''NILIPATA 'A' 5 - MFUATILIE na MATOKEO ya CHALAMILA'' - NAPE AMVUNJA MBAVU RAIS SAMIA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มิ.ย. 2024
  • ''NILIPATA 'A' 5 - MFUATILIE na MATOKEO ya CHALAMILA'' - NAPE AMVUNJA MBAVU RAIS SAMIA...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 24

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @ReginaJoseph-cm3cx
    @ReginaJoseph-cm3cx หลายเดือนก่อน +4

    Nyinyi mbona ni wachache? Sisi wengi tunamkumbuka Magufuli

  • @hemedchuma9-cq4nh
    @hemedchuma9-cq4nh หลายเดือนก่อน

    Nakubaliana na mh TULIPOKUA SIO TULIPO hongera mh Rais

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 หลายเดือนก่อน +2

    Nape Acha unafiki
    Unapalilia tumbo lako tuu

  • @TM.Sullusi
    @TM.Sullusi หลายเดือนก่อน

    Bongo tunapenda kusifiwa tu. Ukisifiwa tu huku unapigwa ila ww unashangilia kusifiwa😫😫😢😮

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv หลายเดือนก่อน +2

    Magufuli alikutumbua wwe sema umebebwa

  • @HenryMalangalila
    @HenryMalangalila หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni nini kwa kiongozi

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi หลายเดือนก่อน

    Mengi yapi yataje plz

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 หลายเดือนก่อน

    Na kituu ndo hesabu gani hiyo tuletee details za uhakika unataka kuiga na huwezi😂😂

  • @gracemkami1343
    @gracemkami1343 หลายเดือนก่อน +1

    Chawa

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in หลายเดือนก่อน +1

    Mpiga porojo...haelewek anaongea nn

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 หลายเดือนก่อน

    Nchi kuongozwa na viongozi wasio wakweli na wasiopenda kuutafuta ukweli ni umauti kwa taifa.

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 หลายเดือนก่อน

    Unachekesha unataka serikali ndo iwavalishe suti hao waandishi wa habari hiyo ni kazi ya wenye vyombo vya habari !

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 หลายเดือนก่อน

    Daah kweli degree makatatas yaan Nina degree tangu 2018 lakn maisha yangu magumu tu. Lakn nape abakula tu keki ya taifa af 2024 ndo anasoma degree ya kwanza

  • @NurdinMziray
    @NurdinMziray หลายเดือนก่อน

    Watanzani asalam aleykum kikubwa maombi 2 asate

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g หลายเดือนก่อน

    Huu ni uchizi uliopindukia kwa kweli!

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt หลายเดือนก่อน +2

    Wachache ndiyo mnampongez a ila sisi wanyonge atuoni zaidi ya kuona mfumko ya bei

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik หลายเดือนก่อน

    MR.0

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 หลายเดือนก่อน

    Makufuli

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 หลายเดือนก่อน

    Uzalendo wa waandishi wa Tanzania huonekana pale sifa na mapambio yanapoelekea watawala, hayo yote yakikosekana uzalendo huwekwa mfukoni.

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba na lema atoe matokeo yake ili tumalize ubishe

    • @ellamsakafu60
      @ellamsakafu60 หลายเดือนก่อน

      Lema ndiyo nani😮

  • @joezeno8
    @joezeno8 หลายเดือนก่อน

    Li Chawa

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน

    Chawa