My #1 Choir, best vocals n the music. Tumaini langu siku zote ninaposikiliza nyimbo zenu huwa nazidi kuinuliwa kiroho. Hakuna MUNGU kama wewe🎼🎼🎼🎼🎼🎤🎤🎤 nawapenda tangu nikiwa na miaka 14 mpaka sasa niko na 40yrs. Mbarikiweeeeeeee😘
Tumaini Choir.. naishiwa maneno ya kusema juu yenu... Mnanibariki mnoo...Hii nyimbo naipenda sana...na sasa mmeitendea haki sana! Baraka za Bwana zimiminike juu yenu daima .!!!
Nawapenda sana kwaya yangu na familia ya Tumaini Shangilieni. Napenda namna Mungu anavyowatumia kubadilisha na kuipa nguvu mioyo yetu!!!! Mbarikiwe sana na ninawamiss sana!!! Tuko pamoja kiroho!!!!
Mnampa shetani wakati mgumu sana nyie watu haaahahah shikamoo kwaya ya Tumaini Shangilieni, St. James Arusha ! 🙌🙌🙌
Tumaini choir hakika kazi yenu ya uinjilishaji haijawahi kushuka kwa kuwa mna msifu Bwana ktk Roho na kweli
Safi sana pambaneni 2 hakikishe 2nampata Mwoolkozi
My #1 Choir, best vocals n the music. Tumaini langu siku zote ninaposikiliza nyimbo zenu huwa nazidi kuinuliwa kiroho. Hakuna MUNGU kama wewe🎼🎼🎼🎼🎼🎤🎤🎤 nawapenda tangu nikiwa na miaka 14 mpaka sasa niko na 40yrs. Mbarikiweeeeeeee😘
very impressive
Muheshimiwa diwani mungu akitunze
Ameen flora
Ameeen flora
Tumaini Choir.. naishiwa maneno ya kusema juu yenu... Mnanibariki mnoo...Hii nyimbo naipenda sana...na sasa mmeitendea haki sana! Baraka za Bwana zimiminike juu yenu daima .!!!
Amen Amen
Sifa na utukufu kwa Mungu juu mbinguni.
Kwaya yangu bora kwa wakati wote maishani mwangu !
maranatha wa Korogwe-Tanga wanawapenda mno
Amen Amen ndugu zetu, tunashukuru kwa upendo wenu. Mungu awatunze na kuwapa kukua na kumtumikia zaidi.
Kwaya yangu pendwa kabisa
Hongera sana Tumaini kwaya. Ni hakika hakuna kama Mungu wetu.
Amen Amen mama.
Ahsante sana kwa review
💃💃💃vile nacheza hapa sasa 🤣🤣
Ahsante sana Deborah.
Still watching from Scotland
There is a twist in this from the original. Love it. Mbarikiwe sana ❤❤❤
Kumbe alie solo huu wimbo bado yupo duu kitambo sanaaa
Nawapenda mweee mbarikiwe💓💓💓💓💓
Lots of love from Kenya
Wimbo huu naupenda mnooo, hongereni Sana,Mungu awabariki Sana
Amen
Mungu akubariki zaidi
Nilikuwa naisubiria Kwa hamu Sana hatimaye imetua kazi nzur Live music 👍
Amen, we are humbled.
Thanks for the review
Nawapenda Mimi jamani
Tunakuoenda zaidi Hariethy
Mungu akutunze.
@@TumainiShangilieniChoir Amen
Evolution ya hizi nyimbo n amazing sana + the music band GOD BLESS YOU
T54 09
Km
Kwakweli hata mimi nimebarikiwa
Nice one woow
Hongera sana kwenu ...
Mwenyezi MUNGU awabariki kwa kazi njema...
( Nimebarikiwa sana amina...)
Ahsante sana ndugu George.
Blessings
Hongera sana Watumishi wa Mungu, Tumaini Shangilieni 🙏🏾
Amen amen 🙏
Utukufu kwa Mungu
Nawapenda sana kwaya yangu na familia ya Tumaini Shangilieni. Napenda namna Mungu anavyowatumia kubadilisha na kuipa nguvu mioyo yetu!!!!
Mbarikiwe sana na ninawamiss sana!!!
Tuko pamoja kiroho!!!!
Amen Amen Simon;
You are loved, dear brethren
Amen. Kwa kweli Mungu ndiye msaada wetu. Mbarikiwe sana watumishi.
Hii nilinunuo original kabisa- album ya Daudi
Ahsante kwa kumbukumbu nzuri. Mungu akubariki.
Hallelujah Jina la Bwana ni kuu
Amen Amen 🙏
Nimependa hiii
🙏🙏🙏
Mungu akubariki kaka
Naisubili
Tunawapenda mno ❤❤
We send tones of love back.
Blessings
Amina nyimbo nzuri daaah
🙏🙏🙏
Exactly,, what a brilliant voice
What a fantastic updated version
Naam
Barikiweni Sana Nyimbo nzuri yenye ujumbe mzuri
🙏🙏🙏
Amina
Blessings blessings 🙌🙌 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo mzuri sana
We are humbled
kazi nuri sana mbarikiwe Tumaini
🙏🙏🙏
Blessings
🔥🔥🔥
Amen amen amen
Nabarikiwa sana utumishi wenu
🙏🙏
Mungu mwema
Fantastic song
Glory to God Hallelujah
This is a fantastic song! I have been listening to its former version for many years now!
Nmeisubiri sana jaman gud gospel music
We are humbled. 🙏🙏🙏
Fantastic
MUNGU awabariki zaidi
Amen. Mungu akubariki zaidi Philomena
Amen blessing song
Mungu azidi kuwabariki
Mungu akubariki zaidi
Amina
Alafu hii nilikuwepo nikiwa na Efatha Choir hakika sitaisahau siku hii
Amen Amen
Ameen. Nawapenda sana
Tunakupenda zaidi.
Mungu akubariki
Amen. 🙏🙏🙏
My best choir over decades
Amen Amen
Blessings to you and your beloved ones.
Wow! awesome, glory be to God
Lovely voices
I’m blessed 🙇🏾♀️
Amen Amen
Too nice
AMEN
Mbona haufunguki nitacoment Nini?
Jaribu tena