Well said king 👑 Time of revelation ✊🙏 Kwa kila ahusikae na atakaehusika Mungu atashughulika naye wazi wazi kwa gharika ili iwe funzo kwa wengine. CCM wanazidi kupofuka kwa matumizi ya rushwa na jambo hatari sana kwa misingi na usalama wa Taifa maana viongozi wote wananuka Rushwa kwa kila walichokua nacho. The hands of God is up on them 🙏
Baba ww sijui nisemeje mungu anajua mwenyezi baba nakuomba kwa uwezo wako wote umeumba kilakitu kilichopo vinavyo onekana navisivyo onekana.ww ni shujaa..tunakuomba tuletee uyu baba lisu atuongoze...nchi yetu Tanzania Ameen
Ndiomaana tukasema Mbeba maono yataifa letu, Tunapaswa kuendelea kumuombea maana safari yamaisha ingalipo navita ingali bado ipo kwakuwa adui yungali hai kwamaana yawatu wasiojulikana ambao serkal kupitia mamlaka zake hususan jeshi lapolisi imekana kuwajua yapata miaka 7 sasa nahaijaonyesha jitihada za kuwapata watu hao ata walotuhumiwa kuhusika natukio lakuyagharimu maisha yamtu wetu jeshi lapolisi halikuwakamata nakuwawajbsha kwny sheria nawengine wanaendelea kushika madaraka makubwa ktk nchi tena kwanafasi zauenyekt waulinzi nausalama wamkoa. Tuendelee kumwamin Mungu kila kitu kwawakat wake atalipa vsasi vyamja wake
Lissu Rudi kwenye kazi yako kaka tumekumic sana kwenye kutetea kes za watu mahakaman, huko kwenye siasa unapoteza mda chama ulipo sio sahihi kaka angu.
Acha mkuki ukuingie sawasawa. Wewe ni Chawa zwazwa la Chama cha Majambazi. Acha Lissu aendelee kutoa elimu huenda watu wengi watatambua haki zao na kuzidai bila kusukumwa na mtu, na hapo ninyi machawa mtakapolia kilio cha mbwa koko.
Nijuavio mimi,Ni kweli Rushua ni mbaya ktk ulingo wa kugombea fursa za kuongoza,lkn hiyo Haiondoi ukweli kwamba,mtoa rushwa,pia aweza kuwa mwenye kuongoza vzr! Kama mtu karusha rushua ya ngono(ambaio hakika ni mali yake asili),npimeni kwenye kazi!!
CHADEMA WAMEJIANDAA VYEMA KABISA KUONGOZA HILI TAIFA NA HUENDA WAKALIMUDU. UJUE HILI SIO TAIFA DOGO SISI SIO WA KUSHINDWA NA SOUTH AFRICA,NIGERIA ,MISRI WALA KENYA. CCM WAMEFELI PAKUBWA MNO. MBOWE NI ZAIDI YA KIONGOZI KWENYE SIASA ZA UKANDA HUU WA AFRICA MASHARIKI
@thomasmallya2972 nina hofu na uelewa wako lkn tambua kuwa ccm hawaliwezi hili taifa bora chadema mara 10 zaidi. Ccm hakuna hata chembe ya uzalendo ila chadema wale jamaa ni watu na nusu. Pamoja na uhaba wa pesa ila wanaweza kuvumilia mengi hili taifa wanalielewa vzr sn wakipewa nchi ndani ya miaka 5 tutaona mabadiliko makubwa mno
Muongo, hawa hawa ndio walimtaja lowasa kuwa ni fisadi papa lakini baadae hawahawa wakamlamba miguu na kumsimika kuwa mgombea wao. Hii mambo ni biashara kama biashara zingine tu. Kelele tu.
Chadema nyinyi nizaidi ya majangiri. Yani hamjadili tena uchaguzi. Mnacho Fanya baada ya kupokea rushwa mmegawana pesa. Hapa mnawapiga maboya wanachama wenu. Wasijue kinacho endelea
Khabithi kweli wewe. Lisu anaeleza MIIKO ya mwanachadema, wewe unatafsiri ndani ya Chadema kuna rushwa hadi ya ngono!!!? Si bure mnogopa kumkabili yeye mwenyewe, na mnabaki kusema aneumbua chama.
Natoa maxhozi sana ndg zangu watanzania nini jili jinamizi la chama bora cha kuikosoa serikali munaanza kusemwzana hivi sasa mapambano ya kisiasa xcm mutaiondoaje kwenye utawala? Ndg lisu uko sahii lakini tumia jekima sio hasira uanze kutibua mwenzako pale xxm wanaanza kuwasambaratisha ooo yesu wanguuuu
Sijawahi kuona watu wenye akili fupi kama anayefikiria kuwa Lissu anaweza kuiongoza Tz zaidi ya kuiuza nchi kwa Amasterdam ,wasenge nk sera hana zaidi ya kuongelea watu hadi waliojiondokea duniani.Chizi😢
Nina mashaka sana na bos wake. Nahisi hotuba hii inamhusu moja kwa moja. Bora Mchungaji aliyeamua kuhama waziwazi kuliko huyu kikulacho kii nguoni mwako!
Yule jamaa simsikihi kabisa nimemsahau jina lake kwa upande wa Chadema alikuwa muongehaji sana what happened now? Next watch you go here he going to CCM Naomba mnisaidie jina lake,yule jamaa kabla ya Waitara kuchu kuwa Ubuge
CHADEMA mnachelewa nini kumfukuza Lissu? Mnasubiri mgogoro uwe mkubwa???? Hajui siku hizi vikao vya chama? Mbona yeye wakati wa Lowassa alipofushwa macho akakana yote aliyowahi kusema? Sasa anapambania ugombea urais ambao anajua Mbowe naye anataka kugombea. Anafanya uhuni kumdiscredit mwenyekiti wake. FUKUZA MARA MOJA HUYU JANJAJANJA
Kwa kauli hizi Lisu hifai kuwa kipngozi. Unspaswa kuwa na hekima na akiba ya maneno. Kama sio Mbowe kwenye lile tukio lako la kuoigwe riisasi usingeoona wewe!! Ebu vuta kumbukumbu kama ungepelekwa Muhimbili ungekuwa unaongea hayo leo!! Kumbuka fadhifa Jamani wewe sio wa kuyasema hayo!!
Amekugusa tulia upewe doze kamili mheshimiwa Tundu Lissu sio mwanasiasa ni Kamanda anayeongoza mapambano ya uhai wa Taifa letu na Demokrasi yetu, vita ni vita Mura!!
Mh Lissu nmekuelewa xn mbowe ni ttzo ndani ya chadema hata baadhi ya viongozi waliokihama chama wamekimbia Kwa ajil yake coz Yuko kimaslahi zombie kabisa
Mheshimiwa Lissu hamtukani rais ila anajibu maneno ya Rais Samia! Katiba ni kijitabu ni Lissu amesema ? Waziri Mchengerwa ana kifua kipana ni Lissu amesema?? Kufa ni kitu cha kawida ni Lissu amesma? Wasaidizi wa Rais wamsaidie kuandika hotuba ndiyo maana wanlipwa kwa kodi zetu.
Usipompemda Mhe,Lissu we ni mla Rushwa, hongera kamanda kwa kukaa kwenye misingi ya Chama.
@@RwechungulaBegumisa uwezi mlazimisha mtu ampende asienpemda
Huyu ndie Tundu Lisu,Mwanasiasa Bora kabsa Kuwahi kutokea Tanzania na Africa
Well said king 👑
Time of revelation ✊🙏
Kwa kila ahusikae na atakaehusika Mungu atashughulika naye wazi wazi kwa gharika ili iwe funzo kwa wengine.
CCM wanazidi kupofuka kwa matumizi ya rushwa na jambo hatari sana kwa misingi na usalama wa Taifa maana viongozi wote wananuka Rushwa kwa kila walichokua nacho.
The hands of God is up on them 🙏
TUNDU LISSU IS THE GENIUS AND ICON FOR THIS GENERATION 👏.
@@JoelRichard-hj3bi Amen Amen and for sure.
Baba ww sijui nisemeje mungu anajua mwenyezi baba nakuomba kwa uwezo wako wote umeumba kilakitu kilichopo vinavyo onekana navisivyo onekana.ww ni shujaa..tunakuomba tuletee uyu baba lisu atuongoze...nchi yetu Tanzania Ameen
Kweli Salima said🎉🎉
SalimaSaid ..lisu is light for our nation
Amina
Yeah. That's Truthfully Sir talking about it.
Mwenyez Mungu akuponyyye uzidi mara,enyiii nyote mpiganiao. Haki bila kujari uhai wenu,, mateso ya ccm,MUNGU. Mkuu awalinde.
Big up sana KAMANDA
Hongera xn kamanda bg up pa 1 xn❤❤✌️✌️✌️✌️
Mungu akubariki sana Wewe ni Nuru ing'aayo gizani ndani ya giza hakika giza halita iweza kwamwe.
Congratulation Mr Lisu you're excellent God bless you.
Amesema kweli kabisa unajua badala yakuagalia Masilahi ya wanainchi mnaagalia chama Tundu Lisu MUNGU Akubariki umesema kweli
Naipenda sana hiyo misumari inayogongelewa kwenye vichwa vyawadau wasiasa zaupinzani hususan CDM wakiwemo viongozi waCDM kote nchini.
Blessings zakutosha kwako General mkuu nashujaa wetu wamapambano zidi yamaadui zetu❤❤❤
Kiongozi akiongea watu husikiliza. Asante kwa hotuba nzuri sana!
Mwamba tundu lisu ni mmoja tu
Kubak hai katika tukio la maangamiZ ni Mungu kuwa na sababu zake nasi tunaona hiv Mungu azid kukulinda baba
Ndiomaana tukasema Mbeba maono yataifa letu,
Tunapaswa kuendelea kumuombea maana safari yamaisha ingalipo navita ingali bado ipo kwakuwa adui yungali hai kwamaana yawatu wasiojulikana ambao serkal kupitia mamlaka zake hususan jeshi lapolisi imekana kuwajua yapata miaka 7 sasa nahaijaonyesha jitihada za kuwapata watu hao ata walotuhumiwa kuhusika natukio lakuyagharimu maisha yamtu wetu jeshi lapolisi halikuwakamata nakuwawajbsha kwny sheria nawengine wanaendelea kushika madaraka makubwa ktk nchi tena kwanafasi zauenyekt waulinzi nausalama wamkoa.
Tuendelee kumwamin Mungu kila kitu kwawakat wake atalipa vsasi vyamja wake
Yani kichwa kinaniuma kuhusu mchezo wa CCM kujiona wanauzo wa kila kitu kisa😂 police wao,wanajeshi wao
Uyu ndiyo mkweli ktk kusema kweli Kuna tatizo Kati yetu ndani ya Chama chetu
Mwenyekit wa Chama ndio chanzo
Haiwezi kuwa hivo kwaM/kt wachama Taifa,
Mbowe nikirusi @@RaymondSalingwa-d8f
Unafaaa sana Baba
Chadema hoi😊😊😊😊
Lissu ndiye mzalendo pekee aliye baki nchini ✊✊
Lisu pambana kwajili ya inchi yetu, wapo watakao kuelewa na watakao kupuuza lakini usife moyo
This guy deserve to be a chairman of CHADEMA party
Hicho ndo anapambania hamna lolote zaidi
Bado hajapata nchi akipata nayy atakula tuu tusidanganyane mm kura yangu hutoipata daima upo na siasa za chuki
Ushahidi wa ruchwa na hilba upo ktk chaguzi nlomuangamiza Msigwa hadi leo hana hamu kabisa na chama cha kigaid chadema..
Ninapomsikiliza namkumbuka Hayati Nyerere!!!
Lissu best
Nachukia sana wanasiasa kutumia kila dakika neno VITA
we umeelewa vita gan kwan
Shenzi kabisa unajua vita gani wewe?
@MagariUsed usikurupuke ku-coment,sikuliza kwa makini ndo utoe hoja!!!
Kamanda lissu nakukubali jamaa yangu natamani niwe kama ww
Krujuan imeanza fanya kazi bado na mtawataja watekaji wasiojulikana😂😂😂😂😂😂😂
Lissu Rudi kwenye kazi yako kaka tumekumic sana kwenye kutetea kes za watu mahakaman, huko kwenye siasa unapoteza mda chama ulipo sio sahihi kaka angu.
Acha mkuki ukuingie sawasawa.
Wewe ni Chawa zwazwa la Chama cha Majambazi.
Acha Lissu aendelee kutoa elimu huenda watu wengi watatambua haki zao na kuzidai bila kusukumwa na mtu, na hapo ninyi machawa mtakapolia kilio cha mbwa koko.
Hata huku anatetea wengi ninkazi ya kitume kabisa
😅😅😅😂😂😂😂amejificha kwenye vita 😅😅😂😂Hasira ya mkizi ni furaha kwa mvuvi😅😅
Shikamoo Mzee Mbowe😅
Nijuavio mimi,Ni kweli Rushua ni mbaya ktk ulingo wa kugombea fursa za kuongoza,lkn hiyo Haiondoi ukweli kwamba,mtoa rushwa,pia aweza kuwa mwenye kuongoza vzr!
Kama mtu karusha rushua ya ngono(ambaio hakika ni mali yake asili),npimeni kwenye kazi!!
Pumbavu zako kaa na tabia za kijinga nyumbani kwenu.
🔥🔥🔥🔥🔥
Maneno mazuri bila matendo ni 0 mm nimechoka kusikia maneno mazuri lkn baada ya uchaguzi inapotea nn Africa mungu utukumbuke
chama chenu chenyewe hakina democrasia ndani ya chama na kina rushwa
Chama kipi hakina rushwa?
Kamamanda MUNGU akulinde nawote wanao kuwinda
Daah. kwa hotuba hii, moto unafukuta.
MAKONDA amesema upelekwe MILEMBEEEEEEEE😅
we ndio lisu og
Mmh kwa maneno ya Lissu mbona Nina shaka na Mbowe😊😊
Hayo yote mbowe ni nyumbani kwake!.
Uwe na mashaka juu yako wewe mwenyewe kwamba akili yako unaitumia vizuri ?
Mhe. Lisu ulidai kwamba chama chako kilipokea kama bilioni Saba kutoka. Nje. Je uoni kama kitendo hichi kinaweza kuwa aina ya rushwa toka nje?
CHADEMA WAMEJIANDAA VYEMA KABISA KUONGOZA HILI TAIFA NA HUENDA WAKALIMUDU. UJUE HILI SIO TAIFA DOGO SISI SIO WA KUSHINDWA NA SOUTH AFRICA,NIGERIA ,MISRI WALA KENYA. CCM WAMEFELI PAKUBWA MNO. MBOWE NI ZAIDI YA KIONGOZI KWENYE SIASA ZA UKANDA HUU WA AFRICA MASHARIKI
Chadema awajawa tiyari kwa sababu wao wenyewe awapendi mabadiliko CCM ni ile ile CDM ni ileile kwaiyo bado tunasafari ndefu sanaaa
@thomasmallya2972 nina hofu na uelewa wako lkn tambua kuwa ccm hawaliwezi hili taifa bora chadema mara 10 zaidi. Ccm hakuna hata chembe ya uzalendo ila chadema wale jamaa ni watu na nusu. Pamoja na uhaba wa pesa ila wanaweza kuvumilia mengi hili taifa wanalielewa vzr sn wakipewa nchi ndani ya miaka 5 tutaona mabadiliko makubwa mno
@@malkavoice2570 broo nchi cyo mtian useme ukifeli utarudia chadema badooo sanaaaa mtu ata robo ya wawakilishi wa nnchi awana Leo gafla wapewe nnch
Huu ndio wakati sahihi Lissu wa kumkabidhi kuwa mwenyekiti CHADEMA TAIFA NA mgombea nafasi ya Urais 2025.
Huyu jamaa ni Mondlane wa Tz
Tundu Lisu tunaomba uzungumze na Mwabukusi unganisheni nguvu tuwape nchi. Tunawaamini mtatuvusha kwenye hili balaa linalotukabili.
Mchi cyo zawad kwa kikundi flan wewe
Bumunda katika ubora wako@@thomasmallya2972
Muongo, hawa hawa ndio walimtaja lowasa kuwa ni fisadi papa lakini baadae hawahawa wakamlamba miguu na kumsimika kuwa mgombea wao. Hii mambo ni biashara kama biashara zingine tu. Kelele tu.
Lissu anafaa kuwa president wa chama.
Chadema nyinyi nizaidi ya majangiri. Yani hamjadili tena uchaguzi. Mnacho Fanya baada ya kupokea rushwa mmegawana pesa. Hapa mnawapiga maboya wanachama wenu. Wasijue kinacho endelea
Mbinu ya wizi wa kura ndiyo mipango kwa sasa wengine wanapanga kulinda kura mimi sipendi wizi.
Lisu utapeli wako unamwisho
Tutamuona kwani tulimchagua acha uongo! Nakutisha watu.
DUUU HAYA NGOSHO MWACHIE NGOSHO
Dua imeanza kufanya kazi mtaapika yote yale mliyokuwa mnaisaliti Serikali yetu pendwa
Kikubwa mlishindwa kumuua
Jamani mbowe asikiki yuko wap?
Yuko Angani anabadilisha gia 😂😂🎉
😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
Dhamiŕa inamsuta kwa yale aliyofanya na anayoendelea kufanya?
@nanubob1969 🙏 sana umenena kweli ♥️🎉
Yupo busy masomo yake ya Ms degree ya political science ili akichukua form ya kugombea urais asipingwe kwenye kipimo cha elimu😅
Kilillahi mimi sio chadema lakini uyu jamaa nimwamba natamani sikumoja mama ampe sehemu muhimu ndani serikali
Ogopa MTU anaitwa mchaga,,,hafai kua kiongoz kokote pale ,,,,hio chama unauliwa na wachaga,,,wanatamaa,,Sana kuwauza n Kaz rahis Sana ,,,
Uku kwetu watu wameshahongwa mapikpiki wanatuhamasha lkn hatutaki😊
Lissu amefanya nini,ugomvi mtupu siku zote na kila mtu.
Ndio maana kumepoa sana chadema kumbe watu wamekaliana chonjo,, makamanda mmesha anza kuumbuana tutashangaa mengi uchaguzi huu dah!!!
Unashamgaa rushwa,huu ni wakati wa mavuno,maaskofu masheikh ndio wakati wakuvuna😂
Hujashangaa uchaguzi wa ccm unashangaa wa cdm ?
Khabithi kweli wewe. Lisu anaeleza MIIKO ya mwanachadema, wewe unatafsiri ndani ya Chadema kuna rushwa hadi ya ngono!!!? Si bure mnogopa kumkabili yeye mwenyewe, na mnabaki kusema aneumbua chama.
Natoa maxhozi sana ndg zangu watanzania nini jili jinamizi la chama bora cha kuikosoa serikali munaanza kusemwzana hivi sasa mapambano ya kisiasa xcm mutaiondoaje kwenye utawala? Ndg lisu uko sahii lakini tumia jekima sio hasira uanze kutibua mwenzako pale xxm wanaanza kuwasambaratisha ooo yesu wanguuuu
Acha uongo tundu lissu changa moto ni wewe kwenye CDM
LISU MSEMA UKWELI LAZIMA MMPATE MTU AMBAYE AMETANUA CHAMA NA KUWEKEZA SIO MANENO TU SASA NAJUWA WANACHAMA WENGINE WATAMCHUKIA
Sijawahi kuona watu wenye akili fupi kama anayefikiria kuwa Lissu anaweza kuiongoza Tz zaidi ya kuiuza nchi kwa Amasterdam ,wasenge nk sera hana zaidi ya kuongelea watu hadi waliojiondokea duniani.Chizi😢
Mbona wasengerema wenzio wameshafanya tayari mbona hujachukua tahadhali kuzuia , isipokua kwa Chadema wewe mavi kabisa.
Acha ujinga wewe chawa.
Mbona mlishidwa kumuua
Nina mashaka sana na bos wake. Nahisi hotuba hii inamhusu moja kwa moja. Bora Mchungaji aliyeamua kuhama waziwazi kuliko huyu kikulacho kii nguoni mwako!
Kanunuliwa huyo alijiuza
Yule jamaa simsikihi kabisa nimemsahau jina lake kwa upande wa Chadema alikuwa muongehaji sana what happened now? Next watch you go here he going to CCM Naomba mnisaidie jina lake,yule jamaa kabla ya Waitara kuchu kuwa Ubuge
Heche..
Hiyo
Kama lushwa imewashinda ktk chama mtaweza serikalini
Watu wanapewa tahadhari , mbona unakuwa poyoyo ?
Wananch wote wapo na chadema Ila tunazidiwa na mabunduk.leten mataifa makubwa yasaidie bila hivyo ningumu .maana wako tayar kuua
Hao nivoongzi wa cdm adi rushwa za ngono,,, mezidi nyieee
@jafarmlawa9627 Kwan CCM hiyo rushwa haiwahusu?!nyie malaika?! acha uchama ata Mwl Nyerere alikemea kwa Taifa zima na sio chama!
Mtakumbukwa katika historia ya. Inchi,, dunia,na tuzo. Mbingun
Hizo ndo rushwaUna wafundisha walembe duu Mzee wewe msheziiii
Unataka wenyekiti ongea tu .unamaanisha mbowe hafai wewe ndounafaa?
Kuna msaada na rushwa mfano kwanunulia chakula wanachama hii cyo rushwa
Katiba haitaki
mi sipendi mseman coz mtatuchanganya tunaowaamin
Shida yako lisu huwa huna sela ya uchumi unazungumza
ww unasela gan ya uchumi
Wataka sera ya uchumi izungumwe mara ngapi wewe
Wachumi woote wako ccm wanatusaidianini?
Ukombozi kwanza !!!
Hao wenye sera hizo wametusaidia nini ?
Kuitaja vita ni utabiri mbaya sana
Ili kuelewa maana hiyo, unapashwa kuwa na Uelewa mzuri na sio Uelewa wa akili panzi!
Vita ni sehemu ya maisha hakuna kuogopa.
CHADEMA mnachelewa nini kumfukuza Lissu? Mnasubiri mgogoro uwe mkubwa???? Hajui siku hizi vikao vya chama?
Mbona yeye wakati wa Lowassa alipofushwa macho akakana yote aliyowahi kusema? Sasa anapambania ugombea urais ambao anajua Mbowe naye anataka kugombea. Anafanya uhuni kumdiscredit mwenyekiti wake. FUKUZA MARA MOJA HUYU JANJAJANJA
Acha ujinga
Ccm waache huu mchezo mchafu
4 R 😴😴😴😴😴😴😴😴
Anamsaga Mbowe
Mbowe kaa chonjo jamaa ameanza kukusaga
CCM mna matatizo sana
Mimi mnilambishe muache sitapiga kula ya aina yoyoteeeeeeeee
wewe nikombozi wataifahiri, tukopaja
Unawalisha watu laana
Watu wale vya bure
Kwa kauli hizi Lisu hifai kuwa kipngozi. Unspaswa kuwa na hekima na akiba ya maneno. Kama sio Mbowe kwenye lile tukio lako la kuoigwe riisasi usingeoona wewe!! Ebu vuta kumbukumbu kama ungepelekwa Muhimbili ungekuwa unaongea hayo leo!! Kumbuka fadhifa Jamani wewe sio wa kuyasema hayo!!
Mpumbavuwewe ndio maana hata kuandika hujui
Kwa hiyo unataka wala na watoa rushwa. Hujitambui
Kuwa na hekima na akiba ya maneno ni kuifumbia macho rushwa sio??? Pumbafu kubwa.
CCM Wajinga sana , mnaoneana aibu huko kwenu , huku siyo ccm
lisu uwezo wake ni mdogo na unampiga vijembe mbowe
Amekugusa tulia upewe doze kamili mheshimiwa Tundu Lissu sio mwanasiasa ni Kamanda anayeongoza mapambano ya uhai wa Taifa letu na Demokrasi yetu, vita ni vita Mura!!
Kudra una jina kubwa Sana, ila huna uwezo wa kutosha kufikiri!!!
Umeona anayehutubiwa hapo ni mbowe au akili huna
@@FrankMwakatundu-cu6bdAchana na huyo mboga mboga
Kumtukana Rais ni Utovu wa nidhamu acha Political
Propaganda
Kweli nimegundua wewe ni the special group and the imbecilization people.
Mh Lissu nmekuelewa xn mbowe ni ttzo ndani ya chadema hata baadhi ya viongozi waliokihama chama wamekimbia Kwa ajil yake coz Yuko kimaslahi zombie kabisa
Mbona rais atukana akasema Kuna watu wameota mikia je. Siyo utovu wa nidhamu Kwa watanzania? Kenge ww hauna elimu
Mheshimiwa Lissu hamtukani rais ila anajibu maneno ya Rais Samia! Katiba ni kijitabu ni Lissu amesema ? Waziri Mchengerwa ana kifua kipana ni Lissu amesema?? Kufa ni kitu cha kawida ni Lissu amesma? Wasaidizi wa Rais wamsaidie kuandika hotuba ndiyo maana wanlipwa kwa kodi zetu.
Kwenye kamusi kipi??
Mbna uchaguzi wa Nyasa msigwa Ali lalamika, mpizani mwezake,, alikua akinunua bia
Kama lushwa imewashinda ktk chama mtaweza serikalini
Tofauti yake nini? CCMimeshindwa kote