Watanzania si watu wa kuandika. Nimekutana na Waziri Mkuu Majaliwa na Bishop Gwajima Japan, Nikamkumbuka Sana ASIYESAHAULIWA, JOHN POMBE MAGUFULI NA MCHUNGAJI MALEKANA.🇹🇿
This is the sermon that formed the foundation of my change. Listened to it or loop mode severally and then I landed on Pr Mmbaga. The rest is history. Glory be to Almighty God, the Father of Jesus and us.
jangwani kuna maji, jangwani kuna kuwinda, na jangwani kuna kuoa!!!.hakika MUNGU anakuongoza pr malekana!. Hubili hili limetufumbua macho. Ubarikiwe sana.
Bwana yesu atukuzwe nilifunga siku 21 yesu alinipa ujumbe wako uandae vijana wa makanisa yote Kwa ajili ya vita alisema yupo karibu kuja Sina mawasiliano ya kanisa ulilopo pokea ujumbe huo much malekana
Mimi naona kuna watu wamekupotosha kuhusu wadventista wasabato niruhusu nikutafutie kitabu ili ujue wasabato waanamini nini usipotoshwe na watu ubarikiwe
Ngashanda niliweka roho kwa Mungu. BUPANDAGILA ni Nyumbani.
Mungu akutie nguvu mtumishi
Mchungaji barikiwa kwa Hill neno la mungu umenibariki sana panapo janga kubwa pana fursa kubwa...
Amina. Nimebarikiwa sana leo na hili hubiri
Watanzania si watu wa kuandika. Nimekutana na Waziri Mkuu Majaliwa na Bishop Gwajima Japan, Nikamkumbuka Sana ASIYESAHAULIWA, JOHN POMBE MAGUFULI NA MCHUNGAJI MALEKANA.🇹🇿
Naipenda madam mercy
Nabarikasana by Baraka Kinyunyu iringa
Wonderful sermon, listening from Kenya
Pongezi sana kwa ujumbe huu ,ambao unahimiza kuelekeza imani bila kuogop a maana Mungu ana sababu katika maisha yetu.
Amina mtumish
Asante mchungaji, Mungu akubariki sana. Some jema Amina
Somo zuri sana. Mungu akubariki sana pastor
Somo zuri sana limenifanya kuwa na Imani amani kubwa moyoni mwangu naomba kuuliza kanisa la wa sabato lipo saehem ngani Zanzibar
This is the sermon that formed the foundation of my change. Listened to it or loop mode severally and then I landed on Pr Mmbaga. The rest is history. Glory be to Almighty God, the Father of Jesus and us.
Mungu azidi kukuinua Pr uendelee kubariki watoto wa Mungu
Nabarikiwa kumuelewa mtumishi huyu mungu ambariki sana
Powerful sermon may God bless you pastor Malekana
Pastor asante Sana nimebalikiwa na neno la mungu
Pr Mungu akutie nguvu zaidi unapofanya kazi yake takatifu,amina!
Leo nmepata matumaini Mungu nisaidie jangwani
Mungu nifumbue macho, jaman mchungaji ubarikiwe Sana
jangwani kuna maji, jangwani kuna kuwinda, na jangwani kuna kuoa!!!.hakika MUNGU anakuongoza pr malekana!. Hubili hili limetufumbua macho. Ubarikiwe sana.
Asanate kwa mafundisho mazuri Barikiwa sana Pr
Ubarikiwe Sana mchungaji
Ubakukiwe sana
Amina
amina kwa Mafundisho mazur endelea kututumia wengi tubarikiwe
Bwana yesu atukuzwe nilifunga siku 21 yesu alinipa ujumbe wako uandae vijana wa makanisa yote Kwa ajili ya vita alisema yupo karibu kuja Sina mawasiliano ya kanisa ulilopo pokea ujumbe huo much malekana
Ujumbe wako ameupokea
Ni nzuri sana zina ujumbe mzuri sana,endelea kutulea habari.
Amina kwa mafundisho nimebarikiwa
Pastor nimebarikiwa sana na Somo hili...Mungu akubariki
Have been encouraged today i love this man of God
Amen....Mungu nifungue macho.Asante sana mtumishi nimejifunza
Mungu na awabariki kwa neno hli la kutupatia ujasiri
SOMO ZURI.MUNGU WETU WA MBINGUNI AZIDI KUKUTUMIA KATIKA KAZI YAKE.UBARIKIWE SANA PASTOR.
Powerful messages sharper than a two edged sword, thank God for you pastor mark, i have been touched and blessed by this message, Amen
Mungu apewe sifa. Asante saana Pastor
Amina Mchungaji
Ubarikiwe pastoral tena sana sana
Kanisa sabato libarikiwe nalipenda sana japo sijaoko ila naitaji okofu mniombee
Karibu katika kanisa lolote la sabato..kisha waeleze viongozi nia yako hii
Mungu akubariki mchungaji wetu
I have learnt ubarikiwe mtumishi wa Mungu aliye hai.
barikiwa sana mtumishi kwa somo zuri sana
Somo limenibariki sna mtumishi
mungu wetu atukumbuke katka ufalme wa mbinguni AMINA
am blessed my God bless you so much pastor....
ubarikiwe pastor malekana message send
Amen
Ni somo zuri kwa wajasiriamali kutumia fursa walizo nazo karibu.Nimebarikiwa sana!
Amina kubwa🙏🙏🙏🙏
Changamoto kubwa fulsa kubwa thank mtumishi
Ubarikiwe mchungaji wa mungu
Amen, Nina swali mchungaji
mungu akubariki kwa ujumbe mahusi.
pr.ubarikiwe kwani uzoefu huu wa jangwani ni mbaraka wa pekee wa maisha yetu ya leo
Amen! Mzungu wa jangwani! that is powerful.
ubarikiwe pr malekana wa Bariadi
God bless you pastor malekana you always preach what is Truth whether it harmful the church
Nimeiona
Mungu akubariki Pastor.
Nimebarikiwa na somo
mafundisho mazuri lakini wanao hubiliwa ata amina pia kusema nishida barikiwa mtumishi waMungu nibarikiwa
I love it may God protect and use you in his holy project I like the way you preach thank you and let God be gloried in jesus Christ name
Hallelujah Hallelujah
Mungu akubariki mchungaji
Nimebarikiwa sana na somo LA uzoefu wa jangwan
Furahiniubarikiwe pr Mbwambo Mungu akubariki kwa niaba ya Pr. Malekana
Amina
Ubarikiwe sana
pastor mara ya mwisho tumeachana kwenye makambi ya mpanda mjini nahisi kubarikiwa mno mungu akusaidie
Am seriously blessed .
Be blessed much Pastor
Burengera safi sana tuma na ya mwinjiristi kuhoka
Siku nikiyapata nitaweka
Imekaa vzr
GOD bless you pr Malekana
Tuko 2019 tunasikiliza...Mungu akubariki sana Pastor
mungu akubarik pasta
I loved this veery much
So Nice. God bless you
Ameni uzoefu wa jangwani
Nina Barikiwa.
Somo zuri sana
Amen nice message
Amen. Thx PR.
Glory to God.
God bless u so much
safi sana pasito
safi pasta
Lilian Kiyaulilo barikiwa
Amen powerful
amen amen
Somo nzuri am blessed🙌🙌🙌
Powerful message to me
Kati ya mahubiri niliyobarikiwa na hili n
i moja wapo
Amen grt sermon
amen God is us
Somo zuri
Am blessed
Emmanuel nahozya . ndio magonjwa yamesababishwa na dhambi
ameni frusa za jangani
God is great
Wasabato wanaokoka nje c ndani, walichokosa ni Roho Mtakatifu kwa kunena kwa lugha!
Mimi naona kuna watu wamekupotosha kuhusu wadventista wasabato niruhusu nikutafutie kitabu ili ujue wasabato waanamini nini usipotoshwe na watu ubarikiwe
Amina
Good
Nimuhimu Sana uzoefu jangwani katika imani yetu
Kama umefumbuliwa macho gonga like
Amen
My Go
light bearers
amin
Inapendeza nataman nishinde uongo kibul na majivuno je ww
Amen