VIDEO YA RAIA WA KIGENI YAWAPONZA VIJANA FORODHANI, WAPIGWA STOP, BARUA NZITO WAANDIKIWA, MARUFUKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @Bahati47
    @Bahati47 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +19

    Ningewaona wamaana km wange stopisha ushoga

    • @kolakolola9733
      @kolakolola9733 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      fact 1oo percent

    • @JosephEmmanuel-eb7gj
      @JosephEmmanuel-eb7gj 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yes umewaz kama mm

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      kwa hiyo ilo wewe umeridhika nalo?

    • @SaidiMwinshehe
      @SaidiMwinshehe 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mashoga kibao wanashangaa wanao ogelea nachupi sasa waoge na vijora 😡

    • @blessingntuli3796
      @blessingntuli3796 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🤝🤝🫡🫡

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kiukweli nimekua disappointed sna Hawa Hawa wakiona watu wanatembea na nguo za kuona ndani wanawachapa lkn kwakua mzungu ndio anaweza kuvubja Sheria sio haki Bora wamefungiwa ili wasirudie

  • @almazroey2006
    @almazroey2006 7 นาทีที่ผ่านมา

    Njia nzuri na suluhisho ya Hilo kuweka mavazi rasmi Kwa mgeni wakitaka kufanya Hilo Jambo la kuogelea kwenye mawneo ya mjumuisho WA watu( republic beach)

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wanzazibar acheni unafki bwana unataka mtu aende beach na hijabu au kanzu? Nyinyi wenyewe tu! Uko sirini kwn umejaa dhambi zisizo elezeka mmekomalia mavazi tu! Ni sawasawa na mbwa mwitu alie jivika ngozi ya kondoo

  • @slimmtani8236
    @slimmtani8236 25 นาทีที่ผ่านมา

    Msilete hayo mambo mkialika wageni kuja kutembea nchini kwenu

  • @storytownTv
    @storytownTv 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Nalichupi lake kama dekio..😢

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Sasa beach mnatakaa wavae suti ?

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      HAPO SIYO BICHI, MBONA NUNGWI HAWAKATAZWI?!

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      kwani ukitoa mavaz alovaa huyu hakuna mengine ispokua suti?

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpeleke mama yako avae hivyo au dada.zako kisha uone ni sawa kwa jamii au sio sawa ndio utajuwa inafaa au haifai? Bwege mkubwa wewe

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@abuumuhammad7133kwani huyo kapelekwa au kaamua mwenyewe kuvaa hivyo?

    • @blessingntuli3796
      @blessingntuli3796 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapo sasa wabongo bado washamba sana embu tembeeni muone
      Mlitaka wavae ijabu nini 🤔

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Me nazani wangesutisha kabisa mambo ya watalii mana aliyefanya siyo mzanzibar bali ni mgeni na mnawakaribisha wenyewe

    • @pasiensiabel7278
      @pasiensiabel7278 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwahiyo unataka wazuie watalii wasiende Zanzibar au unamaanisha nini

    • @Misanyahidaya
      @Misanyahidaya 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@pasiensiabel7278 ndiyo manaake mana wao ndo wavunjaji wa maadili watalii wanawataka Bado vikwazo kibao

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@pasiensiabel7278 kweli cz km awataki wata wa wavae ivyo na alikaa so mtanzania sasa basi wageni wasiingie

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Asante Zanzibar

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Zanziba sii zanziba ya miaka hiyo huko ndo kumejaa ufuska wote na mashog ndo wamejaa kuliko bara naumalay wakujiuza wamam watuy wazim

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wanaofanya hayo yote si wasaliwa wa Zanzibar ni hao unasema bora wao

    • @EssauMwinamy
      @EssauMwinamy ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sikupingi nimeona kwa Macho yangu nikashangaa Sana kuwa mbona kunasifa kedekede kumbe sio aisee Sema pesa inakupa uhuru nini ufanye

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Waende amani mkoa wakaone jinsi watanganyika wanavokwenda uchi

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waache kupokea watalii....

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na Wazanzibari pia ni Malaya tupishe huko.

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na nyinyi watanganyikaa mumezid pia kwa umalaya​@@salmahalfani6307

    • @sharifajamal5764
      @sharifajamal5764 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wallah nenda kiwengwa pia uwaone wazanzibar wanavyokwnda uchi

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@sharifajamal5764 kiwengws mbali shoga hapo uwanja wa Amani wa zamani walikuwa magari ya wanaume zao ndio wanazifanya guest house.

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu dada mmarekani alaaniwe bora ata angevaaa taiti chupi kadogo sijui bikini adi inavuka mataka yake yanaonekana ana laaana

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana zambitu wanzanzibar wenzetu.sihaba wanamuogopa Allah wengini waislam. Ila ss huko bara mtuhani laanatu

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ni kweli kabisa

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwendeni huko na kidini lenu la mwarabu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 59 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@Ndu-wa.uroony2Haya, nawe kwenda huko na dini lako wazungu ndoa njinsia moja

  • @msodokithesantz1655
    @msodokithesantz1655 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Izo chup ss nungwi tushazuzowea sjuw uko ila wapo bichi na sehem ya utali

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sasa hapo vijana wanaadhibiwa vipi si wawakamate hao wageni?

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huko mkosa aman nako kukafungwe pia mana hawana adabu

  • @hiki242
    @hiki242 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wamekosea kbs kwa nn asivae taiti bodi ata angevaa pensi

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +19

    Huko Zanzibar Kuna ustaarabu Gani watu wanalambana vinyesi kila siku

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Mbona wewe unaliwa kinyesi hatusemiiii wewe unaliwa maviiii kila siku

    • @Shen_tz
      @Shen_tz 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Ndo nashangaa mbona mashoga wamejaa huko zanzibar na hawapifanyii kazi

    • @Husseinmohammed-b8q
      @Husseinmohammed-b8q 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Umewaona?

    • @kolakolola9733
      @kolakolola9733 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      uko saii asilimia 100. tulihachelewa kwasababu TULICHELEWESHWA

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Peterchila-un2lx Mimi naliwa Na Mamako Peter

  • @AshaMussa-kk4yv
    @AshaMussa-kk4yv 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Waogeree na baibui?

  • @danwayne786
    @danwayne786 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wangetoa maelekeze na sheria za mavazi yanayo faa humo. Kama inafaa waogelee na mavazi ya hijab sawa.

  • @ThomasVitalis-u5r
    @ThomasVitalis-u5r ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    hiyo sheria ingepita had huku watu so kuogerea tu ila hata mitoko ya kawaida wanatuvalia hovyo bara fimbo inaitajika zaid

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa

  • @SarahMbise-vt7jg
    @SarahMbise-vt7jg 5 นาทีที่ผ่านมา

    Mbona waliwa nyumba kisa Bikila hilo mbona halijadri

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyo aliovaa chupi ya chooni mnaosema ni mgeni anaweza vaa chupi hio kwao huko ulaya akitoka mbele ya watu? Au mnajisemea TU? Na nyny mnaoshabikia na kumtetea,mnaweza kubali vazi hili bara?mwambien aende iringa,Kagera,mbeya,singida au mwanza hlf kavaa chupi hio ya kitandani kama hatimuliwi,muwe mnapima

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      kweli kabisa..maneno yako sahihi. .bora uwambie.

  • @Aishajohn-o3m
    @Aishajohn-o3m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Nyie wa Zanzibar embu acheni ushamba tumewachoka na muwakataze kabisa awo wazungu kuingia uko

    • @zuberimohamedi5761
      @zuberimohamedi5761 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Ujinga ni upi hapo?

    • @fakijecha
      @fakijecha 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

      Mshamba mama yako

    • @Rawdha-y8t
      @Rawdha-y8t 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      we vp

    • @hfafjjhdfgh1545
      @hfafjjhdfgh1545 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Acha nyege

    • @AshuraMustafa-v7b
      @AshuraMustafa-v7b 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Acha ujinga wewe wamezingatia maadili kama na ww nimojawapo nenda ukafanyie uko kwao ila sio zanzbr

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Safi,hapo ni corniche sio beach au ufukwe,lazima uangalie Tabia na ustaarabu na culture ya watu hapo,huwez vaa chupi ya chooni town kabisa kwsbb unaruka maji hlf ni mgeni,mbona hio chupi havai akienda nayo mjini kwao

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@nusalim3389 waambie, maana vichwa vigumu kama panzi, kutetea uozo tuuuuu,wapenda kuona makalio ya wageni wao

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f ชั่วโมงที่ผ่านมา

      You're absolutely right thank you 🙏

  • @st.camillusspecializedclin8775
    @st.camillusspecializedclin8775 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    The first time nasikia hii taarifa nikadhani alikuwa Uchi kabisaaa kumbe ni bikini tuu.. sasa wazanzibari wanaogeleaga na baibui ? Mmhh kazi kweli kweli

    • @ALIAli-ih7ii
      @ALIAli-ih7ii 19 นาทีที่ผ่านมา

      Kla shmu na utamaduni wake , na hatuwez kufanana tamadun, wye kma kuvaa bkini umeona ni swa endelea kuona swa , maana mlez yko au tamadn zko znaruhusu vp

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    asante mamlaka na vivyema wanawake wazuiliwe katika hilo.

  • @NagibDawood
    @NagibDawood 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Safi sana. Mamlaka husika. Mpo vizuri.

    • @tanzaniatouristsattraction1622
      @tanzaniatouristsattraction1622 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Upumbavu tu ndo mana masikini

    • @juliuselifasi8858
      @juliuselifasi8858 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@tanzaniatouristsattraction1622 Amna bwana sasa sisi uku bara tusiokemea maadili ya kishetani kama ayo tumetajirika wapi?

    • @fatumahamisi-m1e
      @fatumahamisi-m1e 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@tanzaniatouristsattraction1622Hivi angekuwa mama yako,mkeo au binti yako ungefurahia ?

    • @AshuraMustafa-v7b
      @AshuraMustafa-v7b 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wee ndo maskini wa akili​@@tanzaniatouristsattraction1622

    • @wangagirl3508
      @wangagirl3508 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂​@@tanzaniatouristsattraction1622

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hivi kule bichi huwa wanavaaje nikwel cyo sawa lkn tayari mambo hayo washa yafungulia mlango kitambo wasubiri matokeo

  • @MaludaSaleh
    @MaludaSaleh ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ss kma yye upo bichi ni hyo je hawa wamitaani ndio zaid wao wanahatua gni

  • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
    @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Pia ushoga upigwe marufuku Zanzibar

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwani now umeruhusiwa mpaka unasema upigwe marufuku?

    • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
      @AbuuImraan-alghafr-azinjibar ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @emmadora7848 haijalishi Ila kwenye ushoga pia paekwe mkazo wakuoikataza hilo Jambo Yani yoyote atakae gundulika bas hukumu yake kifo

  • @pcmofficialtz
    @pcmofficialtz 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ulaya gani shanga zote hizo 🤣🤣🤣

  • @SabiamSuleimanmtwalo
    @SabiamSuleimanmtwalo ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii sio hak kabisa km ni wakigen Kwa nin muwastops why mbona amuwakatiz kutembea wakiwa km ivyo

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwa hiyo vijana wenye uchu wa nyuchi wamemrukia bi dada?

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa mnawafungia vijana riski zao ndogondogo kama izo ili wakaibe au?? Tumieni akili nyie mliowapiga stop...Mngewapatia barua ya onyo na maelekezo maalum kama wamekosea sidhan kama siku nyengine wangeludia na kama wakiludia ndio muwafungie.

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wow I appreciate for what Zanzibar a date

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo mkuu wao baba yake ndiye aliyekuwa mpenda hivyo vitu akiwa Rai's kila mwaka Swaziland ndiyo njia yake msishangae ndiyo starehe ya mwana karithi

  • @VivecCarol
    @VivecCarol ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aseh sielewi na siwezi kuishi Zanzibar....sasa hapo avae nini?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 57 นาทีที่ผ่านมา +1

      Kwani alikwita nani

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zanziba ndio ushwetani ulipo dini ya kislum hawaiamini tena mashoga kila kona

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naona aibu mie huku, nimtihni huu Allah asije kuleta gharka

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Fursa na mipaka ya mambo ni muhimu, hii ilikua fursa kwa vijana kujipatia ridhki na ili kutangaza Zanzibar kimataifa! lakini"hawakua makini na kuachia watu kuvuka mipaka na kuharibu lengo zuri, ilikuwaje kuruhusu mtu"sio mtalii tu hata mzawa kuharibu sifa na hadhi yenu? ilikua fursa kwenu sasa haiko tena!sababu nikawaida yenu kuachilia mambo yasiyo faa yafanyike kwenu, hamko tayari kukataa sifa yenu iharibike kwa kuwafurahisha wengine kwa kuvunja sheria na mipaka na maadili, hio imekuwa nikawaida sasa kuharibiwa maadili, huku watu wakisheherekea

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Huko zanzibar kuna maadili gani?viongozi wenyewe ndio chanzo cha mmomonyoko wa maadli.kila chaguzi kazi ni kuiba kura,kupora uchaguzi na kuuana kuna maadili hapo?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MathewNathan-yb2bz ndo nimesema wanapenda umagharibi kuliko vyakwao, mdharau chake au kwao ni mtumwa! Wazenji wengi wameharibika Tabia kwa kuiga wazungu!Leo maadili hakuna ili wafanane na wazungu

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@aairraahseif5648 sio wazungu tu hata waarabu.kwanza mimi naona wazungu ndio watu wenye
      maadili kuliko watu wengine kwa sababu wao tabia zao ziko wazi ila wengine uchafu wao wanafanyia gizani.Nasikia huko zenji wabinti wanatobolewa kwa mpalange.

  • @lorrenlaurianakitalylorezo4141
    @lorrenlaurianakitalylorezo4141 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muda mungine tuwe wawazi hivi beach tunaenda kuogeleaa na nini na je mlitaka huyo dada avae nn ??
    Na je nchi za wenzetu wanafanya hivyo

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa uvae nn shela

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Katika nchi ambazo sizizipendi ni zanzibara

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Hivi ww uliambiwa unapendwa au shobo tu

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ya bro Wana usenge sana wanafikili wao ni waarabu kule Dubai nchi ya kiislam watu wanakula Bata kinoma ufukweni watu wanainjoi na bikini 👙🏖️ zao hakuna noma

    • @malkiawagiza1327
      @malkiawagiza1327 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hawa watu hawataki shobo za kisista du.

    • @MahmoudDouch-o6t
      @MahmoudDouch-o6t 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Na sie hatuna shida ya kupendwa na wewe haswaaaa Tena pita kule .

    • @MahmoudDouch-o6t
      @MahmoudDouch-o6t 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@RonnieBertinmwamba kina sehemu kuna taratibu zake sawa izo hbr za Dubai ni zao wenyewe na Ushamba wako uo

  • @geochris5983
    @geochris5983 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zanzibar vichekesho vitupu vyote hivo kukosa kazi yakufanya nakuwaza kufatilia ujinga tu

  • @MudathirAli-i5g
    @MudathirAli-i5g 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi mtazamo wangu naona hii ingeweza kufanywa na wazanzibari tu, na sio watalii ili tuinuwe vipaji vya vijana wetu, ajira ngumu, afaghali pale walikuwa wakijipatia ridhiki yao

  • @BimHamdi
    @BimHamdi ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa si mshasema ni mgeni mlitaka wapiga makachu wafanye nini hapo

  • @davidsibejo4916
    @davidsibejo4916 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa sio wafungie bali watoe maelekezo sio kuwafungia

  • @violetcarroll4930
    @violetcarroll4930 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ehh wangevaa gauni ndefu kumbe🤔

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa huyo raia wa kigeni aliambiwa kuwa kuogelea bila juba kwa Zanzibar haitakiwi? ama mmelipuka na kuharibu mchezo wa sanaa ya waogeleaji? mimi sijui kuogelea ila nikiwaona hap vijana na matangazo yao huwa nahisi wanaitangaza sana Zanzibar, sasa ninyi wavaa suit mwende mkaogelee na kufanya matangazo itakaa vizuri.

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vijana wanajipatia kipato kupitia hiyo michezo then unastopisha kwasababu wagen hawakuvaa vizur..... Wangeangalia utaratbu mwingine

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana

  • @GREATESTHITSREPLAYY
    @GREATESTHITSREPLAYY 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waweke bango la dressing code hapo kando ili kila mgeni ajue. Unapiga marufuku wakati hamna mwongozo hapo😂 alafu vazi la mmarekani linawahusu nini? Ama walitakiwa wamkataze asivae ivo??

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ulimwengu wa sasa haki za binadamu zime tawala kila mda na wakati wake

  • @DaudiHamisi-un2uu
    @DaudiHamisi-un2uu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyoo maji ukishayavulia lazima uyaoge haya mambo mliyakalibisha wenyewe

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Beach wavae suti 😂😂😂😂

    • @ThomasVitalis-u5r
      @ThomasVitalis-u5r ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ukikua utaelewa na so wewe ni viroho vimeshakuvaa so huwez tofautisha usiku na giza

  • @bakarisalim4667
    @bakarisalim4667 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wavae kanzu au mavelley y harusi 😅😅

  • @AngelMassawe-p2c
    @AngelMassawe-p2c 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😢😢This is not fair

  • @honestmosha6203
    @honestmosha6203 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawawezi, nipo paleeee

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pumbavu sana sasa mlitaka aingie kwenye maji na dela au ijabu?
    Embu kuweni fair Zanzibar

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Pumbavu mwenyewe usie na haya janaume zima Tena la kiafirika linaona sawa mwanamke kukaa uchi,,huyo dada yupo uchi unacho tetea nin?? si ajabu hata huja tahiriwa!!mijanaume michafu huona sawa maungo ya Mwanamke kua hadharani pumbavu zako

    • @davidsamson8292
      @davidsamson8292 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @AsiaHamis-b4o wewe ndio nakusitikia unaye kalili maisha nimekuuliza swali huyo alikuwa anaenda kuogelea ulitaka avae nn usie tumia akili ww nguo yoyote ukishaingia kwenye maji inakuchora maumbile yako sasa kajaribu use ur head na sio makalio

    • @davidsamson8292
      @davidsamson8292 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AsiaHamis-b4o kila nguo ina occassion ndio maana zina nguo za beach..

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@davidsamson8292 kafir ni kafir siku zote hawez simamia mwenendo wa maisha ya mwanadamu na Shelia za mwenyezi mungu jina lako linatoa taswira ya Imani ya dini Yako hata mbali na Imani maadili sivyo hivo,,kwanza huyo dada yupo uchi mwili mzima mna penda maisha ya kuiga kuonekana wajanjanja cjui kama wew ni mzazi ila ujue Jamii ni wew na mim,,sisi ndio wajenzi wa Jamii ajabu unaona hilo tukio ni sawa

  • @msodokithesantz1655
    @msodokithesantz1655 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakienda tembo hoteli wapo kibao wanachupitupu ndo pote forozani na wafungie napale

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@msodokithesantz1655 ushasema Tembo hotel, sasa huko wako hoteli Sio hapo forodhani hadharani auhuelewi nini wewe

  • @sheikhanRashid-ch8yq
    @sheikhanRashid-ch8yq 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwan huyu ni wa mwnzo na Wala cio wa mwsho uyo mm naon wanatakwng majinkwnye kinu c dhan km apo patakaa saw kw sabbu apo ni beach na cio wote watakao kuja apo na trek ya kuogelea Niko palee

  • @lorrenlaurianakitalylorezo4141
    @lorrenlaurianakitalylorezo4141 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Natukimbuke hapa ni sehemu inayo tumika kama sehemu yakuwaingizia wazanzibari kipato na huu ndo muda muafaka wa utaliii

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 50 นาทีที่ผ่านมา

      Hatuna haja utalii wa kupigwa laana, na mbona watoa comments wakristo mna makasiriko, lakini hata mamake Yesu hakua akivaa vichupi mtaani, picha zake tunaona na ushungi, na Yesu hakua mvaa kaptula, nyie hizo mila za kuwa uchi kakupeni nani? ........Paulo au?

  • @Firstability5
    @Firstability5 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbona.znz.wanfiraana sana acheni unafiki. Ukisha tegemea utalii umalaya uneukubali period nenda egypt nenda sousse tunisia umalaya njenje

  • @Code_22
    @Code_22 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uchunguzii woyeeeee😂😂😂😂

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa hawaingii sehemu wakaacha salama wamelaanika

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huwazi kuwabadili wazung musituvuje bavu sie madiligali kukwa wanafirana wavira watot eti vazi dounaona hajabu sikunawatoto walipelekwa sihem eti kusoma Qurn kumbe wako seem wanafanyew viteto hivo nawakitoka wananyamazishw money 💵 sikilizeni angalia Dubai omn mzung nimuzugu2 huwezi mulazimisha alafu km watu hawana madili nikazi buri of ya allah pia nibure

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Viongozi wa Zanzibar wote wasenge basi pigeni marufuku watalii wasije mpo hapo kwa ajili waarabu waarabu ndio wanaweka mashalti ya kisenge wanafikili Zanzibar ni nchi yao

    • @megahertz4264
      @megahertz4264 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Mwendawazimu wewe

    • @sameraakhf5605
      @sameraakhf5605 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama alivo babaako msenge mbwa mmoja ww

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We mwenyewe bwabwa yaani hapo hadi Rais umemtukana

    • @hfafjjhdfgh1545
      @hfafjjhdfgh1545 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha shobo

    • @aasatt78
      @aasatt78 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mnavochukia waarabu 😅😅 kichekesho hasa😅 sasa apo mwarabu kaingiaje

  • @elinasambo3705
    @elinasambo3705 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndio maana lupita nyong'o alivaa dera alipokuwa anaruka😂😂

  • @Niika870
    @Niika870 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Achen bhna tuenjoy 😂😂

  • @slattyuziii1240
    @slattyuziii1240 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Siku zote wanawake ndo wanaanzishaga majanga

    • @DouglasMassop
      @DouglasMassop ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mambo ya kawaida mbona zanzibar wamepanik

  • @abdiharuna2818
    @abdiharuna2818 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona hayupo uchi uyo nendeni beach mkaone watu wanavhotembea uchi huyo amevaa chupi kama wanavyofaa beach

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@abdiharuna2818 ushasema Beach, nini shida? Uko majnuni wewe?watakawatembeena chupi mpaka town nzima hadi kwenu?

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​​@@aairraahseif5648.. kweli kabisa bora umwambie

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zanzibar inaharibika maadili nikutokana na kuupenda umagharibi,mna ruhusu vipi hali hii,sasa imewaponza, siku ingine mtajifunza kusema NO'mtatia akili

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Kwani nani kakwambia kuwa magharibi wana maadili mabaya.mbona kila chaguzi huko mnaibiana kura na kuuana hovyo,hayo nayo tuseme ni maadili ya umagharibi.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@MathewNathan-yb2bz usilete siasa hapa!tunaongelea uvaaji usio faa na maadili, je huko wanatembea na chupi? au wasema kwa chuki zako? Ikiwa ulikimbua Nchi kwa chuki za siasa usituharibie maadili, kama wewe huko uliko usha kuwa mzungu tuache na uafrika wetu

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@aairraahseif5648kwani maadili ni kuvaa tu ?

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@aairraahseif5648 acha ujinga wacha wavae,kwani nini maana ya maadli?Niambie tafsiri ya neno maadili.Kwanza huko zanzibar kuna maadili gani mmezoea kwenda kwa mpalange,mmejaa uchafu wa kila aina.

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmmmmm sasa beach huko za ninii yani haileti sense kabisa tena mgeni

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe Zanzibar mkikundu😂😂😂😂😂

    • @fatumahamisi-m1e
      @fatumahamisi-m1e 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mpeleke mama yako na kichupi akapige makachu tushangilie.

    • @MahmoudDouch-o6t
      @MahmoudDouch-o6t 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Km alivyo mama ako mbwa wewe

    • @AminaOthman-b4f
      @AminaOthman-b4f ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@fatumahamisi-m1e😂😂😂😂

  • @MohammedShaban854
    @MohammedShaban854 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duh polen wapiga makachu uko zenji

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    From 🇧🇮😂😂shanga zote izo😂😂😂watu wali injoi 😂

  • @HGvv-bh1ig
    @HGvv-bh1ig 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mngekuwa mnawap knga wajifung

  • @esaumkumbo5586
    @esaumkumbo5586 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmh

  • @medardmagige4502
    @medardmagige4502 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    acha watu wabanjuke

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ushamba tu kwan hapo ni msikitini

    • @fatumahamisi-m1e
      @fatumahamisi-m1e 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kamchue na kachupi kake kamuingize kanisani.

    • @ikrissaidrissa8613
      @ikrissaidrissa8613 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@fatumahamisi-m1e umeulizwa kwani hapo msikitini si beach acha makasiliko 😂😂😂😂😂

  • @koyesandatuya5422
    @koyesandatuya5422 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ujinga huo

  • @saidyabdalla7410
    @saidyabdalla7410 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa viongozi wa Zanzibar akili zao zimejaa mavi last time walipiga malufuku zile sanamu zinazovalishwa nguo kwenye maduka lakini ukienda Dubai Abu Dhabi hizo sanamu zipo kwenye maduka

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Upuuzi tu sasa wale qanaojianika pale Tembo hotel hawaaoni wamemuona huyu tu .Zanzibar kuna upuuzi mwingi wadada wa kibongo na wazungu wanatembea nusu uchi mjini na hamna lolote iwe uyo mmoja ndo nogwa

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      @@AllyHamran wee ulitakaje ihalalishwe kukaa uchi?wee ni muungwana kweli? Wee unadini hasaa au umasikini unamsumbua pahala, uuze utu wako?

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zanzibar wanajindai wenye kumjali Mwenyezi Mungu sana Kumbe hao hao ndio Makahaba wakubwa wafirwa huni Mashwetani Zanzibar ingeli kuwa ni inchi yenye kumweshimu Mwenyezi Mungu hayo yote haingeli kuwa hapa Zanzibar Heshima zenu watu wa Bara Zanzibar ni Inchi yenye Laana kwakweli

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dah nili yiona nikasema hii aiendi bure

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 47 นาทีที่ผ่านมา

      Kuogelea c na shela ata uchi ni juu ya muogeleaji ila pahala. Mambo mengine hayataki kuambiwa au kutungiwa sheria. Kwa wazanzibari hata uwe mkristo mpagani haijalishi. Tuna mila na heshima zetu. Hata huko kufirana mtu ni juu yk na MOLA WETU ila hadharani kweupe! Iyo hapana na haijatokea naIN SHALLAH haitatokea ikitokea sheria itashika mkondoko wk kutoka kwa ALLAH SERIKALI na WATU WENYEWE! Wazanzibari tutalinda Uzanzibari Wetu