Asante dada vivian kwa darasa lako ila mm nilikuwa nina shida naomba unisaidie kwa cc waarabu nywele zangu ni laini zilikuwa nyingi zilianza kutoka na kukatika na sasa tatizo limeisha ila nina nywele kidogo sana hazijai tena km zamani wala hazikui miaka saba sasa zipo ivoivo nisaidie kipenz nifanyeje ili nirudishe nywele zngu km zamani
Dada mm nina nywele ngumu na kipiripiri na hapa nilijaribu kunyoa maana zilidumaa zilikua hazikui sasa natamni kusuka tena sasa nitafanyaj na hivi nywele zang bdo fupi ili kiplpili kiishe
Habari dada Vivian nimejaribu kutumia leave in ya mega growth lakini hakuna changes za nywele hazikui na pia napaka na mafuta yake yananifanya kichwa kinawasha Sana nifanyaje?????
Helle dear angalia video yangu mpya nimeelezea kuhusu mafuta ya kukuza Nywele pia kuhusu kipili pili uwe unapaka leave in conditiona kila baada ya kuosha nywele
Nimejaribu kutumia mega growth detangling conditioner na mega growth lotion pia natumia mafuta ya break mba haunisumbui nywel yangu haiwashi kabisa na izo products zinanisaidia nywele yangu kuchambuka na kung'aa ☺️ Thank u da vivi sitozikatia tamaa nywel zangu
Hi!!!, Nina vipele vidogo vidogo usoni nimetumia dawa zangozi nikipaka vinaisha nikikaa kama wiki bila kupaka vinarud Yani uso unakuwa mzito naomba ushauri
Hi!!!, Nina vipele vidogo vidogo usoni nimetumia dawa zangozi nikipaka vinaisha nikikaa kama wiki bila kupaka vinarud Yani uso unakuwa mzito naomba ushauri
Napaka T_ tree na mafuta ya oliver , bac ,naishi dar ,,yaan mafuta ninayopak ndyiio langi ya mmba unakuja kutokea kama nikioxha leoo nakaa siku moja tuu kesho yake mba uko vilevile mpk nachoka ,,ata kwenda kusuka naona aibu
Hallo, Binafsi huwa natumia Tangawizi, hii inaondoa mba mix na Asali ili kupunguza ukali wa tangawizi na ufanye hii kama steaming yako na pia fanya hii hata ukiwa unaenda kusuka hakikisha umefanya hivi kabla ya kusuka. Pua unaweza changanya hata na avocado vyovyote unavyopenda dear
Tumia maji ya karafuu uchanganye na mafuta ya maji Kama vile coconut oil, Oliver oil au castor oil uspray kwenywe nywele baada ya wiki moja utaona.matokeo mazuri
Hello dear, kama umeweka bleach nywele utunzaji wake ni kuipa moisture coz huwa inakuwa kavu, fanya deep treatment angalau mara moja kwa mwezi ,lakini pia uwe unapaka leave in conditiona kila unapostyle nnywele.
Inategemea dear na mazingira kama unaishi sehemu ya joto unaweza ukaosha mara moja kwa wiki haswa kama una ngozi ya kuwasha na kusweat , n kama unaishi sehemu ya baridi mara mbili kwa mwezi inatosha
Asant san kwakwi hatamimi nywelezang zinakatik san sikuwanajuwasababu sasa mimi naomba picha yahilokopo la livini condishina nakuomba dada nitumiye picha ilinamimi nipate nyele ndefu maan hazikuwivizur na zinakatik san pless
Thanks my dear!! Kwa SoMo zuri but Naomba kuulizahiyo leaving condition inaizwa jina au nikienda duka la vipodozi niwambie Naomba leaving condition tuuuu!!! Coz mi ndo nasikia kwako hbr z leaving condition ckuwanajua!!! Ubarikiwe
Hello dear, leave in conditiona zipo za aina nyingi na kampuni mbalimbali so ukienda dukani lazima useme unataka ipi, ambayo mimi nimeizungumzia inaitwa MEGAGROWTH LEAVE IN STRENGTHENER, so ukienda dukani unawaambia hiyo
❤❤❤❤❤Sinacakukulipamamangu. Umetumana napendanyereyangu. Zilikuwazimejifungasana ivi Alhamdullah. Imekuwasiosana ila siokamazamani nasukanacanuwa ivi nawekamajikidogo zimenyoka asant ❤❤❤my mungu akulip
🙏🙏❤❤
Asante San dada angu lakn naomba unisaidie k2 kimoja nfanyeje ili nywele Ang isiwe inakatika mbele jaman tafazal nsaidie
Asante dada vivian kwa darasa lako ila mm nilikuwa nina shida naomba unisaidie kwa cc waarabu nywele zangu ni laini zilikuwa nyingi zilianza kutoka na kukatika na sasa tatizo limeisha ila nina nywele kidogo sana hazijai tena km zamani wala hazikui miaka saba sasa zipo ivoivo nisaidie kipenz nifanyeje ili nirudishe nywele zngu km zamani
Asante sana nimejifunza vitu bingo sana kutoka kwako ila naomba msaada nahitaji product za natural hair nataka kufungua saluni nipo mwanza
Nahitaji za kuosha nifanye Nini?
#za kutosha
Nimependa sana hii elimu najua itanisaidi kwa kipil
Much love from Kenya.. You are amazing.. Your videos are the best
Thanks love
Living condition ni nini?
Asante kipenzi
Asante mamy nitafanya hivi kwakweli nywele zangu azijai pia nyepesi natumia kira aina ya mafuta
Nitafute dear nina chebe oil nimazuri
Da vivi naomba namba yako tuongee vizuri
Da vivi naomba namba yako tuongee vizuri
Asante mwaya
Nimekupenda sana
Nakupendaa jmn wajinaa wanguu ckuwa najua hiloo ilaa ngj nifanye hivyoo 😘😘😘
❤❤
Thanks dear na matumiz ya shea butter je
Hyo condition bei gan??
mekupenda bure dear video yako ni nzuri sana na inaeleweka vizuri keep up the good work 👍👍👍
Thanks love
@@Vivianatz ❤
Dada mm nina nywele ngumu na kipiripiri na hapa nilijaribu kunyoa maana zilidumaa zilikua hazikui sasa natamni kusuka tena sasa nitafanyaj na hivi nywele zang bdo fupi ili kiplpili kiishe
Thanks for your tips
🙏❤
Vivian nywele zangu zimearibika Kwasababu ya kunyoosha kwa Moto niaaidie nifanyeje
Acha tu kutumia moto zitarudi kawaida baada ya muda
Dada angu nanywele fupi sana yani in short nilikuw nmenyoa kipala nahitaj nywele zangu zikue kwa haraka nafanyaje dada angu nisaidie
Nimependa sana hii elimu nitaitumia
🙏❤️❤️
Vivi mm nimngeni nashukuru Sana nimeweka nywele meaka sita naikuwi
Polee
Asnte kw somo
asante
Vivi mimi nina malaika wengi sana mbele unaweza sema nywele zimekatika.hakuna tips yakuwakuza wawe sawa na nywele za nyuma
L0ml
Mm naomba unisaidie nywele yangu haikui, imedumaa ni kipilipili sio Nene yaan haijai nifanyeje ili iwe sawa?
Sante sana nakupendaaa❤❤❤❤
🙏❤❤
Nakukubali sana kwenye styely
Za nywele fupi
Thanks hun kwa class maana m ndo naanza safari ivi
Karibu dear, akutakia kila la kheri
Nilikuwa nakupendaga nilikuwa nafuatilia sana kipind chako
Mim napenda rangi nina nywele nyeusi hila natamanig rangi
Tupe namba
Shukuran habipty 🤗💓
Nakupenda sanaaaaaa
Asantee dear ❤
Dear nataka nibadili nywele za dawa kuwa natural nisaidie plz zinakatika zimeharibika
Asante sana wacha nijaribu hivyo
Wawoo i like it,, ngoja nianze na mimi
Asantee dear, utanipa mrejesho ❤
Owk mom
Zangu ni nywele asili na zinachanika bila shida sasa ni lazima kutumia hiyo leaving?
Naupataje huu mzigo wa mafuta Kwa mawasiliano simu
Jinsi ya kuipata mzigo
Asant my❤❤❤❤❤
Nikajuwa rangi nyingine kumbe nyeusi mimi nina nywele nyeus sana paka wanazishangaaga
Leave in conditioner inaweza kutumika kila siku?
no...at least mara tatu
Habari dada Vivian nimejaribu kutumia leave in ya mega growth lakini hakuna changes za nywele hazikui na pia napaka na mafuta yake yananifanya kichwa kinawasha Sana nifanyaje?????
Naomba namba yako dear kuna issue naomba unishauri
Asante dada vivi naomba kuuliza unatakiwa kifanya hivyo kila siku au mara ngapi kwa wiki?
Kila inapoosha nywele dear, na ukihisi nywele ni kavu.
Naomba no.ya cm nikuulize maswali zaidi mwalimu wangu
Nywele ako imekuaa hadi raha I wish na mm niwe na nywele kama yako
Utapata dear ❤
Je naruhusiwa kupak mafuta wakat nimesuka???
Jamani naomba jina LA condition huyo mm pia nywele yangu haijai nyepesi sana na INA dawa naomba ushauri wako natamani nywele zako
Mega growth leave in strengthener
Mhm nywele zangu ni ngumu kavu ni balaaa dada
😂😂
Angu ngoja nijaribu ahsant❤
Jaribu dear
Mimi nywele yangu ni fupi na ni kipilipili zimekatika Sana mbele, nifanyeje ziote na zikue?
Helle dear angalia video yangu mpya nimeelezea kuhusu mafuta ya kukuza Nywele pia kuhusu kipili pili uwe unapaka leave in conditiona kila baada ya kuosha nywele
Can I do them to relaxed hair nimeweka dawa juzi baada ya kuchoka hekaheka na natural
Yes dear, you can
Nimejaribu kutumia mega growth detangling conditioner na mega growth lotion pia natumia mafuta ya break mba haunisumbui nywel yangu haiwashi kabisa na izo products zinanisaidia nywele yangu kuchambuka na kung'aa ☺️
Thank u da vivi sitozikatia tamaa nywel zangu
Asantee kwa mrejesho dear ❤
Hi!!!, Nina vipele vidogo vidogo usoni nimetumia dawa zangozi nikipaka vinaisha nikikaa kama wiki bila kupaka vinarud Yani uso unakuwa mzito naomba ushauri
Hi!!!, Nina vipele vidogo vidogo usoni nimetumia dawa zangozi nikipaka vinaisha nikikaa kama wiki bila kupaka vinarud Yani uso unakuwa mzito naomba ushauri
Punguza matumizi ya sukari,karanga,kunywa maji ya kutosha,plus mazoez,it helped me
Nimeanza Leo 😂nimegundua nilikuwa nakosea sana kwanza maji nilijua zitadumaa na kurudi nyuma watu husema😂from now naanza nitaleta mrejesho
Nywele zangu zina dawa lakini mbele zimekatika
Hello pls vivi uwe únaandika maelezo kwenye video zako kuna wengine sisi ni viziwi hatuelew chochote. Kwa aliyeelewa Pls anisaidie kutafsiri
Sawa dear ntajitahidi
Asante dear, sasa hiyo chupa inapatikana wapi?
Habari,hiyo conditional gan?
Shea miracle
My. Unatakiwakuwosha ngwelekwawikimalangapi
Mara moja kwa wiki dear kama unaishi sehemu yenye joto
@@Vivianatz❤❤❤❤asant mamangu. Badayawiki2 nimeona mabadiliko
Naomb jn la hyo conditioner
Megagrowth leave in Strengthener
Da vivi unaweza kufanya review ya product za Cantu?
Hello dear ,sawa ntaanza kufanya review ya products
@@Vivianatz ❤️thanks
Asante sana kwa darasa... nitaanza soon nione matokeo🥰🥳🥳
Karibu dear ❤❤
Dada ninanywele ngumu sana sijui nifanyaje Hadi natamani kunyoa
Usinyoe dear , tafuta shampoo nzuri na leave in conditiona za mega growth, angalia video zangu za utunzaji wa nywele itakusaidia saana wala usinyoe
@@Vivianatz sawa dear ngoja nitafute Kwan Huku nilipo hazipatikani
Kwa hivyo Ni kila siku naspray nywele na kusuka mabutu au nikisuka Mara moja nakuwa naspray maji? Kila siku?
Sio kila siku dear ni kila unapotaka kuchana nywele
Naomba niandikie majina ya hayo mafuta na maji piy nywele zangu zimekatka nataka ziwe laini nikavu zana hatakuchana no kazi dada angu nisaidy
Naupendaga uwo usemi wa usichanganye madawa
🤣🤣
Asante saaana dada
Hiyo living conditions inauzwa shilingap
Elfu 12 dear
Ahsante sana nitumie hiyo condineshina
Samahan dada naomb nitajie mafuta ya kutumia
Napata wapi mm npo iringa hiyo chupa
Napata wpi
Plz naomba majina ya living condition
Jamani nywele zangu hazikui kutokan na mmba mpka natamani kunyoa kutokan najarb kubadl mafuta lakin wapi ,,naomba ushauri
Hello dear, polee, kwenye ngozi unapaka mafuta gani? Na unaishi wapi kuna baridi au joto?pia umewahi kujaribu kupaka mafuta ya break kwenye ngozi?
Napaka T_ tree na mafuta ya oliver , bac ,naishi dar ,,yaan mafuta ninayopak ndyiio langi ya mmba unakuja kutokea kama nikioxha leoo nakaa siku moja tuu kesho yake mba uko vilevile mpk nachoka ,,ata kwenda kusuka naona aibu
Try Virgin Hair fertilizer, is the best
Me niko na mba na nywele yangu ni refu hadi mgongoni
Hallo, Binafsi huwa natumia Tangawizi, hii inaondoa mba mix na Asali ili kupunguza ukali wa tangawizi na ufanye hii kama steaming yako na pia fanya hii hata ukiwa unaenda kusuka hakikisha umefanya hivi kabla ya kusuka. Pua unaweza changanya hata na avocado vyovyote unavyopenda dear
Hio leave in conditioner unayoitumia inaitwaje?
Megagrowth leave in strengthener
@@Vivianatz naomba namba yako pls
baby ni natural hyo nywele
Yes dear, haina dawa kabisa
Naomba namba yako pls
Sasa mimi nywere yangu .inadawaa natamaniii niwe na nachoro
Unanishauriii nini
Tumia maji ya karafuu uchanganye na mafuta ya maji Kama vile coconut oil, Oliver oil au castor oil uspray kwenywe nywele baada ya wiki moja utaona.matokeo mazuri
Olive oil je ni nzuri???
Yes dear, nitaweka video lio kuhusu olive oil usikose kuangalia
@@Vivianatz thanks 🙏🏿🙏🏿
Mimi naitwa julienne naishi mareka ni Mimi imeweka rangi iko bleach. Niwe naitunza vipi.
Hello dear, kama umeweka bleach nywele utunzaji wake ni kuipa moisture coz huwa inakuwa kavu, fanya deep treatment angalau mara moja kwa mwezi ,lakini pia uwe unapaka leave in conditiona kila unapostyle nnywele.
❤️❤️
❤❤
Nataka nijarabu mafuta ya megga ni mazuri mpenzi
Iv kuosha nywele inatakiwa ipishane siku ngap au wiki ngap
Inategemea dear na mazingira kama unaishi sehemu ya joto unaweza ukaosha mara moja kwa wiki haswa kama una ngozi ya kuwasha na kusweat , n kama unaishi sehemu ya baridi mara mbili kwa mwezi inatosha
Jamn nataka nywel Zang zilefuke
Asant san kwakwi hatamimi nywelezang zinakatik san sikuwanajuwasababu sasa mimi naomba picha yahilokopo la livini condishina nakuomba dada nitumiye picha ilinamimi nipate nyele ndefu maan hazikuwivizur na zinakatik san pless
sorry...nauliza kuwa spray bottle naweza kupata wapi!!
Kariakoo dear
Nimependa darasa lako tafadhl naomba namba yako dd
Kama unatumia dawa kwenye nywele nazo zinapukutika Vivi unafanyaje
Kwenye dawa dear, anza kuzitoa za dawa taratibu ili uanze nazo zikiwa fresh , vinginevyo zitaendelea kupukutika
Maji gani kipenzi
Pijncz
Naomba umuhimu wa shea buttel
Thanks my dear!! Kwa SoMo zuri but Naomba kuulizahiyo leaving condition inaizwa jina au nikienda duka la vipodozi niwambie Naomba leaving condition tuuuu!!! Coz mi ndo nasikia kwako hbr z leaving condition ckuwanajua!!! Ubarikiwe
Sor jina la hiyo leaving condition inaitwaje
Hello dear, leave in conditiona zipo za aina nyingi na kampuni mbalimbali so ukienda dukani lazima useme unataka ipi, ambayo mimi nimeizungumzia inaitwa MEGAGROWTH LEAVE IN STRENGTHENER, so ukienda dukani unawaambia hiyo
@@Vivianatztunaomba picha yaiyo kopo maan tumetesek san nanywel yetu mweziyo hadinamuwa kuzikada dada nisaidiy nateseka nanywel yanguu