Alifata maelekezo ya mwanaume, angeendelea kurudi rivas wangenaswa na wangechezea mapanga! Sifa na utukufu zirudi kwa Mungu aliemuongoza mwanaume kumuelekeza dreva!
This is my homeland...They once succeeded to hijack me and my mom and commanded us to get out of the car and leave everything inside but through the power of the most high Jah,police came and rescued us
Drama hiyo wanaigiza....utateka mtu kwa panga .... Yaan mtu yupo ndani ya gari hujui anasilaha gn then unamkimbilia na panga 😂😂😂😂😂😂...... Huu NI uongo kbsa , Kwanza ile gari tuliyopishananayo kwann imepita mkono sio sahihi? Nakama ilikuwa ya majambazi ilishindwaje kublock sisi kwa njia . 😂😂😂 Acheni upimbi maji . Straight from +255 🇹🇿
BAWASILI/HEMORHOID. hii ni hali inayotokea baada ya kuvimba kwa mishipa midogo (vena) inayozunguka sehemu au tishu za tundu la haja kubwa. Bawasili zipo za aina mbili kulingana na sehemu inapotokea... Inaweza kuwa ndani au kwa nje. SABABU -👉mtu akiwa anahara sana 👉kuwa na kinyes kigumu mara kwa mara 👉ujauzito 👉kuwa na uzito kupita kiasi 👉kufanya ngono kinyume na maumbile 👉kula sana vyakula vya kukoboa 👉kuchuchumaa mda mrefu wakat wa haja 👉mtu mwenye tatizo la ini huweza kupata pia DALILI 👉damu kinyesini 👉maumivu wakat wa haja kubwa 👉kuwashwa kwa tundu la haja 👉kujitokeza kinyama kwenye tundu la haja kubwa Nb Ni watu wengi wanao ugonjwa huu ila huona aibu kujionesha na hatimaye huenda kupasuliwa.... Usiogope endapo unalo tatizo au unamjua alienalo mfahamishe kuna bidhaa ataweza kuzitumia na hatoweza kupasuliwa coz zinaondoa kabisa na huo uvimbe hautarudia tena kama ambavyo angeenda kupasuliwa Contact us ☎ Whtsp/call 0744481111
Je akili yako imefika mwisho huoni majibu kwenye maisha yako kwa kila kitu unafanya karibu tuombe pamoja katika chanel yangu hii bonyeza pocha kisha subscribe hapa kisha bonyeza kingele ili kupata ratiba za maombezi na mafundisho ya Mungu bila kujali dini yako asante, nabii mdogo Tz
Hao sio majambazi ni wachnga ngombe sema alichoka tokimbizana na ngombe kwa time hiyo wakaamia kwenye gari jambaka kabisa umtoke kizembe akiwa ameaga kwa kimada utaelewa tu
Hio ni kenya mbona kenya wanajulika kwa wizi na wanaiba kweupe na watu wanawaangalia wanaibia wageni bado gari inasimama kuwapisha wapande bodaboda wakimbia na hakuna mtu anashughulika na wao
Naitwa mganga masoudi au masoudi natibu kansa pamoja na ukimwi 0714092055 0742101381 natumia dawa inayoitwa mti mkulu niyakuchanja inasafili kwenye damu hakuna ugonjwa usio na dawa kwauwezo wake mungu nipo morogoro
Hakuna ujambazi wowote hapo , kwenye tukio is ujambazi la ukweli utapata wapi nguvu za kurekodi tukio ?? Hao vibaka mdebwedo tu , Millard Ayo nawe siku hizi waokoteza habari ??
Mwanamke alisimama akaweka gear ya nyuma mwanaume akamwamby endesha uende mbele,, mwanamke angekua pekeake angepata ajal maana kurud nyuma na gar sio kaz rahisi
Walikuwa wanafuata Basi basi walivoona gari ndogo wakageuza Wazo ila Mungu amewasaidia Abiria waliokuwa ndani ya Basi. Tunamshukuru Mungu! Ninavojuwa wazungu kwa kuogopa kifo hawatakujaga tena hapo mmewafukuza maaana wazungu kama ndege vile.
Alifata maelekezo ya mwanaume, angeendelea kurudi rivas wangenaswa na wangechezea mapanga! Sifa na utukufu zirudi kwa Mungu aliemuongoza mwanaume kumuelekeza dreva!
Safi sana
Kabisa mungu ni mwema mno
Dah mungu amewalinda na tamaa zao wakafanye kazi waache wizi..aibu
This is my homeland...They once succeeded to hijack me and my mom and commanded us to get out of the car and leave everything inside but through the power of the most high Jah,police came and rescued us
Tatizo Mkuu ulinipeli pesa ysngu huwa imeniuma sansaa
With God everything is possible 🙏
Daa dada katisha sana kaludi nyumba kisha kaenda mbelee kudadadek
Jamani watafute vyakwao mungu anawaona
Huyu wa kushoto naona amemkanyaga dar safi sanaa
Elimu bado haijafanya kazi vzr ama kuifikia jamii husika ipo haja ya kutoa elimu mfno elimu ya uzalendo nk, hasa kwa jamii za eneo hilo.
Hao hawajakutana na watu wasio julikana😁😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kenya my motherland
Hawa ni Walikuwa Wanajaribu Kuwa Wezi,Sasa Kuzuiya gari Kwa Miili Yao.
Drama hiyo wanaigiza....utateka mtu kwa panga .... Yaan mtu yupo ndani ya gari hujui anasilaha gn then unamkimbilia na panga 😂😂😂😂😂😂...... Huu NI uongo kbsa , Kwanza ile gari tuliyopishananayo kwann imepita mkono sio sahihi? Nakama ilikuwa ya majambazi ilishindwaje kublock sisi kwa njia . 😂😂😂 Acheni upimbi maji . Straight from +255 🇹🇿
That's y I prefer to own an amor for this fool...
Fumua ubongo na ukija ulizwa unasema Self defence ...
Binamu tumekuwa Zaid y wanyama 🤔Jaman ee mungu tusaidie
Hawa mwisho wao si mwema...afadhali Kenya police wakipatwa na KWS ndo watajua uwizi haufai
BAWASILI/HEMORHOID.
hii ni hali inayotokea baada ya kuvimba kwa mishipa midogo (vena) inayozunguka sehemu au tishu za tundu la haja kubwa.
Bawasili zipo za aina mbili kulingana na sehemu inapotokea... Inaweza kuwa ndani au kwa nje.
SABABU
-👉mtu akiwa anahara sana
👉kuwa na kinyes kigumu mara kwa mara
👉ujauzito
👉kuwa na uzito kupita kiasi
👉kufanya ngono kinyume na maumbile
👉kula sana vyakula vya kukoboa
👉kuchuchumaa mda mrefu wakat wa haja
👉mtu mwenye tatizo la ini huweza kupata pia
DALILI
👉damu kinyesini
👉maumivu wakat wa haja kubwa
👉kuwashwa kwa tundu la haja
👉kujitokeza kinyama kwenye tundu la haja kubwa
Nb
Ni watu wengi wanao ugonjwa huu ila huona aibu kujionesha na hatimaye huenda kupasuliwa.... Usiogope endapo unalo tatizo au unamjua alienalo mfahamishe kuna bidhaa ataweza kuzitumia na hatoweza kupasuliwa coz zinaondoa kabisa na huo uvimbe hautarudia tena kama ambavyo angeenda kupasuliwa
Contact us ☎
Whtsp/call 0744481111
Izi ngozi nyeusi banah
Hamna lolote la maana hapo majambazi gani ha mabwege to kenya unoko mhuuuuu!!
This is true...it's my homeland
Mkundu huu wenye shimo nono ww, msenge na bheha wewe, nenga katiwe
Ingekua ni mimi napita nao mara hio hio
Je akili yako imefika mwisho huoni majibu kwenye maisha yako kwa kila kitu unafanya karibu tuombe pamoja katika chanel yangu hii bonyeza pocha kisha subscribe hapa kisha bonyeza kingele ili kupata ratiba za maombezi na mafundisho ya Mungu bila kujali dini yako asante, nabii mdogo Tz
Kwenda zako pumbavu ww nani alikuambia kuna tena nabii mkuwa wala mdogo
Wanaume wazima na nguvu zao wamekosa kaz ya kufanya had wasmame porini kuteka magar
These men thugs are such a disgrace in our country
Wanabahat hawa mbwa nngekua Mimi nngesepa nao wote
Mbna alizingua kurud nyuma....... aisee that was heroo time .... angepita na kijiji
Ningemgonga mmoja wapate adabu
Mmoja hapo alikanyangwa pahali.
Aibu watalii wataogopa kuja africa wataona hakuna usalama
Duh Noma sana
Waooouh!
Hivi waafrika tuna matatizo gan?
Hao sio majambazi ni wachnga ngombe sema alichoka tokimbizana na ngombe kwa time hiyo wakaamia kwenye gari jambaka kabisa umtoke kizembe akiwa ameaga kwa kimada utaelewa tu
Mungu ahimidiwe
Majambaz wanamapanga xax majambaz au vibaka ao😂
Is better to protect yourself
Mmmh hao nivibakatu jambazi anajua mbinu wee siohao wakata vitunguu
osman.oman MUNGU akikupangia unafaulu
Sijaona wezi wapuuzi Kama hao yani wanataka kuzuia gari kwa mkono!
Hii ni mov wlikuwa wanachza😢😢😢
Q
Hapo huyo dereva angefanya busara akamtoa uhai mmoja wao. Angemtoa matumbo nnje kabisa
Ninge wachia maumivu aise mbona wange juta afu na rudi napita na kagari kao na vile kalain 😂😂😂😂😂
Jamaa usingeieka Tuh hii video..wataliii wakiiona wataogopa Kuja....
Hio ni kenya mbona kenya wanajulika kwa wizi na wanaiba kweupe na watu wanawaangalia wanaibia wageni bado gari inasimama kuwapisha wapande bodaboda wakimbia na hakuna mtu anashughulika na wao
Kuna umuhim wa kumiliki bastola
Duh Hii Video Mbona Ya Muda Mrefu Sana😂
Na we angalia video wame upload Lin usiongeee tu
Huyo dada noma
Mbona km wanaigiza? Alijuaje atakutana na majambaz akaanza kuchukua tukio?
Sharifu Nyengedi ..we ni zombie mvivu sa kutumia ubongo wako uliopewa na mungu....
@@mawazoaliselemani unajua suala la viewers na like linafanya watu waigize sana maisha haya🤔
Naitwa mganga masoudi au masoudi natibu kansa pamoja na ukimwi 0714092055 0742101381 natumia dawa inayoitwa mti mkulu niyakuchanja inasafili kwenye damu hakuna ugonjwa usio na dawa kwauwezo wake mungu nipo morogoro
Gari inakimbizwa Kwa panga yani najifanya kusimama namwambia fungua buti Kuna begi tumeweka pesa akigeuka tu namgeuza chapati hapohapo
Maahi mahiu sio maasai mahiu🤣🤣🤣
Bora angemgonga ili kumuonesha moto
Hii nimuvie bwana Miller sasa nakamera zilitoka wap? Zakuchukua tuki!?
Nchi zilizo endelea katika safar wanakuwa na tu camera special kwa ajiri ya matukio yanayotokeag mabarabarani
safiii
Mdauwo nasi alirekod tukio au swaga tuuu
They were just trying to sell the machetes to earn aliving
And you guys are running from them😁
HEM TUMA IO LINK YA APP YENU
Kama upo buda usilaumu kwanini haku push because she is madam
Kuna mmoja apo alipapaswa na gar
Driver was so stupid! Upo na gari unakimbia mtu ana panga?
Acha usenge ww ulitka afnyaj
Yan hao unakanyaga tu mbaka wana kufa
😂😂😂budah ndio maana hauna gari
@@derrickmuriithi3428 hahahahahahah
kwakwel
Alierecord alikuwa wap
That's a dashcam. Get exposed
Uongo t.kwahiyo mlikua mnachukua picha
Hawa ni school drop outs nani aliwaambia wasisome
Hakuna ujambazi wowote hapo , kwenye tukio is ujambazi la ukweli utapata wapi nguvu za kurekodi tukio ??
Hao vibaka mdebwedo tu ,
Millard Ayo nawe siku hizi waokoteza habari ??
Chayo Gasperi baba iyo camera imetegeshwa mda kabla yatukio ili kurikodi safari yote ndio likatokeailotukio sio kwamba amerikodi wakatiwatukio hapana
Jinga Wewe
Huku ni kwetu na hilo tukio ni la ukweli...Tukienda kutembea mbuga za wanyama tunawekanga camera kwa gari
Daaah
Mashetani kweli hawa haina hata haya 😡😡
Bila mwanaume kumwambia tembea Alisha smama
Mwanamke alisimama akaweka gear ya nyuma mwanaume akamwamby endesha uende mbele,, mwanamke angekua pekeake angepata ajal maana kurud nyuma na gar sio kaz rahisi
Nami nmeshangaa. Sijui kwanini asingelikimbiza mbele na hata kuwagonga kabisa. Nyuma si tayari kulikuwa na noah amewapita
Mi nisingerudi nyuma ningepita na wao wstu wenyewe wana panga tu
Mmmh nani alilekod
Kuna kamera zinauzwa kwa ajili ya kurekodi matukio huwekwa ndani ya gari kwa mbele
Hiyo imetengenezwatu hakuna wakuteka gar kutumia panga
God is great ... American is always right #GhostPeople
Cjajua nan alikua ana record hyo video
Dash camera
Sasa awa jambaz bila wazuie ilo gari na gari lao
Tokanianze kuangia vitu katika chanel ya ayo TV Leo umetuongopea
Amekuongopea kvp? Hyo ni kweli ilitokea
Apo alikuwa awapelekee tu gari,, dadadeki
iv nyie mnajuwa majambaz hawajakutana na majambaz wamekutana2 na vibaka
Kwanza asingeludi nyuma angegonga tu
Alikuwa anacheza nn dunia
Binadamu tumekua wanyama jamani
Walikuwa wanafuata Basi basi walivoona gari ndogo wakageuza Wazo ila Mungu amewasaidia Abiria waliokuwa ndani ya Basi.
Tunamshukuru Mungu!
Ninavojuwa wazungu kwa kuogopa kifo hawatakujaga tena hapo mmewafukuza maaana wazungu kama ndege vile.
Sasa majambazi gani wana mapanga unaogopa mtu ana panga uko na gari? 🤣🤣 c unamgonga tu
Kabissa!
Who recorded?
Unless the thugs themselves
I think we r being cheated
It's a dashboard cam wtf
Walikua wamechukua panga ata Mimi naweza kukimbia
Mm ningemkanyaga tyu
Sikuona toyota landcruiser.
Mai mahiu not Masai aisee
Kwann asinge mgonga na gari
Duh
Tukio la kitoto
Duuu
Kwenye iphone hmna app
Majasusi uaa tu mbwa hizo dawa yao shaba mapanga ya nini
Uzuie gari na panga
Wakat yote yanatokea nani alikua anachukua video
Mjomba hivi unafilia kwa kutumia Nini...!?
Gari imewekwa camera ya mbele inachukua matukio yote
Duuu!
sh
Angewagonga na gari kumamae
Amateur robbers
Bossi ewe stupid sana hapo sio mbuga ila mahi mahiu
Sisi Wa kenya siowatu wa mchezo mchezo
kwa wizi kweli sio wa mchezo mchezo
@@mugheiry Hahahahhhh!!
@@mugheiry hahahaaaahaaahaaahaa umenifany nicheke mpk nikojoe
hhh
Bahati yao
😂😂😂
That can't be Kenyans we can't do stupid things achana na sisi hatupendi ujinga na Kiki za kibongo