeza karbu nawewe m/mungu akulaze mahala pema bi mariamu inapo ibwa nyimbo hii sitamani kazi yoyote naisikiliza hadi mwisho.
Mungu Akupe mema kwa mkono wako wakulia mbele yako nyuma yetu
Aysha Mahariq
@@jumayusuf2489 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Am very happy when hear that song
ewe mola mpumzishe kwa amani Dada yetu mariam Khamis.
Ndipo Mwakasole ameen ya Allah
Pumzika kwa amani mariam, wimbo hauishi hamu..2019 naangalia
samahan hivi ule wimbo wa....naskia raha naona utamu unawashwa wapi nikukune wapi...uliimbwa na nani na unaitwaje
@@deogratiasmadama4519 huo wimbo kaimba Maua tego
Pumzika dad's
Omar kopa
Da mwenyenzi atupe. Mwisho mwema
Mungu awarehemu wengi wameagadunia pamoja na waimbaji wa dar modern taarab.
Rahaa ya Mapenzi Umpate Anaye kuenzi ndo Utajua Utamu wake Kweli _ _!!!!!? Ila Huko kumpata sasa _ _ _!? Hapooo
Mungu akurehem
Rest in peace 2020
Miss you Mariam Khamisi _ _! Rest n peace INSHAALLAH
😥
Wakuu natafuta ngoma moja ya taarab
Limbukeni akipata maungo hulia mbwata " sikumbuki iliimbwa na nani ila ni ya muda sana kama mtu akiipata elf 5 namtumia fasta kama ni yenyewe
mashaallah tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi dada Mariam allah akupe kauli thabit uko uliko
Mwenyezi mungu akupe kauli thabiti
Mwenyezi mungu akuraze maharapema peponi Amina🙏🙏🙏😭
Mungu akulaze mahali pema
Innallillah wainaillayh rajighun. Rip Mariam.tulikupenda Ila mungu kakupenda zaidi.Amin
❤ love you marim mungu akusameha dhambi zako
Mashlh anajua kumuta aliembli asant bybye umetisha sn mung akuwek mahli pema amina
Inna Lilah wa Inna ilaihu rajiun Mariam Khamis
Haaaaaaaaaa
Umetisha sana babu
Msione ananawiri ni virutubisho vya Mwili ninavyompaa Mpenzi wangu
Allah akupunguzie adhabu ya kaburi Dada lakin wallah ungekuepo mpka Leo wangeenyoooka wewe ni noma Mariam unaimba dada
Innaa lillaah wainnaa ilaihi raajiuun yaani ndio najua leo jamani km maryam hatunaye Mungu amlaze mahali pema peponi aaamin
Hii ngoma inanikumbusha my late siz mwamaisha
Allah Akurehemu Mariam Khamis
pumzika kwa amani mungu mkubwa
Mwenyezi mlaze mahala pema peponi.Ruga
Mariam khamis dadaetu mpoleee... Allah Akuswameh mpenzi.
Hili kundi lilikuwa moto sana hata jahazi walisalim amri mpaka wakafanya mambo yao😭😭😭😭😭
Kweli Kabisa
uy singer yuko na mvuto sana ila nd vile Molah kampenda zayd
Salama salama Dada uendako uende salama nyuma ni yetu.
Mashaallah Alikuwa Mzuri na Sauti ya Kutulia _ _! Upenda Nyimbo Zake Sana _ _ _, INSHAALLAH MWENYEZI MUNGU Amsamehee Dhambi Zake na Kumlipia MEMA yake_ _ Aieke Pema Nafsi yake INSHAALLAH _ _ Amin Amin Amin
Amiin inshaallah sote njia ni hio moja.
Allahuma Ameen
Sote ni waja nakwake tutarejea 💔
We miss u alot....ulituacha na majonzi tele....mungu akulaze pema peponi dadaa
Huyu dada mariam khamis alikufa na ajali more than 15yrs back
Sio ajali
Mung akulazee mahala pma pepon nymbo tamuu sanaa👌
R. I. P Maryam Allah akupe kauli thabiti
mungu akulaze pema peponi akuondoshee adhabu za kaburini
Mungu ailaze peponi roho yake ameen .
Kujuana isiwe tabu tafadhali tusimaindishane dada wewe kazi ya mungu haina makosa.
Mungu awarehem wote walotangulia .Amiiin
SABRINA MOHD aamiin
Innalillah wainna illahi raiun
mwenyezi mungu akupe kauli thabiti nikisikiza nyimbo zako nasikia raha baadae udhuni sana
Inalilah wainailehimrajiun 😢😢
Allah muepushe na adhabu za kaburi,ujumbe maridhawa hauishi hamu.by Mish Nuhu from GOMBERO _TANGA
Much love bt God loved you more, rest in peace our beloved sister #254 Kenya.
Amin amin amin 🙏
mwenyezi mungu akuepushe na adhabu za kaburi Mariam Hamisi
Wimbo huu unanikosha sana na hisia zinanisogeza mbali sana hata kufikia machozi kunitoka.
eeh jaman kwel dunia Mali ya mungu yan sina raha kabisa
Hakika kila chenye mwanzo hakikosi kua na mwisho tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaid miaka 6 sasa tangu ututoke mpenz ila twakukumbuka sana mariam pumzika kwa aman
pumzika kwa amani naposikiliza wimbo huu machozi yananitoka kwakweli ameni
Nakuombea da miriam mungu akueke pema peponi ameen sote njia nihiyo
joseph mwangomile mungu akupunguzie adhabu ya kaburi mariamu
Amina inshaallah
dada yangu, mungu akuepushe na adhabu ya kaburi, tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi
Allahuma ameen
ulale malipema peponi
Mohamedi Matebe Chaugwade. Mungu awe nawe huko Akherah.
Is it true beautiful my dear. Rest in peace mariam. Nilikupenda ulikuwa mzr na mpole mariam. Daah kifo hich😭😭
Allah amrehemu mariam amlaze pema pepon.Amiin
Mi hupenda huu wimbo, lakini sikujua alituacha.Mungu Ampe nuru ya uzima
we miss ye big Bi Mariam----R.I.P.
rip daa mariam mungu ailaze roho pema palipo na wema
Asante mungu akupunguzie adhabu ya kabli
Upumzike kwa amani mariam napenda nyimbo zako natamani kusikiliza mda wote
Inaliah wainalilah rajion
umebalikwa mungu kakupenda zaid pumzika kwa amani amina
Nakubaliana na maamuzi yake mola lakini kwa huzuni kubwa moyoni
Waukweri udongo huu mbere yako nyuma yetu mrembo wangu
Good on you ladies that was lovely thanks for sharing. Long live Music down with politicians ;)
Inallilah wainaylayh rajiun
Mwenyez mungu muondoshee adhabu ya kabuli
❤ Naisikiliza 2024
Inshaallah Allah karim
Maulana akuweke pepo
Hii ni bahati yangu nimeopoa dime la mbeguuu Mimi nae tushapendana full kujiachia Mimi NA yeye tunalicheza naupenda sanasana huu wimbo.
Allah akupe kauri thabiti RIP
Inalilah waina lilah mamu
Mungu akulaze pema peponi🙏 Amin
Rest in paradise mom❤
Imiss u mungu akulaze mahali pema
Mungu ailaze roho yako mahal pema peponi
mbele yako nyuma yetu hakika kila nafsi itaonja umauti
We loved u much but God loves u more ..r.i.p