FAKII LULANDALA | MEDANI ZA SIASA NA CHIEF ODEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มี.ค. 2024
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

ความคิดเห็น • 64

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 4 หลายเดือนก่อน +4

    Odemba umealika kichaa studio? Unaharibu sana heshima ya studio yetu ya star tv.

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 4 หลายเดือนก่อน +2

    AsANTE sana odemba Kwa kukamata sana huyu msaliti

  • @rwakyenderajulius3861
    @rwakyenderajulius3861 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jana Odemba mmepoteza muda mwingi bure

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 4 หลายเดือนก่อน +1

    Chief Odemba funga kipindi brother ukalale. Mbona huyo mtu maswali unayomuuliza yamemzidi uwezo. Jitahidi kutafuta watu wenye uwezo.

  • @mmarycalvin6395
    @mmarycalvin6395 3 หลายเดือนก่อน

    Ndg. Fakii amekuwa na hisia sanaa. Yaani Ng. ODEMBA amejitahidi kuwa mvumilivu. Mfano suala la sukari lilishaongelewa na Waziri mkuu huko nyuma lakini bado limeendelea kuwa mwiba. Hakuna suluhisho la kudumu pengine 2028 tena likatokea tena.

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 4 หลายเดือนก่อน +1

    Chief Odemba funga kipindi brother.

  • @thomsanga7956
    @thomsanga7956 3 หลายเดือนก่อน +1

    Odemba umealika mtu mjinga sana aisee 😁

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 4 หลายเดือนก่อน +1

    Odemba tunaomba umwambiye huyo jamaa asome comment kwenye hii Post yako please 😂😂

  • @user-er7hm6nz1s
    @user-er7hm6nz1s 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ni zwazwa hajui anacho ongea zaidi ya katanga njaa yake

  • @user-ec8qn3cv1l
    @user-ec8qn3cv1l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweri Tanzania badosana

  • @crispinKutandawa-cv2vo
    @crispinKutandawa-cv2vo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo fisadi wa ccm anaropoka hovyo sawa na mchawi aliekutwa na laana

  • @mountaincoffee7
    @mountaincoffee7 4 หลายเดือนก่อน +1

    Democrasia nimfumo sahihi wakuongoza nchi za kiafrika hususani Tanzania?

  • @sumkizu8367
    @sumkizu8367 4 หลายเดือนก่อน +1

    Odemba kwa hali hii tutafika kweli

  • @philemonmwakanyamale3856
    @philemonmwakanyamale3856 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kiufupi huyu jamaa hana uwezo. 😅

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa fala kweli yani hanaongea mbumba alfu hanaomba MTU hakupigie makofi kwalimpi

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa takataka kweli wewe ujawai kusafari kweli

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 4 หลายเดือนก่อน +1

    Humo Studio hamna AIR CONDITION MBONA JAMAA JASHO LINAMTOKA?😅😅😅

  • @user-fx6zr6ij5y
    @user-fx6zr6ij5y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yani huyu jamaa ukimsikiliza nikilaza kabisa

  • @MussaSelemani-wz5np
    @MussaSelemani-wz5np 4 หลายเดือนก่อน +1

    yaani hoja dhaifu mmno ccm imebaki jina hatuna viongozi

  • @MussaSelemani-wz5np
    @MussaSelemani-wz5np 4 หลายเดือนก่อน +1

    hahahahahahaaaaa dah kweri kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake ccm cheki mnavyo jichangana nyie kilakitu sera sera hata hatekelezi mnatekeleza moja kati ya mia

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 4 หลายเดือนก่อน +1

    Chief Odemba some time uwe unafanya utafit kabla hujamuita mtu wakuongea naye hapo studio. Star tv ni kituo kikubwa sana na chenye heshima kubwa. Sasa usikishushie heshima kwa kualika vichaa studio. Odemba usiifanye studio kama kijiwe cha walevi. Pia Odemba usifikiri kila anayevaa koti jeupe ni doctor wengine wauza nyama buchani.

    • @henrymassawe699
      @henrymassawe699 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @hemedisufiani3219
    @hemedisufiani3219 4 หลายเดือนก่อน

    Anatualibia vijana

  • @patellaisangai6013
    @patellaisangai6013 4 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli ukimsikiliza vinzuri Amna anacho ongea atamki kitu chochote bila Kila CCM toa point ya msingi

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 4 หลายเดือนก่อน

    Star tv mmealika mhubiri studio

  • @mengibusiness9632
    @mengibusiness9632 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa akili ndogo kweli anabwabwaja Tu hajui hata anachoongea

  • @ismailibrahim7864
    @ismailibrahim7864 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahaha takataka ghasia😢

  • @bone254
    @bone254 4 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅 hataki kuulizwa😅

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wew ni msaliti tu una umpya

  • @user-if9gi2rx8f
    @user-if9gi2rx8f 4 หลายเดือนก่อน

    Odemba nakukubali sana kwa maswali huyo jamaa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi

  • @ngalamawecheslous9976
    @ngalamawecheslous9976 4 หลายเดือนก่อน

    Kelele nying hakuna kitu hajibu

  • @omaryidd4373
    @omaryidd4373 2 หลายเดือนก่อน

    Anatetea kz tu

  • @user-fx6zr6ij5y
    @user-fx6zr6ij5y 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo ndiyo kiongozi wa vijana CCM wameuza viwanja nyote nya michezo nchini

  • @peterbangari4273
    @peterbangari4273 4 หลายเดือนก่อน

    Odemba Leo una mpayukaji siyo mchambuzi uccm uko ndani yake kimasilahi sana Hana ajenda

  • @hemedisufiani3219
    @hemedisufiani3219 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu jaamaaa ni pumba tu hana chochote sijui kapataje hiii nafasi 😂😂😂😂

  • @Jamessichone-tg7pm
    @Jamessichone-tg7pm 4 หลายเดือนก่อน

    Inamaana vijana wengine hawana uelewa zaidi ya CCM

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa jamaa sijuwi ni mapagani ani hayana hta hofu ya Mungu ni maongo matupu wote mabasheti hii nchi chini ya ccm ni janga kma ukoma

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pumpavu.kijana.mjinga.ccm.vilaza.katiba.mpya.tume.huru.tutoe.majanga.kwenye.nchi.yetu

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 4 หลายเดือนก่อน

    Chief Odemba funga kipindi ukalale mbona mnatumalizia MB bila sababu zamsingiiiiii??

  • @MussaSelemani-wz5np
    @MussaSelemani-wz5np 4 หลายเดือนก่อน

    tatizo sio kubadilisha kiongozi tatizo ni kiongozi anafanyaje majukumu yake

  • @mwalimutesha9647
    @mwalimutesha9647 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanzo mwisho huyu jamaa haelewi maswali anapiga kelele tuu

  • @alfredmtundu9558
    @alfredmtundu9558 4 หลายเดือนก่อน

    Hoja aliyoongea hapo ni kumpamba rais ili apate cheo tu hana jipya kabisa, na inaonekana amekariri majibu ndiyo maana hasikilizi swali la mtangazaji bali anajibu ya kwake

  • @SAIDIBAKARI-wk1es
    @SAIDIBAKARI-wk1es 4 หลายเดือนก่อน +1

    C jawahi kuona mjinga kama ww toka dunia imeumbwa

  • @georgepeter2055
    @georgepeter2055 4 หลายเดือนก่อน

    Machizi wengi sana, eti nayeye ni kiongozi wa chama… eti wakulima ni ajira… anapigwa mti

  • @crispinKutandawa-cv2vo
    @crispinKutandawa-cv2vo 4 หลายเดือนก่อน

    Zezeta wa ccm kweli ameshikwa nyeti

  • @priscusaugust7251
    @priscusaugust7251 4 หลายเดือนก่อน

    Nani kasikia papapapaa kutoka kwa katibu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅SaidiBakari umenichekesha sana

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu NI Kiongozi wa nchi gani? Jamani ,na hivi anajua anachokisema?

  • @user-es7cm7fc8b
    @user-es7cm7fc8b 4 หลายเดือนก่อน

    Takataka ww mjinga,anachoongea haka kajinga ka ccm ni sawa na kufukia uharo Kwa uharo mpumbavu kweli

  • @rwakyenderajulius3861
    @rwakyenderajulius3861 4 หลายเดือนก่อน

    Odemba , mbona huyo hakubari kuhojiwa anatiririka tu?

  • @crispinKutandawa-cv2vo
    @crispinKutandawa-cv2vo 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo msaliti akitoka hapo presha yake itapanda juu Hadi 250 maana yake hapo alipo anaropoka hovyo Kwa kubanwa na maswali anayokosa majibu

  • @manyamagordon2866
    @manyamagordon2866 4 หลายเดือนก่อน

    huyo jamaa ni mzima kweli?yaani wapiga kura wengi ni Vijana katoa wapi hizo takwimu?

  • @crispinKutandawa-cv2vo
    @crispinKutandawa-cv2vo 4 หลายเดือนก่อน

    Hebu muone zezeta wa ccm anavyojamba Jamba Kwa kushindwa kujibu maswali ya msingi

  • @crispinKutandawa-cv2vo
    @crispinKutandawa-cv2vo 4 หลายเดือนก่อน

    We ropoka tuu kwani nani asiekua kuwa ccm ni mabingwa wa kushindwa kuongoza nchi ndo maana wanatumia nguvu ya Dola kuumiza na kuwa watu wanawaambia ukweli

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 4 หลายเดือนก่อน

    Odemba huyu ccm umemtowa wapi pumva tupu

  • @user-if9gi2rx8f
    @user-if9gi2rx8f 4 หลายเดือนก่อน

    Jibu hoja acha jasba

  • @SAIDIBAKARI-wk1es
    @SAIDIBAKARI-wk1es 4 หลายเดือนก่อน

    Hujitambui ww mchumia tumbo

  • @ElizabethMungo
    @ElizabethMungo 4 หลายเดือนก่อน

    kaka uwe unaweka n maji ya kunywa..kuna watu watakupasua

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Kabisa. Jamaa haweki hata glass

  • @crispinKutandawa-cv2vo
    @crispinKutandawa-cv2vo 4 หลายเดือนก่อน

    Acha uwongo wewe fisadi wa ccm watoto wetu mashuleni rundo matokeo mabaya ya mtihani Kwa upungudu ya walimu

  • @user-tq5tt8es8x
    @user-tq5tt8es8x 4 หลายเดือนก่อน

    👎👎👎👎👎000000000000000000%

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 4 หลายเดือนก่อน

    The guy is unable to talk as professinal politician. Not an enjoyable interview