Nyie mko kukiuwa Chama. Mnatusikitisha sana. Tulikuwa tunakitegemea sana CHADEMA na wewe unasema huna uhakika na kachero wako. Nyie wote ni wababaishaji tuuu
Lema ndio ccm wanamwoopa wanakutumia wewe, chawa mkubwa wwe unatumika, sabaya, gambo, Makonda, wote hoa wamemshindwa, sembuse wewe dogo boni, tunajua ata Makonda ametumwe Arusha sababu ya lema, wanachadema tunayajua ayo
Nijuavyo Mimi maelezo huanza kwa utambulisho . Nilitamani kusikia yeye ni nani na anawadhifa gani na anatoka sehemu gani ! Huyu mtu atakuwa mamluki !!!!
Kiburi huondoa nidhamu na heshima kwa wanaopaswa kupewa heshima. Baada ya kukemewa , Sasa unapasuka kumuona Lema Muongo,? Ulikuwa wapi siku zote? Huo ni uchanga wa siasa
Sasa kama unamtuhumu Lema kukosa nidhamu na hasa kwa kuongelea nje masuala ya sekretarieti taifa, Kwa nini wewe Bony uongee na vyombo vya habari kukituhumu chama wakati miongozo ya kulalamikia mienendo na maamuzi ambayo hujaridhika inafahamika? Kwa ulichokifanya unapasqa kuitwa kwenye kamati ya maadili mkoa then kanda ili hatua kali zichukuliwe dhidi yako. Unaweza kuwa na sababu za msingi, pia unaweza kuwa sahihi Kwa kuwa na uthibitisho qa tuhuma, ILA Kwa hiki ulichokifanya yaani kuongea na VYOMBO VYA HABARI BADALA YA KUSHTAKI AU KULIPELEKA kwenye vyombo halali ya chama UNAPASWA KUWAJIBIKA KIKATIBA. Hiki chama sio sehemu ya maigizo, kina mambo muhimu ya kufanya Kwa taifa hili, watu wamemwaga damu halafu unatoa hoja za KIJINGA kilukichafua chama Kwa umma, nini maana ya katiba? Kwa hiyo unautoboa mtumbwi ulioupanda? HUFAI HATA KIDOGO
The bible says shetani hamwezi kumtoa shetani mwenzake,, ama kwenye vita mkianza kugombana wenyewe kwa wenyewe hamtoboi, lema hapaswi kugombana na bony Wala tundu na mbowe, na kuwajuza wanachama. BIG MISTAKE, hapo CCM ni Bata TU, chadema wanaacha kupambana, na pia Wana chama wanaacha kupambana topic inabaki wenyewe kwa wenyewe, note that swala au nyati wakigombana Simba wanajichukulia kiulaiiiiiini kabisa. Tumieni hekima. Kama kuna Aliehongwa lifanyieni kazi hilo. Hapo Bado uchaguzi mkuu duh, majanga.
Lema amesema mamlaka znazohuska ziwavue uanachama kule wanakotoka. Nyie niwalevi na machoko lazma mvuliwe. Chadema inahtaji viongz imara km lema na wengne wenye uhodari. Sasa ww huna element za uhodari wa cdm lazma uvuliwe tu
Unaona unavo watatea ccm unapoteza muda wana chadema wanaelewa yote mlio nunuliwa, mnataka mbeo, lema wasiwe viongozi, ili mkiuwe chama chadema sio cuf, au vyama vingine mlivo viuha mmeshindwa
Hata uhangaike utaondoka chadema hata ukitoa mapovyu utaondoka na genge lako muende Kwa abduli muiache upumbavu wewe boni tunajua umepewa kazi na ccm uvuruge chadema Arusha huwezi jifunze kwawezako waliotumika wameondoka chama kipo na wewe utaondoka ni kirusi
Wewe ni kiongozi gani unaongea upumbavu-pumbavu na kupayuka hovyohovyo. Hamwezi kuongoza hii nchi, kaongoze kaya yako. Hakuna kiongozi fara na mpiga makelele kama wewe. CHADEMA inavibaka wengi sana na wewe ni mmojawapo.
Anaongea kama makonda jana. Jana alisema ni Lissu ndiyo aliyesababisha chadema kukosa wawakilishi wengi bungeni kipindi chake. Huyu naye analaumu kuwa chadema kanda ya kaskazini kipindi cha lema imedhoofu kwa uongozi mbaya wa lema. Hakumbuki chadema imepitia magumu yapi tangu 2015 hadi leo.
Nimeshindwa hata kuimalizia hiyo video, lakini nikisoma comments nachokipata ni mgawanyiko koz naona timu lema na timu bony na hayo ndiyo matokeo ila ukijiuliza kwa Nini utajuwa hapo Kuna noti zimetembea, koz mengi husababishwa na noti hivi kweli watu hamlielewi hilo? The big leaders must go to the root of this issue and solve it wisely. Pumbavu mwenye uelewa finyu hamwezi kunielewa, illiterate people can't understand me.
Mbowe mmoja ni watanzania 10,000,000 haijalishi ni chama gani. Kumpata kiongozi kama Mbowe hii Nchi tutasota sana. Mimi sipendi vyama vya siasa vyote TZ Bali napenda haki na amani tu. Hivi virusi vinavyotafuta mikate Kwa propaganda ni shida sana.
Kiongoz unatakiwa kuwa na busara swala hilo linatakiwa kumalizwa katika vikao vya ndani mnapokimbilia mitandaoni ndiyo kumaliza matatizo?wote hamna busara kwani hicho chama nimali yenu?au nimali ya wananchi ondoweni upuuzi wenu msituharibie chama
Acha ujinga wewe.mjinga tuu huwezi kumfikia lema kiumaarufu.alafu unawaambia nani ugomvi wenu.unataka msahada kwa nani kuhusu malalamiko yako.acha ujinga wewe Wala huwezi kuwa mbunge wa arusha.labda mkose wewe na lema ndiyo lengo lako
Haya mambo yanajitokeza kipindi hiki cha uchaguzi why? Let me tell you the truth hata wanachadema wazuri mtawashangaa tatizo mihamala, na hili ndiyo chujio mwanachadema Hali si ajulikane. Narudia Tena Mimi Sina chama. Nawala kura sipigi. Labda kama kungekuwa na badiliko la utaratibu koz kwanini nipoteze muda Hali najuwa kwa utaratibu huu chama Fulani kinashinda? Kama napenda ccm najuwa inashinda sipigi, kama napenda wapinzani najuwa hawashindi sipigi. I can't waste my time in vain. Unless niwe sure kura yangu itahesabiwa, yeah that's my thoughts.
Halafu kama umetumqa na CCM kuinanga CCM usipende kutafuta huruma Kwa kujificha kwenye kivuli cha CHADEMA Mshenzi wewe. Usifikiri CHADEMA Ina watu wenye Akili ndogo as you. Nawahakikishia huyu jamaa anafanya maksudi kufanya kosa ambalo kikatiba atafukuzwa ili akienda CCM aseme CHADWMA hakuna DEMOKRASIA. Mshenzi mkubwa, hatutaki UPUMBAVU
Lema kweli anakiharbu chama😂😂😂
Lema the Actor
leta raha kumbe michezo mnacheza pamoja😂 leta raha baba habar za ndanii hizo
Nyie mko kukiuwa Chama. Mnatusikitisha sana. Tulikuwa tunakitegemea sana CHADEMA na wewe unasema huna uhakika na kachero wako. Nyie wote ni wababaishaji tuuu
LEMA NI ACTOR 😢😢😢😢😢😢😢😢
Lema ni mnafiki sana anakiua chama
Mnatupa mashaka mazito
CHADEMA SIO CHAMA CHADEMA NI MWANAHARAKATI TU
Umesema kweli kabisa brother, umeeleweka vizuri. Lema kumtuhumu kigaila ni utovu wa nidhamu mkubwa.
Bony ni wa hovyo
ccm oyeee. huo uchaguzi mdogo ngoja urais mtamwagika wenyewe.
tupe raha
gambo oye
Hicho sio chama
Kumbe Lema alishawahi kuwa Malaya wa Vyama tofauti yaani kila chama anatua kutafuta Maslahi binafsi.
Huna uwezo hio ACHA kujidangaya humuwezi lema na huna uwezo wa lema
We kweli ni choko😂mchungaji kakuona
Bony must goo
Yaani mpaka hapo chadema nikikundi Cha watu watafutao maslahi kupitia siasa na utekaji
Lema ndio ccm wanamwoopa wanakutumia wewe, chawa mkubwa wwe unatumika, sabaya, gambo, Makonda, wote hoa wamemshindwa, sembuse wewe dogo boni, tunajua ata Makonda ametumwe Arusha sababu ya lema, wanachadema tunayajua ayo
Mbona mnahangika nahao chawa hawawezi kufikia kiwango Cha lema kuhusu kujenga chama
Wewe boni ACHA kupoteza muda huwezi kukiyumbisha chama
Huwezi kuwa mwachadema ukamkashifu kiongozi wako hivi.
Jamani huyu boni amekua Malaya kisiasa dawa aliwe kichwa ndani ya chadema mapema akakae na hao ccm waliompa kazi
Wewe ndo ccm sijawahi kuona Chadama leo unaitetea Chadema?
Nijuavyo Mimi maelezo huanza kwa utambulisho .
Nilitamani kusikia yeye ni nani na anawadhifa gani na anatoka sehemu gani !
Huyu mtu atakuwa mamluki !!!!
Kiburi huondoa nidhamu na heshima kwa wanaopaswa kupewa heshima.
Baada ya kukemewa , Sasa unapasuka kumuona Lema Muongo,? Ulikuwa wapi siku zote?
Huo ni uchanga wa siasa
Munatia aibu mumesoma sana halafu muntoleana aibu zenu si vizuri hivyo kaeni muya discuss na kusameheana
Chadema Kwishaaaa...😁😁😁. Chezea CCM weweee
Kwani shida nini si yaishe lema atashinda we unatumwa kukiharibu chama
We unatumwa dogo, uwezi kushindana na lema, lema ndio tegemeo letu
Haaa, kumbe mkiambiwa ukweli mnaumia
Nani ameelewa anieleweshe 😂😂😂
Muache aseme ukweli mbona Lisu anamsema Mbowe
Yamalizeni jamani sio sifa kugombana mitandaoni
Sasa kama unamtuhumu Lema kukosa nidhamu na hasa kwa kuongelea nje masuala ya sekretarieti taifa, Kwa nini wewe Bony uongee na vyombo vya habari kukituhumu chama wakati miongozo ya kulalamikia mienendo na maamuzi ambayo hujaridhika inafahamika?
Kwa ulichokifanya unapasqa kuitwa kwenye kamati ya maadili mkoa then kanda ili hatua kali zichukuliwe dhidi yako.
Unaweza kuwa na sababu za msingi, pia unaweza kuwa sahihi Kwa kuwa na uthibitisho qa tuhuma, ILA Kwa hiki ulichokifanya yaani kuongea na VYOMBO VYA HABARI BADALA YA KUSHTAKI AU KULIPELEKA kwenye vyombo halali ya chama UNAPASWA KUWAJIBIKA KIKATIBA.
Hiki chama sio sehemu ya maigizo, kina mambo muhimu ya kufanya Kwa taifa hili, watu wamemwaga damu halafu unatoa hoja za KIJINGA kilukichafua chama Kwa umma, nini maana ya katiba? Kwa hiyo unautoboa mtumbwi ulioupanda?
HUFAI HATA KIDOGO
The bible says shetani hamwezi kumtoa shetani mwenzake,, ama kwenye vita mkianza kugombana wenyewe kwa wenyewe hamtoboi, lema hapaswi kugombana na bony Wala tundu na mbowe, na kuwajuza wanachama. BIG MISTAKE, hapo CCM ni Bata TU, chadema wanaacha kupambana, na pia Wana chama wanaacha kupambana topic inabaki wenyewe kwa wenyewe, note that swala au nyati wakigombana Simba wanajichukulia kiulaiiiiiini kabisa.
Tumieni hekima. Kama kuna
Aliehongwa lifanyieni kazi hilo.
Hapo Bado uchaguzi mkuu duh, majanga.
Samia oyeeeee...kwa mpago huu wa chadema kuporomoka basi mama ni rais wetu mpaka 2035.
Rais wako mwenyewe
Nenda ccm haraka.huna hoja yoyote ya kuongea na vyombo vya habar.
Lema kapambana na Magufuli,we umetumwa chadema tushakujua we nenda ccm atukutaki una sifa kua kiongozi
Kapambana nae nini Kuma wewe huyo lema anani mbwa wewe
Mfukuzeni Lema kama mumejiridhisha kuwa hawafai ili apangiwe kazi yeyote nje ya siasa
Boni mchane asijione yeye mungu mtu
Lema amesema mamlaka znazohuska ziwavue uanachama kule wanakotoka. Nyie niwalevi na machoko lazma mvuliwe. Chadema inahtaji viongz imara km lema na wengne wenye uhodari. Sasa ww huna element za uhodari wa cdm lazma uvuliwe tu
Lama hawezi kua na rafiki chawa kama wewe umekula vya ccm nenda huko kakae nao jiulize mwigamba Yuko wapi kisiasa
CHAWA WANATOFAUTIANA VIWANGO ILA UKIVUKA VIWANGO UNAKUWA MCHAWI
ALAFU NI VIGUMU MCHAWI KUJUA KAMA ANALOGA ILA ANACHOJUA NI KWAMBA YUKO KWENYE IBADA
Sema kiongozi kama ndani ya chama kina uwozo
Kwanza unababaika kuongea kwenda
Unaona unavo watatea ccm unapoteza muda wana chadema wanaelewa yote mlio nunuliwa, mnataka mbeo, lema wasiwe viongozi, ili mkiuwe chama chadema sio cuf, au vyama vingine mlivo viuha mmeshindwa
Sijakuelewa
Mavii wewe ata unavoongea inaonyesha mnafikii mkubwa we nyoko
Acheni kulalamika kaka Angus shetani anawagombanisha mharibu chama acheni hayo yote nyamaza mjenge chama sisi watanzania tunawategemea sana
Hata uhangaike utaondoka chadema hata ukitoa mapovyu utaondoka na genge lako muende Kwa abduli muiache upumbavu wewe boni tunajua umepewa kazi na ccm uvuruge chadema Arusha huwezi jifunze kwawezako waliotumika wameondoka chama kipo na wewe utaondoka ni kirusi
Naomba chadema kama mko makini mfukuzeni mapema bonifasi asubui bila ivo mtalia mbeleni
Hufai kuwa kiongozi wewe na huna adabu
kama kweri unamkosoa lema mbona na wewe unakichafua chama kwa kuongea na vyombo vya habari ungefwata protocol ningekuelewa
Mimi nawa ombeni kaini chini muyamLize
Acheni ujinga wa kuaribu chama,kama unataka kwenda ccm we nenda chadema ni tasisi ata msigwa aliondoka chadema ikabaki kuwa chadema
Ww unatumika pia ni dhaifu sna kwenye siasa,pia utakua ni zaidi ya mlevi
Hamna kitu wewe Huna lolote unatapa tapa TU nenda ccm
Wewe kunasem unatumika bila wengine kujua ndiyo mana wakakugunduwa. Kwaiyo wewe tembea wache chadema
Bonny ni kinda tuu kwa Lema. Huyu kuna external forces zina tumika. Mtu hana hata kiatu cha pili ana pandishiana na Lema Matawi?
Rushqa hujui hata kusema nenda kwa msigqa
Waambie wanaokutuma wape taalifa tupo imara hamuwezi kutuchafua ushauri wa bure tu fanya hivi inataka hisani ili wakuite ccm bends ccm fanya harakabends
Jaribu kua na akiba ya maneno
Wewe boni umekula vya abduli toa ujinga wako huna uwezo wa lema kisiasa wewe ni chawa
Wewe ni puuzi tuu huna jipya ninyi tunajua mpewa pesa ya abduli tunakujua wewe nisehemu ya watu mmesha kula vya watu tokeni muiache chadema
Sasa unatwambia nini unaposema mlikuwa mnafanya wote drama?!so hata wewe drama kwako ni kawaida tuu na hata haya unayosema now ni drama tuu
HIVI CHADEMA HAKUNA KAMATI YA NIDHAMU? MBONA HAWA WENZETU WANAACHWA KUENDELEA KUHARIBU CHAMA CHETU?
Wewe ni kiongozi gani unaongea upumbavu-pumbavu na kupayuka hovyohovyo. Hamwezi kuongoza hii nchi, kaongoze kaya yako. Hakuna kiongozi fara na mpiga makelele kama wewe. CHADEMA inavibaka wengi sana na wewe ni mmojawapo.
Anaongea kama makonda jana. Jana alisema ni Lissu ndiyo aliyesababisha chadema kukosa wawakilishi wengi bungeni kipindi chake. Huyu naye analaumu kuwa chadema kanda ya kaskazini kipindi cha lema imedhoofu kwa uongozi mbaya wa lema. Hakumbuki chadema imepitia magumu yapi tangu 2015 hadi leo.
Lema hajawahi kuwa muongo.ww inaoneka ni sawa na msigwa tu.
Nimeshindwa hata kuimalizia hiyo video, lakini nikisoma comments nachokipata ni mgawanyiko koz naona timu lema na timu bony na hayo ndiyo matokeo ila ukijiuliza kwa Nini utajuwa hapo Kuna noti zimetembea, koz mengi husababishwa na noti hivi kweli watu hamlielewi hilo? The big leaders must go to the root of this issue and solve it wisely. Pumbavu mwenye uelewa finyu hamwezi kunielewa, illiterate people can't understand me.
Acheni kugombana hadharani mnakosea nyamazeni mvumiliane sio sifa hiyo.
Lema ni mwongo na mjinga. Mara nyingi hutafuta huruma ya watu kwa kukimbilia vyombo vya habari kuongea
Nyie nyote ni wapumbavu na wachumia tumbo, pumbavu sana. Kafieni mbali.
Mbowe mmoja ni watanzania 10,000,000 haijalishi ni chama gani. Kumpata kiongozi kama Mbowe hii Nchi tutasota sana.
Mimi sipendi vyama vya siasa vyote TZ Bali napenda haki na amani tu. Hivi virusi vinavyotafuta mikate Kwa propaganda ni shida sana.
Kiukweli mimi binafsi siamini kama wewe ni mwana chadema. Bora wakufukuze mapema kuliko uje kuwa chama
Kiongoz unatakiwa kuwa na busara swala hilo linatakiwa kumalizwa katika vikao vya ndani mnapokimbilia mitandaoni ndiyo kumaliza matatizo?wote hamna busara kwani hicho chama nimali yenu?au nimali ya wananchi ondoweni upuuzi wenu msituharibie chama
Unatumiwa kuharibu chadema ww. Mbna kila mwaka tunafanya kumbukiz ya mawazo
Huyo mawazo aliomuu kumbe lema
Busara ya chadema iko wapi? Hawaoni kuwa kuna mkono wa Bashite?
Wewe liongo huna lolote ccm wamekutengeneza mjnga wewe huna lolote
Jamaa kajichunguze vzr,ww siyo Mwanachadema,hauwezi ukaongea maneno ya hivo public.
Umetumwa
Acha ujinga wewe.mjinga tuu huwezi kumfikia lema kiumaarufu.alafu unawaambia nani ugomvi wenu.unataka msahada kwa nani kuhusu malalamiko yako.acha ujinga wewe Wala huwezi kuwa mbunge wa arusha.labda mkose wewe na lema ndiyo lengo lako
Mimi ni kushauri ni achenikutukanana
Haya mambo yanajitokeza kipindi hiki cha uchaguzi why? Let me tell you the truth hata wanachadema wazuri mtawashangaa tatizo mihamala, na hili ndiyo chujio mwanachadema Hali si ajulikane. Narudia Tena Mimi Sina chama. Nawala kura sipigi. Labda kama kungekuwa na badiliko la utaratibu koz kwanini nipoteze muda Hali najuwa kwa utaratibu huu chama Fulani kinashinda? Kama napenda ccm najuwa inashinda sipigi, kama napenda wapinzani najuwa hawashindi sipigi. I can't waste my time in vain. Unless niwe sure kura yangu itahesabiwa, yeah that's my thoughts.
braza kua makini sana maana lema ni mjanja wa mjini
Si uende ccm unabwabwaja la mwanamke kama umechefukwa kaunge juhudi kwanza hatukujui fungal kopo lako mbwa wewe
Halafu kama umetumqa na CCM kuinanga CCM usipende kutafuta huruma Kwa kujificha kwenye kivuli cha CHADEMA Mshenzi wewe. Usifikiri CHADEMA Ina watu wenye Akili ndogo as you.
Nawahakikishia huyu jamaa anafanya maksudi kufanya kosa ambalo kikatiba atafukuzwa ili akienda CCM aseme CHADWMA hakuna DEMOKRASIA.
Mshenzi mkubwa, hatutaki UPUMBAVU
Baba nenda msigwa anakusubili
Mbona unatukana blichi zinakusu nini siasa siku zote niwongo kwaiyo akiongea ndiyo mlivyo wote usijitete
Anakuelezea vizur mshangaz
Wewe umetumwa hata hauwezi kufikia robo ya mheshimiwa Lema
Toa upumbavu wake hapa
Nenda zako CCM we mshamba umuwezi wanakati wa magufuli mlikuwa wapi tulimwona lema akipambana mwenyew.
Kuma weww
Ufai kua kiongozo wewe
Ww shushu wa ccm tembea zako waache watu walipambania chama hao hd manusula kufa weunaongea nini rwma sisi tunamkubali wehata ubwatuke umetumwa tu
Naenda ccm broo acha fitina
Lema ni mwamba wa arusha
Wewe siyo mwana chadema boni
Chawa uyooo
Bony ondoka hufai kuwa chadema
Unataka kumchafulia kigaira aonekane mpo pamoja
MBONA SIWAONI WANAĴITA ÈTI MASKOFU
KATIKA SAKATA LA GHADEMA TU WAGOTE NA WALA TUSÌWAMINI
NI WANÀFIKI SANA RWAÑDA NI HAWA WALISABISHA YALIOTOKEA
Jifunze kuandika kwanza halafu urudi tena kuandika utumbo wako.
Rushwa mbaya sana mwisho wake huwa mbaya sanaa