DAR KAMA MJI MKUU WA KIBIASHARA T'ZANIA NI LAZIMA IONEKANE NADHIFU NDIO JICHO LA WAGENI NA SI KWA TANZANIA TU KUNA RIO DE JANEIRO ULIO KUWA MJI MKUU WA BRAZIL KABLA YA KUHAMISHIWA BRASILIA, LAGOS KABLA YA KUHAMISHIWA ABUJA NA KWINGINEKO ILIYO KUWA MIJI MIKUU INA WEKWA KIBIASHARA ZAIDI.NA POLE POLE MWANZA, ARUSHA NA KWINGINEKO IFIKIA KUBADILIKA.
Kwani hujaona the NEW Arusha and Songwe Airports? Ngoja kwanza MSALATO karibu inamalizika hivi punde loool mtajinyongaaaa! Hapo bado hamjaona ya Zanzibari na ile ya MWANZA ipo mbioni kumaliZiwa, tunawaonea huruma aisee!!
Kazi iendeleeâĪ
Tanzania mbele kwa mbele
kkk
Tunamshukuru muumba azidi kutubariki teendelee zaidi
Mama anapiga kazi âĪ
Hawa wanopinga hawajawahi kufika uwanja wa ndege wanaisikia tu huyu ni mkenya
Lisemwalo Lipo na kama halipo basi laja ipo siku kufumba na kufumbua TZ itawafunika na hizi ndizo dalili
Nikweli
Miwago Tz usichoke kutupatia habari na matukio
Asante sana,nipo teyari
Kenyans are still stuck on the IDEA of Tanzania of the PAST loool Newsflash Kenyans, Tanzania has gone CLEAR, someni number plate ya nyuma!
Plate# ya nyuma izingatiweðĪĢðĪĢð
@@tumainimayala8187 hapo sasa ð
Naukawaambie waache mdomo mkiona Kobe ameinamisha kichwa
Tanzania ipi iyo ya kufananisha na ulaya au ya kusadikika maana apo mjini petu panakatwa ndizi mpaka leo ?
Acheni uwongo. Bado kabisa hajifikia Kenya pamoja na ufisadi wawo. Kama ufisadi Tanzania tumewazidi Kenya. Wewe Marara acha kudanganya watu.
WIVU TU.ðŪ.(Envy) sorry for you.ð ð ð ð ð ð ð ð ð ð .
Iyo sio dar ni zanzibar airport
Umeambia Tanzania hujaambiwa Dar
Wapuuzi tu hao achana nao..
Baado kabisa
We mcc uongo tyu
Hiyo sio Tanzania hiyo ni Zanzibar bana msituchanganye
Kwani zanzibar ni wap wewe bado ni tanzania hujui kitu we tulia
We mwenye tv ni CHAWA tu
Huyo Raia ni mnafiki,hakuna tunacho fanana na nchi za Ulaya labda nchi za kiafrica tu twaweza fanana na sio zaidi ya hapo ni uongo.
Acha ujinga wewe TV yako ni yachawað
SAWA,ILA SWALI NI HILI: KWA NINI KILA KITU NI DAR...TU?
DAR KAMA MJI MKUU WA KIBIASHARA T'ZANIA NI LAZIMA IONEKANE NADHIFU NDIO JICHO LA WAGENI NA SI KWA TANZANIA TU KUNA RIO DE JANEIRO ULIO KUWA MJI MKUU WA BRAZIL KABLA YA KUHAMISHIWA BRASILIA, LAGOS KABLA YA KUHAMISHIWA ABUJA NA KWINGINEKO ILIYO KUWA MIJI MIKUU INA WEKWA KIBIASHARA ZAIDI.NA POLE POLE MWANZA, ARUSHA NA KWINGINEKO IFIKIA KUBADILIKA.
Kwani hujaona the NEW Arusha and Songwe Airports? Ngoja kwanza MSALATO karibu inamalizika hivi punde loool mtajinyongaaaa! Hapo bado hamjaona ya Zanzibari na ile ya MWANZA ipo mbioni kumaliZiwa, tunawaonea huruma aisee!!
@@section8ight174wataji murder kweupeeeðððð
Ulitakaje?,Ulitaka kila kitu kiwe Nairobi!?,Aaa Wapi! Nairobi ilikuwa Ni Zamani kwa Sasa ni Dar,kaa kwa kutulia!
@@brysonkaale3003 ðð