poleni sana wananchi mli kariakooo na kuathirika tuendelee kuvumilia zoezi la uokoaji linapoendelea na tusilaumu seriakri kuwa imechelewa kuwaopoa waathirirka maana ndio uwezo walionao seriakri katika kazi tusijilinganishe na wazungu wa mataifa mengne wenye technologia kubwa zaid yetu
Polen sana sna wafiwa. Na majeruwi wote. Ila jaman kariakoo Sasa magorofa yanabomilewa sana . Na kujengwa. Bora yangeachwa yale yale yangepakwa tu rangi.
@@faridaamasha5700 ata kazi lijafanya ilo lichombo lao naona wanataka kutumaliza mana ata kipindi cha kikwetee ilitokeaga ivivi waka kausa siku ya kumalizia Christmas nakumbuka naona wame zamilia
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
poleni sana wananchi mli kariakooo na kuathirika tuendelee kuvumilia zoezi la uokoaji linapoendelea na tusilaumu seriakri kuwa imechelewa kuwaopoa waathirirka maana ndio uwezo walionao seriakri katika kazi tusijilinganishe na wazungu wa mataifa mengne wenye technologia kubwa zaid yetu
Poleni sana wezetu Mungu wape ulinzi ya kimwili wote walio umia
Mungu simama katika hili
Polen sana sna wafiwa. Na majeruwi wote. Ila jaman kariakoo Sasa magorofa yanabomilewa sana . Na kujengwa. Bora yangeachwa yale yale yangepakwa tu rangi.
We huoni kuwa hiyo ni hatari?
Mungu ma Malaika mlinzi simama katika hili
Jamani Mungu awanusuru watoke salama
Jamani Mungu aziwekeloozawatuwaliopotezamaishapolekwanduguzanguote
Nawapa watanzania wenzangu pole kwa mahafa haya
Jamani dah😢😢😢
So sad😢😢😢😢ni uzuni Dah
Allha awfnyie wepc wote waliop ndani n walio hospital
Pole sana wahanga😊
Kweli selekali ya sasa yaovyo sana mama umeshindwa toa vijiko ata 5 wavunje iyo nyumba mana unaacha nguvu kazi wana teketea atukupi kula tena 😢
Yaaan wameleta greda moja tu lamda wamefany kafara jmn maaana kwann wasitraki simu zao wajue walipo
Iyo horofa imeanguka bila ya akili itaporomok yote iyoo
Siku kuleta magreda kutafut njia nyumb iciangukee iyoo
@@faridaamasha5700 ata kazi lijafanya ilo lichombo lao naona wanataka kutumaliza mana ata kipindi cha kikwetee ilitokeaga ivivi waka kausa siku ya kumalizia Christmas nakumbuka naona wame zamilia
Huyu akiendelea maafa mengi vifo vingi mauaji ukatili mwingi na yupo kimya tuu
Itv
Kwani lile gileda lilikuja kufanya kazi gani mana chini bado kuna ndugu zetu
Ile skaveta ingegusa hilo jengo stori ingekuwa ingine
@@zamzanimakundi2546 mh
Kwa kuwa bado chini kuna watu gleda halifai kwa sasa