Allahu Akbar Subhanallah. Hakika Uctadh na jopo lako Alhamdulilah. Yani ww una fanya kazi Allah Swt hakika malipo yenu yapo kwa Allah ambaye hasinzii wala halali Allah Akbar mpo ktk faida kubwaa mnoo. Umesilimisha watu wengi na kuna markaz ambayo wengi wamejiunga. Subhanallah hakika mmefuvuzu. Allah awajalie afya njema na awaondolee vikwazo ktk hii kazi ngumu na Inshallah awajalie pepo yke tukufuu kbsaa Biidhinilah.Allahumma Amiiyn.
Nime ishtuka wakati yule kijana Ali Sema mukosa dini. Ramadan ume fanya kazi mungu peke ana weza ku kupatia zawadi vike ume fanya . Jaza jena farsows Inshalaah
MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah azidi kuwaongoza masheikhe wetu kwa KAZI hii nzuri ya daawah ,,,alafu sheikh JINA BILAL sijalisikia mtu akitwa , please JINA tukufu hilo vijana wengine wanapaswa kuitwa Bilal..🎉🎉❤
Kuna sehemu flani kitale kuna vjana wanataka kuslimu but wanasema hakuna masjid na hawajaona wakuwaongoza, mmoja wao ni baby daddy wangu but niko gulf. Kitale
Nafurahia kuona wazee pia wakisilimu, maana wengine hudai vijana wanaosilimu hawana unfahamu..... Mzee wetu hapo alisema amemuita mwenzake waende kanisani lakini wapi, Kwa kweli mwenyezi mungu humuongoza amtakae
Maa sha Allah wamependeza kweli Allah atujaalie waislam sote peponi kwa rehma zake Allah
Masha Allah Allah awafanyie wepesi kwakazi mnayoifanya
MashaAllah.Allahu.Akbaru.😭😭😭TunamuombaAllah AzidikuipaishaDiniYetu.NaawLinde.mashekh.wetu.InshaAllah.Ndacha.upo
Sheikh Ramadhan mashallah Allah akupe umri mrefu akuzeeshe katika kazi ya daawa
Ameen
MashaAlla tabaarakallah....Allah awaongoze wooote walosilimu na walioko ktk uislamu na atujaalie mwisho mwema na atujaalie IKHLAS....aaminaa🤲
Ameen
Mashallah mungu akuzidishiea bidii ulonao ya iman
Assalam aleikum mashekh Allen awalipe hapa duniani Na Kesho akhera kazi nzuri
mungu awaongoze amina
Mashaa Allah, Allah awaongoze karibu katika dini ya haqqi
Shukran sana sililali bila kuskiza mawaida❤
Mafundisho yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran mwenyezi Mungu amulide Allahamdhullah barikiweni sana sana
MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah Allah akuhifadhi dunia na akhera
Daawa kwa Utaratibu, nidhamu, na urafiki. Utulivuuu Maashallah.
Barakallahu Feekum Nyotee.
Mashaallah Mashaallah shekhe mungu awaongeze hiyo juhudi ya kulingania Dini ya haki ya mwenyenzi mungu
ALLAHU AKBAR
ALLAH akufanyieni wepesi nyote.
Aamiin
Allahu Akbar Subhanallah. Hakika Uctadh na jopo lako Alhamdulilah. Yani ww una fanya kazi Allah Swt hakika malipo yenu yapo kwa Allah ambaye hasinzii wala halali Allah Akbar mpo ktk faida kubwaa mnoo. Umesilimisha watu wengi na kuna markaz ambayo wengi wamejiunga. Subhanallah hakika mmefuvuzu. Allah awajalie afya njema na awaondolee vikwazo ktk hii kazi ngumu na Inshallah awajalie pepo yke tukufuu kbsaa Biidhinilah.Allahumma Amiiyn.
Mungu awabariki shekhe kwa kuFikisha ukweli wa uislamu kenya nzima . Hapo ndipo maisha ya wakenya itakuwa bora. Watu wakujaliana waee wengi i.a
Nime ishtuka wakati yule kijana Ali Sema mukosa dini. Ramadan ume fanya kazi mungu peke ana weza ku kupatia zawadi vike ume fanya . Jaza jena farsows Inshalaah
مشأ الله تبارك الرحمن
ALLAH AKBAR
Mashaallah Tabaraka Rahman Allah yupo pamoja nawe akuwezeshe zaidi
Mashaallah kazi nzuri karibuni kwenye dini alotutakieni Allah
Masha Allah
MashaAllah
Mashallah tabalakallah good job
Mashaallah kwa daawa inaelimisha wengi
Assalam Aleykum.
Allah azidi kuwaongoza,Inshallah.
Allahu akbar
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Mashalla ustaz ramazane kuria 🤲🤲🤲🤲📿
❤❤❤❤ Masha'Allah.. alhamdulilah
Takbyr
Ma sha Allah
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Maa sha Allah sheikh wetu Allah akupe jannat firdaus bila kipingamizi
Masha Allah 💖💖💖
MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah azidi kuwaongoza masheikhe wetu kwa KAZI hii nzuri ya daawah ,,,alafu sheikh JINA BILAL sijalisikia mtu akitwa , please JINA tukufu hilo vijana wengine wanapaswa kuitwa Bilal..🎉🎉❤
Allah Akbar
Allah akbar Allah akbar wali llah lihamd
Uislamu neema
Allah Akbar 🎉
Mashallah jasaakallahu khayr
Takbiriii.Allahu.Akbaru😭😭mashaAllah
Masha Allah sheikh ramadhan dawa inaendelea alhamdulillah
Mashallah
Takbir tumtukuze mwenyezi Mungu pekee yake
Mashaallah Allah awalipe ujira stahiki awajaalie jannat frdaus
Subhanna Allah hawa ndugu wakristo hii ilimu ya kuabudu yesu jamani wajisomee bibilia wao wenyewe mapasta wanawapoteza
ManshAllah wallih unafanya kazi very nice. Frm Norway
Astaghfirullah astaghfirullah Allah Akbar Allah Allah Akbar
Mashaa Allah ❤️
Asalamu aleykum mashaallah tabarakallah Allah akulipe wema hapa duniani na akherani
Mashaallah kazi nzuri sana Allah azidi kuwaongoza kila aliepotea
MASHAALLAH MASHAALLAH ♥️ ♥️ ♥️ TABARAKALLAH ❤
Allah awafanyie wepesi sh.Ramadhan na kundi lako
Mash ALLAH alhamdulilah ❤❤❤
Mashaa Allah Tabarakallah ❤❤
ما شاء الله
Pole Sana kwakuwa potosha watu Yesu watarudi tu
Fedha Masha Allah ni vile sikuwa area ningekuona live
Mtafika lini madogo Amir sub
Kuna sehemu flani kitale kuna vjana wanataka kuslimu but wanasema hakuna masjid na hawajaona wakuwaongoza, mmoja wao ni baby daddy wangu but niko gulf. Kitale
Masha’allah tuombe Allah atupe nguvu Ramadhan afike uko alafu tuchangie kujenga nyumba ya Allah
Inshallah kwa uwezo wa Allah@@Khalidmwangwai4651
Nafurahia kuona wazee pia wakisilimu, maana wengine hudai vijana wanaosilimu hawana unfahamu.....
Mzee wetu hapo alisema amemuita mwenzake waende kanisani lakini wapi, Kwa kweli mwenyezi mungu humuongoza amtakae
Mashallah hajazaka la kheri fih kum, mimi ni mTanzania ila ,na nina wafutilia sana ,ilaninaswali ,nauliza hivi mnaenda kutoa dawaa hata nchi za nje ,?
Huyu msomaji ana soma vizuri sana hua namkubali hua hababaiki kama walewengine Masha Allah
Asalam alekum My friend please let me know when you are coming to kamkunji kitui village NAIROBI
Correction not Allen but Allah
Assalm alaykum nauliza hiyo nashid kasoma nani?
Sheikh usisahau kuwapa majina hapo hapo tusikie raha
Uislam raha sana na radha ya uislam ni imani thaabiti
Sana
Nawasikitikia wamejiunga na Shetani
Hao ni wale wasiotambua uzur na ubora usio na kias ulio katika kristo Yesu,atakae wahukumu wote,hata Muhammad anatazmia siku hiyo
Wakristo feki...siwezi jiunga na uislamu dini la shetani Allah na mtume wake Mohammed
Makafiri moto upo kwa ajili yenu wewe endelea na ukafiri tu
Maa sha Allah wamependeza kweli Allah atujaalie waislam sote peponi kwa rehma zake Allah
Amiin
Ameen Ameen ya Rabi
Allah Akbar
MashaAllah
Masha Allah ❤
Allah Akbar