ASKOFU SHOO AFUNGUKA MADAI YA KUHONGWA MILIONI 150 "'MHE. MBOWE NDIYE ALIMUOMBA RAIS"'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 64

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 4 วันที่ผ่านมา +3

    Ahsante baba Mungu anakuona was ndiyo walimleta Mama achangie kumbe lengo lao lilikuwa si zuri. Mama alitii mwaliko na kuchangia wao wanapotosha tena kuwa uliongwa Mungu atawahazibu kwa unafiki wao

  • @SAULMSIGWA-sv9zj
    @SAULMSIGWA-sv9zj 4 วันที่ผ่านมา +4

    Hongera askofu kwakuji safisha ila ukweli unaujua wewe ilanaimani hawajatunga ilazaid wewe ndio unajua mitano yanini wakati wewe sio mwanasiasa

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 4 วันที่ผ่านมา +10

    Je hiyo sadaka ndiyo iliyokusababishia kusema mitano tena kwa sababu ulimwonya Rais asikubali kusifiwa

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 4 วันที่ผ่านมา +8

    Kwa kukwepa haya ni makanisa kutokupokea sadaka za wanasiasa kwani wao wakitoa wanakuwa na agenda nyuma yake igeni kanisa la katoliki Kenya

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 4 วันที่ผ่านมา +3

    Baba Askofu maneno huwa yanazaa mengine, kule kusema Mama ameteuliwa na Mungu ndipo penye Maswali, wengi walitarajia kusikia kuwa Tuwaweke Wagombea wetu Kwenye Maombi lkn sio kuwahalalisha wenyewe.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 4 วันที่ผ่านมา +3

    Shida haikuwa juu ya lile changizo bali kauli zilizofuata ndizo wengi tuliziona ni tata yaani kumtakia mtu aendelee kutawala badala ya kuacha utashi wa wapiga kura utumike.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 4 วันที่ผ่านมา +3

    MADHARA YA MAASKOFU KUINGIA SIASA NDIYO HAYA 😢😢😢😢😢BADO KUNA MMOJA YUKO SACCOOS

  • @geofreymgeni2668
    @geofreymgeni2668 4 วันที่ผ่านมา +3

    Shoo kila ikifika kampein lazima azungumzwe wewe ni mla rushwa kama wengine
    Ahhhh Acha siasa

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kilicho kufanya useme mitano tena nini?usijikanyage

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 4 วันที่ผ่านมา +2

    Baba Askofu, 😂😂😂 kilichokuponza kupiga debe la mama mitano tena wakati unaona wazi anavyoiharibu nchi na kutapanya mali😂pole baba yamekukuta

  • @MroppaMtamzania
    @MroppaMtamzania 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ndio huna ufahamu wa kutosha, leo hii nakutoa kwenye viongozi wa dini wewe ni kama mfuasi tu usie jua ukweli wa mambo katika dini. Utawajibika kwa Mungu. Siasa na dini ni sawa na maji na mafuta, niwazi kabisa ata kanisa umeliaibisha sana kupitia wewe mtumishi mvivu katika kutafakari na kuyajua mambo.
    Hem niambie ni nabii gan wa Mungu kuanzia mwanzo wa dunia hii alijihusisha na siasa?
    Nimekuchukia sana kiongozi mvivu.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 4 วันที่ผ่านมา +2

    Umesema kwelli ASKOFU .Tundulisu nikiongozi wa ajabu sana .Huyu nmwehun

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks 4 วันที่ผ่านมา +2

    Fanya uchunguzi wewe ndo unajua ukweli na Mungu wako sisi tunasema wewe unajua

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 4 วันที่ผ่านมา

    Mkristo huyu anakumbuka vilivyo. Uhusiano wa yesu na pilato anakumbuka uhusiano wa yesu na herode huyu mchungaji anaishi maisha ya yesu kabisa na mungu ampe haki yake

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 4 วันที่ผ่านมา +2

    Watanzania hawana hilo la kujitambua hua wanafuata tu mkondo yaaani ni nchi ya kwanza dunia ni tz peke yake kwa umbea na majuguu 😢

  • @paull8659
    @paull8659 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee zili pesa siyo sadaka ni hongo, sadaka inatolewa kwa siri, pili rais yeye anapata wapi sadaka kubwa hivi kama siyo wizi wa hazina? Mmepokea hela za shetani. Ndiyo maana ulusema ushetani mitano tena.

  • @NiazonBukoke
    @NiazonBukoke 4 วันที่ผ่านมา +1

    Odemba ita mtu huyu pale STAR TV

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 4 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂 na bado😂😂😂😂😂😂 siasa na dini havichangamani ni mafuta na maji

  • @daudluoga5242
    @daudluoga5242 4 วันที่ผ่านมา +1

    Huenda Mbowe alizitaka hizo hela lakini kanisa liliamua zitumike kama ilivyo lengwa hiyo harambee baada ya kuona kanisa wanazitumia huenda muombaji kwa raisi akaona haina namna njia pekee ni kupotosha umma

  • @AlphonceGridius-v2b
    @AlphonceGridius-v2b 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ee nikweli kabisa mupanze sauti kwakutetea wanyonge mana hii nchi imebaki niyabolis naccm wangine ninyani kwahiyo mkinyamanza mawe yatasema

  • @marykissiva7460
    @marykissiva7460 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu anajua yote ila ukweli ukishaona sadaka inatangazwa na kushikiwa bango hiyo sio sadaka tena ni kitu kingine maana neno lishasema utoapo sadaka hata mkono wako wa kushoto usijue sasa kwanini hakuja akatoa sadaka yake bila kupiga panda? Rudisheni hiyo sadaka ishachafua utumishi . Achaneni nayo ishaitwa rushwa na uache kusema Mungu amemchagua maana tuna uhakika Mungu hajakuambia habari za Samia kila mahali watu wanalia kupotezwa raisi anasema kifo ni kifo halafu nyie mnamsingizia Mungu . Si ungesema angalau tumwombe Mungu tupate raisi wa kusudi lake

  • @JohnShileMunisi
    @JohnShileMunisi 4 วันที่ผ่านมา

    Baba askofu usiwajibu hawa wasiona pepo simamia imani yako kwani ndiyo silaa peke yako.

  • @zabronmdoe4398
    @zabronmdoe4398 4 วันที่ผ่านมา

    Kanisa linahusika na amani kama fungu la amani lipo,misikiti nao wanahaki,sio hongo ni tunzo,

  • @bamurwakana
    @bamurwakana 2 วันที่ผ่านมา

    Askof shooo unaeshima yako kubwa mno ila ukweli unaoutetetea kweli haupo .

  • @SAULMSIGWA-sv9zj
    @SAULMSIGWA-sv9zj 4 วันที่ผ่านมา

    Unasaut nzur yakimngu maana saut Yako inaonekana imebeba hekima nauchaji ilakama ungeoomgea hivyo tokamwanzo

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 3 วันที่ผ่านมา

    Askofu nini nyamaza kosa umekosa unaendeleza kelele sasa unataka majibizano na wakina mboe?acha umejikologa bac acha

  • @OnesphoryJKMboya
    @OnesphoryJKMboya 4 วันที่ผ่านมา

    Tatizo sasa hivi viongozi wa dini hawako huru... Wanashindwa kuonya... Kukemea na kushauri

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa kweri gani wewe unasimamia watu wanauwawa umekaa kimya halafu unatuambia mama mitano tena unadhani sisi tunakuelewaje?

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 4 วันที่ผ่านมา

    Askofu umehubiri vizuri

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 4 วันที่ผ่านมา

    Mjanja haswa alianza Jana, anajifanya anakemea, .. mdogomdogo ndo anamaliza hivo

  • @AlphonceGridius-v2b
    @AlphonceGridius-v2b 4 วันที่ผ่านมา

    Polisi mungu anawaona hamupaswi kuombewa bali mnatakiwa kulaniwa

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa wanaenda kuungana kwa kuujua na kuukubali ukweli, zidi ya kweli na haki.

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 3 วันที่ผ่านมา

    Au gali limekuwa kelo tena?

  • @maulidmusa8902
    @maulidmusa8902 4 วันที่ผ่านมา

    Unajitetea tu lkn ujitizame Askofu

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 4 วันที่ผ่านมา

    KWA HIYO BWANA SIMBA MAASKOFU WASIKEMEE RUSHWA NA UFISADI NA MAUJI NA UTEKAJI KWA SABABU CHADEMA PIA WANAKEMEA!

  • @YacintaJames
    @YacintaJames 4 วันที่ผ่านมา

    Mbona umekaa kimya muda wote huo? Makanisa yanapewa mchango wa nini na Rais?

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 วันที่ผ่านมา

    Mzee wewe la kufanya tubu maana ulilewa na hongo ya samia tena jisafishe kwani uliudhiwa au uliwaudhi watu mitano ndio nini kwani wewe mara usimame kutoa matamko ya cct mara kutoa matamko ya kwako sadaka ilikuchanganya sana wewe iman yako ilishaisha kwa watu kwani wewe mitano si nisiasa.

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot 4 วันที่ผ่านมา

    Acha maneno rudisha pesa ww askof

  • @winstonmwalukasa831
    @winstonmwalukasa831 4 วันที่ผ่านมา

    Je hiyo pesa ndo ilokusukuma useme Samia anastaili mitano tena ya uongozi,,

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 4 วันที่ผ่านมา

      Haha anajisahulishaa

    • @daudimaembe3360
      @daudimaembe3360 4 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naona amekwepa kusema nini kilimsukuma kusema mitano tena.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 4 วันที่ผ่านมา

    Mpaka Watanzania tupate katiba mpya ( umma) wazee mtakuwa mmechoka sana. Hata wanaojaliwa kuziona siku zao za mwisho yawezekana wanapata vihoro . Tumieni uwezo wenu wazee wa dini nchi hii kukamisha katiba ya umma wa Watanzania. Vijana munawaacha acha vipi? Mtakwenda kuulizwa na Mwenyezi Mungu mlifanya nini kuacha sauti ya watu ambayo ni sauti ya Mungu? Haki hupatikana na kusimamiwa na katiba. Hilo mwalijua fika. Botswana ka nchi kadogo kanatuzidi. Tukajifunze kwao? Si aibu! Tutakuwa wa mwisho ktk demokrasia Afrika mkiwa hai mnaona hivi hivi. Kajifunzeni kwa urika wenu nchi zenye katiba za umma walifanyaje.

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 4 วันที่ผ่านมา

    NCHI HII INA VIUMBE WAONGO SANA NA WEN YE MAJUNGU. KAMA UMEKULA SI USEME TU

  • @bamurwakana
    @bamurwakana 2 วันที่ผ่านมา

    Ulikuwa unamanisha nn wewe kama mtu wa dini kusema motano tena

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 4 วันที่ผ่านมา

    Askofu usijitoe hotuba yako ndy ilijieleza uchawa wako ww unaona na macho na unasimama kutoa hotuba mbovu ww unaogopa nn kusema unazunguka askofu mzima Acha hizo kuwa kama Bagonza

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 4 วันที่ผ่านมา

    Mzee anasoma. Kaandikiwa. Asingeandikiwa angeongea yaliyoko moyoni na kichwani mwake. Hiki anachokisoma hakipo ndani mwake. Ukimnyang'anya hiyo karatasi ataongea uchawa tu. 'Mitano tena", "chaguo la Mungu" nk

    • @hellennuyah1722
      @hellennuyah1722 4 วันที่ผ่านมา

      Hayo ni mawazo yako.Umeanza kumsikiliza leo labda

    • @hellennuyah1722
      @hellennuyah1722 4 วันที่ผ่านมา

      Dini mbali mbali
      Upendo haki na amani

  • @RashidMwasiposya-ck6py
    @RashidMwasiposya-ck6py 3 วันที่ผ่านมา

    Acha dini anza siasa sio zambi

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 4 วันที่ผ่านมา

    Tukisema lisu nimtu anaewaza vitu nakumrushia mtu,ndivyo makonda anavyoambiwa alimpiga risasi

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 4 วันที่ผ่านมา

      Haya Makonda usyafananishe na ya Askofu muuaji hana hofu ya MUNGU hata kujieleza kwake ni tofauti na anavyojieleza huyu

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 3 วันที่ผ่านมา

    Nyote mmehongwa nyie chaganoo

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 4 วันที่ผ่านมา

    Je wewe askofu umesimama ktk kweli na haki? Time will tell

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 4 วันที่ผ่านมา +1

    Baba Lisu ataongea chochote ana hulka ya matusi ndiye anayeiua chadema.

    • @levissanga8867
      @levissanga8867 4 วันที่ผ่านมา

      Wewe sio mkwatuweli. Acha kuchafua

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 4 วันที่ผ่านมา

      Alikutukana lini

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 4 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wa dini hasa wakristo kwasasa dhambi ya uzinzi na ya kupenda pesa imeshakuwa juu ya vichwa vyenu na mnaishi nazo na kutembea nazo hizo dhambi zimeshawaelemea sana. Unajitetea kwa wajinga watakuelewa lakini kwawerevu siyo rahisi kutudanganya

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 วันที่ผ่านมา

    Chadema na maaskofu wao aibu itawakuta kwenye uchaguzi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 4 วันที่ผ่านมา

      Hapo 'Chadema na maaskofu' sijaelewa, kwa nini tunalishwa uchafu,nasi tunapokea bila tafakari..

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 4 วันที่ผ่านมา

    Lisu ni mwehu

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 4 วันที่ผ่านมา

      Oh vp baba Yako ndo sio mwehu baba Yako anaelimu gani acha kutukana wanaume

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 4 วันที่ผ่านมา

      @PhilipoMwita-b2x umeshaambukizwa wewe

  • @SAULMSIGWA-sv9zj
    @SAULMSIGWA-sv9zj 4 วันที่ผ่านมา

    Hongera askofu kwakuji safisha ila ukweli unaujua wewe ilanaimani hawajatunga ilazaid wewe ndio unajua mitano yanini wakati wewe sio mwanasiasa

  • @NiazonBukoke
    @NiazonBukoke 4 วันที่ผ่านมา

    Ulihongwa ,,utasifiaje vile wakt unaona kabsa jua linazama