FUTA MACHOZI Official Video - Tumaini Shangilieni Choir
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- #FUTAMACHOZI ni wimbo uliobeba maombi, majibu na ushuhuda wa maisha halisi ya watu.
Maombi yetu MUNGU husikia,
Kuteseka kwetu MUNGU anaona,
Kutaabika kwetu, dhiki na magumu tunayopitia MUNGU hajakaa kimya.
Sasa ni majira yako kufarijiwa, kufutwa machozi, kuinuliwa, Kuheshimishwa na Kuwekwa panapo nafasi.
Mungu ayaone machozi yako na kukusaidia hima.
Mungu akukumbuke na kukumbuka sadaka zako.
Mungu akukumbuke wewe na Uzao wako, na malango yako, na ghala zako.
Akae kwako kwa wingi katika afya ya mwili na roho na katika kushiba na ustawi.
Mungu akubariki kwa kuwa sehemu ya familia yetu na hasa kwa kuchukua muda na kutazama wimbo huu.
Tafadhali usiache kuacha coment hapo chini, like na subscribe.
Tumaini Shangilieni Choir,
/ tumainishangilieni.choir ; / tumainishangilienichoir
Jamani kuna huyu dada yupo hapo nyuma ya sololist, ni mwanakwaya wa zamani. Yeye anatabasamu sana akiimba, ndivyo inavyotakiwa haijawahi kumuona amwnuna
Nabarikiwa sana nanyie jamani Mimi natamani hi arbm nzima ntaipataje?
Wow!
Mungu mwema, naona wengi wao ni wale wale waliokuwa tangu mwanzoni. Mbarikiwe sana kwa kusimamia kusudi la Bwana , najua sio kazi rahisi.
Tuiosikia huu wimbo for the first time kwenye maombolezo ya Magufuli tujuane
Watu wengi mno wanaponywa na huu wimbo
hongeren saaaana watumishi hizi ndiyo tunahitaji kusikia Mungu awabariki sana
Nabarikiwa sana ! Bwana ameyaona mateso yangu
Mbarikiwe sana Tumaini Shangilieni. Ni kupitia kufuatilia nyimbo zenu nimepiga hatua katika utumishi.
Kazi nzuri Bwana akubariki.
Wimbo wangu bora miaka yote❤❤
Mungu awabariki na kuwatunza😊
Mungu anatukuzwa na atukuzweee,mbarikiweee
Wimbo huu nimeusikiliza kama mara mia moja hivi. Kila wakati machozi hunilengalenga ninapousikiliza. Soooo touching.
Mungu akufanikishe na kukukumbuka rafiki.
Be blesssed. Wimbo upo kwa wakati kwangu maana Yesu amenifuta machozi. Nabarikiwa sana na huduma yenu.
Ni kweli mungu atafuta machozi yetu
Wooow!! This beautiful song touch my heart God bless you
Tuwekeeni Spotfy huu wimbo jamani
Shukurani sana kwaya Tumaini kwa wimbo huu inawezekana MUNGU amewapa fununu ili mu imbe hivyo nipo DRC n'a wapenda sana n'a wimbo unao ni jenga sana ni Silaha ya Ushindi
Kweli nimefuta machozi nliyoahidiwa yote yatatia,,,,Mungu awabariki kwa kutupa nyimbo za kutujenga 🙏🙏🙏
Yesu yupo pamoja nawe hivyo futa machozi maana hata kama UTAENDELEA KULIA SIYO KWELI KWAMBA CHANGAMOTO HAZITAKUWEPO BALI CHANGAMOTO ZIPO KUKUINUA
Garaton inayoanza wimbo na sauti nyiroro za waimbaji ongeza ujumbe mahususi vyanifariji sana
Mingu awabalik wanafanya vizur sana
Hivi ninini lakini mnatoa nyimbo kwenye Moyo wa Yesu!yaani Inner and Pure from Jesus Heart!(Lendevoo) bila kufunga na kuomba huyapati haya!Namwinua Kristo kwa ajili Yenu!Wacha awainue Zaidi!
😁😁😁😁😁😗
Nilikuwa nalia wakati nikiomba kutokana na haya maisha lakin ikaja verse ya futa machozi,haraka sana nikautafuta huu wimbo,ukweli nimepata tumain jipya na nikafuta machozi,Mungu wa mbinguni awalipe😭😭🙏🙏🙏
Utukufu had utukufu Mungu awabariki kwa kazi njema
Nimebarikiwa kutoka st James tumaini choir loitokitok kenya❤❤
Utukufu zaidi ya utukufu, Ni Ombi, tumaini, faraja na Tabasamu jipya katika Kristo, Kutoka kaa Marafiki zenu Maranatha kwaya Korogwe ni ttc
Mbarikiwe watu wa Mungu kwa huduma
Wimborne wangu pendwa wa wakati wote
My favorite choir I love you so much,
Tokea utotoni hata sasa this will always be my favorite Gospe Choir.. khasanteni sana kwa kuendelea kutubariki.. Mungu awabariki sana.. Jombaa nakuona John Mtangoo my mentor 🤝
Aliesikia hii nyimbo Kwenye maombolezo ya Msiba wa hayati JPM akaja hapa kuusikiliza
mm
Mimi pia
What a nice song..nimefuta machozi.. from Kenya.
Kweli mmenifuta machozi, mbarikiwe Sana🙌
❤nimebakiwa sana
Always on 🔥. Mbarikiwe sana, hakika nimefuta machozi yangu maana nimeuona msaada wa Bwana.
Huyu kijana Lemabi ni hatari sana kwenye mics, anajua sana kuyapanga maneno kwenye jukwaa kama hili. Mbarikiwe mnooo.
For sure this song is my dedication, Mungu amenifuta machozi,namtukuza yeye siku zangu zote,be blessed
Tunaomba wimbo wa Bwana Mungu atafuta machozi
Mungu awabariki sana, nawapenda wooote.
Mungu awabariki sana kwa upako mnaotupa
Blassed song!! Blassed singers, may GOD bless u all
HAKIKA AHADI ZAKE NI KWELI NA HAKIKA,NI MANENO YA KUTIA MOYO
ASANTE MUNGU MAANA HATA WAKATI WA MAPITO YANGU HUKUNIACHA ULUNIFUTA MACHOZI.
UNAYEMTEGEMEA MUNGU USIKATE TAMAA NI KWELI ANAJIBU KWA WAKATI
kwaya bora kabisaaaa
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu,hakika nafutwa machozi kupitia nyimbo zenu,Hongera sana pia ushauri muongoza nyimbo amesahau kupunguza nywele.
Hahahah Komba, ndo safi mm nimeona wako natural so fresh tu
Nawapenda sana watumishi nyiee 🤲🤲🤲
mungu awabark sana mungu emenfuta machoz
🙏🙏🙏🙏ahsante mbarikiwe kwa ujumbe mzuri
Aseee mmebarikiwa mnoo,Mathayo umeimba vzr Saana,
Nawapongeza kwa kazi nzuri ambayo mnafanya.
Mungu awapiganie na kuwadumuisha katika viwango vikuu vya utumishi
Hao watoto wamenifurahisha sana Mungu akuze alichokiweka ndani yao Amen
Amen Amen
Mnatubariki sana, Mungu azidi kuwainua
Nawapenda sana
Amen, Nimebarikiwa sana, more so I like the genres #MbarikiweSanaa
Hakika mmebarikiwa haswaaa maana nyimbo zote mnazotoa Ni kiwango haswaa na ujumbe mzitoo, nafuta machozi nasonga mbele
Wow! Such a sweet song with lovely vocals . ❤
Mungu awabariki sana,
Haleluya Mungu atutangulie
mbarikiwe mno wimbo ni mzuri sana kwa wimbo huu sichoki kuusikiliza
Tumaini Shangilieni..nawapenda! Ur songs are amazing,sauti zimetulia, very calming sio tu physically ila emotinally pia💯❤️
Wimbo huu ulinifariji kwa wakati mgumu nilipompoteza mamangu mzazi. Mungu awabariki!. Listening from Kenya.
POLE SANA,JIPE MOYO MUNGU NI MKUU
Utukufu kwa MUNGU ambae hutufuta machozi yetu ... Mbarikiwe sanaaaa
Naupenda sana wimbo,Huwa unanipa faraja sana
Ameen,Hakika Mtetezi wetu yu hai,Wakati wa Shooting I remember My mom was having a very difficult Time,And Guess what,Wakati wa Release My Mom amepata majibu yake ya maombi,Yale makusudi ya Mungu ndani yake hakika yametimia,.Bwana ametufuta machozi,Bwana amesikia kilio chetu Mungu ni mwaminifu sana sana,mzidi kubarikiwa,nawapenda,
Upendo choir
Daah... Huu wimbo sichoki kuusikikiza.. Mungu awabariki sana
Much love from Kenya🇰🇪
wimbo mzuli sana mbalikiwe
Mungu awabariki sana hakika nafutwa machozi sasa
My favourite choir since 90's., growing up listening to your songs., Thanks for keeping the fire of the spirit burning🙏
Am always blessed🙏🙏
Nyimbo zuri san
Amjawahi kukoseaga mungu awatunze mkue kwa viwango vingine
Bi mkubwa nyuma pale mjumbe muhasisi wa kwaya nakuona upo lohoni sana safi
Nabalikiwa sana mpo juu
Mbaribikiwe sana kwakweli wimbo unatia faraja mmeimba vizurii Sana kwaya yangu
Ameen!,,Nafuta machozi!,,nimebarikiwa sana!
Kuna mama mmja anatingisha hyo ala ya mziki(sjui inaitwaje)Jamani ananibariki sanaaa
Anaitwa Cecilia Lugendo
hongereni kwa kazi nzuri. injili isonge mbele...🙏
Mungu awabariki watumishi huu wimbo unakuimarisha unapopitia magumu
Mungu awatie nguvu wana wamungu na barikiwa sana napo sikiliza hii nyimbo 🙏🙏
Huzuni ulizokuwa nazo mwanzo hazitarudi mara ya pili...Ameen!
MBARIKIWE SANAA!
Ukiimba haya maneno kutoka moyoni lazima uguswe aisee!
Ni kama ule wimbo wenu wa NITAINUA MACHO
Mungu awatunze na kuwainue katika utumishi wenu.
Bwana amesikia na ameshukaaa!
🙌🙏
Hakika Bwana ameshuka anisaidie🙌
daa the long wait...................favourite song of mine mmbarikiwe sana
Mbarikiwe sana! Upendo mwingi kutoka Morogoro ❤❤❤
gospel rhumba
Wimbo mzuri unao kupa faraja Mungu awabariki
MUNGU aendelee kuwabariki kwa ujumbe mzuri naamini Kila ataesikiliza wimbo huu hatobaki pale alipo, namshukuru MUNGU kwa kuzidi kuwapa kibali.
Hakika wimbo mzuri Sana mbarikiwe wote na wapiga muziki wako vizuri sana
Best of the best gospel choirs in Tanzania. Mbarikiwe sana
Mungu awainue kwa viwango vingine nawapenda sanaaa.
NABARIKIWA SANA NA UJUMBE MZURI. MUNGU AWAINUE VIWANGO VYA JUU.
Nawapenda sana jaman nabarikiwa mnoo
Beautiful message + melody + voices,
i feel free like birds in the sky... MUNGU awabariki maradufu
Blessings dear!
Ameen sanaaa hakika Mungu anaenda kuyafuta machozi yangu.. Mungu awabariki Wapendwa
@@TumainiShangilieniChoir Amen.
Mungu awabariki kwa huduma watumishi
Amen
Nawapenda sana😘🙏🙏🙏
Aisee this is 🔥🔥🔥🙏, soo perfect and experienced singers , music systems on point , melody + tune is so excellent, you are blessed this professional to Praise heavenly Father,..... and ofcourse yah huwa sichoki kuwasikiliza.
Aminaaaaaa!
Amina