INATISHA! VIDEO HII CHANZO KANISA HILI KUFUNGIWA |MCHUNGAJI ATUSI BIBLIA HADHARANI |QURAN HAICHEZEWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

ความคิดเห็น • 342

  • @fhilipongereja5424
    @fhilipongereja5424 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana serikali yetu kwa kufungia mtu huyu kanisa kwa jinsi anavyofundisha likini na jinsi anvyoikufuru kitabu cha mungu maana kitabu cha mungu kinamuongozo wote wa jinsi ya kuhubiri inakuaje mtu huyu leo anaikufuru kitabu kitakatifu cha mungu wetu huyu mtu hafai hata kuitwa mtumishi asanteni sana serikali yetu iliogundua hili

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 ปีที่แล้ว +8

    Asante kwa serikali ya Tanzania ya wachamungu kulifunga kanisa la uongo. Mimi naomba lifungwe milele

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 ปีที่แล้ว +4

    Ee Mungu uturehemu, sawasawa na fadhili zako...
    Utusamehe Ee Mungu🙏🙏😭😭

  • @angelaswai1963
    @angelaswai1963 ปีที่แล้ว +3

    Mungu hadhihakiwi! Huyu atakiona muda si mrefu,na hata hiyo biashara yenu ya vipodozi itakufa

  • @mossesmichaelnzowa3378
    @mossesmichaelnzowa3378 ปีที่แล้ว +2

    Naishukuru sana Serikali ya TZ kwa kumfungia Kanisa, huyu Mjumbe wa Shetani, maana tangu nizaliwe ndiyo naanza kusikia mahubiri kama kwa kutoka kwa Mjumbe wa Shetani, ingefaa na Jela afungwe.

  • @EsauBakari
    @EsauBakari ปีที่แล้ว +1

    naipa hongela selekali safi sana wafungiwe kabisa huyu ametumwa na shetani kukufulu biblia

  • @glaury9938
    @glaury9938 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaa atakaheruhusu kanisa hilo kufunguria namtuma maraika mikael amtandike bakola zakumtosha katika jina la yesu

  • @simonkazibure1628
    @simonkazibure1628 ปีที่แล้ว +6

    Serikali imefanya uamuzi sahihi tena imemvumilia sana, basi tu.

  • @solomonmkubwa5314
    @solomonmkubwa5314 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwema aondoke inchini

  • @lianaelgomezulu2259
    @lianaelgomezulu2259 ปีที่แล้ว

    Mungu asimame mwenyewe. Kanisa hili lifungiwe kbs sbb wanahubiri kitu kingine sio Kristo/ Mke wake ameonekana youtube akitaka Mashaga wapate raha.... Hapana hapana

  • @AdamMwita-yj7ey
    @AdamMwita-yj7ey ปีที่แล้ว +2

    Biblia ndiyo kitabu chenye umri mrefu hapa ulimwenguni na wale waliotaka kuiangamiza ilishuhudia mazishi yao mfano kipindi Cha zama za giza kati ya 538AD Hadi 1798hivyo hatakuwa wa kwanza kuipinga Biblia kwa kuwa kwa mujibu mtume Petro haikuletwa Duniani kwa mapenzi ya mwanadamu Bali walinena yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na roho mtakatifu.

  • @eliasgkyejo2110
    @eliasgkyejo2110 ปีที่แล้ว +9

    SI atumie Kitabu chake kuliko kufanya dhihaka Kitabu chetu kitakatifu Biblia.Niliwahi kusikiliza mafundisho yake ya matoleo hakika yalikuwa ya kupotosha Kabisa nilishangaa kuona watu wamejaa wanamsikiliza.Mungu tusaidie wewe ni wa huruma

    • @davidmghanga8502
      @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว

      Ako na Pepo mchafu

    • @hakizimanantawundi9369
      @hakizimanantawundi9369 ปีที่แล้ว

      Hao wako wengi. Na hao watu uliowaona siyo kwamba wote ni waumini wanaomini ila wengi wao ni watu wamoja na hao hao ambao wamepewa hela ili wasimame kwenye maeneo mengi mengi yaafrika ili kutengeneza mpenyo wakuingoza ideas za ushoga.
      Wana maombi wote wa duniani kote, tunatakiwa kuelekeza fimbo ya Mungu kuwachapa hao vibaraka wa ushoga. Wenzao wameanzisha huduma wanayoiita NEEMA JUU YA NEEMA. Na wengine wao wamejiita majina mengine tofauti tofauti ila ukiwasikiriza wote wanachonena ni kitu cha kufanana. Ni lazima Mungu wetu awachape. Wanamaombi wote tusimame vizuri dhidi ya kundi hili.

  • @tuntufyecharles1647
    @tuntufyecharles1647 ปีที่แล้ว +2

    Wameshiba zaka na sadaka za masikini wanaanza dharau. Dawa ni moja hakuna kutoa sadaka. Ni bora kuwasaidia masikini, kwa kuwalisha, na kuwavalisha. Amesema nilikuwa mgonjwa hamkuja kuniona, nilikuwa uchi hamkunivika nguo,nilikuwa na na njaa hamkunipa chakula ni heri kutenda yaliyo mema kuliko kusiliza watu kama hao

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 ปีที่แล้ว

    Jitu jinga sana hili,siyo aombe radhi,bali afungiwe ye si haikubari Bible.

  • @nuruharuna789
    @nuruharuna789 ปีที่แล้ว +1

    Na mungu asaindie lifungwe milele amina

  • @elizabethkimwemwe7847
    @elizabethkimwemwe7847 ปีที่แล้ว

    Nimelia machozi,inauma sana,angejua Mungu anailinda biblia kuliko kitu chochote angefanya maasi yake yote sio kuitukana biblia,neno LA Mungu aliye hai,zama za giza mawakala wa shetani walifanya kila waliloweza kuhakikisha biblia inatoweka lakini hawakuweza kwa kuwa Mungu anailinda,angejifunza hats kwa ile clip ambayo ilionyeshwa nyumba imeungua na vitu vyote biblia pekee ikabaki bila kuguswa na moto wakati laptop ambayo biblia hiyo ilikuwa juu yake imeungua kabisa Mungu amrehemu maana huku in kumkufuru Mungu na neno lake yeye mwenyewe ndio kaburi na Manisa lake ni kaburi pia.

    • @ramadhanisalum3548
      @ramadhanisalum3548 ปีที่แล้ว

      Bibilia cio kitabu Cha mungu bibilia ni neno la kigiriki lnalomaanisha mkusanyiko wa vitabu so bibilia kapewa nabii gn au mtume gn sbb nabii mussa kapewa tawrat na daud kapewa zabur na ISSA ama yesu kapewa injil na Quran kapewa mtume Muhammad s.a.w Sasa bibilia kapewa nani toa point

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 ปีที่แล้ว +7

    Huyo ana roho ya mpinga kristo.

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 ปีที่แล้ว +3

    Amuombe radhi Mungu mwenye kitabu chake.

    • @davidmghanga8502
      @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว

      Huyu anapita

    • @Kachuba-w9p
      @Kachuba-w9p 6 หลายเดือนก่อน

      Kitab kipi maana pasta ameongelea biblia na sio injili😢

  • @EsauBakari
    @EsauBakari ปีที่แล้ว

    mtamchukia paschal Cassian lakini Kuna siku mtamkumbuka mtumishi wamungu huyu ambaye amekuwa akikemea maovu yanayo fanywa na wahubili tumefika Mahalia ambapo wahubili wanalikanganya neno la mungu madhabahuni bila hofu ya mungu

  • @upendojohn
    @upendojohn ปีที่แล้ว

    Mungu uturehemu Mungu uturehemu. Kila pango asilopanda baba wa Mbinguni litang'olewa

  • @beatriceabeid9943
    @beatriceabeid9943 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mama sio grace zoazoa vipodoz

  • @veronicakalaye-ir4su
    @veronicakalaye-ir4su ปีที่แล้ว +6

    Dunia imevamiwa mtaelewa tu mwenye dunia anaangalia tu amenyamaza kwa muda ila majibu yanakuja tujitakase na kuomba sana

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 ปีที่แล้ว

      Allah SW anawaumbuwa Sasa Ukweli unajidhihirisha.
      Hosea 4 : 6,
      Zefania 2: 3
      Karibuni ktk Uislamu

  • @dadaz4653
    @dadaz4653 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Rehemu kizazi hiki YESU tuhurumie tunaelekea kubaya. Sanaa

    • @sikujuajonas3361
      @sikujuajonas3361 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 kutachangamka

    • @melikiedward448
      @melikiedward448 ปีที่แล้ว

      Amejiunga na ibilisi Ivo ameambiwa amtukane mungu

    • @dadaz4653
      @dadaz4653 ปีที่แล้ว

      @@melikiedward448 kabisaaa

  • @mwambage972
    @mwambage972 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa nimpotoshashaji sanaa na nimsanii sana

    • @rehema8074
      @rehema8074 ปีที่แล้ว

      Eh hamna dini nyny

    • @rehema8074
      @rehema8074 ปีที่แล้ว

      Eh nyny mnagombna na kweli bc mfungieni papa, jamaa kazungumza kweli

  • @CharlesAlly-qm5yc
    @CharlesAlly-qm5yc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu si wakuchezea sasa hivi ammepooza mwili mzima

  • @petermremi9898
    @petermremi9898 ปีที่แล้ว +8

    Shida ni kengeza

    • @rashidkihunga2938
      @rashidkihunga2938 ปีที่แล้ว +1

      haoni mandishi vizuri

    • @innocentmtashobya1257
      @innocentmtashobya1257 ปีที่แล้ว +1

      @@rashidkihunga2938 🤣🤣🤣🤣

    • @ndeliliokaaya9760
      @ndeliliokaaya9760 ปีที่แล้ว +1

      Huyo ni pepo amemwingilia kinywani pake
      Tumkemee kwa Jina la Yesu Kristo
      Shindwa kabisa

  • @joliapantaleo349
    @joliapantaleo349 ปีที่แล้ว +1

    Yani tumefikia hapo tz Mungu wangu Mungu wangu uturehemu ss na vizazi vyetu Mungu nakusihi hasira yako isitupate ss na familia zetu hawa watumishi feki nashetani mawakala wakipepo watumishi wa matumbo alikua anafanya biashara wakristu kuweni macho mnakimbilia miujiza badala yakumtafuta Mungu wakweli tubuni tubuni isijekua kama Brazil Mungu turehemu tumekosa wanao wafungwe wanyongwe tena uwanja wa taifa

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 ปีที่แล้ว +13

    Kitabu cha mpinga kristo ndicho anachomaanisha kuwa anakisubiria. Huyu saa ya neema ni agent wa shetani.

    • @richimuniko3578
      @richimuniko3578 ปีที่แล้ว +2

      Tubu uokolewe umekiuka mbele MUNGU

    • @hakizimanantawundi9369
      @hakizimanantawundi9369 ปีที่แล้ว

      @@richimuniko3578 umemuelewa Rube Fabi?

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 ปีที่แล้ว +1

      Devil worshipper mkubwa wewe... ashindwe in Jesus Christ.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +2

    Si anatafuta pesa kanisani. Kwaidatu wachungaji wote wanajuaukweri ilatu pesaaa ndiyoinawapeleka kanisani,,, Allhamdulillah kwakua muislam

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว +2

      Kweli biblia ina makosa mengi kimetiwa mkono

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 ปีที่แล้ว +1

      Kw kweli ni raha sna kuw Muislamu asntee mungu kw neema hii ya Uislamu

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว

      @@inesstibenda2832 Siku utakayo jitambua najua ndio utatulia nani wakujitathmin

  • @faithijegwa3592
    @faithijegwa3592 ปีที่แล้ว +6

    Nyakati za mwisho

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +2

    Aaaaaa Bora MAANA hawaeleweki na wanaharibu watu wengi

    • @helenarhobi1250
      @helenarhobi1250 ปีที่แล้ว

      Shenzi we mtukana Biblia takatifu. Ndomaana una macho Kama ya nguruwe mwitu.

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen ปีที่แล้ว +7

    Kazi zao kula pesa za waumini jamani kweli Dunia inakwenda vibaya 😭😭😭

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว +1

      wajinga ndio waliwao
      Kuna watu kila siku ni kuhama makanisa 😏

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 ปีที่แล้ว +1

      Ilitakiwa kumsikiliza hoja zake na kuulizwa maswali kuwa ana maanisha nn sabab anae tafsiri vibaya ndio uharib maana maana ata ukisoma 8:8 yelemia inasema kalam yenye uongo wa wandishi imefanya torati kuwa uongo

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 ปีที่แล้ว

      @@mamachris6811 Hivyohivyo kwani awanalazimishwa?! Wanaenda wenyewe

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว

      @@alhadajjmohammedsmith9042 ndo maana nikasema " wajinga ndio ........"

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 ปีที่แล้ว +3

    Pole zao wameingiliwa Mungu awarehemu sana . Majibu yao yameanza kuonekana

  • @kosherasengasu5093
    @kosherasengasu5093 ปีที่แล้ว +2

    Ni nyakati za mwisho hizi.Tumwombe Sana MUNGU.

  • @Mamsocom
    @Mamsocom ปีที่แล้ว +5

    Bora wafungiwe tu. Pia wawe makini sio kila mtu mwenye pesa awe mchungaji

  • @marthashenenga9076
    @marthashenenga9076 ปีที่แล้ว +2

    Nilitamani kama tungerudi kama zamani Redio chache tv ya taifa. Na maana tunashuhudia vitu vya ajabu mpaka macho na masikio vimechoka

  • @frbm1729
    @frbm1729 ปีที่แล้ว +9

    Ana Pepo mchafu na makengeza yake

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

    Nimecheka kwamba ni kitabu cha ajabu na kaburi la ajabu na kitatokea kitabu kingne kitakachokifunika hk et kisa tu kuna mjinga mmoja alitamka neno flan dah aise naipenda Bible kupta hata maisha yangu kwamaana ndo uzma wangu na ndo Mungu mwenyewe

  • @innocentmtashobya1257
    @innocentmtashobya1257 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mijitu haitakiwi kuishi hata kwa sekunde..na cc wakristo tuamke watu kama hawa tunawapiga panga mpaka mifupa tunaisaga..haiwezekani haiwezekani

  • @richardedward2274
    @richardedward2274 ปีที่แล้ว

    Kwajina la Yesu haitafunguliwa tena pepo mkubwa

  • @sophiajonas2090
    @sophiajonas2090 ปีที่แล้ว

    Mungu akusamehe

    • @deboraleonard3441
      @deboraleonard3441 ปีที่แล้ว

      Huyo amemkashifu roho mtakatifu awezi samehewa

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas1360 ปีที่แล้ว

    Sio guru sana, ndio kristo wenyewe ilivyo.

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 ปีที่แล้ว +1

    End Time Sign...People Must REPENT CHRIST JESUS IS COMING SOOOOOOON VERYYY

    • @tatubenson9039
      @tatubenson9039 4 หลายเดือนก่อน

      Very soon hakika

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว +2

    Neno la MUNGU ni upanga ukatao kuwili litamkata na hataonekana

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

    • @zakayomsangi661
      @zakayomsangi661 ปีที่แล้ว

      Akili Yako mbovu tu

    • @julietbujiku453
      @julietbujiku453 ปีที่แล้ว

      Yaani huyu amemzalau Mungu na dunia nzima, lifungiwe nakamatwe,

  • @majorazacharia21
    @majorazacharia21 ปีที่แล้ว +2

    [2petro2:1-5] msomaji na asome maana hata hatushangai juu yake kusema hivyo

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sio kufungiwa tuu. Hayo makanisa yabomolewe

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Huyu ni Mpinga Kristo mafundisho yao yanapinga amri kumi za MUNGU, yanaruhusu dhambi, walikuwa na club ya mashoga na wasagaji wakafungiwa

  • @hakizimanantawundi9369
    @hakizimanantawundi9369 ปีที่แล้ว

    Mimi nilidhani kama ana hakili za kumtosha angeleta hicho kitabu chake na afanye nacho kazi bila kuhusisha bibulia.
    Msjali ndugu zangu. Hao sisi tuko tunawapeleka kwa Mungu kwa njia ya maombi. Mtashuhudia kipigo hicho atakachowapiga nacho Mungu. Ninyi nyamazeni tu. Sisi hatumpiganii Mungu wetu. Yeye ndiyo mwenye kuwachapa watovu wa nidhamu kama hao walaaniwa.
    Si mnamkumbuka Farao? Huyo ni nani hataehafikii robo ya robo ya Farao.

  • @AdamSelestinruhungu
    @AdamSelestinruhungu 2 หลายเดือนก่อน

    Habar

  • @GayoGabriel
    @GayoGabriel 3 หลายเดือนก่อน

    NEEMA products kama vile sabuni na lotion za zoazoa zinaeneza ushoga

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +2

    Mwanadamu huyu jamaniii....
    Hata hofu ya Mungu Hana....

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 ปีที่แล้ว +1

    Yaani vitu vingine naviona live ila naendelea kuona kama niuongo maana ni zaidi ya ushetani Mimi ni muislam ila nimeshtuka kusikia mchungaji akiita bibiliya kaburi nakwamba kunakuja kitabu mpya kitakacho funika uozo wa bibiliya 🧐

  • @andersonmkombolla9278
    @andersonmkombolla9278 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani jamani kweli mwisho umefika ifike mahali tuwe na adabu,hivi hiyo aliyesema hayo maneno mtamuona tumpe mda mda utaongea.

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 ปีที่แล้ว

    Wakristo runajipoteza wenyewe hasa anayeanzisha huduma ukimuuliza umeisomea wp dini jibu utasikia ni kijipaji kutoka kwa Mungu, na ubinafsi na umimi umezidi kl dhehebu

  • @mwatangachaurembo3405
    @mwatangachaurembo3405 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji yupo sawa

    • @hakizimanantawundi9369
      @hakizimanantawundi9369 ปีที่แล้ว

      Sasa ukishasikia mtu anaitwa CHAUREMBO unafikiri hakili zake zikoje? Ni lazima asapoti hadi ujinga. Mungu akuhurumie na kukusamehe.

  • @JohnNyasi-xb7sy
    @JohnNyasi-xb7sy ปีที่แล้ว

    Mmefanya jambo jema sana

  • @Nazareth8119
    @Nazareth8119 ปีที่แล้ว

    Serikali iko sahihi

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 ปีที่แล้ว

    Kuna kale kamchungaji chake chenye lafudhi ya kisukuma kanachokataa kutoa SEHEMU YA KUMI

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +3

    Mnashangaa nn hamuoni hili mchungaji anakengexa??

  • @lucaslaurent2920
    @lucaslaurent2920 ปีที่แล้ว

    Safi sana.

  • @mfinangaexaud3492
    @mfinangaexaud3492 ปีที่แล้ว

    Haa mchg ni docta!!!huyu mke wake anapaswa ablid mfululizo miaka ya kutosha na mume wake abebe mimba .kwa namna anavyokufukuru

  • @daudaloyce-km4id
    @daudaloyce-km4id ปีที่แล้ว +1

    Hawa watu wamejikinai sana daah

  • @SMEDIA298
    @SMEDIA298 ปีที่แล้ว

    ASUBIRI KITABU CHAKE TASISI HAITAFUNGULIWA MANA HANA KITABU CHA KUTUMIA . ZUMARIDI SIO MKRISTO NA SIO MCHUNGAJI NIMFALME

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 ปีที่แล้ว +1

    Huyu hata hivyo Vipodizi vyake ni Hatari, nashawishika kudhani na kusema vitakuwa na Vichocheo (Hormones) za kufanya Wanaume wawe Mashoga na Wanawake wawe Wasagaji.

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 ปีที่แล้ว

    Huyu ni illuminate, ni kweli shetani ana mpango wa kuibadilisha biblia

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 ปีที่แล้ว +7

    Akamatwe huyu mtu ni hatari Kwa taifa letu

  • @ameokichaka9456
    @ameokichaka9456 ปีที่แล้ว

    Huyu anatakiwa kukamatwa,,maana anatengeneza taharuki nchini,,pia anadharirisha biblia,,ni bora umkosoe mtu au mtumishi sio kitabu,,yaani unamlenga moja kwa moja mwenye kitabu na waumini wake,,Sasa watu wakifuata mawazo yake hautakuwa salama,lifutwe kabsa kanisa lake,

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni wapi Yehovaaaaa Jitukuze ona haya ana Nini huyu koma kwa Jina la Yesu Kristo Aliyehai.

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu simchungaji,hili ni pepo kamili la kuzimu,huduma haribifu hii ifungiwr na huyu anayejiita mchungaji afunguliwr mashtaka.

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh na hayo makengezaaaaaa mmmh atari sana duni kwisha

  • @samsonzakaria1000
    @samsonzakaria1000 ปีที่แล้ว

    Yesu ni dimoni tu, dini zote ni Uangamivu. Qur'ani yenyewe ina mkanganyiko. Maana ni shetani mwenyewe aliye nyuma ya dini zote duniani.

  • @angelnyinge4139
    @angelnyinge4139 ปีที่แล้ว +2

    MACHO KUMCHUZI YANAMCHANGANYA HUYU PEPO. AFUNGIWE TU HAMNA MUNGU HAPO. NDIO HAYA MAJITU TUKIYACHEKEA NDIYO YALIYOANDALIWA KUCHOCHEA NDOA ZA JINSIA MOJA.

  • @mathewnyahuru9009
    @mathewnyahuru9009 ปีที่แล้ว +3

    Uyu jamaa nilishangaa et ni mchungaji wakat alikuwa tarime miaka ya nyuma msera tuuu ghafra na sikia yuko dar benk frani leo mjungaji kweli wana cheza na mungu serikari mko makin

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว

      Bidhaa yake ya zoazoa imekosa soko,ameamua kuhamia huku 😂

  • @AzjaZakwan-to8vp
    @AzjaZakwan-to8vp ปีที่แล้ว

    qur'an inalindwa na mungu,biblia kila siku inatoleo jipya utapel tu

  • @AdamMwita-yj7ey
    @AdamMwita-yj7ey ปีที่แล้ว

    Kama anaikashifu biblia ambayo ni msingi mkuu wa mafundisho ya kikristo kulikuwa na sababu gani kuanzisha kanisa.kulikuwa na mfaransa mmoja aliyeikashifu biblia aliyejulikana kwa jina la Voltare lakini kwa maajabu ya Mungu baada ya kifo chake nyumba alimoishi ndimo ilimofungwa mitambo ya kuchapisha Biblia.

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 6 หลายเดือนก่อน

    Ataombaje radhi ni shoga ila lazima Mungu ajilipizie kisasi

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 ปีที่แล้ว

    ASANTE YESU, MUNGU HADHIHAKIWI,NA AFUNGIWE KABISA MAANA HUYU NI AGENT WA SHETANI.

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 ปีที่แล้ว

    Nyakati za mwisho

  • @EmmanuelKipwasa-hv1lq
    @EmmanuelKipwasa-hv1lq ปีที่แล้ว

    Niakili ganii kitabu kakikuta anajifanya anaufahamu sana duuu

  • @skilindaissa5441
    @skilindaissa5441 ปีที่แล้ว +3

    Eeeeeee Mungu wngu utulinde sisi hatuwezi bila wewe 😭😭😭😭

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 ปีที่แล้ว +1

    Hatari

    • @yusuphusaimoni4182
      @yusuphusaimoni4182 ปีที่แล้ว

      Kitabu Cha dini ni kaburi duuu ww ufe kabisaa shetani ww

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Wanajiita Grace club, club na church ni vitu viwili tofauti

  • @aminamjema-kf7qr
    @aminamjema-kf7qr ปีที่แล้ว +2

    Nami nakumbuka kwenye vipodoz ila uovu umezidi kila MTU anafanya atakavyo waweke mashart magumu yaufungua kanisa

  • @josephatfaustine5932
    @josephatfaustine5932 ปีที่แล้ว +2

    Kweli wapuuzi ni wengi dunia sasa kama bibilia ni kabuki wewe kanisa lako linafundisha kitu gani??

  • @mwl.enocktuza
    @mwl.enocktuza ปีที่แล้ว +2

    Nilimsikia tangu miaka 4 iliyopita akikosoa injili ya Luka. Nikamtumia message aniualize nimfundishe,hakunijibu. Atengue kauli haraka aje tumfundishe.

  • @ebakeichinge7081
    @ebakeichinge7081 ปีที่แล้ว

    Watasubiri sana.

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 ปีที่แล้ว

    Hawa Ni WAJUMBE wa IBILISI, ndio maana WANATUKANA BIBLIA TAKATIFU, WAFUASI wa YESU KRISTO Hatutakubali huu upuuzi

  • @mockar-
    @mockar- ปีที่แล้ว

    Amesema kwel hakuona Ayaa inayosema (ukristo n Dini ya Mungu) au itaje tu (Ukristo) nyinyi hamuoni n kaburi la jehanam kwel l
    Hili tabu

    • @estedyjoseph7236
      @estedyjoseph7236 ปีที่แล้ว

      Ww haujitambui kama huyo mpumbavu mwenzako nyie wote nimaagent washetan9

    • @hakizimanantawundi9369
      @hakizimanantawundi9369 ปีที่แล้ว

      Kama kweli wewe ni msomaji wa biblia, ni wapi ulipokuta pameandikwa kwamba tufuate dini? Au unataka kuingiza mada za kiislamu katika Ukristo? Wewe ng'ang'ana na dini. Ila sisi tunang'ang'ana na Yesu Kristo. Na ndiyo maana tunaitwa Wakristo. Sisi habari za dini usituulize. Maana hakuna andiko katika biblia linalotutaka tuingie kwenye dini. Kama unalo, karibu kwa mjadala. Mambo ya dini wapelekee Waisilamu wenzako.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 หลายเดือนก่อน

    Binadamu mnataka nini duniani jamani kukufuru mmeweka mbele na kupoteza watoto duniani kwanini?

  • @Kautharkabanga
    @Kautharkabanga ปีที่แล้ว

    Anasema ukweli huo bhana safi Sana mchungaji kipo kitabu kitakachokuja kuipindua bibilia

    • @winnifridaashery4449
      @winnifridaashery4449 ปีที่แล้ว

      Na wewe ndo wale wale muda wenu umefika wote mnaomdhihaki Mungu.Ukweli upi unaouna wewe hapo?

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 ปีที่แล้ว

    Aliyoishika ni biblia kweli au ni kitabu tu cheusi haki Mungu amsamehe

  • @JohnNgambeki
    @JohnNgambeki 14 วันที่ผ่านมา

    Safikabisa serikali yetu

  • @ateacherofchoirintanzaniap8494
    @ateacherofchoirintanzaniap8494 ปีที่แล้ว

    Kwakweli ukristo unachezewa sana

  • @priscamakwetta740
    @priscamakwetta740 ปีที่แล้ว

    Kwakweli motoni kutachangamka..🔥

    • @glaury9938
      @glaury9938 ปีที่แล้ว

      Usikose mbinguni mana kutanoga sana❤

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 ปีที่แล้ว +4

    Kama biblia unaipinga kwanini uendelee kujiita wewe kuwa ni kanisa? Tuko siku za mwisho wote waliojipenyeza kwa siri ndani ya kanisa wote watawekwa wazi. Biblia ni neno la Mungu na kamwe haliwezi badilishwa na muhuni kama huyu.

    • @nashonmsafiri1487
      @nashonmsafiri1487 ปีที่แล้ว

      Nilisikikiza ushuhuda wa mtumishi mmoja alieitumikia kuzimu kwa muda mrefu anasema kuna biblia mpya kutoka kuzimu inafanyiwa mkakati wa kuja duniani kwa hiyo inaanza kuandaliwa mazingira namna hii...

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 ปีที่แล้ว

      Hata hili ni neno la Mungu?
      1 Wakor 1:25 Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

    • @deboraleonard3441
      @deboraleonard3441 ปีที่แล้ว

      Kuweni macho watanzania huyu hata vitu vyao siyo vya kutumia vinayoka kuzimu mapepo haya

    • @hakizimanantawundi9369
      @hakizimanantawundi9369 ปีที่แล้ว

      @@deboraleonard3441 na ndiyo maana siku za nyuma watu walihubiri makanisani wakiwashauri watu wasitumie vipodozi na hayo manywere ya bandia kwamba yanatoka kuzimu. Ila kwakuwa dunia imejijaza maswali watu "ooo, inathibitikaje? Unatuthibitishiaje?"
      Mmmhu. Ni hatari tupu.

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 ปีที่แล้ว

      @@Sheba4651 Ndiyo. Majini yanachemka.

  • @immaculateslegaray8627
    @immaculateslegaray8627 ปีที่แล้ว

    Ni wewe ndo umeoza na maisha yako pamoja na na maneno yako

  • @josephamani
    @josephamani ปีที่แล้ว

    Yupo mngine mbeya

  • @AdamMwita-yj7ey
    @AdamMwita-yj7ey ปีที่แล้ว

    Mfaransa Voltare naye alidai kuandika kitabu ambacho kuenea kwake kungeifuta kabisa Biblia Duniani lakini hicho kitabu chake hakipo ila Biblia inaendelea kuchapishwa kwa lugha za mataifa na makabila mbalimbali

  • @stevejeremiah4497
    @stevejeremiah4497 ปีที่แล้ว

    Tunaiomba Selikali ulifungie lile kanisa la Arusha la Mhuni anayepiga hera kwa waumini huku akiwaongoza watu kwenda jehanamu