DEREVA AFUNGUKA MAAJABU YA NJIANI, KUKUTANA WATU HAWANA VICHWA, WENGINE WATUPU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @wamadoropushthestar4145
    @wamadoropushthestar4145 5 ปีที่แล้ว +3

    Uchawi UPO

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 5 ปีที่แล้ว +1

    Barabarani balaaaa usiku OK ila PITIA HAPA KUONA UBUNIFU WA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE channel hii bofya kapicha kushoto

  • @mankamushi3738
    @mankamushi3738 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwanadam kumwelezea mpaka akuelewe ningum Sana ila nimeelewa

  • @nrecords7222
    @nrecords7222 5 ปีที่แล้ว

    Mmeixhiwa sasa njoon namm mnifanyie interview

  • @meronstudioz
    @meronstudioz 5 ปีที่แล้ว +2

    Sijaelewa hasa mantinki ya hii video.. Ujumbe wake ni nini.. Au mmetaka tujifunze kitu gani.

  • @emmanuelkimea3255
    @emmanuelkimea3255 5 ปีที่แล้ว

    Sawa mgosi wa ndima

  • @onlinetv9638
    @onlinetv9638 5 ปีที่แล้ว

    Ndugu karibu mobisol ujipatie solar bora kuanzia watt 40,80,.120,na 200.garentee ni miaka 4.Tunazo solar zenye uwezo wa kusukuma frij,feni,sabufa,saloon na nk.Ukinunua au kukopa solar yetu tutakupatia Tv inch 22,24,32,43 bureeeeeh.karibu sana mobisol pia katika msimu wa mvua mobisol tupo vizur kukata moto haijawah tokea huduma zetu ni za uhakika.ukihitaji solar muda wowote tutafute kwenye namba zetu 0764325083\0654362426

  • @wamadoropushthestar4145
    @wamadoropushthestar4145 5 ปีที่แล้ว

    Watu Wanatembea Wakiwa WMebeba Vyungu Vivhwani lakini syo Eti Hawan a
    Vichwa!!

    • @pendonzota8216
      @pendonzota8216 5 ปีที่แล้ว

      Hapo sasa huyu nae kaanza uwongo

    • @meronstudioz
      @meronstudioz 5 ปีที่แล้ว +1

      Amesema watu wamekatwa shingo kwa maana yakufa.. Na ndio maana ya kusema hawana vichwa.

    • @hannankhalifa1059
      @hannankhalifa1059 5 ปีที่แล้ว

      Yeye anaendesha mie nliona live kabisa moshi ten nahic cyo wachawi ni majini mana wanabeba magar wanachezea alaf gar zinawapita kat kwa kat dn wanakwato warefu ila kama huamin sio lazma.