Hongera saana Zitto, wapinzani kama kweli mko serious ni vema mfanye kazi pamoja. Otherwise mnavunja moyo wananchi na kwa kuwaona kwamba mnauchu wa madaraka
Zitto akili kubwa sana, kikeke anazidi kuonyesha kusoma na kufanya kazi nje ya nchi ni tofauti kubwa sana. Kikeke is showing distinctive features which our very own journalists who studied here and working here have not.
@@stanslausmteme8455 nyumbu huaminiki hata kwenye saccoss yenu, 😂😂😂😂😂😂😂 ACT ndio jukwaa sahihi kwa vijana wote walio sirias na nchi yao na kuonesha vipaji vyao. Ahsante
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tatizo la vyama vingine mbali na CHEDEMA. Huwa warahisi sana kuchukuliwa na CCM. Pale panapoonekana maslahi halisi yanaonekana ķwa chama kinachoonekana kuizidi CCM. Viongozi wake hulainishiwa maisha na CCM. Na hivyo kuwa daraja la kudhoofisha upinzani
Daah ila ZITTO alipokuwa Chadema alikuwa wa Moto sana. Yeye ni miongoni walionishawishi kuikubali chadema kipindi kile; Nakushauri Rudi CDM ugombee urais
@@Jerie-q1c hilo umelisema wewe, lakini kwa ground ni kinyume chake ACT ilipata mbunge wake wa kwanza toka Tanzania Bara, pia ilipata kushika halmashauri yake ya kwanza ni hukuhuku Tanzania Bara. Vipi iwe haina ushawishi Tz Bara na kisha ndio ipate kushika ushindi hukihuku?
@@Jerie-q1c sawa, basi kila mtu ashinde mechi zake, ila siafiki ACT kungana na CDM hasa kipindi hiki ambacho ACT imeshapata viongozi wake kila jimbo, kata, mtaa wa nchi hii. Tujipange wenyewe tupambane, tutakachokipata ndio kitaonsha nguvu yetu Bara bila kutegemea msaada wowote wa kubebwa na chama chochote cha siasa
@@FelixMwedipando nyumbu hawaaminiki, saccoss ya Mboowe itawamaliza ACT faster. Pesa za mama Abduli zimemwagwa huko CDM balaa, mpaka Tundu Lisu aliwahi kusema. ACT wasijaribu kuuongia huu mtego, watapotea
Hapo umelenga shabaha Zitto ni kweli tutakuja kuwa na wazee wengi masikini walionyimwa fursa kwa faida za walafi wachache wenye ubinafsi,choyo,chuki,na tamaa ya madaraka. Kila leo tunajenga uchumi huku wanaiba fedha za uma na rasilimali zetu kwa mikataba lukuki ya siri na kuficha hazina zao nje zikijenga nchi zingine, nyumbani kunadoda,ndugu zao wakiambulia dhiki tupu.
Zitto Kabwe ni miongoni mwa nyota ya wanasiasa wasomi wachache lkn nguvu na nishati yake inaenda kupotea kwa kutounganishwa na nguvu nyingine kunufaisha taifa kwa ujumla!
tatizo hatuwajui mioyo yenu ina nia gani ni watanzania au matumbo yenu Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania na watu wake ikumbuke na uiokoe na wanafiki waliovaa ngozi ya kondoo kumbe ni mmbwa mwitu
Ni kweli wanasiasa wote hata hao ccm pia watuzama matumbo yao tu sasa waliokula hela za nnchi ni ccm sana kuliko hawa wapinzani na kama tutajaribu kuwapa wao pia watuzamwe watakula kama hao ccm au watafanya nini maana hawajapewa nafasi tutawajuwa vipi??
Kimsingi na km mtanzania makini hakuna chochote cha kuuunga mkono CCM hadi pale itaruhusu katiba itakayowapa raia mamlaka ya kuzisimamia raslimali tulizonazo uwezo wakuisimamia mamlaka hata baada ya chaguzi (uwezo wa kuwaondoa viongozi bila kusubiri ratiba ya uchaguzi)
Ccm zanzibar hawana ukweli na niwaoga wa democracy watu laki moja kura mara mbili ka kujiuliza hao wanaopiga mwanzo siku ya pili kura ya rais wa muungano na wabunge vipi hawatopiga ???????
Kumbe bado unataka ubunge wakati ummeshinda miula 20 bado unaitani tena kwanini usiwachie wenzio kama wewe ni mzalendo kweri kaa pembeni wachie vijana wenzio huo ubunge nao wanawenza kuongea pia bungeni pumzika kama mzalendo kweri
Nchi hii iko na maligafi yakutosha lakin sjawai sikia mgombea wa uraisi yeyote akasema mukinichagua ntakuwa nawalipa wananch wamgu kwakila mwezi mahana izo mali ni zawananchi wenyewe, kwanin zisilejeshewe na wenyenazo watafutao
Nchi yetu masikini ni moja ya nchi 10 duniani ambazo ziko mkiani kabisa kwa umaskini sasa rasilimali uwape watu mshahara watumishi wa umma watafanyaje.
Zito acha uongo hueleweki wewe una rangi nyingi sana kama kinyonga,mdomoni una maneno matamu sana lkn moyoni loh! Usomi na kuongea kwa mbwembwe sio kila kitu, bado tabia asili na malezi/makuzi ya mtu yanabaki pale pale kama ngozi na mwili. Shukuru cdm kilikuibua kikakulea sasa una mtaji na ukivunja ndoa na ccm wanazikomba zote!
Crown media iwekwe kwenye ving'amuzi
Hongera saana Zitto, wapinzani kama kweli mko serious ni vema mfanye kazi pamoja. Otherwise mnavunja moyo wananchi na kwa kuwaona kwamba mnauchu wa madaraka
Wao ndiyo wahuni wanaunga mkono wanapuliza
Ni sawa nakubali kabisa
Zitto akili kubwa sana, kikeke anazidi kuonyesha kusoma na kufanya kazi nje ya nchi ni tofauti kubwa sana. Kikeke is showing distinctive features which our very own journalists who studied here and working here have not.
Mwanasiasa kamanda zitto upo vizuri sanaaa. MUNGU akupe maisha marefu
Ahsanteni ACT hakika hiki ni chama kiongozi kwa sasa Tanzania
Hamna kitu
@@stanslausmteme8455 nyumbu huaminiki hata kwenye saccoss yenu, 😂😂😂😂😂😂😂
ACT ndio jukwaa sahihi kwa vijana wote walio sirias na nchi yao na kuonesha vipaji vyao.
Ahsante
@@abujamalaalghammawiy7470hakuna kitu kama hicho
Salim kikeke baba wa habari africa asante sana salim kikeke asante sana alikiba asante sana crownmedia
Good interview but the background music is annoying / terrible
Genius Sana.
Zizu Kabwe.
Asante mheshimiwa Zito rispect Zito
Point nzur Mh Zito
Mh.Zito Unazungumzia Zanzibar Kuwa Na Uhuru Kamili Je Tanganyika ????Au Hulijui Hili???
Zitoo na lipumba sawa mkae
Safi sana Zito nimekuelewa sana
The great political leader in Tanzania
Mungu akuongoze zito
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Safi sana kiongozi bila umoja hatuwezi kumngoa jini huyu
Tatizo la vyama vingine mbali na CHEDEMA. Huwa warahisi sana kuchukuliwa na CCM. Pale panapoonekana maslahi halisi yanaonekana ķwa chama kinachoonekana kuizidi CCM. Viongozi wake hulainishiwa maisha na CCM. Na hivyo kuwa daraja la kudhoofisha upinzani
Ishu si kuungana bali nani atakutangaza mshindi hata upate 95% ya kura😅
Mr. President 🤝🤝
Mazungumzo mazuri sana
Kmaweza mkaungana mkashinda uchaguz ila inategemea na yule anatangaza ushind😂
Wewe huelwekiii aisee
Daah ila ZITTO alipokuwa Chadema alikuwa wa Moto sana. Yeye ni miongoni walionishawishi kuikubali chadema kipindi kile; Nakushauri Rudi CDM ugombee urais
@@Jerie-q1c Haiwezekani kurudi kwenye saccoss ya mtu. ACT Wazalendo ndio jukwaa sahihi kabisa
@@abujamalaalghammawiy7470 SAWA ILA ACT HAINA MVUTO NA USHAWISHI KWA WANANCHI NA HASWA TZ BARA
@@Jerie-q1c hilo umelisema wewe, lakini kwa ground ni kinyume chake
ACT ilipata mbunge wake wa kwanza toka Tanzania Bara, pia ilipata kushika halmashauri yake ya kwanza ni hukuhuku Tanzania Bara.
Vipi iwe haina ushawishi Tz Bara na kisha ndio ipate kushika ushindi hukihuku?
@@abujamalaalghammawiy7470 Ni kweli lakini ukubwa wa ACT huku Bara huwezi kufananisha kwa namna yoyote na ukubwa wa Cdm iliokwishaupata
@@Jerie-q1c sawa, basi kila mtu ashinde mechi zake, ila siafiki ACT kungana na CDM hasa kipindi hiki ambacho ACT imeshapata viongozi wake kila jimbo, kata, mtaa wa nchi hii.
Tujipange wenyewe tupambane, tutakachokipata ndio kitaonsha nguvu yetu Bara bila kutegemea msaada wowote wa kubebwa na chama chochote cha siasa
Je ni kura zipi Rais au Mbunge zinazokipatia ruzuku kwa umuhimu wake?
Ahsanteni ACT, Hakika hiki ndio chama cha kidemokrasia kwa hakika, sio kile chama cha saccoss cha Mbooooowe
❤❤
I THINK VYAMA VYA UPINZANI VIKIUNGANA ITAKUA VIZURI SANA.... TUTAPATA WABUNGE WALIOIMARA
Wataunganaje na hawa mapandikizi wa CCM
Sasa mbona hata ofisi za chama hamutuletei katika kila Kijiji na kala kata ni kwanini
Well
👑
Unganeni kuikomboa 2025 Zanzibar kwanza Ili 3030 msonge MBELE .
@@FelixMwedipando nyumbu hawaaminiki, saccoss ya Mboowe itawamaliza ACT faster. Pesa za mama Abduli zimemwagwa huko CDM balaa, mpaka Tundu Lisu aliwahi kusema.
ACT wasijaribu kuuongia huu mtego, watapotea
Fundisho kwa mboe mwenyekiti wa milele
Kiongozi pigilia msumari hilo inuwa hoja halmashauri safi sana kiongozi
🎉
Hapo umelenga shabaha Zitto ni kweli tutakuja kuwa na wazee wengi masikini walionyimwa fursa kwa faida za walafi wachache wenye ubinafsi,choyo,chuki,na tamaa ya madaraka. Kila leo tunajenga uchumi huku wanaiba fedha za uma na rasilimali zetu kwa mikataba lukuki ya siri na kuficha hazina zao nje zikijenga nchi zingine, nyumbani kunadoda,ndugu zao wakiambulia dhiki tupu.
ina maana hivyo hivyo
Zitto ni ccm b
Zito mnafiki akikutana na samia anchor kiongea hakieleweki
Zitto Kabwe ni miongoni mwa nyota ya wanasiasa wasomi wachache lkn nguvu na nishati yake inaenda kupotea kwa kutounganishwa na nguvu nyingine kunufaisha taifa kwa ujumla!
Wisdom
Albert Nakusalimu,
Maoni Yako ni muafaka kabisa, Zito yupo vzr Anajiamini sana.
tatizo hatuwajui mioyo yenu ina nia gani ni watanzania au matumbo yenu Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania na watu wake ikumbuke na uiokoe na wanafiki waliovaa ngozi ya kondoo kumbe ni mmbwa mwitu
Ni kweli wanasiasa wote hata hao ccm pia watuzama matumbo yao tu sasa waliokula hela za nnchi ni ccm sana kuliko hawa wapinzani na kama tutajaribu kuwapa wao pia watuzamwe watakula kama hao ccm au watafanya nini maana hawajapewa nafasi tutawajuwa vipi??
Kimsingi na km mtanzania makini hakuna chochote cha kuuunga mkono CCM hadi pale itaruhusu katiba itakayowapa raia mamlaka ya kuzisimamia raslimali tulizonazo uwezo wakuisimamia mamlaka hata baada ya chaguzi (uwezo wa kuwaondoa viongozi bila kusubiri ratiba ya uchaguzi)
Hiki kipindi ratiba yake ikoje?
Nimependa KAULI Yako kwamba muungane wanamageuzi
Huyu ndio mwanasisa mahiri katika upinzani, wengine ni wasaka tonge tu na waropokaji.
Huna akili wewe kaa kimya, zitto sio mahiri ni msaliti na ni pandikizi la ccm
@@laninjeje8290Waambie hawa wasiojua
Umezaliwa mwaka gani au umeanza fatalia siasa enz za mzee wa chato
@@ChoroTesla we mkundu Mimi cjatuma sms yoyote ya siasa, jiheshimu achana na Mimi
@@laninjeje8290 mie sijakutukana ila kwa sababu email yako ina manamba hua sibishana na a f*** wanker
Nchini Tanzania hakuna uchaguzi huru na WA haki
Chadema
Huyu zito simuamini anaweza kuwa katumwa na chadema wakaingia kichwa kichwa
Katumwa na nani!?
@@abubakarmuhammadsaid3244na CCM
Sema ccm
@@BeatusNgereza
Unao ushahidi au ni chuki zako tu za CHADEMA!?
Kaka ume nirudisha kwenye mustari na mudi ya kupigia kula
HAPA NAKUKUBALI. TULIJUA UMEOLEWA NA CCM😢
Alishaolewa huyo sio wa kumwamini tena
Huyuuu aaminiki kabisa
Ccm zanzibar hawana ukweli na niwaoga wa democracy watu laki moja kura mara mbili ka kujiuliza hao wanaopiga mwanzo siku ya pili kura ya rais wa muungano na wabunge vipi hawatopiga ???????
Yani ndg yangu zitto kauli Yako ipo inaonyesha kabisa kwamba Kuna kitu mmejipanga kufanya kitu Apo
Kisima mpya
Kumbe bado unataka ubunge wakati ummeshinda miula 20 bado unaitani tena kwanini usiwachie wenzio kama wewe ni mzalendo kweri kaa pembeni wachie vijana wenzio huo ubunge nao wanawenza kuongea pia bungeni pumzika kama mzalendo kweri
Hatutaki kuungana ,, na cdm hiki chama ni cha ajabu
Act Chama cha waislam
CCM nacho ni chama cha dini gani?.naomba uniijuze tafadhali .
Napata tabu kujua ni sauti ya yupi inahoji na ya yupi inajibu
Kivip yaani inakupa tabu ama humjui yupi ni mtangazaji na yupi ni zitooo
😂😂@@MohdIkra-d7s
Zitto nakukubali ongea na mwenyekit bas tuungane na chadem
Zitto
Nchi hii iko na maligafi yakutosha lakin sjawai sikia mgombea wa uraisi yeyote akasema mukinichagua ntakuwa nawalipa wananch wamgu kwakila mwezi mahana izo mali ni zawananchi wenyewe, kwanin zisilejeshewe na wenyenazo watafutao
😂😂😂😂
Nchi yetu masikini ni moja ya nchi 10 duniani ambazo ziko mkiani kabisa kwa umaskini sasa rasilimali uwape watu mshahara watumishi wa umma watafanyaje.
Nani alianzisha ACT? Mlikuwa KTK ngazi ya kijiji.magari yote Yapo WAPI?
Kuungana kunaruhusiwa
Chadema iungane na Act na Ccm iungane na chama ambacho ina mtazamo kama wake waungane
Namkubali sn huyu jamaa nafuu angeendelea daa
Kwa chadema mbowe bado hajamaliza kazi ya kuhakikisha upinzani kuingia madalakani
Na kwa maajabu ndo chama chenye nguvu
Hamna kitu apo ni propaganda tu
Inamaana bila mbowe hakuna mabadiliko?
Wwe na lipumba ndo mlisababsha chadema washndwe kuchukua urais , utakuw c.... ue
Act huko bara anaijua Nani ?
ACT mbunge wake wa kwanza katokea bara
Zinajulikana mpaka kwenu kikungwi
madalali wote ninyi akuna kitu hapo.
Dalali wewe pumbavu mmoja
Utabakia hivyo na akili zako za kijinga jinga hasbiya Llah waneemal Wakiil hasidi mmoja
Hakuna jipya.Wote ni Madalali.
Wewe tu ndio sio dalali wengine wote ni madalali .
Hivyo Sana huyu
Ninamkybali zitto kabwe....
Uraisi , msahau jmn n ndoto
Nikweli urais wasahau kwasababu ccm na tume wanaficha masanduku ya kura polini kwamujibu wa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya longido
Zitto usitake mtaji,,na umaarufu kwa chadema,,chadema tunajitosheleza
Hamna lolote.
@@binmgeni4664 ccm haingaiki na chama kisico lolote kama TADEA au TLP. DC Longido kasema wazi CCM bila serikali hamshindi
Wewe jitambuee apa chakugombea ccm itokeee 2 bas mengine badae
Tungeomba waungane kama ukawa tuta shindaa
@@binmgeni4664kazi munayo mwaka huuu kama ccm 🖕