Kutengeneza mafuta Ya kukuza Nywele , Unahitaji vitu viwili tu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @NasmaMshakangoto-ps7vw
    @NasmaMshakangoto-ps7vw 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwan huwezi tumia oliva nyingne ,lazima utumie oliva hio ya kupikia

  • @lillianhangandu5671
    @lillianhangandu5671 6 หลายเดือนก่อน

    Please do the video of the hairstyle love it

  • @neemamunuo9002
    @neemamunuo9002 หลายเดือนก่อน

    Hongera lwa somo

  • @MariaMgasa-xr2tc
    @MariaMgasa-xr2tc 7 หลายเดือนก่อน

    Asante kwasomo, zuri , madam, hizo nywele umesukaje uje utufundishe nna yakuzisuka

  • @AnnaMmbando-id1hn
    @AnnaMmbando-id1hn 6 หลายเดือนก่อน

    Je huwa nizamojakwamoja au utakuja kuzifumua siku zabaadae? Asante

  • @misha-pg3ul
    @misha-pg3ul 6 หลายเดือนก่อน

    Asante dada vivi

  • @frenkmwita580
    @frenkmwita580 หลายเดือนก่อน

    Zlikua za dawa nikakat ndo naendelea kusuka natfta steaming na mafuta pia

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 6 หลายเดือนก่อน

    Thanks for sharing dear,je siwezi tumia mafuta ya coconut nliyoyatengeneza mwenyewe badaa ya hiyo Olive 🫒?

    • @serentalina401
      @serentalina401 6 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi nimewaza hivyo hivyo nafirkiri unaweza kutumia mafuta ya nazi pia.

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  6 หลายเดือนก่อน

      Unaweza dear

  • @Ivinemaganga
    @Ivinemaganga 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kipenzi

  • @rebbywigs
    @rebbywigs 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza zihudumia mwenyewe nyumbani au ndo mpaka uende salun

  • @khadijaahmad8694
    @khadijaahmad8694 6 หลายเดือนก่อน

    Mtu mwenye nywele zenye dawa anaweza kutumia Vivian???

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 7 หลายเดือนก่อน

    Mambo vivin za masiku kipenzi

  • @ashermzuzuri1617
    @ashermzuzuri1617 6 หลายเดือนก่อน

    Je ukitumia yale mafuta ya olive ya chupa ya kijani je inawezekana?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  3 หลายเดือนก่อน

      Ya kupikia ? ni sawa ilimradi tu yasiwe mazito yanayonata

  • @JeniferMoses-sy5vr
    @JeniferMoses-sy5vr 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa iyo hiyo nywele haifumuliwi au vipi?? Na una muda gani toka ulivyoanza kusuka?

  • @dinamsomali243
    @dinamsomali243 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @Sila-x6n
    @Sila-x6n 6 หลายเดือนก่อน

    Sante

  • @frenkmwita580
    @frenkmwita580 หลายเดือนก่อน

    Conditioner leave in na deep znafaa kwa nywele fupi ukiwa haujaanza kusuka mda mrefu japo c fupi kabisa za kati

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  หลายเดือนก่อน

      Ndio dear zinafaa

  • @rebbywigs
    @rebbywigs 7 หลายเดือนก่อน

    Hiyo nywele inafaa Kwa laini...?
    Unawezafumua na kurudi kwenye nywele zako...?
    Unawezakaa nayo Kwa muda gani....?

  • @arianafrank1282
    @arianafrank1282 6 หลายเดือนก่อน

    Dada, hayo mafuta hayasababishi nywele kukatika? Maana nywele zangu ni kipilipili ile laini. Zinakuwa zinakatika sana na sijapata mafuta mazuri.

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  6 หลายเดือนก่อน

      Hapana dear , hazikati nywele kabisaa

    • @arianafrank1282
      @arianafrank1282 6 หลายเดือนก่อน

      Oh! Asante sanaaa.
      Wacha niyafanyie kazi then nitaleta mrejesho😊

  • @theopistermhagama-dateo389
    @theopistermhagama-dateo389 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba no yako

  • @Teaching356
    @Teaching356 5 หลายเดือนก่อน

    We ni mtanzNia au ni mkeNya?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  3 หลายเดือนก่อน

      Mtanzania 😊

    • @Teaching356
      @Teaching356 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Vivianatzwaoooo na mi nimesikia kiswahili nkasema huyu ni mTz mwenzangu.

  • @salmaabdallah1516
    @salmaabdallah1516 7 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba tuelekeze vile wanalisha nywele kama huko watu wa insta

  • @Misol003
    @Misol003 7 หลายเดือนก่อน

    🎉❤❤❤🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @rebbywigs
    @rebbywigs 7 หลายเดือนก่อน

    swali jingine hiyo nywele inafaa Kwa nywele yenye vimalaika vingiii

  • @shamsaamos3130
    @shamsaamos3130 7 หลายเดือนก่อน

    Je mafuta ya nazi yanafaa

  • @bilalidaudi4440
    @bilalidaudi4440 5 หลายเดือนก่อน

    Mafuta ya nazi unweza kutumia mafuta ya nazi? Na huyu karafuu

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  3 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kutumia , karafuu itaua harufu ya nazi

  • @khadijaahmad8694
    @khadijaahmad8694 6 หลายเดือนก่อน

    Mtu mwenye nywele zenye dawa anaweza kutumia Vivian???

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  6 หลายเดือนก่อน

      Ndio dear unaweza kutumia