KUWEKA MAWIMBI YA KALIKITI NYWELE YA KIPILIPILI ISIYO NA DAWA KABISA# Curling Custard for 4C hair

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 262

  • @Vivianatz
    @Vivianatz  3 ปีที่แล้ว +14

    Hi darlings ,mnaohitaji hayo mafuta piga namba 0715 44 44 98

  • @queeneva3709
    @queeneva3709 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for sharing the miraculous discovery of making C type hair into curly 😜😜😜

  • @IsackOnesmo-hq6yq
    @IsackOnesmo-hq6yq 9 หลายเดือนก่อน

    Hiyo gell inaitwaje dada nakukubali sana auna baya mungu akubariki pia habariki kazi ya mikono yako

  • @AngelNzundaauntibs
    @AngelNzundaauntibs 7 หลายเดือนก่อน

    Thank you dear nimeipend sana hiyo nywele 😊🎉

  • @chocolatebibah8677
    @chocolatebibah8677 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejaribu kuweka rafu Fred nimemeza my Asante na hii itajaribu yaani saiv majirani wanatowa macho tuu maana nikioga nikitoka nje new style woooow😜😜🥮

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Woow, nafurahi kusikia hivyo dear, tuendelee kujifunza 😍😍

  • @winniebraidstz8402
    @winniebraidstz8402 3 ปีที่แล้ว +2

    hii jelly inafanya nywele inakakaaa sana sio nzuri kwa nywele alf inatoa rangi nyeusi nimenunua from ghana asee sijawezi na bei imesimama sna

  • @estermagesa8212
    @estermagesa8212 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dada kwa darasa zuli samahin Dada unaweza kutumia jeli nyeusai kuchomoa milija

  • @naahmkama8789
    @naahmkama8789 3 ปีที่แล้ว +2

    ❤️wooow amaizing looking thanks dear

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 ปีที่แล้ว

    Asante sana umenijibu swali langu

  • @WinnieApollinary
    @WinnieApollinary ปีที่แล้ว

    Hello,asante kwa video

  • @eddyjohn699
    @eddyjohn699 2 ปีที่แล้ว

    Wwaoh amazing nahitaji mafuta

  • @anithamasangula625
    @anithamasangula625 3 ปีที่แล้ว

    Woooooow! Nimependa Sana na juzi tuu nimeeka nywele dawa nilichoka kuchana 😔😔

  • @CharityAlex-f3m
    @CharityAlex-f3m 10 หลายเดือนก่อน +1

    Upo mkoa gan

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  10 หลายเดือนก่อน +1

      0715 44 44 98, piga hii namba kama unahitaji mafuta dear, yanapatikana Dar es salaam

    • @CharityAlex-f3m
      @CharityAlex-f3m 10 หลายเดือนก่อน

      Nilitaka kuweka kalikiti na nipo Mwanza

  • @froladickson5255
    @froladickson5255 2 ปีที่แล้ว

    Nmpenda sn hyomafuta nayatk my dear......halafu hilo wimbi linakaa mda gani

  • @LucyJosephSibakwe
    @LucyJosephSibakwe 23 วันที่ผ่านมา

    My dear mzm mafuta nayapataje au yanapatikana wapi

  • @TedyKrisent-ih9xi
    @TedyKrisent-ih9xi ปีที่แล้ว

    Nimependa

  • @elizabethmonji5136
    @elizabethmonji5136 3 ปีที่แล้ว

    Waooo ahsantee kipenzi nakupenda bure

  • @lucyvalerian2324
    @lucyvalerian2324 9 หลายเดือนก่อน

    Nakupendaga tu we kabinti

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  9 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️❤️

  • @ambakamwela1379
    @ambakamwela1379 ปีที่แล้ว

    Yes nzuri jaman

  • @ceciliayohana2468
    @ceciliayohana2468 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kwasomo zuri 😘😘😘

  • @edinamwanansolo1243
    @edinamwanansolo1243 8 หลายเดือนก่อน

    Thanks love ❤❤

  • @medline31
    @medline31 3 ปีที่แล้ว

    So this channel is all in vernacular. Tried to stay but with the way I love to engance with the TH-camr I can't🤦🏾‍♀️🤦🏾‍♀️😩😩😩

  • @priscammbaga9920
    @priscammbaga9920 หลายเดือนก่อน

    Napataje mafuta

  • @veronicamwenda7449
    @veronicamwenda7449 ปีที่แล้ว

    Waoooh so nice

  • @MarryMoshiro
    @MarryMoshiro 6 หลายเดือนก่อน

    Inapendeza sana kipenzi mafuta hayo yanapatikana wapi kipenzi

  • @ney2308
    @ney2308 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mrembo best

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Asantee dear

  • @pendojustin9110
    @pendojustin9110 3 ปีที่แล้ว

    Oyooooooo ahsante sana nashukuru kwa uwepo wako

  • @juliethwiliam5011
    @juliethwiliam5011 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimeipenda kweli inatikana Kwa bei gani

  • @mohamedzaina8585
    @mohamedzaina8585 3 ปีที่แล้ว

    Thank u dear.barikiwa

  • @viviansanga5488
    @viviansanga5488 7 หลายเดือนก่อน

    Thnx mmy

  • @noelajunior5036
    @noelajunior5036 2 ปีที่แล้ว

    Mumy unaweka Kali kwa Bei gain

  • @LucyJosephSibakwe
    @LucyJosephSibakwe 23 วันที่ผ่านมา

    Unapatikana wapi dear

  • @HanifaTarimo
    @HanifaTarimo ปีที่แล้ว

    naitaji ayo mafuta

  • @abrahamanmunishi8824
    @abrahamanmunishi8824 10 หลายเดือนก่อน

    Hayo mafuta yanapatikanaje

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  10 หลายเดือนก่อน

      0715 44 44 98 piga hiyo number ya muuzaji

  • @aminaabdallah4553
    @aminaabdallah4553 3 ปีที่แล้ว +1

    So nice

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 ปีที่แล้ว

    Hayo mega c ndo yale ya deep conditioner au ni mengine?

  • @fausteryOmary
    @fausteryOmary ปีที่แล้ว

    mafuta ayo yanauzwa bei gan?

  • @annanicodemus1144
    @annanicodemus1144 3 ปีที่แล้ว

    Asante san natak kujua unaweza kaa naz kwa muda gan bila kuvurugika

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  3 ปีที่แล้ว

      Week tatu

    • @MagdalenaZachalia-sq1pu
      @MagdalenaZachalia-sq1pu 11 หลายเดือนก่อน

      Wiki tatu bila kuosha kichwa au au unaosha mawimbi yanabakia

  • @magrethjerome-nd2ms
    @magrethjerome-nd2ms ปีที่แล้ว +2

    Hayo mafuta ya curling Custard for 4c hair Kwa sisi wenye kipilipili yanapatikana wapi Kwa hapa Mwanza?

  • @officialsharifa
    @officialsharifa 11 หลายเดือนก่อน

    honhera nauliza je ni mafuta gani mazuri ya kutenngeneza finger coil?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  11 หลายเดือนก่อน

      Ndio dear unaweza tumia

  • @hanifahamudu2462
    @hanifahamudu2462 3 ปีที่แล้ว

    Nice dear

  • @salomealfred302
    @salomealfred302 ปีที่แล้ว

    Nayapataje hayo mafuta

  • @fausteryOmary
    @fausteryOmary ปีที่แล้ว

    mafuta yanauzwa bei gan?

  • @zainabmalya1552
    @zainabmalya1552 3 ปีที่แล้ว +2

    Hello dear vp leave in conditioner inapatikana duka la vipodoz Tz?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  3 ปีที่แล้ว

      Ndio dear, mega growth leave in strengthner

    • @zainabmalya1552
      @zainabmalya1552 3 ปีที่แล้ว

      @@Vivianatz ooh thanx

  • @AgnessSwai-d4m
    @AgnessSwai-d4m ปีที่แล้ว

    Jamani yanaitwaje mafuta hayo

  • @emmanuelcheyo-ti2xl
    @emmanuelcheyo-ti2xl ปีที่แล้ว

    Unaweza kukaa nazo muda gani nywele after kuweka hivi? Pia ukija kuosha haikatiki?

  • @ambakamwela1379
    @ambakamwela1379 ปีที่แล้ว

    Nzuriii

  • @AgnessSwai-d4m
    @AgnessSwai-d4m ปีที่แล้ว

    Waoo mafuta hayo naomba kujua jina lake pleas

  • @janeemmanuel3615
    @janeemmanuel3615 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi

  • @TatuBulima
    @TatuBulima 3 หลายเดือนก่อน

    Je Kuna mafta ya kufumlia dreed

  • @flaviajustinean2898
    @flaviajustinean2898 3 ปีที่แล้ว +1

    Waooooh baada ya hapo utunzaji wake unakuwaje? Nzuri

  • @Amatitenya7523
    @Amatitenya7523 2 ปีที่แล้ว

    Dada Niko Mombasa na nataka hiyo product

  • @زلفهتنزاني
    @زلفهتنزاني 6 วันที่ผ่านมา

    Ukipaka hio dawa unaweza kuosha kwa mda gani

  • @anetboaz8783
    @anetboaz8783 3 ปีที่แล้ว

    I love it

  • @rithalove9211
    @rithalove9211 2 ปีที่แล้ว

    Vip dr unatumia mafuta gani ya nywele

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Mega growth dear natumia

  • @WinnieApollinary
    @WinnieApollinary ปีที่แล้ว

    Samahan unaweza kukaa nazo muda gani zikiwa na meonekano huo?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  ปีที่แล้ว +1

      Wiki mbili dear mpaka tatu

    • @SofiaSamwel-bi3nj
      @SofiaSamwel-bi3nj 6 หลายเดือนก่อน

      Na utunzaji wake unakuaje et ili kuweka ubora mpk izo wiki mbili au tatu zitimie?

  • @gashienyamvullah9586
    @gashienyamvullah9586 3 ปีที่แล้ว

    Nice vivi

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Asantee dear

  • @sophiamsangi4653
    @sophiamsangi4653 6 หลายเดือนก่อน

    Unauza nahitaji sanaaaaa

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  6 หลายเดือนก่อน

      0715 44 44 98 huyu bdio anayauza mpigie

  • @happynessnyandindi2114
    @happynessnyandindi2114 2 ปีที่แล้ว

    Naomba nijue Hayo mafuta yanaitwaje???? Na je hicho unachoelekeza ni kalikiti ya nywele fupi????

  • @jacklinepeter8312
    @jacklinepeter8312 2 ปีที่แล้ว

    Dad Viv inapatikana wap nataka nije nijivunze kusuka jaman?

  • @IreneTesha-mi2rg
    @IreneTesha-mi2rg 8 หลายเดือนก่อน

    Jambo dada mafuta ya afro jeliy ya curl yanafaa

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  8 หลายเดือนก่อน

      Hapana dear

  • @scolakalindu8077
    @scolakalindu8077 2 ปีที่แล้ว

    Asante dada

  • @Lolo_makota
    @Lolo_makota 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice video .. curling custard Nzuri

  • @scholachannel158cheptoo7
    @scholachannel158cheptoo7 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni pesa ngapi kununua............naeza wekea my aunty zitoe mvi?? (nywele za white??)

  • @irenemachage8498
    @irenemachage8498 หลายเดือนก่อน

    Ukishaweka alaf unaosha au

  • @nsiamushi5363
    @nsiamushi5363 3 ปีที่แล้ว +3

    My dear hiyo curling custard inapatikana kirahisi?

  • @halimamwambe9571
    @halimamwambe9571 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda

  • @oliviabahigana8225
    @oliviabahigana8225 ปีที่แล้ว +1

    Mafuta yanapatika maduka ya vipodozi au ?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  11 หลายเดือนก่อน

      0715 44 44 98

  • @MonicaJohn-kq9gc
    @MonicaJohn-kq9gc ปีที่แล้ว

    yanauzwa shingapi dada

  • @denianamgata59
    @denianamgata59 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza ukiwa unaanza kutengenezea finger coil ni lazima kupaka mafuta na hayo mafuta ni yaaina gani Mimi uwa natumia eco Jerry nyeusi tu je Niko sahii au Nana kosea naomba unierekeze dada vivian

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  11 หลายเดือนก่อน

      Ecogel ni nzuri inafaa, uko sahihi

    • @SofiaSamwel-bi3nj
      @SofiaSamwel-bi3nj 6 หลายเดือนก่อน

      Na ukishaifanya ivo unaitunzaje kipenz ili kutunza ubora wake? Please nisaidie

  • @elizavalency7411
    @elizavalency7411 2 ปีที่แล้ว

    Me nahitaji hyo mafuta

  • @SpeciozaMatulanya-nw8xr
    @SpeciozaMatulanya-nw8xr ปีที่แล้ว

    Hayo mafuta nayapata wap

  • @deboramndeme324
    @deboramndeme324 ปีที่แล้ว

    Na swal je ulivyoweka hiyo mawimbi unawezabana mtindo wowote ?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  ปีที่แล้ว +1

      Ndio unaweza

    • @deboramndeme324
      @deboramndeme324 ปีที่แล้ว

      @@Vivianatz how coz I'm trying to think how can I style it because my course doesn't want style hair end I want to do this kind of hair wave, please can you show how can I style it during class hours please 🥺🙏

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt ปีที่แล้ว

    Wowwwwww

  • @lilianismaily3666
    @lilianismaily3666 23 วันที่ผ่านมา

    Je Kwa nywele fupi inakuaj

  • @juliethwiliam5011
    @juliethwiliam5011 2 ปีที่แล้ว

    Na yanapatikana wapi

  • @lovinceasimwe3658
    @lovinceasimwe3658 2 ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano yako na je unapatikana wapi

  • @RebeccaJulius-vc9wy
    @RebeccaJulius-vc9wy ปีที่แล้ว

    Dada habari unakuuliza hii curling inapatikana wapi nisaidie

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  11 หลายเดือนก่อน

      0715 44 44 98 mpigie huyo ndio anauza

  • @lindamedard7955
    @lindamedard7955 2 ปีที่แล้ว

    Samhani me ni mgeni nilikuwa nauliza unaweza kupaka mafuta mengine tofauti na ya mega ?

  • @anithatryphone231
    @anithatryphone231 2 ปีที่แล้ว

    Zenye dawa unaruhusiwa kutumika hiyo njia???

  • @juliethwiliam5011
    @juliethwiliam5011 2 ปีที่แล้ว

    Mambo,mm naomba namna yakupata product za natural hair

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  11 หลายเดือนก่อน

      0715 44 44 98

  • @OliviaAmoss-o5d
    @OliviaAmoss-o5d ปีที่แล้ว

    Dada unaweza kupaka kwenye nywele ambazo zina dawa???

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  ปีที่แล้ว

      Hapana dear, ni kwa nywele isiyo na dawa tu

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  ปีที่แล้ว

      Hapana dear, ni kwa nywele isiyo na dawa tu

  • @HalimuHamudu
    @HalimuHamudu 11 หลายเดือนก่อน

    Asante nitayapataje? Hiyo Jerri Nani bei gani?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  11 หลายเดือนก่อน

      Elf 70

  • @PapiMwady-uf6sd
    @PapiMwady-uf6sd 5 หลายเดือนก่อน

    Je, hayo mafuta naweza kutatumia kwa mutu mwenye ameweka dawa😊

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  5 หลายเดือนก่อน

      Hapana dear ni kwa nywele isiyo na dawa tu

  • @rehemamwanamajani3784
    @rehemamwanamajani3784 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @MwaisumoSalome
    @MwaisumoSalome 5 หลายเดือนก่อน

    Unapatikana wapi mamy

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  5 หลายเดือนก่อน

      0715 44 44 98

  • @linachester2095
    @linachester2095 3 ปีที่แล้ว +1

    Unaeza kaaa mda gani?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  3 ปีที่แล้ว +1

      Week tatu dear, usiziloweshe maji

    • @linachester2095
      @linachester2095 3 ปีที่แล้ว

      @@Vivianatz Asante, am in Kenya na naona gel ziko ni Cantu and Jackie's naeza zitumia??

    • @SofiaSamwel-bi3nj
      @SofiaSamwel-bi3nj 6 หลายเดือนก่อน

      Ok sas unazitunzaje ili mpk izo week 3 ziwe vizuri

  • @fridachuwa8622
    @fridachuwa8622 ปีที่แล้ว

    Je na hiyo haina chemical

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 ปีที่แล้ว

    Sister nmeanza kukufuatilia juzi tu but nmekupenda bure uko vzur

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  ปีที่แล้ว

      Asantee dear ❤️

  • @SofiaSamwel-bi3nj
    @SofiaSamwel-bi3nj 6 หลายเดือนก่อน

    Hamna mtu anaulizia utunzaji wa izo nywele baada ya hapo please tuambie dada ukishaweka utunzaji wake unakuaje ili kutunza uzuri wake😢

  • @KanyinyiSaid
    @KanyinyiSaid 9 หลายเดือนก่อน

    nimeipenda dada

  • @mumbafaraji4638
    @mumbafaraji4638 2 ปีที่แล้ว +1

    Dear yana kwenye nywele natural tu au hata yenye dawa unaweza kufanya hivyo?

  • @WinifridaChristian-px1ye
    @WinifridaChristian-px1ye ปีที่แล้ว

    Mafuta hayo yanapatikana wapi?

  • @denianamgata59
    @denianamgata59 11 หลายเดือนก่อน

    Habari nahitaji hiyo geli ya kutengenezea finger coil

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  11 หลายเดือนก่อน

      0715 44 44 98 mpigie huyo muuzaji

  • @dinahresmtawa1684
    @dinahresmtawa1684 3 ปีที่แล้ว +1

    Wooooow

  • @zainabushabani7309
    @zainabushabani7309 2 ปีที่แล้ว

    Dada vivi mm naitaj kuja kujfunza saloon kwako

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Karibu dear

    • @jacklinepeter8312
      @jacklinepeter8312 2 ปีที่แล้ว

      @@Vivianatz unataka wap?

    • @alexvitalisi7635
      @alexvitalisi7635 2 ปีที่แล้ว +1

      kuwekea shingapi jamani je naweza weka nyumbani na inakaa muda gani

    • @SofiaSamwel-bi3nj
      @SofiaSamwel-bi3nj 6 หลายเดือนก่อน

      Yes inakaa kwa mda gan na utunzaji wake ukoje?

  • @mahadmpemba3503
    @mahadmpemba3503 ปีที่แล้ว

    Yko pw Sana na ofis zenu zipo wap

  • @tabithadaudi5960
    @tabithadaudi5960 3 ปีที่แล้ว

    Vivi so nawezafanya nikitoka kuoaha?yani sio lazima nifunge mabutu nilale nazo nifanye kesho yake

  • @tumarose3050
    @tumarose3050 2 ปีที่แล้ว

    ikiwa nilishaweka dawa aina ya curl je itafaa?

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Haifai dear, Inatakiwa nywele isiyo na dawa

    • @tumarose3050
      @tumarose3050 2 ปีที่แล้ว

      Okay asante

  • @mlynamylna3828
    @mlynamylna3828 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤