Poleni ndugu zetu Kwa sisi wachimbaji wadogo tuliopo Songwe,Geita,Chunya nk. Huwa tunapata majanga ya kufukiwa na vifusi, laiti kama tungebahatika kuwa hapo tunge hamisha kifusi cha jengo kipande Kwa kipande Poleni sana mola mlezi awafanyie wepesi katika hili
Yaani hzoo ndio kazi zao zinazofany walipwe mamilion Haina haja ya kuwasifia sana yaan ni kama Mimi nikilima vzr nisifiwe haitakiw nisifiwe kwasababu ndio kaz yanguu
Alhamdulilah kwa walio pona walio kufa Allah awarehemu awasamehe makosa yao. Ndugu zanguni kwa sisi waislamu tujitahidini kuswali swala zetu5 kwasababu mauti huja wakati wowote. Allah atuongoze In shaa Allah.
Manshaallah manshaallah tz ina viongozi haki waokoaji wamejitokeza na wanafanya kazi nzuri ssna ambae aoni basi ni hasidi hski mungu awabariki ingekua kenya kenya nevy wangekuja saa saba tukio saa moja haki nimewapenda na wakuu wote
Mungu awasaidie ndugu zetu. Mh Mkuu wa mkoa, baada ya kumalizika kwa zoezi zima la uokozi, sheria ifuate mkondo wake kwa "mmiliki wa jengo", "mkandarasi anaye jenga hapo huku shughuli za kibiashara zikiendelea", na " aliyetoa kibali cha ujenzi na mkaguzi wa ujenzi". Serikali isiruhusu rushwa na uzembe kuwa sehemu ya maisha yetu. Sisi tusiwe Taifa lililopoteza muelekeo. Mungu ibariki Tanzania. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Hongera sana Mkuu wa mkoa wetu hongera Mama Samia kwakweli leo nime furahishwa na juhudi kubwa leo nimejikuta nawakubali sana kuliko siku zote Kazi nzuri sana Chalamila
@@BarakaMapogo kakaungu sio chawa kuna wakati wanafanya vizuri tuwapongeze bila Samia hakuna Chalamila kwa hiyo tuwapongeze katika hili wamefanya vizuri
Majengo ya kariakoo ni ya muda mrefu, tuushauri uongozi husika ufanye tathmini kuona ni majengo gani hayana viwango kwa sasa ili wamiliki waelekezwe kuyabomoa kea usalama wa wananchi.
Wejeh company Ltd inatoa pole kwa ndugu na jamaa wote walio asilika kwa namna mbalimbali vifo, majeraha na nk kutokana ajari kuanguka kwa jengo kariakoo tunaomba mwenyezi Mungu ukawaponye wote walio jeluhiwa na ukawe falaja kwa aliopoteza ndugu zao
Mungu wetu na baba yetu ulietuchagua tuishi ktk ulimwengu huu wenye taabu na dhiki nakusihi uturehemu pale tulipokukosea utusamehe. Tuhurumie eeh Mungu wetu tazama watoto wako wanakulilia na ss tunakulilia turehemu baba. Tusaidie kuwaponya ndugu zetu waliopata maafa haya. Tuma malaika zako wakawe waponyaji na watoa maumivu na majeraha Kwa watanzania wenzetu. Eeeh Mungu achilia uweza na mamlaka ktk Hilo eneo vunja Kila roho ya mauti isipate kibali Kwa watu wako tazama walikuwa kwenye utafutaji. Tazama wanaowalilia, tazama tunaowaombea, tazama wanaowategemea, tazama Kila Hali eeeeeh Mungu usieshindwa, nakusihi Jehovah Sina namna ya kuzidi kuomba mbele zako lkn usituache tuangamie Kwa stail ya maumivu hivi Jehovah, ulisema hutauwa au kuangamiza Tena Kwa ghadhabu na hasira tunaomba uwasaidie ndugu zetu Kwa Hilo neno lako waokolewe Kwa neema Yako. Tumejifunza kupitia hayo maafa Yesu, naamini hatutaishi Kwa kukuzoea tutaishi Kwa kutii na kukuamini. Jehovah usituache mwokozi. Endelea kuwa nasi Amen 😊
Polene sana kwa wahanga wote, mwenyez Mungu awasaidie ktk dhahama iliyo wakumba,hongereni wote mnaopambania kuwaokoa wenzetu, mwenyez Mungu awatieni nguvu,Amiina.
Mmungu ni mkubwa. Ndani yake janga hili mna mafundisho yaks Mmungu kwetu sote binaadam Na nusura hote iko kwake Mmungu..Mmungu awape nguvu nyingi waokoaji. Tupata na vifaa vya maana kuokoa. Tuwemo katika Duaa kuwaombea ndugu zetu wote na tujipange kutoa michango itatakiwa. Subhanallah
Tubuni ndugu zanguni mlioko hai bado mngali ktk vifusi. Imbeni kama danieli alieokoka ktk mdomo wa Simba, ombeni bila kukoma na Mungu atasikia kilio chenu la asipojib mtakufa ktk bwana. Nazidi kuwaombea muwe na afya njema hadi mtakapookolewa.😭😭😭😭😭😭
Dah inauma sana umetoka nyumbani kwenda kutafuta mkate wa kila siku ndo mambo kama haya yanatokea inaumiza sana nasisi Maisha yetu lazima utoke nyumbani ndo jioni unarudi na kilo ya unga au mboga unapeleka kwenye familia ili kupata chochote nyumbani
Poleni sana kwa kweli uzembe ndio faida zake,msihusu gorofa km halijaisha kujengwa kuhamia,kuona ni kusoma,mungu walaze pema marehemu wote,hivyo vikosi mbona hiyo oksjeni bila kutoa mzigo juu kikamanda hapo waje jeshi kuindoa mzigo wote km vp hao wote washike majembe,mungu awalinde walio chini
The Prophet ﷺ said, “He whose last words are: ‘La ilaha illallah’ (There is no true God worthy of worship except Allah) will enter Jannah (paradise).” [Sunan Abu Dawud] May our last words be Shahadah لَا إِلَٰهَ إِلَّا ٱللَّٰهُ مُحَمَّدٌ رَسُولُ ٱللَّٰهِ Poleni sana ndugu zangu na mzidi kuwa na subrah. Ameen
Niwashauri to mheshimiwa kariakoo majengo mengi yamekuwa magodown ya kuweka mizigo ghorofa za juu chini ni maduka uzito unakuwa mkubwa imagine jengo limeandaliwa kwa ajili ya mkazi uzito wa fenicha na watu azizidi tone moja lkn floor moja inakuwa na mzigo zaidi tone 100 imagine. 😢😢😢😢 hilo liangaliwe yatadondoka mengi asante
Hili ni jambo muhimu sana sana majumba yalojengwa kwa makazi yanageuzwa magodown na mengine wakazi wapo pia,tamaa imepitiliza ht hawajali sheria ya makazi ya binaadam,mungu atunusuru ikizuka moto itakuwa janga kubwa zaid nchini,magodown yatafutiwe majengo yake nje ya kariakoo huku yabaki maduka na makazi tu.
Viwanja pia vimekuwa vidogo kutosheleza magorofa marefu na maunderground,kariakoo urefu mwisho ungekuwa gorofa 4,5,au sita tu,wanaotaka magorofa marefu wapewe viwanja wakajenge nje ya mji wapanue makazi namiji mipya sasa kariakoo pametosha zaid ya kutosha kusema kweli.mbn nchi za wenzetu wanakuza miji mipya?
Hapo gerezani Kwenye round about kuna ghorofa yaani nondo Chin zinaonekana na zimeharibika lakini kazi zinafanyika na chini wapo wengine wanakaa hapo hapo mfano mafundi simu yaani ni hatari tupu
@lannemwenda sio round about exactly ila ni makutano upande wa kushoto unaenda china plaza sasa kulia ndo kuna hilo ghorofa km unatokea kituo cha mwendokasi
Allah awafanyie wepes inshallah lkn msisahau ss kuona vifo Palestine asilimia ya watanzania husema wafe hao magaidi ila Allah akileta mtihani wake popote tu pale angalia wezetu leo watanzania wezetu tunaona uchungu wao kwa wale wanaokufa mnatoa maneno mabaya huu mtihani tu ishara kwetu tujitasmini sote ni binaadam lazima huruma tuoneane na sio dini kuchaguana.
Sababu majengo ya kaeiako ya zamani jmn mnatafuta mchawi wakanti mnajua majengo yanajengwa bila ya kiwango vzuri na yamekaha sana toka hezi..iyo ni hajari kama ajari ya gari balabalani wawe pole wote
Eee mungu kama unatuhitj tuchukue kwa mikono Salam sio kwa mateso hivi baba tunakuomb ona ndngu zet wanavyotesek chukulia mfano ukifungiwa to mlngo kwa nje unakosa aman kias gan half leo jingo limekulalia juu huna uwez wa kuliinua mungu😢😢
Jamani jitaidini Mungu awaongoze oxygen ifike wapewe uvumilivu na Mwenyezi Mungu kiukweli ni ngumu ila kukaa umefunikwa na kifusi ila Mungu wasaidie watoke
Yaani hapo engineer wa Hilo gorofa embu baadae ya yote atiwe ndan , yaani sielewi gorofa kuanguka ,poor engineer ,pole sana waliopatwa na ajari na ndgu na jamaa
Poleni ndugu zetu
Kwa sisi wachimbaji wadogo tuliopo Songwe,Geita,Chunya nk. Huwa tunapata majanga ya kufukiwa na vifusi, laiti kama tungebahatika kuwa hapo tunge hamisha kifusi cha jengo kipande Kwa kipande
Poleni sana mola mlezi awafanyie wepesi katika hili
Asante Sana Mheshimiwa umeelezea vizuri na Kwa umahiri Kwa Kazi mnazofanya Kwa uwokozi WA wananchi Mungu akubarikini Kwa Kazi nzuri mnoifanya.
Yaani hzoo ndio kazi zao zinazofany walipwe mamilion Haina haja ya kuwasifia sana yaan ni kama Mimi nikilima vzr nisifiwe haitakiw nisifiwe kwasababu ndio kaz yanguu
Amina...kwanza kabisa tunamshukuru Mungu sana , tumeuona mkono wake, na asanteni sana waokoaji, asante Serikali ..
Alhamdulilah kwa walio pona walio kufa Allah awarehemu awasamehe makosa yao. Ndugu zanguni kwa sisi waislamu tujitahidini kuswali swala zetu5 kwasababu mauti huja wakati wowote. Allah atuongoze In shaa Allah.
Ameen inshaallah
Inshaallah
Ameen inshallah
Amiin
Aaamin yaarab 😢😢
Manshaallah manshaallah tz ina viongozi haki waokoaji wamejitokeza na wanafanya kazi nzuri ssna ambae aoni basi ni hasidi hski mungu awabariki ingekua kenya kenya nevy wangekuja saa saba tukio saa moja haki nimewapenda na wakuu wote
Dah mh chalamila mungu akulipe Kila la kheri Leo nimeona kitu ambacho sikudhania kuona Kwa kiongozi mwenye nafasi yako. Mungu akuongoze na akulinde
Kwakiongozi mwenye nafasi kamayake kwani wangapi wanakuwaga kamayeye haukuona mkuu wa mkoa manyara kwani alikuwa ana lala kipindi cha mafuriko
Unacho sifia ni nn
@@deniccgabriel6153hata namm simuelewi
Mungu awasaidie ndugu zetu. Mh Mkuu wa mkoa, baada ya kumalizika kwa zoezi zima la uokozi, sheria ifuate mkondo wake kwa "mmiliki wa jengo", "mkandarasi anaye jenga hapo huku shughuli za kibiashara zikiendelea", na " aliyetoa kibali cha ujenzi na mkaguzi wa ujenzi". Serikali isiruhusu rushwa na uzembe kuwa sehemu ya maisha yetu. Sisi tusiwe Taifa lililopoteza muelekeo.
Mungu ibariki Tanzania.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Nkweli wana makosa Ila hata wafanyabiasha huwa tunasemaga endeleeni tunaomba tuendeleee kujishkisha
Ndugu zangu chenille manung'uniko badlands yake tuwaombee .ndugu zetu watoke salama .kwani serekari inajua huo ni wajibu wao tuwaimbee na waokoaji.
Mwenyezi Mungu awaponye waliobaki watoke salama mbarikiwe viongozi wetu kwa kazi kubwa mnayoifanya
🤲🤲🙏🙏
Poleni sana kwa msiba ndugu watanzania kutoka Mombasa. Mola awafariji
Amen
Mungu awabariki endeleeni kuokoa msilale jamani mwe.mtalipwa na Mungu.amen
Amin Na Poleni sana kwa kazi kubwa mnayoifanya kuokoa Maisha ya Wahanga ikiongozwa na RC wetu chini ya Waziri Mkuu🙏🏾
Barikiwen sana
Mungu azidi kuwatia nguvu na maarifa
Na zaidi kuwapa imani na uzima ndugu zetu
Ubarikiwe mheshimiwa mkuu wamkoa naviongozi wote kwa ushirikiano wauokozi
Ubalikiwe baba mungu akuongoze kwenye kazi zako 😢😢😢😢
Mungu awatie Nguvu Waliopotelewa na Wapendwa wao Tupo pamoja katika kipindi hichi Kigumu
Good explanation hongera sana kwa uokozi
Hongera sana Mkuu wa mkoa wetu hongera Mama Samia kwakweli leo nime furahishwa na juhudi kubwa leo nimejikuta nawakubali sana kuliko siku zote Kazi nzuri sana Chalamila
We nae chawa pro max sasa hapo samia anahusikajee
@@BarakaMapogo kakaungu sio chawa kuna wakati wanafanya vizuri tuwapongeze bila Samia hakuna Chalamila kwa hiyo tuwapongeze katika hili wamefanya vizuri
Majengo ya kariakoo ni ya muda mrefu, tuushauri uongozi husika ufanye tathmini kuona ni majengo gani hayana viwango kwa sasa ili wamiliki waelekezwe kuyabomoa kea usalama wa wananchi.
Nungu awabariki sana kwa kujitoa kuokoa wahanga wote na poleni wote mlioathirika na janga hili
Mwenyezi Mungu awanusulu wahanga wa tukio
Wejeh company Ltd inatoa pole kwa ndugu na jamaa wote walio asilika kwa namna mbalimbali vifo, majeraha na nk kutokana ajari kuanguka kwa jengo kariakoo tunaomba mwenyezi Mungu ukawaponye wote walio jeluhiwa na ukawe falaja kwa aliopoteza ndugu zao
Mungu wetu na baba yetu ulietuchagua tuishi ktk ulimwengu huu wenye taabu na dhiki nakusihi uturehemu pale tulipokukosea utusamehe. Tuhurumie eeh Mungu wetu tazama watoto wako wanakulilia na ss tunakulilia turehemu baba. Tusaidie kuwaponya ndugu zetu waliopata maafa haya. Tuma malaika zako wakawe waponyaji na watoa maumivu na majeraha Kwa watanzania wenzetu. Eeeh Mungu achilia uweza na mamlaka ktk Hilo eneo vunja Kila roho ya mauti isipate kibali Kwa watu wako tazama walikuwa kwenye utafutaji. Tazama wanaowalilia, tazama tunaowaombea, tazama wanaowategemea, tazama Kila Hali eeeeeh Mungu usieshindwa, nakusihi Jehovah Sina namna ya kuzidi kuomba mbele zako lkn usituache tuangamie Kwa stail ya maumivu hivi Jehovah, ulisema hutauwa au kuangamiza Tena Kwa ghadhabu na hasira tunaomba uwasaidie ndugu zetu Kwa Hilo neno lako waokolewe Kwa neema Yako. Tumejifunza kupitia hayo maafa Yesu, naamini hatutaishi Kwa kukuzoea tutaishi Kwa kutii na kukuamini. Jehovah usituache mwokozi. Endelea kuwa nasi Amen 😊
Kwa taarifa hizi zinatiamoyo sana poleni sana ndg zetu
Mungu mwenyezi Tunaomba uongilie kati hili janga,wapiganie wananao Baba🙏🙏😭😭
😢😢😢inauma sana Asante sana mheshimiwa kwa moyo wako na ushirikiano wako
Munao mlaaani Mama Samia Kwa Kua Hayupo nchini Ni wagonjwa Sana....Mama Samia Tafuta Pesa Sisi tunajitoa Kama Ulivyo pangw❤❤❤❤❤❤❤
mwenyezi mungu, uwape afuaeni kwa ndugu zetu waliopata majerui, na mungu uwapumnzishe kwa amani waliopoteza maisha.
Mungu awapumzishe kwa Amani marehemu wote🙏🙏Mungu awaponye majelui 🙏🙏
Mheshimiwa chalamila pamoja na wa2 wote mungu awatie nguvu kwa kazi kubwa mnayo enderea kuifanya mpaka sasa
Polene sana kwa wahanga wote, mwenyez Mungu awasaidie ktk dhahama iliyo wakumba,hongereni wote mnaopambania kuwaokoa wenzetu, mwenyez Mungu awatieni nguvu,Amiina.
Poleni Wana wa dar, na pia mungu azilaze mahala pema peponi.
We baba Mungu akutunze tu yaan toka mapema unapambana Serikali mbarikiwe tu na wote mliopambana
Kwabakhti Mbaya Hakuna Namna Yakuukwepa Umauti. Bali Ipo Namna Yakujianda Naumauti. Wafiwa Poleni Salama.
Hii inatukumbusha kuwa ndugu zetu wa GAZA wanayopitia ni mazito mno, hali kama hii kwao ni kila siku plus na mabomu
@@nadraiddi8064 Hakika MOLA Awahifadhi
Mungu awatie nguvu wote waliopoterewa na ndugu zao
Mungu nimkubwa mungu atuongoze tumjue mungu zaidi hata waliokufa wapumzike kwa Amani🙏🙏🙏
Tunazidi kuwaombea ndugu zetu waliomo ndani ya jengo mungu awape weesi pia waokoaji mungu awaited nguvu na namna ya kuokoa.
Duuuuuh aisee Mungu awe mfariji kwa familia zilizopata na majanga....na pia awanusuru walioko chini.😢
Mungu awaponye walio kumbwa na ajali hiyo.mungu azipumnzishe mahala pema peponi.
Pole sana home Tanzania africa
Mungu akubariki sana mkuu wa mkoa yaani muonekano wa leo nimeamini kuwa wewe ni mtumishi wa Uma kweli
Mmungu ni mkubwa. Ndani yake janga hili mna mafundisho yaks Mmungu kwetu sote binaadam Na nusura hote iko kwake Mmungu..Mmungu awape nguvu nyingi waokoaji. Tupata na vifaa vya maana kuokoa. Tuwemo katika Duaa kuwaombea ndugu zetu wote na tujipange kutoa michango itatakiwa. Subhanallah
Mungu awajarie awaponye afanyie wepes awaokoe na wale ambao bado wapo ardhin
Tubuni ndugu zanguni mlioko hai bado mngali ktk vifusi. Imbeni kama danieli alieokoka ktk mdomo wa Simba, ombeni bila kukoma na Mungu atasikia kilio chenu la asipojib mtakufa ktk bwana. Nazidi kuwaombea muwe na afya njema hadi mtakapookolewa.😭😭😭😭😭😭
Asante Millard kwa update iz
Asante brother Millard
Allah awape nguvu muwaokoe wakiwa hai inshallah 🤲
Ongera sana Rc Chalamila Kwa kazi nzuri na Majeshi yetu yote na ulinzi na uslama Kwa kushirikiana Kwa pamoja bils kuchoka Hadi usiku mupo.🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri kiongozi
Dah inauma sana umetoka nyumbani kwenda kutafuta mkate wa kila siku ndo mambo kama haya yanatokea inaumiza sana nasisi Maisha yetu lazima utoke nyumbani ndo jioni unarudi na kilo ya unga au mboga unapeleka kwenye familia ili kupata chochote nyumbani
Allah Kareem kwa waja wake
Polen sana wahanga Mungu ni mwema atawasimamia
Hongereni serekali yetu Allah atufanyie wepes inshallah
Eee mungu ni usiku sasa wasaidie waokoaji wasichoke kwani wanategemewa sana na walio hai huko chini .mungu fungua mlango.
Upo vizuri kujibu..
Mungu awape nguvu majeruhi wote,na kauli thabit waliotangulia mbele ya haki
Poleni sana Watz na viongozi, Mungu atuhurumie
Mungu awe pamoja nanyi kwa wakati huu ambacho ni kigumu sana
Majengo ya karakoram mengi yamejengwa kwa rushwa sasa watanzania wenzetu wanakufa kwa uzembe mdogo wa wataalamu😢😢😢😢😢
Poleni sana kwa kweli uzembe ndio faida zake,msihusu gorofa km halijaisha kujengwa kuhamia,kuona ni kusoma,mungu walaze pema marehemu wote,hivyo vikosi mbona hiyo oksjeni bila kutoa mzigo juu kikamanda hapo waje jeshi kuindoa mzigo wote km vp hao wote washike majembe,mungu awalinde walio chini
Mkuu wa mkoa uendelee kua mkuu mbele ya wakuu mungu akulinde sana
The Prophet ﷺ said, “He whose last words are: ‘La ilaha illallah’ (There is no true God worthy of worship except Allah) will enter Jannah (paradise).”
[Sunan Abu Dawud]
May our last words be Shahadah لَا إِلَٰهَ إِلَّا ٱللَّٰهُ مُحَمَّدٌ رَسُولُ ٱللَّٰهِ Poleni sana ndugu zangu na mzidi kuwa na subrah. Ameen
Amiin
Subhunnah allah allah afenye wepes
Tunamuomba mungu afanyenjia pasipo nanjia namungu awasimamie muwe salama 🙏🙏
Pokea sifa Yesu kwa ushindi mkuu kwa Tanzania
From #EconomicallyGrowthMusicians Duh, so 😢 😭 Mungu jaalia wepesi ktk hili
eeh Mungu wajalie afya njema nauwatie nguvu😂😂 poleni sana
Unacheka nn? 😮😮😮😮
@@Zainab_salatyaani sijui watu hawajui kutumia hizi emoj😡so sad aise
Tahafifu ya raby 🤲
Laa poleni sana ndugu zetu tumuombe mungu sana
Poleni mungu awape nguvu
Tuna mkuu wa mkoa mahiri💪
Niwashauri to mheshimiwa kariakoo majengo mengi yamekuwa magodown ya kuweka mizigo ghorofa za juu chini ni maduka uzito unakuwa mkubwa imagine jengo limeandaliwa kwa ajili ya mkazi uzito wa fenicha na watu azizidi tone moja lkn floor moja inakuwa na mzigo zaidi tone 100 imagine. 😢😢😢😢 hilo liangaliwe yatadondoka mengi asante
Hili ni jambo muhimu sana sana majumba yalojengwa kwa makazi yanageuzwa magodown na mengine wakazi wapo pia,tamaa imepitiliza ht hawajali sheria ya makazi ya binaadam,mungu atunusuru ikizuka moto itakuwa janga kubwa zaid nchini,magodown yatafutiwe majengo yake nje ya kariakoo huku yabaki maduka na makazi tu.
Viwanja pia vimekuwa vidogo kutosheleza magorofa marefu na maunderground,kariakoo urefu mwisho ungekuwa gorofa 4,5,au sita tu,wanaotaka magorofa marefu wapewe viwanja wakajenge nje ya mji wapanue makazi namiji mipya sasa kariakoo pametosha zaid ya kutosha kusema kweli.mbn nchi za wenzetu wanakuza miji mipya?
😢😢😢poleni sana ndugu mlio fiwa na poleni sana mlio umia Inshaallah mungu nimkubwa poleni sana😢😢
Hapo gerezani Kwenye round about kuna ghorofa yaani nondo Chin zinaonekana na zimeharibika lakini kazi zinafanyika na chini wapo wengine wanakaa hapo hapo mfano mafundi simu yaani ni hatari tupu
Sehemu Gani hasa ilipo hiyo round about?
@lannemwenda sio round about exactly ila ni makutano upande wa kushoto unaenda china plaza sasa kulia ndo kuna hilo ghorofa km unatokea kituo cha mwendokasi
Mungu awabariki kwamoyo wahuruma mungu awabariki hao waliokufa mungu awapokee
Nikweli sheria za zimamoto Hana haki yakutangaza kifo zaidi mpaka daktari ahakikishe.Tupo pamoja muheshimiwa
Allah awafanyie wepes inshallah lkn msisahau ss kuona vifo Palestine asilimia ya watanzania husema wafe hao magaidi ila Allah akileta mtihani wake popote tu pale angalia wezetu leo watanzania wezetu tunaona uchungu wao kwa wale wanaokufa mnatoa maneno mabaya huu mtihani tu ishara kwetu tujitasmini sote ni binaadam lazima huruma tuoneane na sio dini kuchaguana.
Mungu wajalie waja wako ambao bado wako hai watoke salama
Mungu awasimamie inshaallah
Sababu majengo ya kaeiako ya zamani jmn mnatafuta mchawi wakanti mnajua majengo yanajengwa bila ya kiwango vzuri na yamekaha sana toka hezi..iyo ni hajari kama ajari ya gari balabalani wawe pole wote
Mungu wangu awalindee jamn mungu jidhilishee katikati ya hii
Poleni Sana wote majeruhi pamoja na wafiwa
Assalam alaykum Allah atawasaidia Mungu ndy muezawakilakitu
Poleni ndugu zangu wa tz
😢😢nimekosa ucngiz jamani
Mungu fanya wepesi
Eee mungu kama unatuhitj tuchukue kwa mikono Salam sio kwa mateso hivi baba tunakuomb ona ndngu zet wanavyotesek chukulia mfano ukifungiwa to mlngo kwa nje unakosa aman kias gan half leo jingo limekulalia juu huna uwez wa kuliinua mungu😢😢
M/Mungu awafanyie wepes
TRA mbona hawapo ?wao wanapenda Kodi TU sio
👍😢😢
We kweli mjinga Sasa TRA inahusikaje hapo
Yohana Lumambe hongela mkuu wa mkoa kwa ushilikiano na wananchi
Asanti sana Kwa kazi zr
Mwanangu umeenda kubadilisha adi nguo
Duuuuh pole sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu hawaponye🙏🙏
Jamani jitaidini Mungu awaongoze oxygen ifike wapewe uvumilivu na Mwenyezi Mungu kiukweli ni ngumu ila kukaa umefunikwa na kifusi ila Mungu wasaidie watoke
Mungu ziokoe nafsi hizi
Yaani hapo engineer wa Hilo gorofa embu baadae ya yote atiwe ndan , yaani sielewi gorofa kuanguka ,poor engineer ,pole sana waliopatwa na ajari na ndgu na jamaa
Allah awape subr na awaponyeshe inshaallah
Allah awape shufaa waathilika ote
Mungu awasaidie wote majeluhi wapone alaka
Mungu awatiye nguvu ndugu zetu kutoka East
Mh chalamila mungu akupe moyo uwouwo wakujituma