Tamko la Papa msilifafanue tofauti na alivyotamka kuhusu kuwabariki mashoga.Yeye aliruhusu hajazuia kuwabariki. Sisi hatujafurahia tamko lake Kama watumishi wa Mungu.
Tusipende kuhukumu watu. Ktk maisha yangu nikiooa nje ya taratibu za kanisa. Na kipindi hicho nilikuwa kwenye kikundi cha wokovu. Kikundi kiliniondoa kwenye kundi lao wakatutenga mimi ni mkeo. Lakini sisi na udhaifu na dhambi zote tukiwa nje ya kikundi tuliendelea kumnyenyekea Mungu na Mungu yupo nasi mpaka leo tunadumu tukiwa kiroho na kimwili vizuri. Wale waliotuhukumu wengine ndoa zao zilisambaratika, wengine kiroho wamepotea Ktk safari ya wokovu nilichojifunza kuwa hakuna aliyeokoka ktk dunia awe ni Padre, Askofu ama mitume na mitume. Hapa duniani tunaongoka. Kuongoka ni harakati za kuachana na dhambi ili kuelekea utakatifu. Hakuna asiye na dhambi. Sisi wote tu wadhambi. Tunamtafuta na kujiweka mikononi mwa Yesu ili kuutafuta utakatifu. Hivyo kwa kuwa sisi sote ni wadhambi tusiwe na tabia ya kuhukumu watu. Visasi na hukumu ni juu ya Mungu. Suala la maamuzi ya Papa, anayejua kama Papa yuko sahii au siyo ni Roho Mtakatifu na Yesu Kristu pekee
Uyu Askofu ana hekima sana, kiukweli kama papa angeruhusu uo uchafu io ingekua mwisho wa kanisa hili rasmi, ila kama kweli aliyoyasema ndivyo yalivyo basi sisi ni nani ata ttushikane na uzushi wa watu?? Tuko pamoja kama mmoja Amen
Mnabariki nini yaani mashoga wabarikiwe ili litokee nini Mungu mwenyewe hawezi kubariki watenda dhambi baraka ya nini kwa wauwaji au makahaba wabarikiwe ili wafanye nini kwa faida ya nani au nini kitokee
Huyo papa wenu SI mzungu walikoruhusu ushoga anafuata katiba za kwao wafrika wakatoriki mtapinga mtaweza Bora tu mungu wenu awasaidie kuwaepusha naroho hiyo nanyi siku Moja wafrika mpate papa
@@elizabertnyamubi6477 Ukweli kabisa congratulations kwao 😈🔥 shetani Yuko kazini.wamejiingiza kwa siri alafu wanajifanya wao ndio wanajua kusaidia watu MASHETANI mtu afiche watoto wake wapi.
Kiujumla tunapoomba Baraka za Mungu ni kutafuta mahusiano na Mungu. Pale mtu anapotaka baraka za kimungu, jambo hili linaambatana na toba na kuacha dhambi. Kwa hiyo kama kuna shoga anatafuta baraka za kimungu hii ni njia pekee ya yeye kuhubiriwa habari ya wokovu. Kwa kuhubiriwa toba, shoga ataacha njia mbaya na kuwa na maisha yanayompendeza Mungu. Tujifunze kusikiliza na kutafakari. Tusome biblia na kutafakari kwa kina
Ni kweli kabisa tunapaswa kuwa nao karibu ili eijue kweli wamrudie Mungu,Yesu Anasema msiwalaani watu, wabarikini watu watakieni mema, na ktk baraka hiyo kuna neema ambayo inaondoa yalemapepo ya ushoga,sisi sote tumepungukiwa na ututukufu ndio maana kuna seemu nyingi sana za toba kwenye ibada ya Misa Takatifu, lakini tumekatazwa kushiriki itu vitakatifi Kumpokea Yesu wa Ekarist Takatifu pasipo kamahatustaili. Kwa hiyo niwajibu wetu kuwa mwanga ktk giza Amina
Huu Ni walaka ambao kanisa uenda lilishindikizwa na hao mabeberu hivyo Ni Papa yupi angeingia Kwenye historia ya hili Jambo? Utakumbuka Papa Benedict 16 aling'atuka sababu afya yake, aliyemfuata naye sababu sintofahamu. Yote na yote ukitumia akili utaona dini haiambatani na haya ila Kuna mgandamizo mkubwa kutoka kwa mashetani waliopenya kanisani ambao wana nguvu kubwa mno
Ninachojua mimi baraka za Mungu hazitoki wa maaskofu au papa au padri kwan wenyewe ni wachafu kuliko hata mtu wa kawaida.sasa niambi padri mlawiti kama kimaro wa kipindi kile atakupa baraka gani.?Baraka za Mungu zinaambatana wa watumikiao Mungu kwa uaminifu hazitoki mifukoni mwa padri.ni vizuri kila mtu ajikane mwenyewe kwenye safari ya kuelekea mbinguni kama Yesu alivyosema,kila mtu ajitwike msalaba wake na sio kusikiliza fikra binafsi za maaskofu na mapapa.
Jamaa anazunguka sana kashasema mashoga wabarikiwe na huo ni msimamo wake sio wa kanisa, alafu unasema ukijua mashoga wewe huwezi kuwabariki na yeye kashasema MASHOGA alafu unaleta siasa nyiiiingiiiiiiio
Ukiona inzi wanaingia hadi vyumbani, ujue tatizo lipo kabla yaani uchafu. Kauli ya Papa inaashiria uozo liopo kabla ya tamko hili. Lakini Mungu anaruhusu inzi waonekane ili wapenda usafi wajue kuna uchafu ili wachukue hatua ya kusafisha nyumba yote. Waumini waaminifu kwa kanisa badala ya kuwa waaminifu kwa Bwana, hawatachukua hatua, bali kuwakasirikia wale wanaoona uchafu wa kanisa. Lakni waumini walio waaminifu kw Bwana, watachunguza kila fundisho ili kujua nyufa ambazo shetani ameingilia kanisan. Mttini Mungu mpingeni shetani nae atawakimbia - Yakobo 4:7-10. La sivyo tutazidi kuona na kusikia mara hili mara lile yakinadiwa kuingzwa kanisani akama ambavyo mengi ya uongo yamepandikizwa kanisani kupitia mapapa wanaojiita BABA MTAKATIFU!!!!!!. Jina tu ni chikizo ila kama una macho ya kuona. Mtumishi wa kweli wa Mungu hawezi ujikweza kujiita au kuitwa jina hili linalo mhusu Mungu tu BABA MTAKATIFU.
Lazima ivi vitu vitokee ili roho MT afanye kazi yake ya kuliongoza kanisa kutoka kwenye comfortable zone to new place, Lakini ukienda ata kuungama Padre uwa anaanza kukubariki kwanza kabla ya kuungama dhambi, kanisani Padre utoa baraka kwa wote wadhambi wakiwemo, ivyo MTU akija kuomba baraka ya Mungu, huwez mnyima.
Ivi nini amekisema cha maana si unamuhunga mkono tu mwenzio sijuhi ni wa parokia ngani alikataa kuusu ushoga na akasema Uyo Papa waroma hata aruusu ushoga yeye awezi kubali nahawezi ungana naye😢😢😢
MNAJIDANGANYA,,,,, SOMA ZAB 11:3 "MISINGI IKIHARIBIKA MWENYEHAKI ATAFANYA NINI......JIBU HILI HAPA 1KOR6:17TOKENI KATI YAO MKATENGWE NAO..... ROMA NI IMANI YA MASANAMU YAANI SHETANI FULU FULU, HAKUNA MUNGU ROMAN MNAJIFARIJI TUU...TOKENI HUMO....
HAWA WANAONGOZA UPUMBAVU YAO WENYEWE NA MBINGU NI BABA YAO 😈🔥 SHETANI, JE NAULIZA SWALI UKO KAMA YESU MAANA UKIMTAZAMA MWANAMKE USHAZINI NAE,ARE VERGENNE LIKE HIM, NI JIBU HIYO SWALI.
Usibariki ushoga hapa Tanzania tafadhali sana. Shoga ni kuomba au kutubu lakini kusema ati akija kuomba kubarikiwa. Kama nashoga wakija kubarikiwa katika ndoa yao utafanya nini 4:01
Baba ulivyolijibia tunakuelewa. Swala hili siyo kama ulivyojibia u kweli usiyopingia haliko hivyo. Kwa kuwa mimi na wewe ndiyo wahanga liache hivyo hivyo. Papa alikuwa amelenga ndoa za jinsia moja u kweli usiyopingika. Kwa wazungu huko viwanda vya kutengeneza madawa ya Kumtengeneza shoga vimejaa wamewatengeneza weeee mpaka wamekuwa wengi sasa wamekuambia wewe baba ukabariki sanamu tu walizoharibu hawana ufahamu wowote hawa baba.mimi nafikiri wakatibiwe labda watapona ni kifo cha kiroho maana hana uwezo wakufikiri kutubu Ee Mungu wangu tumekwisha. Mtu akiambiwa hapa panapesa yuko tayari kwa lolote lile papa angesisitiza viwanda vya madawa ya kuwa shoga vichomwe moto na sisi huku visiingie kwenye manchi yetu. Sijui huyu papa anaruhusu ya nini? Badala ya kuzuia. uharibifu mara achanganye uwislamu na u kristu ye ye atulie na msimamo wa kanisa katoliki wao watakuja na kufuata utaratibu wake hakuna kulekebisha biblia
Acha kutetea uchafu, hii haikubariki, ndoa ni kwaajili ya ke na me si ke kwa ke au me kwa me, vinginevyo ni uchafu warumi 1:25-27 acha kupotosha ukweli, acha ushetani
Watoto wangu jana waliniuliza kuhusu hili swala,, niliwaambia nendeni kanisani kumtafuta Mungu, Yesu, wala sio kumtafuta papa, wala padre.. ila nafasi imefadhaika sana.. kwani kanisa kutoa tamko kuwa hao watu hatuwatambui kuna shida gani?
@yesunimwema4497Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini? Kiongozi wa vipofu mkiambiwa mfumo mzima wa katoliki uko chini ya freemason mnakataa na Bado mtasikia mengi
@@audifansisafari5587 Mimi ng'ombe wewe mtu lakini iko siku utaelewa jamaa yangu Mungu akupe kuona sawasawa, umewahi kujiuliza kwa nini kauli ya papa kuhusu ndoa za jinsi moja ni sawa na Ile ya Serikali ya Marekani? But Bado mnamwita baba mtakatifu!!!!!!!!! "Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote maana haiji usipokuja kwanza ule ukengeufu akafunuliwa yule mtu wa kuasi mwana wa uharibifu" (2Thesalonike 2:3)
Nawapa pole watoto hao, baba chukua hatua mapema, matendo mema ndio kigezo kinacho zihilisha upendo wa mtu kwa MUNGU, hakuna namna yakunishawishi papa nimuone nimtakatifu, na R.C yake hewa mnapenda makanisa yakistaarabu kumbe yamebeba kusudi la shetani.
Amna kitu kilichotekwa wala nini mafundisho ya Papa amenukuu wapi kwenye vitabu vitakatifu ambapo yalifanyika hayo? Endeleeni kujichanganya na mwishowe mtajikuta mmeruhusu hadi viongozi mashogo. Muombeni Mungu awape Roho wake awasaidie kwenye maamuzi na sio kwa kutumia hisia.
Sorry , nashauri kanisa hili lisiingie kwenye mtego huu wa kipumbavu ! Huu ndio UPINGA KRISTO ! Upinga Kristo ni kwenda kinyume na yale Mungu anayopenda
Achini kujisifuni na dini zenu jisifieni IMANI zenu,dini zinawspeleka wapi, IMANI na MATENDO yenu ndo vitawaokoa,mkifa mtaacha miskiti na makanisa, angalie wenzenu kule gaza wameiva kwa IMANI na MATENDO wote Islamic na christian jifunze kwao,na huu ushwetwani uko kwenye dini zote ila wanajifichaficha, Anglican wapuuzi wale waliweka wazi bila ya aibu kulikuwa na mchungaji shoga tafuteni kwenye mitandao mtae lewa vizuri, inusuru nafsi yangu ee yarab
Kanisa Katoliki lina heshima kubwa ! Mimi si mkatoliki , ila sijawahi kukinzana nao katika imani , Najua tofauti ziko chache na madhehebu/ dhehebu langu ! Kwa hili la ndoa za JINSIA MOJA ni UJINGA MKUBWA !. Hatuhitaji kuupamba kwa namna yoyote ile ! Ni UPUMBAVU na ninashauri kanisa hili kubwa , lenye heshima kubwa kuingia kwenye mtego huu wa kijinga!!!
Kimsingi dhambi zipo nying duniani tena zngne kubwa kama mauaji, ushoga n.k. Lakin mtu akija kwa padre personally anaomba baraka, padre atambariki yeye kwasababu ni binadamu na amehitaji baraka ya kimungu, kwahyo kinachobarkiwa ni mtu na sio dhambi zake. Na kupitia baraka hyo ya kimungu huwenda huyo mtu akaacha njia zake mbaya na kumcha Mungu. Lakini walaka wa Papa umeeleza ya kwamba watakapokuja watu wawili mshoga wanawake au wanaume wakiomba baraka katika ushoga wao n jambo ambalo halikubaliki na sacramenti hyo haipo katka kanisa katoliki. Walaka upo kichungaji zaidi watu wausome kwa makin sana. Chakushangaza hizo tafsiri potofu znaenea lakn hamjawah shuhudia mashoga wakifunga ndoa katka kanisa katoliki, lakn mnasema limeruhusu!!!!!. Soma na utafakari kwa makin walaka wa Papa(Primary source)
Acha kumtetea kimsingi nyie ni wapagani tangu siku nyingi,tangu ulivyowafanya wenzenu wasioe au wasiolewe,mkawaweka kwenye makambi jinsia Moja muda wote Hawa Huwa wanafanya Nini tafakari. Mtumishi😂
@@lydiawilliam Kweny Biblia imeandikwa kwamba, kama jicho lako litakufanya ukosee ling'oe, na kama ni mkono basi ukate. Ni heri kwenda mbinguni ukiwa kilema. Sas Mapadre kuoa na Masister kuolewa ilionekana kuwa n jambo ambalo litawafanya wasiwe na concentration kubwa kwenye utumishi wao na ufanisi utapungua na kanisa litashindwa kuwa strong. Wakarejea maandiko na kuona kwamba kama kitu ktakufanya kuwa na ufanisi mdogo katika utumishi wako bas unaweza kuachana nacho.
@@lydiawilliam Kama wapo wanaoenda tofauti basi wanatenda dhambi kwani wanaenda tofauti na taratibu za kanisa. Na wanapoingia katika huo utumishi wanakua wanajua utaratibu huo. Pia kingine sis binadamu ni wakosefu kwahyo si ajabu mtumishi wa Mungu akaenda tofauti na utumishi wake, n kama sisi tu binadamu wa kawaida tunavoenda tofauti na matakwa ya Mungu sometimes. Pia imani ya mtu au watu fulani si vyema kuijaji kupitia mtu au watu n vyema ukaijaji kupitia wanachokiamin Kwan mtu au watu huweza kwenda tofauti na msingi wa imani yao
Hakuna dini duniani hata ingekuwa ya shetani kiasi gani ambayo haina mazuri ya kujifichia. Uislamu umetengua Amri zote 10 za Mungu na kuweka Nguzo 5 ambazo hazijawahi kuwepo kwa manabii wa kale. Sheria nyingi zao ni upinzani wa dhahiri dhidi ya Yesu. Hata dini ya wahindu au Atheists au za wachina na wajapani au zingine zote za wapagani hazikubaliani na ushoga. Si ajabu kuona jambazi anatoa msaada hospitali au kwa wazazi wake.
kabisa anapindishapindisha tu kudanganya watu ila katoliki imekubali ushoga ukweli ulio wazi,na mda si mrefu huyuhyu papa ataweka wazi maandiko yatimie na huyu ndiyempinga kristo!
Ukisikiliza Vizuri Maneno haya aliyotamka Papa Inaonyesha Wazi Anasaport Ushoga MUNGU Tu Anisamehe, Lkn kwa hakili zangu Ndogo Naona hivyo, Yaan kama ndo Ilivyo " BASI MUNGU AJE AUTWAE TU ULIMWENGU WAKE INATOSHA SASA",.
Kwa kweli wakati umefka tuwa na uongoz wa kanisa katoliki usiokuwa na uhusiano na Vatican kwa sababu saiv wazungu wanataka kuendana na wakati na sio maandiko tena. Kubariki watu wa jinsia moja ni sawa na kuwafariji waendelee na tabia hiyo na kujiona kuwa wamepiga hatua kuelekea kwenye kuhalalisha ndoa ya jinsia moja . In discourage sana katka iman coz kanisa lilikuwa na msimamo imara lakn sasa !!!
Viongozi wengi wa dini dhehebu la Catholic kwasasa wana changamoto ya kimaadili. Umadhubuti wa kusimamia maadili na staha. Usimamiaji wa maadili umebaki kwa kiongozi mmoja mmoja, parokia moja inatofautiana na nyingine. Mfano hapa nipo st. Joseph mida hii. Naona anaingia mwanamke wa kizungu akiwa ameambatana na mwanaume wa kiafrika ambaye amesuka nywele kama mwanamke vile. Hakuna anayejali, lkn "couple" hii ikienda parokia zingine hususan kule Moshi hawataruhusiwa kuingia hata getini
Tatizo kanisa katoliki linaungana na dunia kuwatambua mashiga na kidogo kidogo ipo siku kanisa litaruhusu na ndoa kabisa tusubirini ipo siku tamko la kuoa pope atatoa 😢
Maelezo ya ufafanuzi wako unatia nguvu kukuamini ,Lakini watu wale wagumu kukuelewa utawasaidiaje ? Vipi kuhusu mamlaka ya juu kabisa kuaminiwa au tuseme kuwa ndiyoumeisemea ?
Huko uendako Kuna usalama? Ukiona kwako kunaungua jua kwa mwenzio kumeketea,simamia IMANI yako ndio mwongozo wako kanisa ni jengo tuu na dini pia haikufikishi mbinguni, IMANI
Hapalilii anavunga na kujaribu kupindishapindisha tuu ukweri karuhusu ushoga iko wazi,na ipo siku papa huyuhyu ataruhusu waziwazi ili wajione wanafiki tu
HAKUNA NA HAITATOKEA MUNGU KUBARIKI UPUMBAVU NA USHETANI KAMA HUU, YAANI SIJUI NANI ATAIONA MBINGU 😭😭😭😭😭😭 E MWENYEZI MUNGU TUNAOMBA UTUNUSURU BABA 🙏🙏🙏😭, DAAH,. 😡😡😡😡😡😡
Mnafafanua kitu gani muache huyo papa aseme mwenyewe sio kujidai mnatoa ufafanuzi nyinyi kwa huyo papa hana mdomo wa kujisemea yy mwenyewe nyinyi mtakua ni kiherehere tu nyamazeni huyopapa aseme asituletee ushetani baraka za nn kwa hao watu
Wacha kuweka maneno kwa mdomo ya Pope. Yeye alisema wazi mashoga wambalikiwe ndoa zao. Huyu papa si mtakatifu tena. Yeye ni mpinga kristo kwa sababu anapinga mafundisho ya kristo kuhusu ndoa takatifu.
Yesu akajibu akawaambia, wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio hawawezi... Luka 5:31-32 Mwanamke mzinifu...Nao walipozidi kumhoji akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenuna awe wa kwanza wa kumtupia jiwe...Yohane 8:7 lakini kwa uelewa zaidi soma Yohane 8:1-11 Katika jamii zetu tunanyoshea wengine vidole hatuangalii dhambi zetu wenye za UZINZI, WIZI, UFISADI, UONGO, UUAJI, USENGENYAJI, WIVU, KUCHUKIA WENGINE, N.K na bado sisi tuenda kanisani na kupokea hizo baraka bila kunyimwa tukijiona tuko wakamilifu.TUJICHUNGUZE KWANZA SISI.
Ndiyo ila sio kwa kusudi na ndio maana Yesu alikuja ili kuondoa dhambi sio kulea dhambi, ingekuwa ni hivyo Sodoma na Gomora zisingalichomwa kwa kosa la kufirana au ushoga ambao Sasa wanaita kwa lugha ya kistaarabu
Tatizo hapa si kuchunguza udhaifu wetu Hilo ni jambo lazima kwa mkristu mkamilifu. Tatizo liko kwenye agenda hii, wapo wengi wakristu ambao wanampokea Kristu lakini maisha yao hayampendezi Mungu, ndio sababu Yesu pia alitangamana na wenye dhambi. Kusema baraka zitolewe kwa wenye ndoa jinsia Moja c kubariki Bali ni kushinikiza na kuchangia muendelezo wa dhambi Katika jamii zetu, wapi kwa bibilia imeandikwa bariki ndoa za jinsia Moja, wapi mafundisha ya mapapa na watakatifu walioko mbinguni waliofundisha kuhusu kubariki ndoa jinsia Moja. Tuambizane ukweli, Ukweli utatuweka huru. Kristu ndie ukweli na tuhubiri ukweli wa Imani Takatifu tulioachiwa Kristu Yesu.
Tamko la Papa msilifafanue tofauti na alivyotamka kuhusu kuwabariki mashoga.Yeye aliruhusu hajazuia kuwabariki.
Sisi hatujafurahia tamko lake Kama watumishi wa Mungu.
Tamko la Papa ulilisoma?
Tamko la papa uliliona wapi mwenzetu
Sema hivi, kiongozi wetu ni mpagani tunamsihi Mungu atupatie kiongozi mcha Mungu
Tusipende kuhukumu watu. Ktk maisha yangu nikiooa nje ya taratibu za kanisa. Na kipindi hicho nilikuwa kwenye kikundi cha wokovu. Kikundi kiliniondoa kwenye kundi lao wakatutenga mimi ni mkeo. Lakini sisi na udhaifu na dhambi zote tukiwa nje ya kikundi tuliendelea kumnyenyekea Mungu na Mungu yupo nasi mpaka leo tunadumu tukiwa kiroho na kimwili vizuri. Wale waliotuhukumu wengine ndoa zao zilisambaratika, wengine kiroho wamepotea
Ktk safari ya wokovu nilichojifunza kuwa hakuna aliyeokoka ktk dunia awe ni Padre, Askofu ama mitume na mitume. Hapa duniani tunaongoka. Kuongoka ni harakati za kuachana na dhambi ili kuelekea utakatifu. Hakuna asiye na dhambi. Sisi wote tu wadhambi. Tunamtafuta na kujiweka mikononi mwa Yesu ili kuutafuta utakatifu.
Hivyo kwa kuwa sisi sote ni wadhambi tusiwe na tabia ya kuhukumu watu. Visasi na hukumu ni juu ya Mungu. Suala la maamuzi ya Papa, anayejua kama Papa yuko sahii au siyo ni Roho Mtakatifu na Yesu Kristu pekee
Tafuta Mungu wa kweli acheni kuabudu masanamu
Uyu Askofu ana hekima sana, kiukweli kama papa angeruhusu uo uchafu io ingekua mwisho wa kanisa hili rasmi, ila kama kweli aliyoyasema ndivyo yalivyo basi sisi ni nani ata ttushikane na uzushi wa watu?? Tuko pamoja kama mmoja
Amen
Mnabariki nini yaani mashoga wabarikiwe ili litokee nini Mungu mwenyewe hawezi kubariki watenda dhambi baraka ya nini kwa wauwaji au makahaba wabarikiwe ili wafanye nini kwa faida ya nani au nini kitokee
Hapo ndipomnapomuuz mungu. Kwa kumuabudu papa.
Huyo papa wenu SI mzungu walikoruhusu ushoga anafuata katiba za kwao wafrika wakatoriki mtapinga mtaweza Bora tu mungu wenu awasaidie kuwaepusha naroho hiyo nanyi siku Moja wafrika mpate papa
Hata msemeje, mwenye kanisa anataka mashoga wabarikiwe
kabisa hapa wanafunikafunika tu ni kwamba anataka wabarikiwe na iwe huru ktk dhehebu lao
@@elizabertnyamubi6477
Ukweli kabisa congratulations kwao 😈🔥 shetani Yuko kazini.wamejiingiza kwa siri alafu wanajifanya wao ndio wanajua kusaidia watu MASHETANI mtu afiche watoto wake wapi.
Kwanza usimuite mtakatif. Mtakatif ni mungu tu.
Amina baba ubarikiwe
Kiujumla tunapoomba Baraka za Mungu ni kutafuta mahusiano na Mungu. Pale mtu anapotaka baraka za kimungu, jambo hili linaambatana na toba na kuacha dhambi. Kwa hiyo kama kuna shoga anatafuta baraka za kimungu hii ni njia pekee ya yeye kuhubiriwa habari ya wokovu. Kwa kuhubiriwa toba, shoga ataacha njia mbaya na kuwa na maisha yanayompendeza Mungu.
Tujifunze kusikiliza na kutafakari. Tusome biblia na kutafakari kwa kina
Ni kweli kabisa tunapaswa kuwa nao karibu ili eijue kweli wamrudie Mungu,Yesu Anasema msiwalaani watu, wabarikini watu watakieni mema, na ktk baraka hiyo kuna neema ambayo inaondoa yalemapepo ya ushoga,sisi sote tumepungukiwa na ututukufu ndio maana kuna seemu nyingi sana za toba kwenye ibada ya Misa Takatifu, lakini tumekatazwa kushiriki itu vitakatifi Kumpokea Yesu wa Ekarist Takatifu pasipo kamahatustaili. Kwa hiyo niwajibu wetu kuwa mwanga ktk giza Amina
Wajue wapi hao Bibilia yenyewe wanakaririshwa mistari
Siasa
SWALI MUHIMU....KWA NINI MAPAPA WOTE WALIOPITA HAWAKUWABARIKI MASHOGA!
Huu Ni walaka ambao kanisa uenda lilishindikizwa na hao mabeberu hivyo Ni Papa yupi angeingia Kwenye historia ya hili Jambo? Utakumbuka Papa Benedict 16 aling'atuka sababu afya yake, aliyemfuata naye sababu sintofahamu. Yote na yote ukitumia akili utaona dini haiambatani na haya ila Kuna mgandamizo mkubwa kutoka kwa mashetani waliopenya kanisani ambao wana nguvu kubwa mno
Ninachojua mimi baraka za Mungu hazitoki wa maaskofu au papa au padri kwan wenyewe ni wachafu kuliko hata mtu wa kawaida.sasa niambi padri mlawiti kama kimaro wa kipindi kile atakupa baraka gani.?Baraka za Mungu zinaambatana wa watumikiao Mungu kwa uaminifu hazitoki mifukoni mwa padri.ni vizuri kila mtu ajikane mwenyewe kwenye safari ya kuelekea mbinguni kama Yesu alivyosema,kila mtu ajitwike msalaba wake na sio kusikiliza fikra binafsi za maaskofu na mapapa.
Wewe huwapi watoto wako baraka? Je yakobu alipewa Nini na baba yake? Je hupewa baraka za esau kwa shinikizo la mamae soma bibilia uielewe vizuri 😁😁😁
Jamaa anazunguka sana kashasema mashoga wabarikiwe na huo ni msimamo wake sio wa kanisa, alafu unasema ukijua mashoga wewe huwezi kuwabariki na yeye kashasema MASHOGA alafu unaleta siasa nyiiiingiiiiiiio
Kwaiyo mimi sijui kusoma nakufafanua uku kichwani apatushasokotwa
Yesu akasema acheni vipofu waongoze vipofu... HAKUNA jambo baya kama kupenda watu au DINI kuliko Mungu
Mtu kuomba baraka kukinzana na Mungu kubariki muunganiko wa mume na mume ni mpinga Kristo tamko limetolewa hayo ni mawazo yako
,NAKUULIZA INABARIKI NDOA JINCIA WEWE UNA WADUDU KWA KICHWA YAKO TOA NDUGU ZAKO KWANZA
Axant bb Kwa ufafanuz
Wewe askofu Mungu hajawahi wabariki Paulo anaandika wafilaji na walawiti hawataingia mbinguni,acha kudanganya waumini utaulizwa siku ya mwisho
Kipofu akimwongoza kipofu wote watatumbukia shimoni
Ukiona inzi wanaingia hadi vyumbani, ujue tatizo lipo kabla yaani uchafu. Kauli ya Papa inaashiria uozo liopo kabla ya tamko hili. Lakini Mungu anaruhusu inzi waonekane ili wapenda usafi wajue kuna uchafu ili wachukue hatua ya kusafisha nyumba yote. Waumini waaminifu kwa kanisa badala ya kuwa waaminifu kwa Bwana, hawatachukua hatua, bali kuwakasirikia wale wanaoona uchafu wa kanisa. Lakni waumini walio waaminifu kw Bwana, watachunguza kila fundisho ili kujua nyufa ambazo shetani ameingilia kanisan. Mttini Mungu mpingeni shetani nae atawakimbia - Yakobo 4:7-10. La sivyo tutazidi kuona na kusikia mara hili mara lile yakinadiwa kuingzwa kanisani akama ambavyo mengi ya uongo yamepandikizwa kanisani kupitia mapapa wanaojiita BABA MTAKATIFU!!!!!!. Jina tu ni chikizo ila kama una macho ya kuona. Mtumishi wa kweli wa Mungu hawezi ujikweza kujiita au kuitwa jina hili linalo mhusu Mungu tu BABA MTAKATIFU.
Kweli kabisa ni uruma😢😢😢😢
Hinasikitisha mnalitia haibu kanisa
Lazima ivi vitu vitokee ili roho MT afanye kazi yake ya kuliongoza kanisa kutoka kwenye comfortable zone to new place, Lakini ukienda ata kuungama Padre uwa anaanza kukubariki kwanza kabla ya kuungama dhambi, kanisani Padre utoa baraka kwa wote wadhambi wakiwemo, ivyo MTU akija kuomba baraka ya Mungu, huwez mnyima.
Dini ya kweli ni ile onayoendana na mapenzi ya mungu kweli kweli ila na dini nzuri ni ile inayowasaidia wajane nayatima
MNAMUHITAJI YESU TU SIO PAPA❤
Ivi nini amekisema cha maana si unamuhunga mkono tu mwenzio sijuhi ni wa parokia ngani alikataa kuusu ushoga na akasema Uyo Papa waroma hata aruusu ushoga yeye awezi kubali nahawezi ungana naye😢😢😢
Kanisa catholic linahitaji marekebisho mengi mana lilivamiwa na adui tangu karne nyingi
Tukitaka baraka za bwana lazima Kwanza tuziache njia zetu mbaya
Huyu Bwana Yesu tunayemzungumzia sio huyu aliyekuja kutukomboa angali tu dhambini? Sio huyu aitwaye nuru ya ulimwengu uliopo gizani?
Mshajifia nyote okokeni..ukipinga utafukuzea ni lazima utetee tu...yesu awape macho..Hosea4...6
😢😢😢 hiii ni siasa mpya. siasa ya zambi
MNAJIDANGANYA,,,,, SOMA ZAB 11:3 "MISINGI IKIHARIBIKA MWENYEHAKI ATAFANYA NINI......JIBU HILI HAPA 1KOR6:17TOKENI KATI YAO MKATENGWE NAO..... ROMA NI IMANI YA MASANAMU YAANI SHETANI FULU FULU, HAKUNA MUNGU ROMAN MNAJIFARIJI TUU...TOKENI HUMO....
Tuende wapi
Watu wengi hawaelewi kinachozungumzwa wala mjadala uliopo na maelekezo ya Papa
Mpinga kristo ni rc ,unabii unatimia😢😢😢
Ukweli kabisa
Ukweli kabisa
Una shida wewe
HAWA WANAONGOZA UPUMBAVU YAO WENYEWE NA MBINGU NI BABA YAO 😈🔥 SHETANI, JE NAULIZA SWALI UKO KAMA YESU MAANA UKIMTAZAMA MWANAMKE USHAZINI NAE,ARE VERGENNE LIKE HIM, NI JIBU HIYO SWALI.
Unampinga bos wako?
Isaya 1:18-20
Mmmh ni Tamko la kiongozi wa wakatoriki 😅😅 kazi kwenu
Wewe ni mjinga na ndyo mana mme chelewa kupata Elimu
Mm nahama katoliki kumbe hili kanisa ni lakishetan ivi bora uislam tu
Usibariki ushoga hapa Tanzania tafadhali sana. Shoga ni kuomba au kutubu lakini kusema ati akija kuomba kubarikiwa. Kama nashoga wakija kubarikiwa katika ndoa yao utafanya nini 4:01
Baba ulivyolijibia tunakuelewa. Swala hili siyo kama ulivyojibia u kweli usiyopingia haliko hivyo. Kwa kuwa mimi na wewe ndiyo wahanga liache hivyo hivyo. Papa alikuwa amelenga ndoa za jinsia moja u kweli usiyopingika. Kwa wazungu huko viwanda vya kutengeneza madawa ya Kumtengeneza
shoga vimejaa wamewatengeneza weeee mpaka wamekuwa wengi sasa wamekuambia wewe baba ukabariki sanamu tu walizoharibu hawana ufahamu wowote hawa baba.mimi nafikiri wakatibiwe labda watapona ni kifo cha kiroho maana hana uwezo wakufikiri kutubu Ee Mungu wangu tumekwisha. Mtu akiambiwa hapa panapesa yuko tayari kwa lolote lile papa angesisitiza viwanda vya madawa ya kuwa shoga vichomwe moto na sisi huku visiingie kwenye manchi yetu. Sijui huyu papa anaruhusu ya nini? Badala ya kuzuia. uharibifu mara achanganye uwislamu na u kristu ye ye atulie na msimamo wa kanisa katoliki wao watakuja na kufuata utaratibu wake hakuna kulekebisha biblia
Ndugu yangu umeelewa vizuri Cha muhimu chunga xn IMANI yako
Acha kutetea uchafu, hii haikubariki, ndoa ni kwaajili ya ke na me si ke kwa ke au me kwa me, vinginevyo ni uchafu warumi 1:25-27 acha kupotosha ukweli, acha ushetani
Baba Mtakatifu mnamjuwa
Anajua nini yaani ujinga tu uwo
Watoto wangu jana waliniuliza kuhusu hili swala,, niliwaambia nendeni kanisani kumtafuta Mungu, Yesu, wala sio kumtafuta papa, wala padre.. ila nafasi imefadhaika sana.. kwani kanisa kutoa tamko kuwa hao watu hatuwatambui kuna shida gani?
@yesunimwema4497Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?
Kiongozi wa vipofu mkiambiwa mfumo mzima wa katoliki uko chini ya freemason mnakataa na Bado mtasikia mengi
@@LodvolaLameck-jl5vswe ngombe kweli hao freemason madhebu mnaiga Kwa Kanisa KATOLIKI
Kanisa KATOLIKI la YESU KRISTO mwenyewe kaanzisha nyiye chongeni ila Kanisa ni Moja Takatifu KATOLIKI la mitume
@@audifansisafari5587 Mimi ng'ombe wewe mtu lakini iko siku utaelewa jamaa yangu Mungu akupe kuona sawasawa, umewahi kujiuliza kwa nini kauli ya papa kuhusu ndoa za jinsi moja ni sawa na Ile ya Serikali ya Marekani? But Bado mnamwita baba mtakatifu!!!!!!!!!
"Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote maana haiji usipokuja kwanza ule ukengeufu akafunuliwa yule mtu wa kuasi mwana wa uharibifu"
(2Thesalonike 2:3)
Nawapa pole watoto hao, baba chukua hatua mapema, matendo mema ndio kigezo kinacho zihilisha upendo wa mtu kwa MUNGU, hakuna namna yakunishawishi papa nimuone nimtakatifu, na R.C yake hewa mnapenda makanisa yakistaarabu kumbe yamebeba kusudi la shetani.
Amna kitu kilichotekwa wala nini mafundisho ya Papa amenukuu wapi kwenye vitabu vitakatifu ambapo yalifanyika hayo? Endeleeni kujichanganya na mwishowe mtajikuta mmeruhusu hadi viongozi mashogo. Muombeni Mungu awape Roho wake awasaidie kwenye maamuzi na sio kwa kutumia hisia.
Sorry , nashauri kanisa hili lisiingie kwenye mtego huu wa
kipumbavu !
Huu ndio UPINGA KRISTO !
Upinga Kristo ni kwenda kinyume na yale Mungu anayopenda
Namshukuru mungu kuzaliwa nikiwa kwenye uislam
Rafiki yangu unafurahi kuwa kwenye moto nabii wa mwisho YESU Muhammad mlimtoa wapi pia uarabuni ndiyo kwenye michezo hiyo Zanzibar ndiyo hivyo hivyo
Achini kujisifuni na dini zenu jisifieni IMANI zenu,dini zinawspeleka wapi, IMANI na MATENDO yenu ndo vitawaokoa,mkifa mtaacha miskiti na makanisa, angalie wenzenu kule gaza wameiva kwa IMANI na MATENDO wote Islamic na christian jifunze kwao,na huu ushwetwani uko kwenye dini zote ila wanajifichaficha, Anglican wapuuzi wale waliweka wazi bila ya aibu kulikuwa na mchungaji shoga tafuteni kwenye mitandao mtae lewa vizuri, inusuru nafsi yangu ee yarab
Mnavunga na huyu papa alishasema ulawiti si dhambi😮
Najua nyinyi mmeshapewa mafungu ya pesa kusapoti hayo mambo muache ubabaishaji msilembe maneno
Kanisa Katoliki lina heshima kubwa !
Mimi si mkatoliki , ila sijawahi kukinzana nao katika imani ,
Najua tofauti ziko chache na madhehebu/ dhehebu langu !
Kwa hili la ndoa za JINSIA MOJA ni UJINGA MKUBWA !.
Hatuhitaji kuupamba kwa namna yoyote ile !
Ni UPUMBAVU na ninashauri kanisa hili kubwa , lenye heshima kubwa kuingia kwenye mtego huu wa kijinga!!!
Africa tuwe na uwongozi wetu na dini zetu hawa jamaa yoka nje wanatulea maada sio
toka hapo
Anaebariki ni Mungu.😢
KWELI NI MUNGU AMEN
Katoliki atika hili msipo simama kwisha habali
Kimsingi dhambi zipo nying duniani tena zngne kubwa kama mauaji, ushoga n.k. Lakin mtu akija kwa padre personally anaomba baraka, padre atambariki yeye kwasababu ni binadamu na amehitaji baraka ya kimungu, kwahyo kinachobarkiwa ni mtu na sio dhambi zake. Na kupitia baraka hyo ya kimungu huwenda huyo mtu akaacha njia zake mbaya na kumcha Mungu.
Lakini walaka wa Papa umeeleza ya kwamba watakapokuja watu wawili mshoga wanawake au wanaume wakiomba baraka katika ushoga wao n jambo ambalo halikubaliki na sacramenti hyo haipo katka kanisa katoliki. Walaka upo kichungaji zaidi watu wausome kwa makin sana.
Chakushangaza hizo tafsiri potofu znaenea lakn hamjawah shuhudia mashoga wakifunga ndoa katka kanisa katoliki, lakn mnasema limeruhusu!!!!!. Soma na utafakari kwa makin walaka wa Papa(Primary source)
Acha kumtetea kimsingi nyie ni wapagani tangu siku nyingi,tangu ulivyowafanya wenzenu wasioe au wasiolewe,mkawaweka kwenye makambi jinsia Moja muda wote Hawa Huwa wanafanya Nini tafakari. Mtumishi😂
@@lydiawilliam Kweny Biblia imeandikwa kwamba, kama jicho lako litakufanya ukosee ling'oe, na kama ni mkono basi ukate. Ni heri kwenda mbinguni ukiwa kilema. Sas Mapadre kuoa na Masister kuolewa ilionekana kuwa n jambo ambalo litawafanya wasiwe na concentration kubwa kwenye utumishi wao na ufanisi utapungua na kanisa litashindwa kuwa strong. Wakarejea maandiko na kuona kwamba kama kitu ktakufanya kuwa na ufanisi mdogo katika utumishi wako bas unaweza kuachana nacho.
@@Sostere98 huo ufanisi unaousema ndio haupo mtumishi sana sana mnawatendesha dhambi na wao wanafanya Kwa ajiri ya shida tu
@@lydiawilliam Kama wapo wanaoenda tofauti basi wanatenda dhambi kwani wanaenda tofauti na taratibu za kanisa. Na wanapoingia katika huo utumishi wanakua wanajua utaratibu huo. Pia kingine sis binadamu ni wakosefu kwahyo si ajabu mtumishi wa Mungu akaenda tofauti na utumishi wake, n kama sisi tu binadamu wa kawaida tunavoenda tofauti na matakwa ya Mungu sometimes.
Pia imani ya mtu au watu fulani si vyema kuijaji kupitia mtu au watu n vyema ukaijaji kupitia wanachokiamin Kwan mtu au watu huweza kwenda tofauti na msingi wa imani yao
mataka kutuaminisha wislam ndodin hali yamwenyez mungu
Hakuna dini duniani hata ingekuwa ya shetani kiasi gani ambayo haina mazuri ya kujifichia. Uislamu umetengua Amri zote 10 za Mungu na kuweka Nguzo 5 ambazo hazijawahi kuwepo kwa manabii wa kale. Sheria nyingi zao ni upinzani wa dhahiri dhidi ya Yesu. Hata dini ya wahindu au Atheists au za wachina na wajapani au zingine zote za wapagani hazikubaliani na ushoga. Si ajabu kuona jambazi anatoa msaada hospitali au kwa wazazi wake.
Nyinyi viongozi wetu mmekuwa wanafiki tu
Hapo nimekuelewa na umefanya vizuri sana kutoa ufafanuzi, maana watu wengi tulikuwa tumeelewa tofauti kabisa ukweli halisi wa hoja ya msingi.
Kiongozi wa kanisa duniani anatetea ushoga
usipindishe alichosema mkuu wako mmeruhusu ushoga!
iko wazi wanawadanganya wajinga,werevu wamejua na ni kwamba litatamkwa wazi mda si mrefu,harafu wajione walivyo wanafiki
Huwezi enda kinyume na Papa aliyekuchagua kuwa askofu.kumbalini tu katoliki imekubali ushoga
kabisa anapindishapindisha tu kudanganya watu ila katoliki imekubali ushoga ukweli ulio wazi,na mda si mrefu huyuhyu papa ataweka wazi maandiko yatimie na huyu ndiyempinga kristo!
Acha kutafsiri maatamko ya baba yenu
Unaposema wakiomba baraka huku hufahamu utabariki askofu hajanyoosha maelezo angesema mashoga hapana kwa namna yoyote ile hakubariani,
Yaani mashoga wakiomba baraka ya kuishi vizuri wanabarikiwa au mashoga wanaomba baraka wapate kazi au nyumba zao au mali zao wanabarikiwa
Kwanini MUNGU hakuwapa hiyo baraka kipindi cha luthu na kuangamiza sodoma na gomora jameni papa ni nina yeye?,
Ukisikiliza Vizuri Maneno haya aliyotamka Papa Inaonyesha Wazi Anasaport Ushoga MUNGU Tu Anisamehe, Lkn kwa hakili zangu Ndogo Naona hivyo, Yaan kama ndo Ilivyo " BASI MUNGU AJE AUTWAE TU ULIMWENGU WAKE INATOSHA SASA",.
Tena ufanye Toba ya kweli.
Huyo papa siyo mtakatifu itakatifu gani WA kipagani namna hiyo ya ushoga?
Onaogopa kufukuzwa kanisanii na boss wako
Kumbe papa ndiyo baba Mtakatifu Raman roman Catholic mmelogwa na nani?
Kwani una mamlaka gani ya kubariki?
Ww umechoka huna jipya
Baba mtakatifu tena jamani😢😢😢😢
Ilitakiwa tu viongozi wa Dini mseme tumegoma katika Hili mcha Mungu Yuko wap😢
Mtaliwa kweli?
Acha kuuma maneno toka hadhalani SEMA hatutaki ushoga kanisani sio tawabariki mara sio kwa malengo ya ushoga dunia iko mwisho sana
Kwa kweli wakati umefka tuwa na uongoz wa kanisa katoliki usiokuwa na uhusiano na Vatican kwa sababu saiv wazungu wanataka kuendana na wakati na sio maandiko tena.
Kubariki watu wa jinsia moja ni sawa na kuwafariji waendelee na tabia hiyo na kujiona kuwa wamepiga hatua kuelekea kwenye kuhalalisha ndoa ya jinsia moja .
In discourage sana katka iman coz kanisa lilikuwa na msimamo imara lakn sasa !!!
Viongozi wengi wa dini dhehebu la Catholic kwasasa wana changamoto ya kimaadili. Umadhubuti wa kusimamia maadili na staha. Usimamiaji wa maadili umebaki kwa kiongozi mmoja mmoja, parokia moja inatofautiana na nyingine. Mfano hapa nipo st. Joseph mida hii. Naona anaingia mwanamke wa kizungu akiwa ameambatana na mwanaume wa kiafrika ambaye amesuka nywele kama mwanamke vile. Hakuna anayejali, lkn "couple" hii ikienda parokia zingine hususan kule Moshi hawataruhusiwa kuingia hata getini
Ni baba mtakatifu huyo?
acha siasa nyingi ushoga ni haukubariki tu
kabisa
Africa tuwe na papa wetu jamani:::::::::::?!!!
Kwa ww nimekuelewa saaana Ila kwa mkubwa wako kaanyosha maelezo mazuli kuhusu ilooo.
Je mliandia barua Vatican kuhusu wazo lenu mkakaliwa Tena lisingefika kwa waumini ndio utaratibu
Tatizo kanisa katoliki linaungana na dunia kuwatambua mashiga na kidogo kidogo ipo siku kanisa litaruhusu na ndoa kabisa tusubirini ipo siku tamko la kuoa pope atatoa 😢
kabisaa
SIO BABA MTAKATIFU,CHAGUENI JINA JIPYA LA KUMUITA,UTAKATIFU HANA
Fafanua vizuri usiume maneno msichafue kanisa msimunge nkono huyo mwana halam tunasema mwana halam kwasababu anabaliki usodoma nagomola inatisha kichefuchefu inatapisha hatakusikiliza kanisa mama kukengeuka
Maelezo ya ufafanuzi wako unatia nguvu kukuamini ,Lakini watu wale wagumu kukuelewa utawasaidiaje ? Vipi kuhusu mamlaka ya juu kabisa kuaminiwa au tuseme kuwa ndiyoumeisemea ?
Hapo bado kuna kazi nzito. Kanisa na ushoga wapi na wapi?. Nikama kujaribu kuchanganya maji na mafuta.
Hakuna baba mtakatifu duniani tubu haraka
Hii kitu haikubaliki jamani! Ushoga haukubaliki Afrika
Kama SHOGA atapewa baraka na KASISI, Iweje asiyetoa sadaka, zaka, au kutoshiriki Ibadan,, atengwe bila kumfanyia Ibada wakati wa MAZIKO.
Hatariiiii mpinga krsto na kapu lake la mipango
Anakosea kuruhusu ushoga kwani biblia inakataza someni mambo walawi 20:13
Ww pamba uovu lakin haki inatambulikana hilo jambo halifai kabisa
Toeni tamko rasmi km la Bandari mlivyopinga na mpinge na hili
Mie katoliki nahama sasa
Huko uendako Kuna usalama? Ukiona kwako kunaungua jua kwa mwenzio kumeketea,simamia IMANI yako ndio mwongozo wako kanisa ni jengo tuu na dini pia haikufikishi mbinguni, IMANI
@@MiriamAbdallah duh! Siwezi weka Imani kwa imani za mashoga, 💯. Yaliosirini ndio yanafichuka sasa. Wajitangaza imani yao wenyewe
Nina wasiwasi na huyu askofu anapalilia maneno ya papa
Hapalilii anavunga na kujaribu kupindishapindisha tuu ukweri karuhusu ushoga iko wazi,na ipo siku papa huyuhyu ataruhusu waziwazi ili wajione wanafiki tu
HAKUNA NA HAITATOKEA MUNGU KUBARIKI UPUMBAVU NA USHETANI KAMA HUU, YAANI SIJUI NANI ATAIONA MBINGU 😭😭😭😭😭😭 E MWENYEZI MUNGU TUNAOMBA UTUNUSURU BABA 🙏🙏🙏😭, DAAH,. 😡😡😡😡😡😡
Mnafafanua kitu gani muache huyo papa aseme mwenyewe sio kujidai mnatoa ufafanuzi nyinyi kwa huyo papa hana mdomo wa kujisemea yy mwenyewe nyinyi mtakua ni kiherehere tu nyamazeni huyopapa aseme asituletee ushetani baraka za nn kwa hao watu
Umeeleza vema kunawatu wananjaa wanatafta waumin wameona wazushe skendo😂😂😂😂mungu awasameh hamjui mtendalo
Jamani tuwe wakwe embu fikiria mjadala wa sodoma na gomora umeingia kwenye dini
Wacha kuweka maneno kwa mdomo ya Pope. Yeye alisema wazi mashoga wambalikiwe ndoa zao. Huyu papa si mtakatifu tena. Yeye ni mpinga kristo kwa sababu anapinga mafundisho ya kristo kuhusu ndoa takatifu.
Mbona mnauma uma maneno baraka ya nini
Muwe makini msije mkapotea milele
Walishaga oana jinsia moja toķa zamani nimwana mume gani asieoa eti padri au papa wote mashoga tu unaona sasa leo papa anavyosema😂
Kwera kabisa ..pia Wewe unafinywa 😂😂
Acheni dini muokoke, dini inasumbua duniani kote.
Hakuna dhambi inayobarikiwa,
kwa maana hiyo Baraka ziko aina nyingi, na mapadre wanauwezo wa kuzutoa, 😂😂 baba unazunguka hapa. Yesu Hakutoa baraka za kubariki dhambi
Yesu akajibu akawaambia, wenye afya hawana haja na tabibu, isipokuwa walio hawawezi... Luka 5:31-32
Mwanamke mzinifu...Nao walipozidi kumhoji akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenuna awe wa kwanza wa kumtupia jiwe...Yohane 8:7 lakini kwa uelewa zaidi soma Yohane 8:1-11
Katika jamii zetu tunanyoshea wengine vidole hatuangalii dhambi zetu wenye za UZINZI, WIZI, UFISADI, UONGO, UUAJI, USENGENYAJI, WIVU, KUCHUKIA WENGINE, N.K na bado sisi tuenda kanisani na kupokea hizo baraka bila kunyimwa tukijiona tuko wakamilifu.TUJICHUNGUZE KWANZA SISI.
Ndiyo ila sio kwa kusudi na ndio maana Yesu alikuja ili kuondoa dhambi sio kulea dhambi, ingekuwa ni hivyo Sodoma na Gomora zisingalichomwa kwa kosa la kufirana au ushoga ambao Sasa wanaita kwa lugha ya kistaarabu
Tatizo hapa si kuchunguza udhaifu wetu Hilo ni jambo lazima kwa mkristu mkamilifu. Tatizo liko kwenye agenda hii, wapo wengi wakristu ambao wanampokea Kristu lakini maisha yao hayampendezi Mungu, ndio sababu Yesu pia alitangamana na wenye dhambi. Kusema baraka zitolewe kwa wenye ndoa jinsia Moja c kubariki Bali ni kushinikiza na kuchangia muendelezo wa dhambi Katika jamii zetu, wapi kwa bibilia imeandikwa bariki ndoa za jinsia Moja, wapi mafundisha ya mapapa na watakatifu walioko mbinguni waliofundisha kuhusu kubariki ndoa jinsia Moja. Tuambizane ukweli, Ukweli utatuweka huru. Kristu ndie ukweli na tuhubiri ukweli wa Imani Takatifu tulioachiwa Kristu Yesu.
Alafu Rc ni wa hovyo sana
@@Alphakadege-m2j Hapana haya ni matusi sasa, hakuna cha uovyo hapa.
Mmhh