KENAYA | SIMULIZI FUPI | LOVE STORY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 117

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 หลายเดือนก่อน +18

    Wakwanza jamani kwa simulizi hii mpyaa likes zenu 🙏🙏🙏❤♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 2 หลายเดือนก่อน +11

    Wa kwanza nimewahi 🎉🎉🎉🎉

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +4

    Daah! Imeanza vizuri ila hapa mwisho💔 aisee! Mungu alikua upande wako🙏🙌 liani aliletwa na mungu

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 2 หลายเดือนก่อน +7

    Haya msanii Lukas wetu tunakusikiza

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน +5

    😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹haya Naya tupashe mwaya tuburudike na kuelimika,😂😂😂hata na mie hapa ni mamaG 😂😂

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน +5

    Uko sahihi sana Kenaya,siyo sahihi kumkubali mtu bila kuwa na hisia nae,vinginevyo utapata shida kubwa ktk maisha,ndiyo maana unakuta watu wanacheat ktk ndoa zao,ni sababu walioana bila kuwa na hisia

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 2 หลายเดือนก่อน +3

    Leo umetuletea mpya.... asante umejua ndio tusikue bored❤❤

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 2 หลายเดือนก่อน +5

    Asante kaka kwa kitu kipyaaaa😂😂❤❤

  • @Fatum112
    @Fatum112 2 หลายเดือนก่อน +10

    Anko lucas twangoja Edna waleta naya ila sawa tu

  • @ReginaBenjamin-ij2ec
    @ReginaBenjamin-ij2ec 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tuko pamoj kak na Wadau wote hum ndan na kitu kipyaaaaaaaaa

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much love.

  • @mwajukaungi649
    @mwajukaungi649 2 หลายเดือนก่อน +6

    We homa limekuanza ume tukatisha utam wa roma

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kununua tuu kupika aaaah 😂😂😂😂

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂oohh mbona na mama yoso 😂😂😂😂😂😂

  • @Mwanamisi-ir3ii
    @Mwanamisi-ir3ii 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona sio Edna jamani

    • @GlorryMariki-ee6dc
      @GlorryMariki-ee6dc 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 kuwa mpole kdg

    • @Nattyjay294
      @Nattyjay294 2 หลายเดือนก่อน +1

      Bado nategea Hadi mimi😂

  • @ChristianElias-u2j
    @ChristianElias-u2j 2 หลายเดือนก่อน +5

    Lukas ulitwambia hiii wk ya Edna nn ten jamn umefanya😅😅

    • @UptownGamesfifa
      @UptownGamesfifa 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 leo si j1 wk mpwa

    • @GIFTEDWIN-t9m
      @GIFTEDWIN-t9m 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mm nilikuwa natk mzigo mpy tofauti na edna

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante lumbasi kwa simulizi yako nzuri sana ila we NAYA UPUNGUZE MARINGO MAMAA

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 2 หลายเดือนก่อน +2

    We miss Edina jamani....mm ni yatima wa mapenzi😢

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +20

    ❤❤ leo wakwanza nipeni like tuendelee,naktu kpyaa naya, eti. Mapenzi nimatam haya njoon tusiklize tufahm km kwel au sikwel tutajua. Kaka lucas asate maua🌹🌹🙌🪑🎧🏃

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante lumbasi

  • @Nattyjay294
    @Nattyjay294 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka lucas vip sisi wa simulizi ya edna

  • @Rehemaa-uz8rj
    @Rehemaa-uz8rj 2 หลายเดือนก่อน +4

    Voice yako nzur

  • @SylviaBoisabi
    @SylviaBoisabi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Anyway nikipya❤❤❤

  • @GlorryMariki-ee6dc
    @GlorryMariki-ee6dc 2 หลายเดือนก่อน +4

    Twashukuru kutuletea single mr luu 🎉🎉🎉🎉🎉❤ pokea mauw yako tafadhali umunikong moyo 😊😊

    • @FatimaRamadan-s4f
      @FatimaRamadan-s4f 2 หลายเดือนก่อน +1

      😊😊😊

    • @GlorryMariki-ee6dc
      @GlorryMariki-ee6dc 2 หลายเดือนก่อน

      @@FatimaRamadan-s4f tupo pamoja wana single jmn 😁😁✌️✌️

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 2 หลายเดือนก่อน +3

    VIP Mumbi Wa Naivasha ako Ndani

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera papa lucas Kwa simulizi yako tamu sana nyemafunzo mazuri Kwa wadada kuwa namsimamo

  • @BimukubuwaMusa-hd9np
    @BimukubuwaMusa-hd9np 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka Lukas leo Roma hatupati au

  • @aishasalim-9036
    @aishasalim-9036 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asking on behalf of my friend chombezo za wakubwa hamnaa tena😂😂Kwa hio ratiba ni ya Edna na Naya sio😊

  • @TatuKhamis-x1p
    @TatuKhamis-x1p 2 หลายเดือนก่อน +7

    Lucas vip Edna mbona wiki haijatimia?

    • @ChristinesifaRuwa-jx4qw
      @ChristinesifaRuwa-jx4qw 2 หลายเดือนก่อน

      Katudanganya eti Edna mpaka wiki iishe mbona sasa Kiko wapi 😂😂

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 2 หลายเดือนก่อน +4

    Xo kwa kuimb huk kumbe unawez hat kuimb kak Lukas Kam tunakuon vile 😂😂😂😂

  • @YasintaHongela
    @YasintaHongela 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe wewr ni ndugu yake Roma ahaaa inatisha

  • @sophiasanga175
    @sophiasanga175 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mama kenaya ni mtata ❤❤❤

    • @FestoMasunga
      @FestoMasunga 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani huyu mama ni mama angu Kabisaaa 😂

  • @Fayek-o9i
    @Fayek-o9i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Histoire nzuri mashallah

  • @ErizabethToyi-bb8mb
    @ErizabethToyi-bb8mb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani naombanamba zanaya irinipewehuduma

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka kukasi tuko pamoja ila wamama wengi malezi yao mmmh

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 2 หลายเดือนก่อน

      Mm mamaangu alikuwa akiniambia ww ni mschana na huna pesa sasa Kwan mschana ndio ana pesa bila kuzitafuta au nikitembea namwaga pesa kama nisinge jitambua ningekua Malaya wakutupwa lakin nashukuru Kwa ilimu ya babaangu na upendo wako wa hufu ya mungu

  • @민서-v4n
    @민서-v4n 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nakumbuka tuliambiwa edina hadi wiki imekuaje tena

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka lucas ukimaliz hii tuletee Royal Tours ipo vzr kwel mtunz malkia osam❤❤❤

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  2 หลายเดือนก่อน +1

      Ok asante nalifanyia kazi

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 2 หลายเดือนก่อน

      @@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI shkran🙏🙏❤️❤️

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Lucas kwa Simulizi nzuri saana❤❤❤from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaal asant 23❤❤❤🎉🎉🎉😢😢😢😂😂😂😂

  • @rehemawilliam374
    @rehemawilliam374 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila lucas ww kichwa chako unakijua mwenyew😂

  • @mourine-o3
    @mourine-o3 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kama sijasahau,ulisema tutaenda Na Edna the whole week

    • @민서-v4n
      @민서-v4n 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli ata mi nakubukwa duu tusha pigwa tayar

    • @Nattyjay294
      @Nattyjay294 2 หลายเดือนก่อน

      @@민서-v4n tena kweli

    • @furahamasha7192
      @furahamasha7192 2 หลายเดือนก่อน

      Anataka kutufanya tuhame pole pole maaana mmmmmm

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน

      Hama pekeako ssi twakomaa na lucas hadi kieleweke​@@furahamasha7192

  • @FatumaRamadan.Mwalim
    @FatumaRamadan.Mwalim 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke kujithamin ni bora Zaid mm watu husema naringa na nna sura mbaya lakin sijal maana siezi kuwa gawagawa nakipata mtu tufunge ndoa ukinichoka niache nikafunge ndoa nyingine japo nna ndoa tatu zisizo na faid lakin ni heri kuliko wale waku gawa kila anapo tongozwa wajua mwanamke hata azeeke bado atatongozwa sasa jichanganye eti watongozwa kwasababu wanakupenda kumbe wakufanya boll la zoezi maana washajua ww ni mrahisi pole yako

  • @ND-bp7sp
    @ND-bp7sp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Lukas Jamani tuna subiri Edna jamani mbona unanituma nakuja you tube every time

  • @furahamasha7192
    @furahamasha7192 2 หลายเดือนก่อน +4

    Lakini sijuzi umesema wiki mzima utatuwekea Edna Jamani bona hivi 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴

  • @bahatifransis9019
    @bahatifransis9019 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nime chelewa kwan😮

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm kiukweli upendo nilihamishia kwa wanangu msiniulixee kwann..halafu huyoo mama nipe tuu hata sitaki unikopeshe ni mzima mzima mana wangu nilimpoteza miaka 22 iliopitaa RIP my mommy..halafuu huyo mtekajii angepata adhabui achinjwee Christmas umbwaa zisherekee sio kwakufanyaa unyama huo kwawadada nasijui dadake akifanyiwaanhivyoo atajisikiajee???
    Halafu naya siku ingine acha zarau kidogo Ukose ndoa kisa zarau mtu amekutext kukupigia Mjibu tuu lkn humjibu unaogopa Mjibu iliujue nn anataka bs.. halafuu huyu sijui ndo cris angekufaa tuu wengine tujue kwao mana anaujinga eti nijiuekisa nimekataliwaa lini wapi sangapi awee mm nikiachwaa anaenda butcher kununua nyama kilo moja nipike naugali nitibuu tumbonnamaumivuu nikimaliza nimshukuru Mungu niseme sio fungu langu..tukutane kwa roma wa Edina na mhanyoo wote huo lkn kiboko yake ni Edina anakuamdogo kama piriton

    • @RithaIsaya
      @RithaIsaya 2 หลายเดือนก่อน

      Nimekupenda bure 😊❤

  • @sunaskitchen2940
    @sunaskitchen2940 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwan leo hakuna Edina mbona najikuta nimechako kusubir

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 2 หลายเดือนก่อน +5

  • @MbaruqAthuman
    @MbaruqAthuman 2 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @mariamathman3572
    @mariamathman3572 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante

  • @levinapaulo6672
    @levinapaulo6672 2 หลายเดือนก่อน +5

    🎉

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lucas plz nitumiye sayozi part 2plzzz

  • @omanmajan9438
    @omanmajan9438 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wakumi natano mim ❤❤❤❤

  • @AliphonceIrene
    @AliphonceIrene 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aya namm naombeni like zangu sijachelewa

  • @ND-bp7sp
    @ND-bp7sp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aaaah jamani siku inaisha bila Edina sijapenda 😢😢😢

  • @MwanakomboMangwe
    @MwanakomboMangwe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Naya ananikosha 😂😂😂kwa majib tu maan jibu moja tu hata kam waumwa wapona hata bila dawa

  • @JoyceMwake
    @JoyceMwake 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simulizi fupi muhimu pia twaziitaji

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye u imbajiiiii hpn😂😂😂😂

  • @FatumaIddy-h4r
    @FatumaIddy-h4r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Me ni atima wa mapnzi😢

  • @FatmahHgfy
    @FatmahHgfy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani history yafurahisha

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 2 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bahatifransis9019
    @bahatifransis9019 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama vip tupate story ya mama naya na mumewe jouman🤗🤗

    • @YasintaHongela
      @YasintaHongela 2 หลายเดือนก่อน

      Mi siirlewi japo naifanyoaaridio kila mara

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nani hajapata like a nambie dadamkubwa nko hapa nagawa likes tuu

  • @Mupawarda-gj9qo
    @Mupawarda-gj9qo 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @bahatifransis9019
    @bahatifransis9019 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila umempatia mama wa kenaya jaman niko hoi🤣 nashindwa hadi kumalizia simulizi 😂🤣

  • @Rehemaa-uz8rj
    @Rehemaa-uz8rj 2 หลายเดือนก่อน +3

    Weeeeeee😂😂😂😂

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 2 หลายเดือนก่อน +5

    ʸᵃᵃⁿⁱ ᴸᵘᶜᵃˢ ʰᵃᵖᵃ ᵘᵐᵉᵗᵘᶜʰᵉᶻᵃ ᵘˡⁱˢᵉᵐᵃ ᵃʲᵉ ʰᵃᵏᵘⁿᵃ ˢⁱᵐᵘˡⁱᶻᵉ ⁱᵗᵃᵏᵘʲᵃ ʰⁱⁱ ʷᵉᵉᵏ ᵗᵃᶠᵃᵘᵗⁱ ᵐᵃ Edna😮😮😮

    • @민서-v4n
      @민서-v4n 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tumesha pigwa tayar

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂 Edna kapuni

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 2 หลายเดือนก่อน

      @@TeklaNdekeja ᴮᵃⁿᵃ ᵉᵉᵉᵉʰ🤣🤣🤣

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo imetimia wiki lucas unatfanyia nini jaman😢

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @QueenDenise-i9u
    @QueenDenise-i9u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tamu mnoo

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 2 หลายเดือนก่อน +6

    Njoon kitu kipya mezani like plz❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Rehema-co4xi
    @Rehema-co4xi 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂jaman mama

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 2 หลายเดือนก่อน +1

    🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲♥️♥️♥️

  • @Fatum112
    @Fatum112 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anko lucas ngedere ni nini please naomba unijibu maana nimecheka 😂😂😂😂sana lkn sijui ni kitu gani

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 หลายเดือนก่อน

      Kwan Google kazi yake nni jamani😮

    • @Fatum112
      @Fatum112 2 หลายเดือนก่อน

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg mhm Ata ckufkiria haki

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 2 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @FaithPeter-j4w
    @FaithPeter-j4w 2 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @FaudhaHamisi
    @FaudhaHamisi 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @mbokacomedy
    @mbokacomedy 23 วันที่ผ่านมา

    Mm namkupenda mtu furani nampenda san❤❤❤❤

  • @Jackmwakamela
    @Jackmwakamela 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 หลายเดือนก่อน

    Apo kwenye manguo😂😂😂 hadi kizunguzungu😂😂😂 nimecheka balaa

  • @GogoO-mb5fq
    @GogoO-mb5fq 2 หลายเดือนก่อน +2

    🤣🤣🤣🤣🎉

  • @ElizabethIsaya-io2bn
    @ElizabethIsaya-io2bn 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hello team lumbas wapii likes zenuuu msininyime ataaa kama nmechelew 😅😅😅😅

  • @YonasKessy
    @YonasKessy 11 วันที่ผ่านมา

    Kina frenk wanalaanaa jaman nawachukiia mm😢

  • @ElizaSada
    @ElizaSada 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉

  • @lucywangesh4208
    @lucywangesh4208 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @saumurajab7542
    @saumurajab7542 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤