BREAKING: "TUPO CHINI, TUNA HALI MBAYA, TUSAIDIENI, TUPO 10 TOKA JANA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 173

  • @fahadykajugus
    @fahadykajugus 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Daah masikin kuweni Na subira hivi karibuni munatolewa mungu aendelee kuwalinda jaman tunawaombea mtoke salama

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Namuomba Mwenyezi Mungu awasaidie watoke salama kesho tusikie good news.

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongereni ayo mnafanya kazimtafikiri chombo cha umma

  • @abdalahfundi7936
    @abdalahfundi7936 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ao wazima kabisa na hawafi sema2 mungu awasimamie

  • @prezderdesulley2865
    @prezderdesulley2865 38 นาทีที่ผ่านมา

    Ee Mungu wasaidie watoke salama salimini ee yesu waoloe watu wako.

  • @damianmstambi848
    @damianmstambi848 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mambo Kama haya yakotokea ndo utajua uchungu .Hakuna vifaa vya uokozi Yan inafikirisha sana kwa kweli .Nchi yenye miaka zaid ya 60 ya uhuru bado uokozi kwenye majanga n mtihani

    • @NasriMohammed-yw7lp
      @NasriMohammed-yw7lp 54 นาทีที่ผ่านมา

      Ndo tuwe na umoja kuonesha hawa wanaofanya hv na tuliowapa mamlaka sio sawah ni muhimu sana mungu atusimamie wote

  • @maryraphaely9696
    @maryraphaely9696 15 นาทีที่ผ่านมา

    Poleni sana ndugu zangu😢
    Mungu awasaidie mkitoka huko muokoke

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢leo imekuwa siku mbaya sana kwa TANZANIA Mungu tusaidie viumbe wako

  • @memehhhahshshdhdhd
    @memehhhahshshdhdhd 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Hivi we mwandishi swali gani hilo jamani eti wana hali gani?
    Unategemea wawe na hali nzuri wapo chini toka asubuhi🤔swali gani hlo

    • @mchox1679
      @mchox1679 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Swali la kipuuzi watu wanatesek wao wantfut content

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mitihani

    • @angelraphael4500
      @angelraphael4500 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama was,,,geee

    • @mchox1679
      @mchox1679 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@angelraphael4500 jau sana aloo

  • @mamy8220
    @mamy8220 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Nimeskia vby vile anawuliza maswali😢😢

    • @israellwimbo2084
      @israellwimbo2084 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yani mwandishi ana maswali yakijinga... Et mna hali gani😂

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@mamy8220 Usione ajabu ndugu unaweza kwenda hospitali unakuta mtu kachomwa kisu kipo shingoni Daktari anamuuliza vipi hali unajiskiaje?.Sjui ni kasumba ya aina gani 🚮 mtu kaenda hospitali anaumwa anaulizwa vipi hali unajiskiaje crazy

  • @blaisepato2683
    @blaisepato2683 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mungu azidi kuwatangulia ✅️✅️

  • @AllyJuma-z8k
    @AllyJuma-z8k 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Ewe ya Allah kama uliweza kumrudisha mtoto wa Arusha aliepotea msituni siku 28 bas tunaamin hata waja wako hai watatoka salama inshallah

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kama wanaweza kupiga simu si mnaweza ku detect Na ku trace Na GPS kujua wako wapi Na mkaondoa hicho kifusi Na kuwaokoa ????

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Aise , hii ni hatari.Mungu asaidie waokolewe

  • @IbraSimba-lz9mu
    @IbraSimba-lz9mu ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muandishi unazingua kaka acha kuhoji sana watu wanahitaji msaada hao

  • @OTHUMANRAJABU-c8i
    @OTHUMANRAJABU-c8i ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eee mwenyezi mungu baba wa dunia na ardhi wasaidie awo waja wako walioko uko chini ya kifusi watoke Salma eeeh mwenyezi mungu baba wa mbingu na ardhi 2nakuomba wafanyie wepesi waja zako watoke Salma ameni

    • @OTHUMANRAJABU-c8i
      @OTHUMANRAJABU-c8i ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Eeeh mwenyezi mungu na sisi waja zako 2nakuomba 2jalie mwisho mwema wa apa duniani ameni

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MUNGU WAREHEMU DHAMBI ZAO NA UWAPONYE ROHO ZAO AMEN

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sio lila kitu mtafte attention jmn fanyeni hii k2 kwa siri 2 iishe jman mngejua nnavyojskia apa 💔🙌🏾 Watu wanalalmika wana hali mbaya Eeeh Mwenyezi Mungu kama uliweza kumwambia Mussa apige bahari na ikapasuka basi ata hili ni dogo kwako Naomba uwe nao muda wote Amen ❤️🙏🏾

    • @YusuphHalima
      @YusuphHalima 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wallah naumia sana 😭😭😭

  • @allan29adam43
    @allan29adam43 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Duuh aisee inamaana jitihada zozote mpaka ss za kuwafikia bado 🙆‍♂️

  • @nusfiarashidi8870
    @nusfiarashidi8870 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa maneno mengi ya nn uliza maswal ya msingi2 dhen inatosha unazidi kuwasononesha watu😢😢😢sasa watu walichuni ya kifusi wanaweza kua na hali nzuri,,,hapo jibu si ni wanahal mbaya2 kulikua na haja gan kuuliza hal 😭😭😭

  • @AishaMagwiza
    @AishaMagwiza 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu muweza wa yote ndio mlinzi wa Hawa viumbe wako! Ee Mungu zidi kuwasimamia ! Dah inauma jmn !!! Inauma!!

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe muandishi Kama haujui maneno ya kutia nguvu mtu aliyeko kwenye shida bora usiwapigie simu wahanga,
    Hapo ilitakiwa uwaambie ndugu poleni sana vyombo vya uokozi vimejaa hapa vinatoa kifusi, viongozi wa Mkoa na waziri Yuko hapa wanashughulika kuwaokoa ndugu zetu poleni sasa wewe hujui hata la kuwaambia unatafuta kiki za mtandao wako tu

  • @user-gc8jc1sh4z
    @user-gc8jc1sh4z 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😭😭Mwenyezi mungu ni mkubwa tuendeleeni kuwaombea ndugu zetu waliofunikwa na kifusi daaah mpaka nalia...Ee mungu wape nguvu wape uhai baba waweze kuwa salama ameen.

  • @Changarikajr-c5b
    @Changarikajr-c5b 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu awasaidie 🙏

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sad 😥 Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Aameen 🙏

  • @moshiyaassin901
    @moshiyaassin901 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie wandishi kuliko kutoa talifa halaka unaanza kumuhoji jamani duh Tanzanian 🇹🇿 tubadilikeni tu

  • @serengetiduma1090
    @serengetiduma1090 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    We muandishi una mambo ya ajabu sana, yani we unaongea kuliza mwaswali so komfortabel kama vile there’s so much time kwa walio funikwa na vifusi huko chini 😢.. haya sasa umeulza swali, then umeskia hiyo sauti ya ukali alio toa huyo mama! Acheni masiara na uhai wa mtu bana! ..+ serikali kazi kuendesha magari ya gharama tu lakini vitendea kazi vya kuokoa raia hamna! 😢.. we still have so much to learn about!.. God awanusuru those raia 🙏

    • @alihamid6292
      @alihamid6292 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      muandish anamaan ya kuwauliza vile kwa sabab hat naye akipelek taarifa ataulizwa je hali zao ziko vp ili km kuna kitu chochote cha harak haraka wapewe ili kiwape first yaan naamanish km maji au hewa ya kutosh au hat chakula ili maokoz yawe yanafanyw kwa ufanis huk ikijuw watu bdo wko salama

    • @ELIAMBISE-ck7fr
      @ELIAMBISE-ck7fr ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yupo sahihi kabisa uyo muandishi.

    • @alihamid6292
      @alihamid6292 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @ELIAMBISE-ck7fr swadakta

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dah aise polen sana ndugu zetu😭

  • @storytownTv
    @storytownTv 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu mda wote huo kumbe bado hata wa chin hawajafikiwa jamn..😢 wakaingia wanajeshi mkapiga makofi sa kwa lipi, iv ilishindikana hata kuleta magreda yote yalio kwenye miradi ya barabara yaje yashirikiane hapo siku ya leo c kazi ingekuaga imeisha kitambo sana ,nna mengi bas tu na wew muandish msenge sana

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ali zenu ali zenu zina nini sasa watu chini wanakufa

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hiyo ni ghorofa Moja imeanguka mpaka Sasa watu bado wapo chini je ingekua 20 .aysee vifaa vya kuokolea vinatakiwa viwe vingi kwakweli

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani Mtu anaomba msaada una muuliza khali huyu reporter jamani!!!!

  • @theomaligite4401
    @theomaligite4401 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwandishi umezingua hilo ni swali la kipumbavu sana utaulizaje hali ya mtu ambae hana hali.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MSICHOKE JAMAANI WSOKOWAJI.. IKIBIDI KUKESHA TUKESHE. MBARIKIWE SANAAA.

  • @felisterjohn493
    @felisterjohn493 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila we mwandishi maswali yako hayana tija kwa wakati huu nikuwapa faraja tuu maswali mengi ya halizenu zikoje haisaidii

  • @MwantumRashidi
    @MwantumRashidi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji anaboaaa mamaake eti hali zenu zikoje lingekuwa lenyew chin ya kifusi lingeuliza habar wakati linajua hali ni mbaya

  • @maswaladigitalplatform.7613
    @maswaladigitalplatform.7613 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hizi habari hizi, acheni basi

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 43 นาทีที่ผ่านมา

    Mwandishi kweli unawauliza hali zenu zikoje kwa sasa wakati unajua wako hatarini kwa muda mrefu? Hiyo ndio elimu yako kiuandishi?

  • @MarryOddo
    @MarryOddo ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu awalinde kwakwel 😢😢😢

  • @Really-football
    @Really-football ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watanzania mwenye machine za kusaga hizo zege na kukata nondo apeleke watu wa migodini huko tafadhali? Msaada ili tuwaokoe wenzetu hizo excavator za chalamila wa Ihemi na wheel loader yake haziwezi kufanya kitu kwa hatua iliyopo lazima machine kubwa yenye mkasi íngie kukata kata hizo zege na nondo.

  • @3Dee_51
    @3Dee_51 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waandishi wana mambo ya kikuma sasa badala watu wasaidiwa yeye anauliza hali za watu huko chini.. Ni usenge

  • @soudybaroog2753
    @soudybaroog2753 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Muandishi usifanye tena kama ivo

  • @abbytafa
    @abbytafa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa maswali yote ya nn waandishi wengine kama mafala

  • @SurprisedAstrolabe-id9gc
    @SurprisedAstrolabe-id9gc 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nataka nianzie maombi ka mungu ili waandishi wa habari waanze kuwa wanapata ajili kila wanakopita barabarani ili hizi kuma za wamama zake zipungue. Watu wamefukiwa tangia asubuhi alafu unauliza ukuma hali ikoje. Wewe ni kuma ya mamako, wewe ni mkundu mchafu wa bibi yako

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamna uokaji jengo moja .je yangeanguka majengo 10 tokea jana asubuhi .Uokoaji na zima moto ni zero Yanganyika.

  • @RajabuUledi-h7z
    @RajabuUledi-h7z 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu away simamie kiukwel watote wazima

  • @ephraemlucas6880
    @ephraemlucas6880 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Unauliza maswali ya ajabu watu wanakufa badala upeleke taarifa sehemu husika, acha zako sometimes

  • @JamilaKelota
    @JamilaKelota 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana jaman Mungu wa mbinguni atawavusha salama

  • @mwakilamwaki7308
    @mwakilamwaki7308 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We mtangazaji akili auna bahada ya kuwafaliji unakazania kuliza alizenu alizenu

  • @eliadaniel216
    @eliadaniel216 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwenyezi Mungu awasaidie wote aisee inaumiza

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Magreda yapo ila kila wakijaribu kusogeza grader jengo lina titia kwasababu mafundi walikuwa wamajaribu kubomoa nguzo bin za zege ili kujaribu kujenga godown underground kwa hiyo jengo limekuwa kama karatasi kusema kutumia grader ni kuua watu wote hii kazi inataka akili ya drill na kukata kata ukuta kutoa watu nje na siyo

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mama kaenda Brazil, nimemshangaa sana 😢 alitakiwa asiondoke au kama aliondoka , arudi haraka. Mbona nchi zingine wakuu huwa wanaahirisha safari kukiwa na maafa? EEHH MUNGU WATETEE WENZETU WATOKE SALAMA, viongozi HAWATUJALI KIVILEE😢

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Nanukuu kifo ni kifo tu

    • @ramsomaro9130
      @ramsomaro9130 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Brazil ni kama dodoma sio ach izo tuwaaombeee tu hawa ndugu zetu mkuu

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yaan mama asipoluwepo Makamu wa Rais yupo waziri mkuu yupo mkuu wa majeshi yupo watimize wajibu wao

    • @storytownTv
      @storytownTv 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndo maana tunaendeshwa kama mazoba , sasa apo mnamtetea uyo bibi kwa lipi wakat alitakiwa kwel awepo nchini, bas na 2025 mitano akaombe uko uko Brazil aliko enda kufilwa

    • @RamadhanShaaban-b7d
      @RamadhanShaaban-b7d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kumbuka Kuna kupiga Kura

  • @MagesaJunior
    @MagesaJunior 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hali.zenu zinaendeleaje ya nyoko watu wamekupa tarifa tayali na wapo chini ya kifusi bado unauliza hali zao ingali wapo chini yakabuli japo wapo hai

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unauliza maswali ya kukera sana
    Unahid huko chini wanafanya sherehe?

  • @VanessaAron-cb7lr
    @VanessaAron-cb7lr 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaulizaje maswali wakati wamekwambia walipo😭😭😭😭

  • @angelnjunwa1964
    @angelnjunwa1964 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    yaani uyu mwandishi kanikela sana mtu anakwambia nakufa alafu unauliza ali zenu zikoje msenge kweli

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni SANA wapendwa

  • @RajabuUledi-h7z
    @RajabuUledi-h7z 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu awalinde

  • @PromiseSimkwai
    @PromiseSimkwai 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    daaah mwandishi hilo swali kiukweli umeboa sana mtu yupo kwenye kifusi una muuliza hali zenu zikoje?

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu wangu

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Duuh😮😅

  • @KidoBanks
    @KidoBanks 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ata wasaidia jmn

  • @IgnatioJonathan
    @IgnatioJonathan 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo walitakiwa kutumia wenyeji mngefanikiwa sana

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha hayo nenda kawaambie.

  • @saidymtumba6846
    @saidymtumba6846 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dah unamuuliza mtu kama upo nae sehem salama

  • @AhabuElifasi
    @AhabuElifasi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fukuza kazi mbwa huyu unalekodi tarifa yawatu wenye shida ya kusaidiwa

  • @Zenny89
    @Zenny89 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli mwandishi wa habari unauliza maswali ya kijinga hivyo wakati watu wapo kupigania maisha Yao

  • @RobsonLugomi
    @RobsonLugomi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa ndo waandishi wetu wanauliza nonsense question

  • @LeilaMjaka
    @LeilaMjaka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwenyezimug....wasaidie viumbe wako zaifu mno...nasi tupe mwisho mwema.

  • @musaharuna6097
    @musaharuna6097 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maswali mengi yanaboa mwandishi unazingua

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha kureport kawaambie waokoaji

  • @SimuliziDhahiri
    @SimuliziDhahiri 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Matako kweli ww mwandishii

  • @abdallahsoud2033
    @abdallahsoud2033 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Subuhanallah

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acheni ujinga sio kila habar mtufikishie weka chini camera katoe kifusi usaidie

    • @basslykwilemba8780
      @basslykwilemba8780 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Nawapenda sana ndugu zangu Allah awape subira sisi zetu duwa,mioyo yetu imenyongea

  • @NeemaJuma-t4g
    @NeemaJuma-t4g ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuuuuh pole sana 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭

  • @aldomwanyula-ok9ow
    @aldomwanyula-ok9ow 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaacha kufikisha talifa unatuambia ss iv wandishi mkoje nyie

  • @user-cd1pi9mw4m
    @user-cd1pi9mw4m 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pumbavu, unauliza hali zenu zipoje. We kima nn.

  • @FahadShiraz-s7i
    @FahadShiraz-s7i 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daaah

  • @deluhdenis6499
    @deluhdenis6499 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    wakati mwingine msiwe mafanya interview za namna hii aisee..haiko na afya

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wangekuwa wameitukana ccm hapo wangetrakiwa faster tu ila kwa sasa mmmm

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      we mjinga sana Sasa hapo ccm inahusiana na Nini usiingize ishu za siasa

  • @elishagregory1595
    @elishagregory1595 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwandishi mshamba ety hali zenu zikoje

  • @pena_tz
    @pena_tz 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    wangepunguza kile kifusi wangepata watu... sasa sjui wanangoja nini au kitaalamu hairuhusiwi kupunguza kifusi?

    • @alihamid6292
      @alihamid6292 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      unajuw nin tatiz lipo hap apo pana wakandarasi wa aina tofauti kwaiy kila mmoja ana ushauri wke hivyo pindipo wakikiondow kifus kwa kutumia greda huenda hilo jambo likaleta maafa zaid na huwez juw chin bdo wp wngp na upande upi kwaiy kihaki za binaadam inawazuwia kutia greda inatakiw kuondo kifus icho kwa kutumia mikono au njia mbadala pasi na kuleta mazara hata kwa wenzetu ndivo wanavyo fanya maokoz ivo ivo

    • @alihamid6292
      @alihamid6292 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      unajuw nin tatiz lipo hap apo pana wakandarasi wa aina tofauti kwaiy kila mmoja ana ushauri wke hivyo pindipo wakikiondow kifus kwa kutumia greda huenda hilo jambo likaleta maafa zaid na huwez juw chin bdo wp wngp na upande upi kwaiy kihaki za binaadam inawazuwia kutia greda inatakiw kuondo kifus icho kwa kutumia mikono au njia mbadala pasi na kuleta mazara hata kwa wenzetu ndivo wanavyo fanya maokoz ivo ivo

  • @donimremi713
    @donimremi713 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MUNGU awasaidie jmn dah

  • @NahimaBilo
    @NahimaBilo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eti mnahaligani kweli

  • @MariaBernard-ev7zl
    @MariaBernard-ev7zl 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Milady amuondoe huyu mashwar gan hay😡

  • @zigzag4487
    @zigzag4487 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hali zenu zipoje,,sasa hili swali gani daah,

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    naogopa sana nipate tatizo mwandishi afanye kiki

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bulldozer zilitakiwa za kutosha na vikosi vya uokoaji vingeshatoka hata nchi jirani na Rais alitakiwa kuhutubia Wananchi jioni hii kwa janga km hili. Sasa mjue kura zenu mtapeleka wapi!!!

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    From 🇧🇮 pole san

  • @OdingaMkwe
    @OdingaMkwe 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu awapiganie jmn 😢😢😢

  • @zawadjose5440
    @zawadjose5440 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hali zipoje na wanaongeaaa

  • @deluhdenis6499
    @deluhdenis6499 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    technologia mbovu?au!! hakuna vikosi vya uokoaji ambavyo viko attention??? kwa dharura yoyote

  • @salimomari150
    @salimomari150 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Subirini kdg tunakuja

  • @khalidwaid8021
    @khalidwaid8021 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Hakuna faida ya kupiga cm km msaada haupo sio kila kitu ni content

    • @pascofp145
      @pascofp145 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Matatizo msada upo shida ukiwa kwenye matatizo unaona watu ni wazembe mtu anakwambia greda si lipo hawazi kua Kila sehemu Kuna watu kwaiyo ukitumia greda kutafuta yeyetu kunawengine utwateketeza Kila moja hapo ni yarabi nafasi yangu

    • @JamesNgonye-nm3uz
      @JamesNgonye-nm3uz 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaaan ni upumbavuu tu

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji unaweza ukamtukana,,pokea taarifa fanyia kazi unawahoji nn si usubiri watoke,,,!!watu wamechoka na njaaa na hofu😏😏😏kwendraaaaaaah

  • @salimhassan6514
    @salimhassan6514 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We Reporter punguza maswali yasio na mashiko wamesema wapo 10 unataka kujua halizao ili iweje huu sio muda wa siasa

  • @BuhetySharia
    @BuhetySharia 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kukabiliana na rai ni jambo linalofanywa kwa ufanisi mkubwa ...
    Na hili pia tungependa tuone HUO ufanisi...
    Tangu saa kumi mpk sasa watu wako chini...
    Nadhan Kuna watu watahitajika kuwajibika....

  • @evaamedeus430
    @evaamedeus430 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @ElizabethMaghali
    @ElizabethMaghali 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu wasaidie hawa watu jamani nakosa usingizi 😭😭😭😭😭🙏🏾🙏🏾

    • @YusuphHalima
      @YusuphHalima 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huzuni kubwa Tanzania 😭😭😭😭

    • @ElizabethMaghali
      @ElizabethMaghali 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @YusuphHalima Mungu afanye njia pasipo na njia 😭😭😭🙏🏾

    • @YusuphHalima
      @YusuphHalima 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ElizabethMaghali InshaAllah 😭😭

  • @HassanSaid-e1w
    @HassanSaid-e1w 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vifaa amnaa